VILIO MWANANYAMALA: MJUMBE AGEUZIWA KIBAO, MJENGO WAUZWA MILIONI 90 “WASIOJULIKANA”

  Рет қаралды 45,965

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 316
@janetchinga695
@janetchinga695 Күн бұрын
Mama Samia ingilia kati swala ili mama etu ni mama Samia ❤❤❤❤❤
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 23 сағат бұрын
Mama Samia awezi ingilia katiii watu wanakufa Kila cku
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 Күн бұрын
Mjumbe mjumbe jmn dah!!! Uyu kaka mbona ana roho mbaya hivo
@MahamuduAbasi-o1n
@MahamuduAbasi-o1n 22 сағат бұрын
Kwahiyo kama mtendaji ameshiriki bila kukushilikisha unaweza kukuta kuna mkubwa mzito anayetaka kuinyanganya.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 18 сағат бұрын
Mjengo mashallah mwanamke wawatu alipambana kuwaachia watoto wake kivuli
@bestcodetz
@bestcodetz 18 сағат бұрын
aiseee yaan nataman afufuke
@MaryTomito
@MaryTomito Сағат бұрын
Dah kweli mama alipambana
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 15 сағат бұрын
I feel your pain , my sister duuh poleni kwa kweli 😭😭 sisi masikini wallah hatuna sauti isipokua Mungu tu ndie hakimu wetu basi 😢😢
@MariamAbduly-g6v
@MariamAbduly-g6v 23 сағат бұрын
Iv hawa watu wanaojifanyaga kutumia pesa zao hili kudhulumu haki za wenzao wanatoka wapi n a wanajiamin nni aswaaa kushindwa kumuogopa ata mwenyezi mungu😢😢😢 walah inaumiza sana Mungu pigana nao wote walioshiliki kumuumiza huyu dad kupitia hili mmi sipeendagi kabisa dhuluma ktk maisha yangu😢😢😢😢Nashtaki kwa mungu walah tena
@Ajijji12
@Ajijji12 11 сағат бұрын
Hao mjumbe ndio huwa wanahongwa
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda Күн бұрын
Kaka yenu mbaya sana naUongoz ulioshiriki
@FelisterNampoka
@FelisterNampoka 35 минут бұрын
Kiongozi akiwekwa sehemu akafanya vizuri anatolewa,jeri walimuona atawaumbua hata wakubwa wanao nyanyasa watu kunyima haki zap!!😭angekuwepo angeweza kutatua ili!!! Mungu wetu ni Mungu wawote na atatenda tu🙏
@aluneanthony3468
@aluneanthony3468 19 сағат бұрын
Huyo kaka duh😭😭😭kuwazunguka ndugu zake jmn duh
@asinahussein2176
@asinahussein2176 15 сағат бұрын
Yani nimeuia sana km ni ndugu yangu
@edgercyprian964
@edgercyprian964 2 сағат бұрын
Daaah inauma sana ila huyo kaka ake aliye chukua mkopo Mungu anamuona atashughulika nae ajafanya vizuri kabisa Nyumba ya familia utachukuliaje mkopo😢 😢😢inaumiza sana
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 20 сағат бұрын
Mama samia mrudishe waziri jerry slaa JAMANI alikua ana tatua matatizo ya wananchi
@hamisaally968
@hamisaally968 8 сағат бұрын
Ndo maana walimtoa maana wanaofanya hivi sio watu wadogo ndugu kuna kitu wanajivunia
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 4 сағат бұрын
Na sijaelewa kwanini alimtoa
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 39 минут бұрын
@@hamisaally968 kabisa dear mana jerry slaa alikua mtetezi wa wanyonge
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 38 минут бұрын
@@dianajohnson7268 acha tu my dear jerry slaa alikua yuko shapu dk tu huyo kaka angekamatwa
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Күн бұрын
Pole sana mpenzi. Staki kuwaza huo mtihani unao pitia.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Күн бұрын
Milioni 90 ni mchicha? Janaume xima badala litafute vyake ladhulumu dada xake.
@AshaMwamba-m5x
@AshaMwamba-m5x 23 сағат бұрын
Ingeuzwaa zaidi ya hapo wakapewa kilichobaki wakawapa , jamanii watoto. Wakiume fanyeni kazii
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Күн бұрын
Tanzania nchi ya ajabu sana leo siku ya tatu viongozi wamekaa kimya kama hakijatokea kitu 😭😭
@RahemaJumany
@RahemaJumany Күн бұрын
Jikatae tu Dada angu urithi huu hapana kama ni haki yako mama ipo itakufata tu never give up sister angu nenda kaanze maisha upya haki haipotei Bure be strong
@mirajiabdallah1339
@mirajiabdallah1339 16 сағат бұрын
Jerry slaa kwanini ameondolewa ...tunaumia kwa haya aisee😢😢
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Күн бұрын
M 90 ela ndogo ukilinganisha na thamani ya eneo
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 23 сағат бұрын
Khaaa jamani nyie mil 90
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 23 сағат бұрын
ndogoooo ndiooo , angaliaa eneoo lipoo wapi!
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 19 сағат бұрын
Weee ndogo
@jumakhamis226
@jumakhamis226 18 сағат бұрын
Hapo ilitakiwa m150 kihalali kabisa
@jozamsolomon4002
@jozamsolomon4002 23 сағат бұрын
Duh angekuwepo Jerry Slaa ingekuwa simple.
@JitihadaRashidi
@JitihadaRashidi 18 сағат бұрын
Yan vile nataka niandike Tu Jerry Slaa nakutana na comment yako KWELI JERRY SLAA NI MWAMBA serikali ifanye KAZI yake Haki ipatikane
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 7 сағат бұрын
Huyu ambaye mama amempa uwaziri wa ardhi kama hayupo sioni hata kazi yake
@farahali6041
@farahali6041 Күн бұрын
Ndio mana sipendi nyumba zauridhi kabsa ndugu sisi tunatabu sana
@VictoriaZakaria-d3n
@VictoriaZakaria-d3n 23 сағат бұрын
Kwakweli
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 21 сағат бұрын
Faraha upo sahihi tafuta chako yani hamuwezi wote mkawa sawa mmoja lazima atakua chizi
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 4 минут бұрын
poleee sana dhuluma haitowahi kumuacha salama
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 Күн бұрын
Haya mambo Mbona kila mara yanatokea serekali iko wapi kwenye mambo kama haya lazima viongozi wajipange kwenye maswala kama haya ya urithi mtoto mmoja wa familia hawezi kuuza nyumba ya urithi ikiwa wengine wapo bila wao kutidhia na sahihi zao na wajitokeze siku ya mauzo
@CristinLyanga
@CristinLyanga 19 сағат бұрын
Shida ni hawa wenyevit wa mchongo..
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 17 сағат бұрын
kaka siyo kila mambo kulaumu serekali kwani huyo kaka yao alivyoandikisha benki hiyo nyumba alishirikisha serekali
@barnabasimon5187
@barnabasimon5187 16 сағат бұрын
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa uanakuta wanafaþilia vitu vidogo lkn vitu vikubwa kama hivi watajizinģusha
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb 16 сағат бұрын
Mwenye kiti pia umekosea sana yani ufai kuwa mwenye kiti
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Күн бұрын
Jamani tufiche hati. Hakikisha unaficha hati hii itakuwa imeuzwa kwa hati kabisa
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 23 сағат бұрын
ndio
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 23 сағат бұрын
Pole sana Mungu aingilie kati haki ipatikane🙏🙏
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Күн бұрын
Uridhi huu ni shida sn kk mkorofi sn afungwe
@felistercharles
@felistercharles 4 сағат бұрын
Ee mungu 😭 huyu dada mpaka anamkumbuka mama ake jamanii 😭😭
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 22 сағат бұрын
Wewe kaka una hatari mdogo wako analia mpaka anamkumbuka marehemu ungekuwa mimi ndo mdogo nikimaliza machungu nakupiga kitu kizito dunia uione chungu sote tutaabike sasa kwa nini hiyo pesa usiwape na wao wakakodi vyumba vya giza wangeshazoea na maisha kuliko hiyo surprised uliyompa😢😢
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Күн бұрын
Poleni saana duh
@SalumMohamed-x6g
@SalumMohamed-x6g 22 сағат бұрын
Huyo aliyenunua nae jau alunanunua nyumba yenye mgogoro
@masikaboniphace3643
@masikaboniphace3643 Күн бұрын
Hapo shida IPO kwa kaka yake
@ANNAMBENI
@ANNAMBENI 15 сағат бұрын
Maskini jmn nyumba zaurithi niukumbusho wakizazi chako kilipoanzia na ktk maish cio wote mtafanikiwa kujenga utawastir ambao maish yao magum mnauzaje sasa
@rithaurassa
@rithaurassa Күн бұрын
Wasiojulikana warudishiwe Hela zao sasa hiyo familia itaishije? jamani..Serekali angalieni Kwa jicho la pili.
@HusseinMwatende-ws1nt
@HusseinMwatende-ws1nt Күн бұрын
Hapo jamani sio samia,mda mwengine tupunguze mizigo kwa serekali,ALO WEKA RAHANI NYUMBA NI KAKA WA FAMILIA.MSHIKENI DEVI ARUDISHE PESA YA WENYEWE TATIZO LIPO WAPI?pesa mshazitumia kula chapati sasa mwalia
@florangido202
@florangido202 20 сағат бұрын
Aliye nunua hana Haki Uwezi uza nyumba ya Familia au kuchukulia Mkopo. Ni kosa kubwa sana Kisheria. Dada Nenda Mahakamani
@HusseinMwatende-ws1nt
@HusseinMwatende-ws1nt Күн бұрын
Hapo hamna tatizo mwambieni devi arudishe pesa ya watu
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk Күн бұрын
naamini waziri wa ardhi yuko vizuri ktk kesi km hizi na akipata hii taarifa atamaliza kwa haki
@ReyuuAli
@ReyuuAli 22 сағат бұрын
Apo ingekuwa yule slaa lingekuwa limeisha hili mbona
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 18 сағат бұрын
Kwani uyo sila kwa xx yuko wapi I?
@EstherElias-u8o
@EstherElias-u8o 23 сағат бұрын
Tatizo la kuzaliwa na ndugu mmojawapo kichaa mvuta bangi hatari sana yani naona kabisa huyo kaka ni mshenzi sasa kama unauza si mgawane iyo ela ili kila mtu afe na chake sasa hapo uyo kaka inamana ananufaika peke yake pumbavu zake
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 18 сағат бұрын
😭😭😭😭mama angekuwepo daaaah mama sikia kilio Cha mwanao
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 18 сағат бұрын
Tanzania ni nchi ya hovyo sana mwenye Hela anakuwa kama Mungu mdogo !!!!
@tiffah9234
@tiffah9234 23 сағат бұрын
Jamani mali kaka hakujali utu wa wadogozake
@Aisha-t2q
@Aisha-t2q 22 сағат бұрын
Yan mimi nilivyo na hasira huyo kaka angekua kaka angu mimi. Tungegawana majengo ya serikal
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 17 сағат бұрын
Huyu dada ana mikono mizuri mashaallaah
@FatmaMatenga
@FatmaMatenga 5 сағат бұрын
😂😂 jamani wenzio wanaongere nyumb we unangaria mikono😂😂
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 4 сағат бұрын
@FatmaMatenga 😂😂😂😂😂😂😂😂
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Күн бұрын
Hapo tafteni vyenu tuu hiyo kesi ni ya kifamilia😢
@merinachillonwa6646
@merinachillonwa6646 22 сағат бұрын
Acha hayo maneno. Muda huu solution ni kupata haki yao
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w Күн бұрын
Ukiondokewa Na wazaz Mkapata Bahat ya kupewa urithi wa pamoja. Bola Muuze Kila mtu asepe na ela yake. Hii Inaumiza aisee. Unalia unakumbuka Na alie fariki 😭😭😭
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 23 сағат бұрын
Kweli kabisa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 23 сағат бұрын
Hakika ndugu yangu nyumba ya urithi uzenu fastar kila mmoja afe na chake
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 22 сағат бұрын
@@FatimaAli-of4gh. Yes Watu uwa tunaingiwa tamaa unadhurum wenzio. Kuepusha mengi bola iuzwe Yan Dah😭
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 22 сағат бұрын
@@DullyTz-z4w nimekuelewa ndugu yangu nimelia na huyo mwanamke mwenzangu anaenda wapi gafura hivo😭😭
@rayarayaq
@rayarayaq 4 сағат бұрын
Hivi unapata wapi ujasiri wakununua nyumba na bila mwenyenyumba kukubali mbona Hatuna utuu jamn 😢
@LinnaJohn
@LinnaJohn 5 сағат бұрын
Nyumba za uridhi ni noma mm na mdogo wangu wa kike tupo kwenye vita ya nyumba tumehachiwa na wazazi yy anasema kajenga wkt mm ndie nilie simamia lkn kitaeleweka tu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Күн бұрын
I hl cjui itaishalini tzd jmn yn imekuwa tatizo sn kwa wananchi
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 17 сағат бұрын
Jmn watt wangu popote mlipo na nitawahusia nyumba yangu niliojenga kwa kufanya kazi za warabu isiuzwe wala kiwanja acha ioze iyanguke eneo limeni hata mboga mboga au mjengepo tena kibanda kingine.
@RukiaMziwanda
@RukiaMziwanda Күн бұрын
Shida ni kaka
@ummukhawlah8433
@ummukhawlah8433 15 сағат бұрын
Kweli kabisa kama ameuza angegawana na dada zake na wao wapate Cha kuanzia maisha,ukizingatia Wana watoto sijui anaroho ya aina gani jamani
@KhadijaKhamisi-t1f
@KhadijaKhamisi-t1f 16 сағат бұрын
Tunajua kaka ndio msimamizi wandug zake hata awemdogo kwenye kuzaliwa anapewa heshima aongoze ndug zake ila wengiwetu hawana uchamungu wabinasfi zurma kwandug Hadi unashindwa kuelew 😢😢😢
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Күн бұрын
😮😮😮😢😢Pesa ndogo 😢😢nyei
@bonifassimon7909
@bonifassimon7909 Сағат бұрын
Wajumbe wetu wengi elimu hakuna vichwani maana kazi ya mjumbe ni kumtetea mwananchi lakini wao wamekuwa kinyume uyu mama na serikali yake ya mtaa wamejuaje kama hizo nyaraka ni harali au ndo njaa
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 18 сағат бұрын
Ayo Tv mtafuteni waziri apo mtupe mrejesho please maana tv yenu hii kubwa please mtihani huu kila cku. Wahuni wameingiya tena kazini jerry silaha kaondoka
@AgustaZaile
@AgustaZaile 21 сағат бұрын
Mama Samia angamiza hawa wahuni Mungu atakuelewa
@praisesteven7774
@praisesteven7774 23 сағат бұрын
kumbe kaka ako alichukuaaa mkopooo 😂😂😂😂😂😂bas kauzaaaa na yye nyumba ya mama ake kama wew au mim nakoseaaa jmn 😎😎😎😎
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 22 сағат бұрын
Hiyoo nyumb kuuzwaa lazimaa watu watatuuuu wahusikeeee
@LuluAquai
@LuluAquai 22 сағат бұрын
Yeah umekosea,ile ni mali ya wote,yeye kauza kama yake binafsi,amewadhulumu ndugu zake,binaadamu tonatofautiana,unasababisha dada zako wahangaike na dunia na mama aliwaachia pakujihifadhi
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb 16 сағат бұрын
Mungu akulaani praise
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 4 сағат бұрын
​@@NuruZebedayombise-ie5zbalafu jina lake eti anaitwa atukuzwe
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 23 сағат бұрын
Wee mtangazaji nae kwani notice atapewa mjumbe si wanapewa wanaoishi ndani ya nyumba
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 21 сағат бұрын
Makaka ni miyeyusho nyie bora dada😊
@rayahamisi118
@rayahamisi118 19 сағат бұрын
Kwaiyo mjumbe kazi yako kukaa pemben😢😢😢
@naomimwahosi8177
@naomimwahosi8177 15 сағат бұрын
Wamuulize kaka Yao vizuri 😢
@SaidMwendabwillah-v3z
@SaidMwendabwillah-v3z 5 сағат бұрын
Mwenyekiti kilaza
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 18 сағат бұрын
Wenye pesa wanamoto wao.maalumu
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 16 сағат бұрын
Kabisa
@pancrasmalamla9799
@pancrasmalamla9799 21 сағат бұрын
Nchi nyingine mjumbe angechukuliwa hatua Kali tena na kufungwa kabisa hii ndio Tanzania ila ipo siku Mungu ATAWALIPA
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj 17 сағат бұрын
Mungu amlaze mahali pema magufuli angekuwepo dah ila kwa sasa kupata haki ngumu
@gervaslukaya
@gervaslukaya 22 сағат бұрын
Dada wa watu anaumia sana mpaka anakumbuka mama yake asije akajiua tu
@SGIT-jd6fg
@SGIT-jd6fg 7 сағат бұрын
Tatizo lipo kwenye familia huyo kaka ndo miyeyusho kabisaa 😭😭
@JoshuaMgeni-b4w
@JoshuaMgeni-b4w 19 сағат бұрын
Daah inauma sana aiseee
@SimonSaguda
@SimonSaguda 23 сағат бұрын
Nyieeeeee kuna Mungu mpeni huyo binti nyumban yake jamani na hawa viongozi wetu kwa pesa tu na huyo mkaka yke jimpu
@hafidhiabdullah3172
@hafidhiabdullah3172 Күн бұрын
Nyumba za urithi zinakazi kweli
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr Күн бұрын
Ndoman mie bola nipambane tu kusaka vyangu
@YonaLengai-cc6tq
@YonaLengai-cc6tq 19 сағат бұрын
dah kwa kweli hakuna mnyama saidi ya mwanadamu poleni sana
@kinderztv9091
@kinderztv9091 18 сағат бұрын
JERRY SIRAHA ARUDI KWENYE HII TAASISI HALIJITOLEA SANA YULE MZEE MUNGU AMUONGEZEE ALIJITOA SANA😢
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 19 сағат бұрын
Uyo kaka yenu atakufa kifo kibaya sana siyovizuri nirahana tu
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 17 сағат бұрын
Mama samia alishasema Ametia pamba masikioni hasikiii
@gloriapeterkamata6586
@gloriapeterkamata6586 16 сағат бұрын
Tanzania 🇹🇿 ndiyo nchi ambayo. Unatolewa nje ya nyumba yako na uongozi hauna msaada
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 19 сағат бұрын
Nimelia jamaniiii😢😢
@SaadiaAhmad-p4k
@SaadiaAhmad-p4k 19 сағат бұрын
Ooh, pole dadangu😢
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 21 сағат бұрын
Pole Sana kwa uchungu
@madogoentertainment2578
@madogoentertainment2578 2 сағат бұрын
Nyumba ya urithi shida zake ndiyo hizo. Kaka David hana huruma na ndugu zake
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 23 сағат бұрын
Msimuingize samia kwenye ujinga wenu,,,kumbe mlikopa nilitaka nishangae,,,,hao wavunjaji wanajiamini nn kumbe wanacho cha kujiamini😊,,na mwisho kabisa kama we ni msimamizi tunaomba hati dada ata ile ya kuuziana tu...kaka yako ndo shida...
@shukurually8769
@shukurually8769 14 сағат бұрын
Mama samia mnambebesha mzigo wa bule msala kaufanya devid
@benjo_brighter
@benjo_brighter 18 сағат бұрын
David kaleta shida kwenye familia,daaah😭😭
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 16 сағат бұрын
Pesa inapoteza utu wa watu , siku hixi watu wanathamini pesa kuliko utu , unapewa hela unadhulumu watoto wa watu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Күн бұрын
Duh bora kupambana kutafuta vyako
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y Күн бұрын
Hapa ndio tunajua umuhimu wa rais magufuli 😢
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Күн бұрын
Magufuli anaingi vipi bwege wewe wakati kaka Yao kachukua mkopo bank na mnunuzi kauziwa kihalali kwa bank
@samwa9496
@samwa9496 Күн бұрын
Rais anahusikaje hapo Kila mzigo abebe yeye matokeo yake Magu amebeba kada mapemaaa Kuna waziri wa ardhi anakazi gani mahakama zipo pelekeni hiyo ni kesi kama kesi zingine itasikilizwa
@mnyorishow5050
@mnyorishow5050 23 сағат бұрын
Kwn nyumba imeuzwa uyo Dada halikua ana aki ya kusahin
@ntegrity277
@ntegrity277 17 сағат бұрын
Mahakama ilikuwa wapi?
@deomassawetv
@deomassawetv Күн бұрын
Mambo haya sio mageni jijini
@hafidhiabdullah3172
@hafidhiabdullah3172 Күн бұрын
Hiyo ndio Tanzania bara haya mambo hayatokei Tanzania visiwani
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr Күн бұрын
😂😂😂😂Yan utojuta kuwa mtanzania
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 23 сағат бұрын
Hao Ni matapel
@janethiPiala
@janethiPiala 4 сағат бұрын
Kweli watu wanatufosi kufanya mambo ya ajabu aki mi ningefanya jambo huyo anayetaka kuichukua nyumba angejuta na aliyenunua angejuta kuinunua
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 18 сағат бұрын
Happ ndo mahali unamkumbuka magufuli nchi hii
@DencerShao
@DencerShao 14 сағат бұрын
Ww mjumbe una pata wapi nguvu yakutoa vitu
@FuadKassim-d6w
@FuadKassim-d6w 18 сағат бұрын
Kazi iendelee
@AliphonceMartina-q1u
@AliphonceMartina-q1u 18 сағат бұрын
SAMIA ANAENDA KUJICHAGUA MWENYEW SASA MAANA HAKUNA ANAEMUELEWA TENA TOFAUTI NA JESHI RAIA WOTE HATUMTAKI
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 20 сағат бұрын
Watoto wa kiume mara nyingine huwa ni mzigo mnoo,huwa wanauwaza pesa tuu na ndiyo maana wengi huwa mariooo😢😢😢
@SGIT-jd6fg
@SGIT-jd6fg 7 сағат бұрын
Yaan tujitahidi kuombea uzao wetu wa kihuni alafu ukute kauza na hela kamalizia kwenye pombe
@johnkanyatuka250
@johnkanyatuka250 17 сағат бұрын
Kama kaka mtu alihusika kufanya chochote bila ya wenziwe kwa maana ya dada zake kama hawakuhusika yote yaliyofanyika ni batiri. Isipokuwa kama malehemu mama Yao aliandika urithi na hiyo nyumba kupewa Kaka mtu na wengine hao kupewa sehemu nyingine, hapo labda lakini nje ya hapo ni batili, kwa ufahamu wangu!
@LeodigerBeda-o2p
@LeodigerBeda-o2p 17 сағат бұрын
Mama samia mama mwenye huruma ona hili nakuamini
@victorcephas3618
@victorcephas3618 18 сағат бұрын
Jerry Slaa arudishwe hii wizara awasaidie wananchi
@EdnaChale
@EdnaChale 13 сағат бұрын
Mjumbe huyo atolewe ajui Sheria mpuuzi huyo mjumbe
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 21 сағат бұрын
Nyumba za urithi haya ndiyo madhara yake daah😢😢😢😢
@AnordJoseph-e2e
@AnordJoseph-e2e 5 сағат бұрын
Hii nchi mbona amani hakuna tena ndo maana nchi zingine kuandamana nikawaida
@ReyuuAli
@ReyuuAli 22 сағат бұрын
Hiiii kesi kaka ndo mwenye makosa benki ndo ilouza nyumba dah
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 17 сағат бұрын
umeona huyo kaka yao inabidi ndiyo akamatwe
MWENYEKITI  UVCCM CHUNYA  ADAIWA KUUAWA KIKATILI
3:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 584
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН
Новости дня | 3 декабря - утренний выпуск
11:46
Euronews по-русски
Рет қаралды 48 М.
MSHIKEMSHIKE 02/12/2024 - AZAM TV
49:25
Azam TV
Рет қаралды 1,3 М.
DUNIA (Ep 26)
22:12
ASMA FILMS
Рет қаралды 42 М.