BANDARI YA TANGA YAKUSANYA BILIONI 18.6 KWA MIEZI MITATU, YAVUKA LENGO YA ROBO MWAKA

  Рет қаралды 3,544

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 3 ай бұрын
Boresheni iyo bandari iwe na uwezo kama Dar port
@fatumamselem6066
@fatumamselem6066 3 ай бұрын
Wizi tu
@worldtechlab
@worldtechlab 3 ай бұрын
Bado mnacheza nyinyi, kenya mombasa port inashinda port zote za Tanzania cumulatively. Bado mnacheza ukweli muambiwe.
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 3 ай бұрын
Wakenya wana pesa nyingi za kufukuzana ikulu
@86blizzo
@86blizzo 3 ай бұрын
Ni kweli kbs bandari ya mombasa tuu zotee za tz haziingiii bado kuna ya lamu ndyo kubwa kulko ya mombasaa Meli znazotia nanga mombasa tz haziwezi kuanzia kina cha bahari hadi upana wa gati na machines wabongo sisi bado sanaa Tanzania tunacheza bd
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 2 ай бұрын
Hii bandari ilisahaulika kabisa. Nafkiri uwekezaji ungefanywa wa makusudi kama inavofanywa miradi mikubwa ya reli kuifanya iwe kubwa kuliko hata dar. Tuna fursa ambayo hatujaitumia ipasavyo. Sambamba na mtwara pia tulilala sana
@mrafm7285
@mrafm7285 3 ай бұрын
Nipeni Mimi hiyo bandari niwalipe billion 18 Kwa mwezi mmoja tu
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 3 ай бұрын
Safi sana bandari ya Tanga ina umuhimu sana kwa ukanda wa kaskzn. Kupunguza jam Dar
@magorymara5515
@magorymara5515 3 ай бұрын
Pesa ndogo sana
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 ай бұрын
Wakipewa wawekezaji midomo yenu inakua mirefu kelele nyingi Leo hii mnakusanya B18 kwa miez 3 Yan wabongo Ni wez San Bora tuwape DP world
@donking-d4t
@donking-d4t 3 ай бұрын
Upuuzi tu wa hizi manchi za kiafrika
@obrigadoofficial1506
@obrigadoofficial1506 3 ай бұрын
Maendeleo yafanyike kwa wananchi kupitia hayo mapato ya bandar na unafuu wa mwananchi wa chini uonekane kwa kila mtanzania tujivunie bandar zetu Tanzania hoiyeeeeeh😂🎉
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 ай бұрын
Hao Ni wez Mana b18 Ni makusanyo ya Tajir mmoja tu kwa mkoa wa Tanga
@GodloveFute
@GodloveFute 3 ай бұрын
Mapato madogo sana
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 3 ай бұрын
Lakini pesa atuzioni
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 ай бұрын
B18 Ni pesa ndogo San hyo Bandar Bora tuwape DP world Mana wabongo wez San kazi midomo mirefu tu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
Sasa kama ndio ivyoo kwa nn Muna wapa bandari zetuu waalabuu
@donking-d4t
@donking-d4t 3 ай бұрын
Walaabu ndio watu gani hao?
@idrisaabdallah1680
@idrisaabdallah1680 3 ай бұрын
Sasa wewe ndo Wala uwelewi kwani kuja kwa mizigo mingi kwa bandari ya Tanga unajua chanzo nini...Baada ya kuumpa mwekezaji ndo matokea hayoo cio kwa sisi wenyewe hatujulikani kama tunaweza kuendesha badari vzri
@faustinisirili2395
@faustinisirili2395 3 ай бұрын
Bado sana punguzeni upigaji
@Abubakari-k6y
@Abubakari-k6y 3 ай бұрын
🎉
@BertaliNaida
@BertaliNaida 3 ай бұрын
😂😂😂
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
#TBC1: WEKEZA TANZANIA:  KUMEKUCHA FURSA BANDARI YA TANGA
28:21
BANDARI ya TANGA ILIVYONOGA BAADA ya MABORESHO MAKUBWA
11:55
Global TV Online
Рет қаралды 2,8 М.
Putin Starts a New War / Secret Documents Caught on Video
12:31
NEXTA Live
Рет қаралды 832 М.
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 67 М.
Кадыров вышел из тени. Рамзан взял слово
10:32
Популярная политика
Рет қаралды 65 М.
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
48:48
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН