Dah hii interview nimeipenda respect you mpoki umewakimbiza majibu ya kisomi Sana'a ww nouma
@rehemaabdallah26905 жыл бұрын
Naomi Daniel vp
@ahmedali03335 жыл бұрын
Happooo utaonaaaa bora wali maharagwe kuliko walimwenguuu😂😂😂😂😂😂😂 big up broo
@salvinasimba74225 жыл бұрын
Mai akue kwanza ndipo nitamshauri! gonga like hapa!
@kelvinmhina16855 жыл бұрын
😅😅😆😆😆😆😆😆 shenzi huyu Hahahaha eti ".........hapo ndio utaona bora walimaharage kuliko walimwengu"
@ChekaTv-ny3vz5 жыл бұрын
mpokii
@allymwihuva74735 жыл бұрын
"Huwezi kushuka sana kama bei ya utumbo" 😂😂😂 Gonga like
@hawahamis51845 жыл бұрын
kaka we umetixhaaa...big up xanah
@user-qe8xp6ii1u5 жыл бұрын
Kama umecheka kama mim Pale alipoukizwa "Mai" Akajibu Mpaka akue ndio niatamshaur 😀😀😀😀
@bimaisarankamia41535 жыл бұрын
Hahahaha
@rickrosswabongo41165 жыл бұрын
Ila kweli...sasa Mai utampa ushauri gani kwa umri ule. Labda angesema wazazi wake au wanaomsimamia
@user-qe8xp6ii1u5 жыл бұрын
Aloo kweli
@khamisjadide27635 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@lilyhemedy94805 жыл бұрын
RAMADHANI AKILI du mwenyewe nicheka sana
@salimbade32665 жыл бұрын
kama unamkubali MPOKI kwa zaid ya %100 gonga LIKE moja matata hapaa😎 kibabe
@ilhammshana91435 жыл бұрын
Ety Kiba be😅😅😅😅😅😅
@mayusahussain80455 жыл бұрын
😂😂😂😂 kwa kibabe
@sulleymansulley88525 жыл бұрын
xaid soja b town
@shekhekhandereizer5595 жыл бұрын
😂😂eti tatizo ujui unachouliza ebu lekebisha swl lako afu uulize tena maaake uelewi unachouliza ili jamaaa usilendee kiboya utalia aibu hahahaa
@casandrahhelman76395 жыл бұрын
Mpoki umetishaaaa😂😂😂😂🤣
@nivardomutta49245 жыл бұрын
@Jazzy Boss ozAa niajed
@nivardomutta49245 жыл бұрын
@Jazzy Boss oza
@fatmarashim63535 жыл бұрын
Mpoki Nampenda snaa😁😁😁😁👌
@cvanocharles60015 жыл бұрын
Bora wali maharage kuliko walimwengu🔥🔥🔥
@abelmtivike17215 жыл бұрын
Bora walimaharage kuliko walimwengu...mpokiiiii 😂😂
@stevekanemelakatembotz88295 жыл бұрын
Uyu mbishi kinoma noma yani d #dadeckk
@soudbwaxtv38045 жыл бұрын
Mpoki yuko vizuri sana big 🆙
@jelemiathomas29105 жыл бұрын
Nimekupenda sana brooo unajua kujibu
@kadijahhussen70725 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣mpoki ww umenishinda tabiaa
@chugaboy78725 жыл бұрын
Hahaha
@hamadmfaume48575 жыл бұрын
Mpoki unajua kutoa jibu kabda ya swali
@aroonmuchunguzi34425 жыл бұрын
ze comedy mshafuliaaaa hamna jipya nyieeeee laana ya kuwakandia watu wamefulia inaanza kuwatesaaaaaa
@wemapiano44205 жыл бұрын
Ukiwa mchekeshaji inatakiwa uwe na akili ya ziada
@zaynsalma34665 жыл бұрын
Nakupnda bure Poki Fala San we jama 😂😂
@kissomundende36965 жыл бұрын
Queen Salma mambo naomba unichek whtsp 0719619494
@amanichomola66965 жыл бұрын
Hapo waandishi ni mjue mnaulizaga maswali yenye mnajua majibu. Da kanyosha 😂
@mercyj74195 жыл бұрын
Smart talk...short n clear💯💯💯
@fadhililihinda64915 жыл бұрын
Kumbe Mpoki nae shabiki wa Yanga kama mimi, good, very good Mhaya mwenye jina la Kinyakyusa.
@bryanzeconfesor54763 жыл бұрын
dah leo 2020 nimerudi tena kuangalia hii interview mwenye nazo ka mwelewa.
@yusuphmwakafwila34315 жыл бұрын
Umetisha
@mkwenyachristopher93105 жыл бұрын
Hahahaha huyo jamaa kweli n comedy
@jackkimaro69375 жыл бұрын
Ww mkali sanaa ngoja kakuwe😆😂😂😂😂
@nicholaskigeni53334 жыл бұрын
mpoki umetisha sana
@iviejustified81095 жыл бұрын
amejibu fresh tu.... nyie ndiyo mmemuuliza kizushii
@jrcheddy67785 жыл бұрын
Huwezi kushuka sana kama bei ya utumbo😂😂
@moseking24005 жыл бұрын
Hili lijitu ni genius
@mercekapinga68505 жыл бұрын
Woow i like, uliza directly kitu halisi sio kupindapinda kamA njia ya kitonga, maana ww ikipindisha anayesikiliz akipindisha msimuliaji akipindisha basi ishAkuwa rew hx
@BONGOINMOTION5 жыл бұрын
Mpoki kama umepungua bro ila hujakonda
@houseofmovieandcomedyandga96345 жыл бұрын
Majibu simple sanaaa hadi raha
@nuelnelly14605 жыл бұрын
🐐😂😂..daaaaahh we mpoki kiboko
@renatusthobias73965 жыл бұрын
Hii ndio uhalisia wa kuwa na akili kubwa majbu konki nimependa
@zamzamhamisi73325 жыл бұрын
Uneonaee
@renatusthobias73965 жыл бұрын
Yah jamaa anajibu sio kwamba kidharau anajibu in fact issue nimemwelewa
@hancelywisefrick.21675 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 wapi unafeli kwanini ushuke kama bei ya utumbo.... Haaaahaa
@andrew-kitwanambogger82425 жыл бұрын
Muarabuuuuuuuuuh 🔥🔥🙌😂😂
@abdalahaby36585 жыл бұрын
mpoki umetisha kama Tsunami.
@hassanially2275 жыл бұрын
Mpoki una akili nyingi Sana Wafaa kuwa mkufunzi wa ma lecturer Kutokana na majibu yako
@issachibu43435 жыл бұрын
Hahahhahaha mpoki msenge sana
@mzeewajambo82935 жыл бұрын
Ha ha ha huyu jamaa balaa namkubali sn kitambo
@joelisack76435 жыл бұрын
Hiyo ndo maana ya kuwa comedian, yaan majibu tu yako comic 😂
@denyoentertainmentcompany15594 жыл бұрын
Waandishi mpaka wameishiwa pozi 😆😆😆😆😆
@sheikhmussaalaadabiysheikh41475 жыл бұрын
😀😀😀😀uyu jamaa anachekesha dah
@leonardgregory10045 жыл бұрын
nakukubali xana
@swabrinyawale81265 жыл бұрын
Huwez kua msemaji bila ya kua shabiki
@hamiskengwa21175 жыл бұрын
hahHhhhaaaas
@simbanews62155 жыл бұрын
😂😂😂😂 et huwez kushuka kam bei ya utumbo
@emmanuel14795 жыл бұрын
😂😂😂😂 nmecheka sanaa
@jayratumaulid5825 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nmecheka mpk tumbo lauma
@moseswanjara34085 жыл бұрын
Simba News haaaaaaaa et bei ya utumbo
@lisegerald51495 жыл бұрын
Hahaaa..bora wali maharage kuliko walimwengu
@luqmanabdi30165 жыл бұрын
Bora wali maarage kuliko walimweng😂😂😂😂
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Huwezi kushuka mpk Bei ya utumbo🙊🙈😂😂😂😂😅
@aggyparty29905 жыл бұрын
Mtangazaji uwe unasugua shingo maana inasugu🤣🤣🤣 ili mpoki kiboko🙌
@samiramrabumrabu63785 жыл бұрын
mm simba 😂😂😂😂😂😂
@aggyparty29905 жыл бұрын
@@samiramrabumrabu6378 ndugu mtangazaji hasugui shingo sijui mkorogo umedunda au kutooga tu kanishtua mwenzangu🤣🤣
@asiazuberi97225 жыл бұрын
😂😂😂bei ya utumbo tena aki ww kaka shida
@aslammunaf88445 жыл бұрын
Mambo asia
@asiazuberi97225 жыл бұрын
@@aslammunaf8844 poa
@salamamohamedi80465 жыл бұрын
😆😆
@moseking24005 жыл бұрын
Huwezi kununua utu.......... Sio mwandishi Wa habari lakini linamkosoa mwandishi Wa habari aliyesomea field yake kwa miaka kazaa duuuu mpoki upo vizur ur the mother fanta genious
@ndamayapemakanda13385 жыл бұрын
Daaaah mpokiii ww ha hanha
@seiphajalomba74565 жыл бұрын
Utu haununuliwii 😂😂😂😂😂
@ruthp86845 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ,Mpoki hahahhhhhhhh
@charlton13885 жыл бұрын
smart answers respect sana!
@azizrashid59885 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha huwezi kushuka sana Kama bei ya utumbo noma saana
@michaelmalangisa73594 жыл бұрын
Maswali hayo namajibu ni sahihi kabisa mpoki
@janevictormackie42065 жыл бұрын
kama unamkubali mpoki kama mm gonga like
@idditwaha42805 жыл бұрын
Wauliza maswali hawaamini wanachokiona
@josej98885 жыл бұрын
Kweli akili niupara, nasio nywele.
@Mothermarlon5 жыл бұрын
Heri walimaharagwe kuliko walimwengu🤣🤣🤣
@medytechtips49555 жыл бұрын
Huyu akili yake anaijua yeye
@RichFeelingsForex5 жыл бұрын
😅 akili nyingi
@amileyissa96845 жыл бұрын
Nyie mpoki majibu yako me hoi
@manjalejuniorlg70245 жыл бұрын
Hahahaha Mr pool anaimba buzzzz hahaha
@godblessnzalika61165 жыл бұрын
Heshima yako mpoki......
@johnbernad15295 жыл бұрын
Hata jogoo anajina😂😂😂😂😂
@safariadrien85445 жыл бұрын
uyu jamaa noma 🤣🤣
@dianabenjaminmwaipaja12125 жыл бұрын
Yaani Huyu!!😂😂😂😂✊❤️❤️
@ramsonjasson47065 жыл бұрын
haiwez shuka zaid kama bei ya utumbo,,,,kama umeskia hii,,,,gonga like nkuchek,,,👇