ALIKIBA KAMCHANA DIAMOND KUHUSU SHOW YA WASAFI "YEYE NANI?, NIKO BIZE, DEBE TUPU LINAPIGA KELELE"

  Рет қаралды 275,841

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 408
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Жыл бұрын
Alikiba nakupenda San majibu yako king upewe ulinzi wakutosha ❤❤❤❤❤❤❤❤
@khadija5761
@khadija5761 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@JacksonRichard-bp7ex
@JacksonRichard-bp7ex Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@mikathedon
@mikathedon Жыл бұрын
I like this dude he's so humble...mungu akulinde bro
@abuumohammed6292
@abuumohammed6292 Жыл бұрын
huyu anawivu sana
@jackisrael.I.B.E.X
@jackisrael.I.B.E.X Жыл бұрын
It is the Yell for me🎉kuonesha kwamba huyo dada amehisi raha sana kumhoji Ali King ❤❤❤tangu enzi za Nakshi Mrembo Kiba ni Fire🔥🔥🔥😍
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 Жыл бұрын
Nimerudia alivyojibu kuhusu zuchu, Ali kiba is the best❤❤
@jackiemuthami1723
@jackiemuthami1723 Жыл бұрын
Hapo kwa zuchu nimependa jibu lako👍
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
nimeikubali hii ya zuchu kwamba unamweshim hutaongea chochote kumhusu i appreciate you king ki
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 Жыл бұрын
Hayo ndio majibu ya mtu mwenye akili .bila kejeli tena alikiba anajuwa kuzibiti maswali ya wandishi .Safi sana Ali K
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Leo ndo nimeamini wanaogombanishaga wasani ni ninyi waandishi wa habari yaani maswali yote yanayoulizwa nia kichochezi tu na ugombanishi . So sad
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Wajinga sana hawa wadishi
@adammlukago8216
@adammlukago8216 Жыл бұрын
Uko sahihi kaka
@nehzreal7445
@nehzreal7445 Жыл бұрын
Hawa watu wote wako kwa biashara elewa ivo wasanii nawaandishi wote wanatafta mashabiki ili kuimarisha biashara na kazi zao
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Жыл бұрын
Waandishi wa wabongo wanapenda umbeya hawana jipya
@deomwaikeke883
@deomwaikeke883 Жыл бұрын
Umesikiliza kama mimi, nimeamini hilo pia. Maswali ya uchochezi. Wnaacha maswali ya msingi....😂😂😂😂
@hassanihamadi3141
@hassanihamadi3141 Жыл бұрын
zuchu namuheshimu sana.. that is nice👊
@clarangowi4402
@clarangowi4402 Жыл бұрын
Hilo jibu la kiba linafurahisha sana jamani. Na nyie waandishi mungu anawaona😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@Zuulito
@Zuulito Жыл бұрын
Huyo dada sijui wa media gani ana sauti nzuri MashaAllah
@dockaridk
@dockaridk Жыл бұрын
You're so mature kiba I wish ungeenda tu ,because you're the 🤴 king
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Жыл бұрын
Uyo ndio king ilove you kiba❤❤❤
@kingevarist6653
@kingevarist6653 Жыл бұрын
Heshima yako vidooooooo🔥🔥🔥
@vidovidox2632
@vidovidox2632 Жыл бұрын
Asante sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Umeongea vizuri, ni waandishi Tu wanakuza Mambo,,,,,
@ghotmedia
@ghotmedia Жыл бұрын
Dah! Alikiba ana busara sana ,, wanajaribu kumgombanisha anaruka na Hana wasiwasi anavyojibu ase
@collinsmudaida9283
@collinsmudaida9283 Жыл бұрын
"Thanks king,we love you bro" ✍️👏✔️
@josephatmashaury6873
@josephatmashaury6873 Жыл бұрын
😮kiba anaonyesha ana kihoro ana roho mbaya ka limyama poli lisilo na ubinadan nahapa kama hajamgusia diamond hakuna wimbo unaweza trend kwa two weeks na hawezi acha beef kwa sababu atakosa kiki nampenda xana kiba ila namshaur abadilike awe mbunifu istoshe ni m2 wa dini wanatufunza nn sis tunaowatazama😢😢😢😢 mond nakupa maua yako🎉🎉🎉
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Meona eee chuki Sana na ataishia ivyoivyo
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Sasa hapo kajibu nini kibaya mpaka uongeee hayo yote acha chuki binafsi Kwa Kiba
@queensalema5262
@queensalema5262 Жыл бұрын
​@@taseleli9181nashangaa,et anamshaur kiba😅wakat Kiba kamzid Kila kitu
@joetchatv1453
@joetchatv1453 Жыл бұрын
​@@leahzuu6468ww ni team mond Baki hukohuko
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Usichukulie mambo personal sn ao wote wanajuana sn sn bifu zao zinasaidia Taifa hili na ndiomana wamewasahaulisha kuhusu bandari huoni akili nyingi wanaotumia vijana ao
@alihussein832
@alihussein832 Жыл бұрын
Waiting
@skeeteranderson375
@skeeteranderson375 Жыл бұрын
Keeling huyu ni King eti acha ujinga ww kitajiri flaaani hivi I love that
@mrcaro4141
@mrcaro4141 Жыл бұрын
Hi
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Kiba ukimheshimu nae ana kuheshimu ❤❤❤❤ Nakupendea hapo tu bro
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe Жыл бұрын
King
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir Жыл бұрын
Millard ayo waandishi wana kelele mi sijapenda😮😮 kama una mkubali King 👑 gonga like apa na kama wamkubali Millard Ayo gonga like kubwaaaaaa🎉🎉🎉
@Wanaharakati
@Wanaharakati Жыл бұрын
Diamond us the best 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/aHLTp595Zq6ZZ8U
@DorineRichard-t8s
@DorineRichard-t8s 9 ай бұрын
Nakupenda san king mwenyez mungu akuongozee
@rarkia7452
@rarkia7452 Жыл бұрын
King kiba nimeipenda hyo zuchu namuheshim sana..umeonesha uwanaume...mwanaume hashindan na mtt wa kike....jamn..nimekaelew hako
@ArafatYusuf-e6i
@ArafatYusuf-e6i Жыл бұрын
safi broo alikiba ilanatamani ufanye corabo na diamond nitapenda
@james_officialtz883
@james_officialtz883 Жыл бұрын
Alikiba ni mtu na nusu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 Жыл бұрын
Yani nimependa alikiba jameni ❤
@salumhilary8526
@salumhilary8526 Жыл бұрын
Safiiiii unajibiwa kama unavyoulizwa...hakuna kupindapinda..king
@alloysiusngala1274
@alloysiusngala1274 Жыл бұрын
dude got brains!!!
@malichanda3146
@malichanda3146 Жыл бұрын
King 👑 saluti kwako
@iddimmbucwa3618
@iddimmbucwa3618 Жыл бұрын
King king nakukubali sana
@JamilSalanga-bv9of
@JamilSalanga-bv9of Жыл бұрын
Yaaaan maswal yoote ni wasafi kwan hamnaga maambo mengine ya kuuliza 😂😂😂😂
@clintonbosire
@clintonbosire Жыл бұрын
Kiba unanibamba leo❤❤
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer Жыл бұрын
King 🤴 👏👏
@johnbidya119
@johnbidya119 Жыл бұрын
Kaka umekuja ku support au kuonesha una support.
@farahali-xh4ej
@farahali-xh4ej Жыл бұрын
The real king👑🇰🇪
@aliiseif3875
@aliiseif3875 Жыл бұрын
Kwa jinsi Ali Kiba alivyo muongelea Zuchu inaonesha ni jinsi gani ana heshima na wanawake we like kama umeona kama mm
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
Mimi ni Team Mond lkn nampenda sana King Kiba anaakili mno
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
Kiba Ndimu😄
@haidarybrown427
@haidarybrown427 Жыл бұрын
Okay
@magutadickson6900
@magutadickson6900 Жыл бұрын
Jamani mond akusema vibaya mbona mnakuwa ivyo
@honestakitomari7048
@honestakitomari7048 Жыл бұрын
Aisee umekomaa aka akili yako imepevuka sanaa.keep it up.umejibu kila kitu kikubwaaa😂😂😂😂
@BigirimanaSalum-xy6zg
@BigirimanaSalum-xy6zg Жыл бұрын
Yani kiba kupndeza huwa ni vigum kwake
@mayanzimipawa3397
@mayanzimipawa3397 Жыл бұрын
Alikiba ana akili sana. Anajibu kikubwa@Bif up King
@EmmanuelyMoshi
@EmmanuelyMoshi Жыл бұрын
Alikiba nimoto namkubali Sana
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt Жыл бұрын
💪💪💪❤️❤️❤️
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Kaka umejibu vzr sanaaaa
@mrh2812
@mrh2812 Жыл бұрын
jamaaa ana zarau sana
@bossmtoto133
@bossmtoto133 Жыл бұрын
Hapa kwenye kolaba kajibu vizuri 😅
@davidmvile5716
@davidmvile5716 Жыл бұрын
Ukiskia msanii mkubwa ndio huyo hana kelele za kubishana na kina zuchu yani Dah nakukubali sana kiba
@queenmollel6739
@queenmollel6739 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Na hiyo kofia ya kapelo
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr Жыл бұрын
Muongo
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
​@@queenmollel6739😂😂😂😂nimejua kucheka wewe
@SihamhersiguledSiham
@SihamhersiguledSiham 6 ай бұрын
Vile amesema Niko busy 👍👍👍👍👍👍👍
@paschaledward8670
@paschaledward8670 Жыл бұрын
King ni king tu 👏 👏 👏
@francisconaini1756
@francisconaini1756 Жыл бұрын
Mmmh king hatoboi kimataifa🤣🤣
@malianonicass7029
@malianonicass7029 Жыл бұрын
Kiba pia ni msanii mjinga kuwahi kutokea Tz... Mkitaka kujua mond ana akili ya tofauti kiba amualike labda kwenye tamasha jamaa anaenda na anapiga show bila kujali tofauti
@mohamedally121
@mohamedally121 Жыл бұрын
Ila alikiba daaah
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Eti upo bsy na shughli zko una shughuli gn mzee acha mapouzz mtot wakiumee
@munashabani
@munashabani Жыл бұрын
Sasa Mimi napenda Ali kiba wa ivi yupo sawa kabisa
@PhilipinoMalya
@PhilipinoMalya Жыл бұрын
Nakupenda sana kwa majib mazur umeonesha upendo mkubwa
@singidaone5628
@singidaone5628 Жыл бұрын
Ila kiba hua anazarau sana majibu yake tu jibu tosha
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Anajibu hivyo kwasababu wanamuuliz maswali ya kichonganishi. Hata ningekua mm Tena hapo ni kawajibu very wisely
@SamweliSabuni
@SamweliSabuni Жыл бұрын
Kaka nakupenda San nafulah kusikia mamanen yak hay kuhus huy ndg yet
@kombakomba7922
@kombakomba7922 Жыл бұрын
The king himself 😍😍😍😘😘
@bminawandu
@bminawandu Жыл бұрын
Nynyi wahandishi wa bongo viazi Amna maswali ya maana kumuliza kifupi amjielewi
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj Жыл бұрын
Big up king 🤴 Achana na wanazi kina mama hao pambana mzee ✌️
@PROFESSORSHEDY
@PROFESSORSHEDY Жыл бұрын
King kama king ❤❤❤
@kimwanahamisi8551
@kimwanahamisi8551 Жыл бұрын
Niko bize na shughuli zangu 👏
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 Жыл бұрын
Alikiba hana mbamba mba sema w Vido vidox unatafta ugomvi
@SaddamWakanai
@SaddamWakanai 11 ай бұрын
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
Ehhhh...Waandishi wa habari jamani,mbona wagombanishi Sana🙌🙌🙌
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Akili za hawa waandishi zina sensor kuliko hizo mic 😂😂😂
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm Жыл бұрын
Alikiba akir kotentena nguvu kisoda nakukubali kinomanoma huna mkuu bro🙏🙏
@DorineRichard-t8s
@DorineRichard-t8s 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@bonfacebonafide012
@bonfacebonafide012 Жыл бұрын
King 🙌🏻❤
@olomiBeboy
@olomiBeboy Жыл бұрын
waandishi wa media ndoo mnaforce bfu za wasanii ziendelee
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe Жыл бұрын
Uyu naye ndo maneno gani eti debe tupu😅😅
@KasibertMsukuma
@KasibertMsukuma 8 ай бұрын
good
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 Жыл бұрын
Mm ndomana NAMPENDA KIBA SAABAB MUELLEWA NA MSTAARAB
@hemednassor4560
@hemednassor4560 Жыл бұрын
Kwa mr blue hajenda kuma tu uyo
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Nimependa jibu kuhusu Zuhura ,kuwa unamuheshimu na hauwezi kusema kitu juu yake safi sana ...Nimependa hii ila.sijui mimependa kwa nini😂😂
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
🤣😂😁umependa ivyo ivyo yaani🤩🤩
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
@@lovesallu5292 Hahah Ali ana akili sana Hataki kumuingiza Zuhura kwenye maugomvi japo Zuhura ana force kisa basha wake..Ila Ali dah yaani huyu mimi kabisa
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Жыл бұрын
Ila kiba,et debe tupu😂😂😂😂😂😂
@hamzamohamedKeslivol
@hamzamohamedKeslivol Жыл бұрын
La msingi waandishi wa habari wamekosa ethics na huyu jamaa anajuwa anachokifanya hata majawabu yake katika interviews hazina ubaguzi wala uchochezi. waandishi wa habari wanapotumia chombo hichi vbaya madhara yake huwa makubwa na yanapotokea wao kwa kweli hukaa mbali sana. Jamiii sasa iamke kuwatambua waandishi wa habari wenye ethics na wale wasio na ethics.
@georgesbkalumbigbk458
@georgesbkalumbigbk458 Жыл бұрын
Nice
@KylianMbappe-skills
@KylianMbappe-skills Жыл бұрын
Njoo utumbuize kwenye show
@MartinIlunga-n7n
@MartinIlunga-n7n Жыл бұрын
Hii imeenda
@sihabasihaba5155
@sihabasihaba5155 Жыл бұрын
Hata usipokwenda mondi.yuko juùùu❤
@lightnesschiwinga325
@lightnesschiwinga325 Жыл бұрын
Kwan yy kasem yuko juu kaonyesh msimamo wake
@othumanahmad
@othumanahmad Жыл бұрын
Yeye hakusema mondi yuko chini
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Tena zaidi yake😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Bwege huyu amejaa kibuli kweli Diamond anashikilia kawaida tu lakini huyu mwamba kwake inamuuma sana ameijenga bifu mpaka kimaisha yote kabisa
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Na chuki hazita mfikisha popote
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Nyie ndo munachuki sasa nawala hazitawasaidia
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Kiba na mimi nahisi ni baba na mama mmoja sipendagi mtu anidharau kisha aanze jibabysha hua cludi nyuma kbs
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
@@joycemageta4876 Umeonaeee
@husseinhamza2054
@husseinhamza2054 Жыл бұрын
Huyo anajielewa hana unafiki kama domo.
@alcadoathumani9957
@alcadoathumani9957 Жыл бұрын
Mwambaaaa hakose majibu yake ❤❤❤❤
@Memphisblue22822
@Memphisblue22822 Жыл бұрын
Honestly AYO TV ni DIAMOND PLATNUMZ HATERS ...
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa Жыл бұрын
Ali kiba. Huna msaada wowote kwenye sanaa ya bongo. Mond ni mtu ameajiri na anatoa msaada kwa watu. Waandishi ndo wanakupamba sana wakati umechoka
@JimieWaManchester
@JimieWaManchester Жыл бұрын
Jina Emmanuel ni kubwa sana kwenye ulimwengu huu , bro mbona unaongea fitna ivo !!!!
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa Жыл бұрын
@@JimieWaManchester ndugu yangu sio fitina izi pesa tutaziacha APA duniani. Ali kiba ifike hatua arudishe kwa mashabiki wake wamemtajirisha muda mrefu. Asiwe anajilinganisha na diamond.
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Chuki zimemjaa😂😂😂😂
@supertallone1902
@supertallone1902 Жыл бұрын
Kitu nilichogundua sadala anatafutaga attention kwa mitandao akati chini ya kapeti n chatu😂😂na Kiba analijua ilo ndio maana anasema debe tupu linatoa kelele😂😂 Kama kweli sadala anamtaka Kiba aende wasafi festival watafutane uko kimya kimya so dmomd n mnafikiii😎😎
@Malvo-Yedede
@Malvo-Yedede Жыл бұрын
Naitaji saport zenu
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Mdada una sayti nzuri ila code mixing na code switching zife hizo utafika mbali
@ElenaJackison
@ElenaJackison Жыл бұрын
Yuko sawah ata diamond ni muongo tu kama kweli astuambie sisi wataftane wakae chini kama ana nia njia ziko wazi sio kuja huku haileti maana
@mrben227
@mrben227 Жыл бұрын
Sio tu ni muongo kk ni mnafiki kabisa 😢akisimama mbele ya camera ana maneno matamu sana ila behind the camera ni MNAFIKI
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
​@@mrben227wabongo alikunafkia nn😂😂
@keynaasumani87
@keynaasumani87 Жыл бұрын
Nakupenda kiba uyo zuchu tumuace njisi alivyo hhhhhhhh
@gmavoice1893
@gmavoice1893 Жыл бұрын
Roho mbaya sanaa mshikaji uko busy acha Roho mbaya amna usanii wa ivoo
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Waandishi kumbe ndo wagombanishi🤣🤣a.k.a wachochezi
@michaeljames3480
@michaeljames3480 Жыл бұрын
Shogaaa huyooo kwan yeyee ni na menoo yakee yalopandianaa juu 😏😏
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@luciakahanza3514
@luciakahanza3514 Жыл бұрын
Shoga wew uliyekopa bando tuachie king
@BigjayBonar
@BigjayBonar Жыл бұрын
Kazee kazima ovyoo kanaroho mbaya sana toka muujana wake🤣🤣
@eliudimfilima8064
@eliudimfilima8064 Жыл бұрын
King Simba Mnyama🦁
@AbasAthuman-n2t
@AbasAthuman-n2t 7 ай бұрын
Wajiga sana wandishi yani wanamufosi mu2 alopoke 2 mamb wapate cha kusema
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
MPOKI / BROTHER KEY_ MJOMBA CHIZI
23:09
BONGO LAND
Рет қаралды 38 М.