RANGE ZAIDI YA 10 ZA NABII GEORDAVIE ZILIVYOSHTUA ARUSHA KWENYE FESTIVAL, MWANAE AONGEA USIYOYAJUA

  Рет қаралды 23,999

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 13 сағат бұрын
Big up sana faida kwa waingereza,,,itapendeza kuwa na brand tz
@FabianoSinghania
@FabianoSinghania 2 сағат бұрын
Na mimi ntakuja na yangu 2024.💪💪💪
@anordgerase3372
@anordgerase3372 2 сағат бұрын
yan we acha2
@aishajuma7813
@aishajuma7813 14 сағат бұрын
Jamani si mnibariki atamoja nadii mkuu .m ubarikiwe🙏🙏🙏🙏
@Barackswai
@Barackswai 4 сағат бұрын
Kirahis rahis tu
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 13 сағат бұрын
Umeolewa Dada nataka nikae hapo😮
@billgatejuniour8797
@billgatejuniour8797 12 сағат бұрын
Una hamu ya kutolewa kafara wew
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 12 сағат бұрын
Oyaaaa 😂
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 12 сағат бұрын
@@billgatejuniour8797 wewe ndiyo unaweza tolewa kafara Kwa kuwa Hujui Kazi
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 12 сағат бұрын
​@@aediayumgo8546haya ndo yaliwaponza wengi kwa p didy haraka na tamaa za kuvamia vitu ili kutaka nafuu
@bless.2559
@bless.2559 7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 Punguzeni moto vijana wa 2000
@IssaAbu-f4d
@IssaAbu-f4d 30 минут бұрын
Sadaka yangu nitampa muhusika anaetakiwa kuipokea mwenyewe cyo kwa maagent
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 3 сағат бұрын
Hii nchi kuna watu wana hela sana ila wapo kimyaa😂😂😂
@fredducaunt
@fredducaunt 43 минут бұрын
Always wasio na hela wanamtazamo wa kupiga kelele 😂😂
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 14 сағат бұрын
Mashalaah ♥️♥️
@nelykaaya6503
@nelykaaya6503 4 сағат бұрын
Daa kweliii ❤
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 13 сағат бұрын
Makonda amepelekwa kwa wanaojuwa kumtumia sasa wanapiga pesa dr tulikuwa tunapiga majungu tu angaria macharii wa r sasa wanavyochangamkia fursa
@silverman6930
@silverman6930 8 сағат бұрын
Mafala ndio waliowao
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 2 сағат бұрын
Gari moja tu hapo kuipata mtihani. 😂
@jayjay4313
@jayjay4313 10 сағат бұрын
Ndio utajua haujui Sasa, njaa ya kwako mwenyewe, njoo ona hukuuu. Lo Mungu we.
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 5 сағат бұрын
Shida sio kupuromoti utalii hizo hela za utalii zinaiifikia jamii ipasavyo au zinaishia kwa wajanja wachache
@fredducaunt
@fredducaunt 39 минут бұрын
Jamii ya wapambanaji sio kijana wa ovyo anashinda ndani kupiga nyeto 😂😂 Hakuna mtu atakufuata eti shika hizi labda pdidi😂😂
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 2 сағат бұрын
Duh! Nabii tajiri ila wengine tunaangalia penye utukufu wa wa Mungu na ambapo nafsi inakutuma kwenda kuomba.
@fredducaunt
@fredducaunt 42 минут бұрын
Wewe unaangalia penye utukufu wa Mungu au hujawahi kukanyaga kanisani
@LilianJoshua-kj8ei
@LilianJoshua-kj8ei 14 сағат бұрын
Nizawadie hilo jaman dada, baba ako ni mtu wa watu, ninampenda sana
@khamishaji5265
@khamishaji5265 Сағат бұрын
Unampenda na hela zako na yeye anazipenda sana, na ndio maana anamiliki magari hayo ya thamani, hizo ni hela zenu za SADAKA . nakuchanua kama ulikua haujui.
@BettyKimaro-l3q
@BettyKimaro-l3q Сағат бұрын
Wao wanapata wapi pesa
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Сағат бұрын
Tusisahau ndugu zang waumin kupeleka fungu la kumi kanisani kwetu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 сағат бұрын
Mashaallah
@robertmondu3878
@robertmondu3878 11 сағат бұрын
Dah watz dah szan kama ......ums
@digital-d2t
@digital-d2t 12 сағат бұрын
Kila jambo lina Siri yake. Mungu pekee ndo anaona. Range zaid ya 10😅😂
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 5 сағат бұрын
Mmmh!!. Hivi yule Mtoto wa mkubwa wa GD yuko wapi vile? Ingependeza kama yule Kijana ndo angekuwa muongeaji ktk hili Zoezi, badala ya huyu Dada. Au yuko busy.
@JiggerAmos
@JiggerAmos 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@whigerjnr482
@whigerjnr482 4 сағат бұрын
Kweny hizo range kuna buku yangu nilichangia kanisan😅😅😅
@mithlaabdulrahim8566
@mithlaabdulrahim8566 4 сағат бұрын
😂😂😂 hii ndo comment nlokua nkiitafuta
@GoodluckYusuph-q5c
@GoodluckYusuph-q5c Сағат бұрын
Hakunaga nabii tajiri hapo tumepigwa
@jamesmassawe4888
@jamesmassawe4888 57 минут бұрын
Soma biblia acha uvivu
@DM_15
@DM_15 5 сағат бұрын
Kunajamaa hapo ana kitambi kama Kimtofyolo😂😂
@Eliombenjoseph
@Eliombenjoseph 13 сағат бұрын
waah hizo pesaa tu
@FabianoSinghania
@FabianoSinghania 2 сағат бұрын
Range rover 2024 iko wapiii?
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 сағат бұрын
kna mpuuz mmoja alkuwa anasema iyo festval inafaida gn et bora wakajiandkshe kpga kra
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 4 сағат бұрын
karembo jamaani
@jumarajab5316
@jumarajab5316 3 сағат бұрын
huyu mwisho katufunga kamba
@eliezerwamungu4614
@eliezerwamungu4614 14 сағат бұрын
Hawa watu wanatoag wap hiz pesa jamen??
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 13 сағат бұрын
😂😂😂😂wanatafuta
@TheAlman
@TheAlman 13 сағат бұрын
Wanauwa ndugu zao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 natania tu kweli kabisa
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 13 сағат бұрын
Usijali mungu akupe pia wewe hki🙏🙏🙏
@godfreytarimo1022
@godfreytarimo1022 12 сағат бұрын
Sadak
@directorbitomedia
@directorbitomedia 13 сағат бұрын
Sasa demu waivi unamshawishije akupende labda ubaatishe kumtomba vizuli akuelewe 😅😅😅
@basheer4278
@basheer4278 13 сағат бұрын
😂😂😂
@josephpanya9654
@josephpanya9654 13 сағат бұрын
Maneno yako ni ya walevi na wajinga.muogope Mungu utaishi
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 13 сағат бұрын
Kama huyo malaya uliyo nayo kakushinda,inability ufirwe,wewe, kwanza,unaongeya ujiga kwenye jambo muhim, fala,wewe,
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 13 сағат бұрын
Anamume wake huyu
@Ajijji12
@Ajijji12 12 сағат бұрын
Duh sadaka za waumini
@FestoMunishi
@FestoMunishi 13 сағат бұрын
Hiyo issue y magari ni kwa ajili y nini au kwa faida ganiiii
@Benny318m
@Benny318m 13 сағат бұрын
Wasafi festival huwa kwaajiri ya nini, tigo fiesta huwa kwa ajiri ya nini. Efm mziki mnene huwa kwa ajiri ya nini, cheka tu ipo kwa ajiri ya nini, kuburudika, kufurahi kujifunza mambo mapya na kukuza uchumi wa eneo husika leo ukiwauliza wafanyabiashara wote wa UNITED STATES OF ARUSHA watakwambia ni kwanamna gani mapato yao yameongezeka
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 12 сағат бұрын
😂😂😂😂​@@Benny318mumejibu kikitabuni
@maribaisack2097
@maribaisack2097 11 сағат бұрын
Kivutio cha watalii
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 5 сағат бұрын
Inachochea uchumi wa Arusha. Hao watu wametoka sehemu tofauti tofauti. Hivyo watahitaji hotel, chakula , mafuta kwa magari yao. Hivyo wananchi wa Arusha wataongeza kipato
@maalimwenga452
@maalimwenga452 4 сағат бұрын
Kazi ya pesa ni matumizi za kwako weka tuu chini ya godoro mwizi atakuona tuu😊😊😊
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@caesar7745
@caesar7745 13 сағат бұрын
Na halipi tax eti anakanisa 😂😂😂😂
@Benny318m
@Benny318m 13 сағат бұрын
Fungua kanisa na wewe uwe unaagiza bila makato ya kodi
@josephvenus3259
@josephvenus3259 6 сағат бұрын
Inakuuma ee 😂😂😂 Itakua we NDO mchawi WA familia YENU 😂😂😂
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 14 сағат бұрын
Tuliitaji Land rover sio Range rover eleweni na tofautishen cjaona Range rover kwenye festival niliona land rover kwenye festival report over.
@tropmedia8376
@tropmedia8376 13 сағат бұрын
Range rover na land rover ni kampuni moja jina lake halisi ni land rover ila range ni toleo kama vile simu zinavo kua na majina mbalimbali ila kampuni ni moja
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 13 сағат бұрын
Kaka range Rover ni gari inayotengenezwa na kampuni ya land Rover gari nyingi mfano mdogo ni TOYOTA ila magari ni aina nyingi Kuna land cruiser ndani yake na gari nyingi tu
@extremztv596
@extremztv596 13 сағат бұрын
Jinsi ya kuambia watu hujui magari bila kusema hujui magari
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 13 сағат бұрын
Huna hata basikeli utijuaje haya Magali wew msenge mmoja
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 6 сағат бұрын
Wewe hata hujielewi
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 13 сағат бұрын
Sadak@ au kuna kingne ????
@LuluAquai
@LuluAquai 13 сағат бұрын
Sadaka za wajinga elewa maana ya neno (mission)
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 13 сағат бұрын
Kama,nisadaka mbona mshungaji wako hana,​@@LuluAquai
@Benny318m
@Benny318m 13 сағат бұрын
Fungua kanisa na wewe uone kama nirahisi hivyo mtu kutoa pesa yake na kukupa wewe bila kibali toka moyoni mwake
@josephvenus3259
@josephvenus3259 6 сағат бұрын
Wewe ulisha wai KUTOA?? 😂😂😂
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 сағат бұрын
@@josephvenus3259 nmeuliza tu😁😁😁
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 9 сағат бұрын
Mmewaibia Watanganyika kupitia makanisa uchwara,kisa watanganyika ni wajinga.Mmekosa wa kuwapeleka jela,nyie ni wahalifu kama wengine.
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 13 сағат бұрын
Unajishebeduuu@. 😏
Tamasha la Land Rover festival Tanzania
1:45
BBC News Swahili
Рет қаралды 3 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 106 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН
Gavana wa Nakuru Susan Kihika azomewa na waombolezaji
2:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 92 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 106 МЛН