Wauuuu, hongera Mwanangu unajua kujieleza vzr Sana Mimi nitakufikia muda si mrefu
@AmranyHamissАй бұрын
Sijawah kukoment ata sku moja kweny interview za hamisa mobeto ila kwa hil acha tu niseme palipo juhud pana mungu palipo malengo panhtaj subra mung n wet sote na anampa amtakae dada mungu amekubarik wanaokusema vbaya umewazid n husda choyo na roho mbaya tu msaf na mkamlfu chin ya juw hayupo allah akufanyie wepes ktk kila hatuwa ya utafutaj wako nakupenda saaan dada ❤❤❤
@Faith_josephАй бұрын
She's beautiful and huyu ni mmoja wa mastar walioweza kutumia umaarufu wao kujiletea manufaa...tuna jambo la kujifunza Kutoka kwake🥰💃
@user-iq9bu7dm5bАй бұрын
Kweli kabisa na very soon anawaonesha nyumba yake kubwaa ya gorofa ❤❤.kwa sasa ananunua vitu za ndani za nyumba akimaliza atatuonesha mjengo wake
@melanialeonard4031Ай бұрын
@@user-iq9bu7dm5bmmmh asante kwa taarifa
@TantineZuzuАй бұрын
Congratulations my Mungu azidi kukukuzia biasha zako 🎉🎉🎉❤❤
@Faith_josephАй бұрын
Wooow hongera sana hamisa🎉🎉👏🏾👏🏾
@salmaabdallah7200Ай бұрын
Hongera misa❤️❤️
@AzizaALSHIBLIАй бұрын
Mungu akuzidishie uendelee
@saidmasika8738Ай бұрын
tunakupenda hamisa na ubarikiwe twakupenda
@user-pu6pr5jt4nАй бұрын
Misaaaa wangu❤❤❤❤❤
@user-qb3nr6gl1zАй бұрын
Nimekuelewa hamisa nikirud nitakutaft nashida San na wew
@user-pu6pr5jt4nАй бұрын
Hapo kwa mafundi hukujbu vzuri misa wangu❤❤❤😂
@ZsbAlbarwaniАй бұрын
Nguo nzuri Masha'Allah 🎉
@fatmachikambo8780Ай бұрын
Mashallah hongera sana Hamisa kwa kutusogezea huduma ❤❤❤
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Hongera sana binti unajitahidi ubarikiwe sanaaaa
@SekelaJakson-ls7ddАй бұрын
Ngozi imenyooka dah sijui anapaka mafuta gan😢
@franccoz94Ай бұрын
Pesa za master ki hizo,master ameshaingia kwenye mfumo
@rebbywealth9869Ай бұрын
Kaingie na wewe..... Mwanaume unacomment kama papai
@mikidadymohammedy7603Ай бұрын
Mapema tu.
@rachenicolasАй бұрын
Kina dada uyu namtaka sana kweli Niko naka kongo
@linnerphilip4260Ай бұрын
Yaan ww dada siku hz una akil Sanaa unatumia jna lako kupiga hela ...... Wema anatumia jna kupata vi serenget boys na wema haji kukupata kabsaa ushamuacha mbal
@CantonaKunonaАй бұрын
Atafungua maduka mengii kama anavyoo fungua duka lake la chini🤭😂 kudanga huko kunalipaaa🎉
@awadhally1052Ай бұрын
😂😂😂
@souvenirweber7169Ай бұрын
Nawewe fungua duka la juu
@rebbywealth9869Ай бұрын
Kadange na wewe
@zeinababdi4757Ай бұрын
Kadange basi na wewe, ufungue duka😮
@dorcaskidoti249Ай бұрын
😂😂😂😂😂 ukwelindo huo
@fettiemaganza1484Ай бұрын
Ulee mwanao achana na diamond ww ni shujaa naamini hakuna kinachokushinda mtoe mtt wetu kwenye media
@user-mb2ek2ds1hАй бұрын
Barikiwa Sana dada
@user-eh5mw8fn8qАй бұрын
Hamisa nataka nguo ya kitchen party best. Uko na material ngani nzuri ya evening wear. Pls
Ongeraaaaaaaa acheni wivu eti ela z azizi nyie mmefanya nn
@eliyawinfrida2491Ай бұрын
❤❤❤😊😊
@KELVINshabaniАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@AyshaTt-zp7yuАй бұрын
❤❤❤❤❤
@katherinewanjaa452Ай бұрын
Nipe number Yako nataka nguo Niko Kenya
@roqayaro9439Ай бұрын
Seem gani Tandika
@salmamlokela1987Ай бұрын
Wana yanga duka letu hilooo😅
@givenessdavid3743Ай бұрын
Hana kelele ni Vitendo tu
@user-rj1xx9jc1yАй бұрын
Pesa ya yanga iyooo 😂😂
@rebbywealth9869Ай бұрын
Kwahiyo?
@siamnyone8403Ай бұрын
Kwamba yanga wanauza madelaaaaa😂😊
@abubakaliyahaya2968Ай бұрын
Nitakuja kununua ilimlad nikuone
@Burner_AccАй бұрын
Kila mtu anafungua duka. Wabongo fanyeni kazi zingine, wengine fungueni viwanda, kila mtu akiuza nguo nani atanunua? Mnapenda kazi laini laini hampendi kutumia akili kabisa.
@aminakasim1198Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rkcomercialenterprises3209Ай бұрын
Mbagara ni buku 7 na hizo ni bei hiyo?
@FatumaMamlo-st8pjАй бұрын
Nenda ukanunue kwani umeitwa😢😢😢😢
@mwajumakweliАй бұрын
@@FatumaMamlo-st8pj❤❤❤❤
@bahatikarume3203Ай бұрын
Alafu ukute anatoka Temeke kwenda mbagala kwa akili ya Tsh 7000 akiweka nauli plus muda ni zaadi ya hiyoTsh 8000. Tuache wivu