Notokea Kenya but kwakweli nlikua nampenda Sana magufuli..I miss him, jamaa alikua mtenda kazi na haki kwa wotee..may His soul rest in peace
@tinaoffice92742 ай бұрын
Amina.
@mkemiamagege84774 жыл бұрын
Mhe. Rais anavyojieleza kwa data ni zaidi ya Mtafutakazi na anastaili kupewa kazi. Gonga like.
@susananyasani65264 жыл бұрын
Super Mheshimia Dkt Magufuli unasikiliza kero za Wananchi kwa uamifu na kwa uhaki asante Mungu akulinde akupe Afya katika miaka mingine
@omarumwanjali46144 жыл бұрын
Hongera Sana Rais, kwa kweli wewe ni kiongozi Na.moja nakupongeza na Kila mmoja ana-appreciate na kazi yako Kila nyanja.
@neemantandu58524 жыл бұрын
Hongera Rais wetu kwa kutatua migogoro papo kwa papo,mungu aendelee kukutunzs
@bernaddimosso91214 жыл бұрын
Hongera muheshimiwa kwa ,kaz saf unazozifanya.hakika mungu akulinde na kukuongoza vyema katika kaz zako,
@petermillanzi9604 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu na nguvu ya kuendelea kuijenga Tanzania yetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@festokibiki89614 жыл бұрын
Watanzania tumshukuru mungu kwa hili jembe
@IsaacNdungu-o1x2 ай бұрын
In Australia 2024 and still watching magufuli. Best president in Africa. May his soul rest in peace
@nehemiaisakwisa86044 жыл бұрын
Style yako ya uongozi John pombe Magufuli nimewahi isoma kwenye biblia kipindi cha sulemani yaan Mungu ametuona
@priscameshack62884 жыл бұрын
Natamani uongoze hii nchi milele aiseee Mungu akutunzeee Raisi wangu
@barakafesto30554 жыл бұрын
Ahsante sana jembe letu
@hermankinyaiya92562 жыл бұрын
Jamanii,INANIUMASANA
@fedelinamahenge66494 жыл бұрын
pole baba yangu mwenye hekima ya sulemani mungu akulinde rais
@johnpeter404 Жыл бұрын
Our father is in good hands with god😉😉😉😌😌
@Nikolasmatabaro-fl5ez Жыл бұрын
bazaar |is ❤.. 😮😮ablm❤ze 2:11 👩🔬😅🇺🇬❤
@florajohn19274 жыл бұрын
Uko vizuri baba na kwa kutetea wanyonge,nasi tunakuomba uwangazie watu wa mafao ndani ya mfuko wetu wa jamii ppf tunapata shida tunachukua mda na mambo mengi mengi,tusaidie na tulipwe madai yetu.
@jafarimkova91734 жыл бұрын
Umetixha we babalao
@kelvinmwambandile27834 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akutunze Mh raisi
@ZediKangulumira-pk2uu Жыл бұрын
Am frm kampala watching these videos
@festokibiki89614 жыл бұрын
Huyu sio rais huyu ni mtetezi wa wote
@esterkimario11264 жыл бұрын
huyu rais jaman mungu mjalie maisha marefu aish mpaka miaka 200 kwel ni mungu katupa nampenda tangia akiwa wazir wa ardhi
@johnmichaellukindo213 ай бұрын
Mwaka 2024 bado ninamsikiliza huyu mwamba haitatokea kama huyu never RIP magufuli👍
@sameermilo24924 жыл бұрын
Safi Sana Raisi 💯💪🏼 Tuko pamoja
@stanleymsenga91184 жыл бұрын
Hongera sana mh rais kwa juhudi zako mungu akutunze
@frankoiputa8181 Жыл бұрын
The best president Africans have ever had may good God keep his soul in internal 💪🏾♥️
@jeanmubemba12044 жыл бұрын
mimi hapa nampenda sana jpm He is so genius
@JustusMwania Жыл бұрын
Born a leader dead a leader RIP mzee .
@ramadhanihussein39184 жыл бұрын
Ahsante sana mzee baba
@maryoswad70224 жыл бұрын
Hmmmm barikiwa sanaaaaa
@jacobphilemon63944 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu kwa kutetea wanyonge
@rasnews17034 жыл бұрын
I am a kenyan and I love magufuli and his leadership
@ommyakili5524 жыл бұрын
😭😭😭 Kuna viongozi hapa Tz mafala hasa wabunge na madiwani mafala sana yani wanapewa mamlaka lakini wanalala hovyo tu
@allyfutto87632 ай бұрын
mashaAllah JPM ni Rais Hodarisana Mungu amrehemu.
@selemaniathumani9855 Жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema pepon amen
@brownmwangome78164 жыл бұрын
Raisi Wa wanyonge,nani awezaye haya,isipo JPM apewe kura zote.
@mangegervas96514 жыл бұрын
Gud rais wangu jpm. We we rais Wa wanyonge
@nemuelombasa88104 жыл бұрын
Rais maghufuli, unastaili uje hapa kwetu kenya unyoroshe wabunge wetu.
@esterkimario11264 жыл бұрын
ila rais wangu me nakupenda mno ungepumzika kwanza baba maana tangia msiba umeenza hujapumzika baba pata muda wa kupumzika baba wa wanyonge
@kebo21554 жыл бұрын
Ukweli mtupu.. 🇹🇿
@DamianNdege-gh3tj Жыл бұрын
Mungu akupumzishe mahari pema peponi
@Vincentsyona-bj6qj11 ай бұрын
True & real thinker Magufuri RIP MJOMBA MAGUFURI..
@tinaoffice92742 ай бұрын
Mungu atusaidie Tanzania yetu Magufuli wetu atuangazie tuwe na uwezo kutekeleza lengo la Tanzania kuachana na uzembe, rushwa, uongo, dhuluma vimezidi. Mungu asaidie.
@usembiphonedar5632 Жыл бұрын
Rais wa moyo wangu,kama kuna aliyehusika na kifo chako! Laana iwe juu yake na vizazi vyake vyote,pumzika kwa amani,Ameni.
@aisharamdan8358 Жыл бұрын
Sana mungu atalipa
@isaacnyongeza1672 жыл бұрын
Your the only president in Africa who cares common mwanainchi.. Rest in peace John Pombe Magufuli.... Tanzania mlipoteza sana...sisi hapa Kenya tulimaliza kura but hakuna maendeleo tumeeka mbele masuala ya vyeo sasa hivi tunashughulikia kutoa term limit ya president
@ziadasalim14594 жыл бұрын
Hivi huyu raisi kazaliwa na mwanamke au kashushwa kutoka minguni ? Maana yupo tofauti na hawa binaadam wengine kama wanyama .
@fatmas73384 жыл бұрын
Ziada fanya kustaghafiru kwanza unakosea ukisema hivyo
@mohamedkikale72414 жыл бұрын
Dah jpm Allah aendelee kukupa afya na khekma katika utendaji wako
@nehemiaisakwisa86044 жыл бұрын
JPM rais wa watu na watanzania
@mangegervas96514 жыл бұрын
Kweli kabisa huyu ndo tumtakayo
@josephmbugua25802 жыл бұрын
We lost great leader😭😭😭😭
@nurusimbeye5624 жыл бұрын
Abarikiwe mwnanamke aliyekuzaa
@dennisjuma39402 жыл бұрын
Am also akenyan but I was alover of magufuli ,we cant get like this ,rip magufuli
@hamidjuma61094 жыл бұрын
Huyu rais ningekua nauwezo ningempa hata mkono kwajinsi ninavompenda
@faustinemavere14504 жыл бұрын
Mweeee yale mengine yatakuwa yametoa macho kodo wakimwangalia mwamme akiunguruma na wananchi wake kwa upendo magu Mungu akulinde kila utokako na uingiapo baba damu ya Yesu ikufunike pole na msiba pia pole na safari ndefu
@zakkaumeme98294 жыл бұрын
magufuli we noma walah
@ZediKangulumira-pk2uu Жыл бұрын
If Africa had leaders like the late j p m we would have been in the first world countries rip jpm
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
Magufuli ana kazi
@joearm55514 жыл бұрын
Kweli kabisaa sina hamu huu ni wito kama huna huwezi!
@gracebruno26444 жыл бұрын
Nakupenda mnoo baba wa haki
@fredkyara32784 жыл бұрын
Hapanaaa. Huyu ni Mfalme. Wa Jamhur ya Muungano wa Tanzania. Jaman wa Tanzania. Tumpeni Mfalme. John. Josef. Pombe. Magufuli nchi. Kama Jamhur ya watu wa China. Magufuli ni chaguo la Mungu. Ni msaada wa nchi ya Tanzania. Na bars nzima la Afrika na Dunia nzima. Magufuli. Big up. Sana Rais wangu. Kipenzi. Mwenyezi Mungu. Akujalie Maisha marefu. Na Afyanjema. Na Familia yako.
@maikopaulmaiko19004 жыл бұрын
Malaika anamwambia mh kua huyu Mama hadanganyi😁😁😁kwl huyu n malaika anaeishi dunian Kwa kuonekana
@annakulanga54154 жыл бұрын
Maikopaul Maiko😂😂😂😂😂😂😂😂😲😂😚😂😂🤭🤭🤭
@dullyyesu90364 жыл бұрын
rais ananifrahisha pale anapo sema pesa kama imeliwa kuna kakicheko fran hiv kicheko cha tahazari
@RioIpo4 жыл бұрын
Ihiiiiii
@raphaellyela29104 жыл бұрын
AGAIN AND AGAIN, A MAN OF SEASON A PRESIDENT OF TIME
@hermankinyaiya92562 жыл бұрын
Yaaah
@peternjoroge9209 Жыл бұрын
Pombe is the best president in the world.
@ziadasalim14594 жыл бұрын
Duh huyu rais mbinguni moja kwa moja
@ayoubmabuba7444 ай бұрын
Mungu wangu Mungu mkubwa😢😢😢😢😢😢
@keithmomanyi5188 Жыл бұрын
The best president ever in Africa ❤❤❤❤❤❤
@nehemiaisakwisa86044 жыл бұрын
Hapo tu ndio unapokua rais wa miaka 20 yaan unajua kuwasaidia wanyonge president JPM
@evelyinipaja12024 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ,mambo ya ardhi kuna uonevu sana.
@JumanneSalisali Жыл бұрын
Huyu ndo rais
@ommyakili5524 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 dah Huyu Raisi hapana mm ningependa aongoze miaka mpaka Allah amchukue lazima ujichanganye
@patrickmuchiri74804 жыл бұрын
God is able ..grow Tanzania.
@yassinmmone68062 жыл бұрын
A
@patrickmuchiri74804 жыл бұрын
Reaching to the poor good. God bless you.
@joharikhatibu272 жыл бұрын
Thanks God for Magufuli time.R.I.P MAGU always I remember you
@KabazoMumba Жыл бұрын
Magufuli was a great leader for the people of Tanzanian majority and All intaia continatal may he also ready in peace
@niokoemahenge43124 жыл бұрын
Magu uiongoze Tanzania kwa miaka ishirini nasio kumi tena
@emmanuelturuka85284 жыл бұрын
Maendeleo yanahitaji kujipanga vizuri na kupunguza kubembelezana Hongera JPM kwa kujitaidi kumaliza baadhi ya matatizo papo kwa papo 👍
@amosidaniel18302 жыл бұрын
Pumzika Kwa Mani baba yetu magufuli
@natashamwikali34132 жыл бұрын
Continue resting well Rais magufuli
@eliudkimari-wt5cl Жыл бұрын
I lyk how prez magfuri how he was doing his things in kiswahili kasoma jambo kwa umakini kwa uadilifu na undani na kumweka Mungu mbele kati na mwisho
@emmanuelmashishanga50572 жыл бұрын
Pumzika Kwa amani mzee magufuli hakika ulipigana sana.......
@athumanidona49442 жыл бұрын
Mungu akulaze pema pepon,Ila speech yako hii imeniingia moyoni.Mimi binadamu tu
@amunyipeter2886 Жыл бұрын
Haki za watu 🎉.. The late president His Excellency DKT. MAGUFULI ALIKUWA The Best African president ever 🇹🇿✅
@johnsentamu4353 Жыл бұрын
NO WHERE TO GO AND NO WHERE TO HID. (TIME ) MATH and l0ve.
@daddybwaukwelic7v3 ай бұрын
Tungepata Marais kama Magufuli mmh hii Dunia ingekua na furaha
@samsonmakombe9636 Жыл бұрын
Hongera mama Samia, rais wetu mpendwa kumrudisha Komorefi Makonda kwenye uringo.
@ZediKangulumira-pk2uu Жыл бұрын
We will miss a straight forward prezido who used to work for the tanzanian not his self
@samsonmakombe9636 Жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema. Uliyafanya makubwa.
@christophermganga52164 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atakulinda popote utakapo kwenda wewe ni kiongozi wa wawanyonge utashinda ushindi mkubwa sana
@karimmveyange2802 жыл бұрын
Tutakukumbuka sana,saa hii ni wananchi wanakaliwa na viongozi kichwani-HAKUNA HAKI