Ama kweli kifo ndo mwisho wetu, Major General anawekwa kwenye but la bus
@JumaGendeye-sv6yl2 сағат бұрын
Bab kwani unafikiri ukifa utakuwa na thamn Tena iyoo imeishaaa rip
@tomatonyanya673137 минут бұрын
Yani sio mchezo
@maryamsuleiman63402 минут бұрын
Hakika sisi viumbe sio lolote mbele ya Allah zaidi yautii ktk hii Duni ,mana lazima kwake tutarejea ,basi tuwe wema kwamatendo yetu ,mana mauti ndio mwisho wakuyaacha yote ya Dunia, Mungu tusamehe tunapokosea ,😢Amiin
@SalmanMughal-lq5lt2 сағат бұрын
SubhanaAllah kwenye buti mwisho wetu huo
@MohamedAthuman-wn7mdСағат бұрын
Hilo ni gari maalumu la kubeba mwili hajawekwa kwenye but
@JustineWangi-j2tСағат бұрын
Mwili wa Meja general unawekwa kwenye buti la tata!😮siwange ubeba kwenye pick up ama kigari cha kukodi,mtu alikuwa na manyota adi tumboni kafa thamani yake imekwisha ndio mjifunze viongozi wa majeshi mnaotumika vibaya kuwanyanyasa wananchi mwisho wa siku sisi ndio tunaokuja kulia kwenye misiba yenu.
@rahema1992Сағат бұрын
Polen sana familia mwenyez mung awape nguvu na subra
@AbdallahMohammed-u2vСағат бұрын
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi Ameen
@SabiliFarijala58 минут бұрын
Wanajeshi wameonyesha utovu wa nidhamu sana yaani mwili wa meja general unapita tena ukiwa umefunikwa na bendera ya ya taifa lkn wanashindwa kutoa heshima (saluut) hata kwa bendera ya taifa 😮😮
@philiplugalia372425 минут бұрын
Huyu ama aliekewa kitu kwa chakula 😢😢😢
@FettyMsalaСағат бұрын
Poleni sana makamanda
@HezroniJonh54 минут бұрын
Mungu ana mchezo ata mkienda kutibiwa india mtakufa hizi hospital zetu kwa ajili ya wanyonge nyinyi viongozi mnapelekwa nje 😅😅
@VeronicaAdam-lx8yd49 минут бұрын
😂😂Ww nae si uwend kwn wanaoenda India niviongoz Taft hel pumbv zak
@dorothmsuya168633 минут бұрын
Kwani wewe umenyimwa kwenda huko India??
@Oldskulgemini999128 минут бұрын
Hii yote ni akili ya umasikini inakusumbua😂 kwani ulinyimwa kwenda huko India😃
@TumainiMbati2 сағат бұрын
Tutakukumbuka sana Kwa uchapakazi wako
@anawa432639 минут бұрын
Poleni wa Tanzania
@JamesJastin-bg1rx37 минут бұрын
Hatutaki kupoa
@took841421 минут бұрын
Mara inazd kupoteza watu muhimu kwa taifa
@RachelLaizer-n2p2 сағат бұрын
We unaesema kazi yao ni kuchchea ccm ikae madarakani unataka wafanyeje shukuru Mungu tulivyo mnayataka ya kongo nini😢
@MasudiNangololoСағат бұрын
R.i.p kamanda
@aediayumgo8546Сағат бұрын
Hapo sijaelewa 😭 kwenye makalio ya basi
@mackjr52912 сағат бұрын
Kigurunyembe my school
@Planet_Zong2 сағат бұрын
Poleni wana Mara
@greytrevo9055Сағат бұрын
1
@JayUnique-r6c55 минут бұрын
Kwer mtu akifa hana thamani tena
@maryobedi68072 сағат бұрын
Apumzike kwa Amani
@SaidChambi2 сағат бұрын
Amen
@ManenoSimkoko-df9yj2 сағат бұрын
Rip mbuge
@AbuodSeleman2 сағат бұрын
mbona n kama zaid ya mabeyo
@jumarajab5316Сағат бұрын
jeshi halina ambulance mpaka mwili unaekwa kwenye buti ya basi
@godfreyLekaСағат бұрын
Ambulance ni ya wagonjwa, ukifa ni buti tu hakuna namna
@SamiraameirSamira-qt9yn2 сағат бұрын
Mbunge wa jimbo gn huyu 😢
@spesiozabisansaba64242 сағат бұрын
Mbuge, jina lake mbuge bhana
@SamiraameirSamira-qt9ynСағат бұрын
@@spesiozabisansaba6424 cjauliza jina mm apo usikurupuke
@msauzbusiness5582 сағат бұрын
😢
@Ahmedseif-l5g2 сағат бұрын
muache aende tu kaziyao kubwa nikuiseidia ccm kukaa madarakani tu kwanguvu
@Sadati-mj2ub2 сағат бұрын
Hata wewe ambae hausaidii hyo ccm utakufa pia...
@berthabarozi2 сағат бұрын
We usiyeisaidia CCM hutaenda?
@Ahmedseif-l5g2 сағат бұрын
@@Sadati-mj2ub nikweli ila mm sisapot dhulma kma alivokua yy muache aende akayaone huko
@Ahmedseif-l5g2 сағат бұрын
@@berthabarozi mm nitaenda ila siwimiongoni mwao dhulma
@Sadati-mj2ub2 сағат бұрын
@@Ahmedseif-l5g una uhakika alkua anadhulumu??? Em taja dhuluma alosapot??
@HAMISICHACHAСағат бұрын
Bhamura bheto hai morenge motacha tomosabhere ai mura