Asante mheshimiwa Raisi JP Magufuli. Mola yu nawe.
@josephstephen20476 жыл бұрын
Mzee Pinda you're too special hahahaha Magu kajifunze tu kiinglish maana ni tatizo kubwa kwako
@pambanomwadia49466 жыл бұрын
apige kelele gani xaxa yeye anamaisha mazuri cc walalahoi ndo tunaeteseka
@ramadhanmahongole56632 жыл бұрын
Mzee huyu alikuwa hapendi watu waongee na kukosoa serikali yake alitaka watu wakae kimya hata kama kuna mambo yanaenda hovyo kwenye serikali bado watu walilazimishwa wasijadili. mtu aliyejitaidi kukosoa alichukuliwa hatua kali na kuonekana kama siyo mzarendo ni msaliti wa nchi. kila siku kwenye vituo vya television, radio,magazeti na media zote alisikika yeye tu
@shafiiislamttv2516 жыл бұрын
Dah TZ tulibet vibaya sana
@professorjoma23646 жыл бұрын
Akuprleke kwa mganga ili akazuie damu za watu zisikufwate maana hutalala nini kimemshinda alikokua mamamee
@raphaelkyando75436 жыл бұрын
haya ndio unayo yapenda watu wakae kimya hata kama kuna mabaya wakae kimya tu
@kinjekitilemsulubiwa14936 жыл бұрын
Duuuuuuh sababu hakemei ujinga unaoendelea,wa kustaafu yupi na amwachie nani kiti
@emanueljoshua9256 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mohamed.hassani99176 жыл бұрын
aaah mzee tuache ,sasa watu wote wakae bubu hata kama kuna jambo linakera!!! mficha uchi hazai"
@saidasimba99796 жыл бұрын
Mohamed. Hassani useme nn sasa ma..vii kweli wewe
@mohamed.hassani99176 жыл бұрын
+Said Asimba shut up Idiot wewe
@rashidkassim78366 жыл бұрын
Hapo kwa kuonekana kijana Mzee baba pinda mh
@khalidunited59786 жыл бұрын
kwahiyo kama yeye hasemi nawengine wasiseme kwani wenani lazima wa2 tuseme utake usitake
@njaunestory7616 жыл бұрын
Unacheekesh kweli kwahiyo hupendi tuongeeee
@elinikomniko44116 жыл бұрын
Eti haongei chochote, mbona tunajua ndvyo mnavyotaka
@allanishabakaki36386 жыл бұрын
nazungumza sincerely
@khamisilukasi76276 жыл бұрын
uyu mzee atuwezi kumkumbuka kwawema mana alisema wapigwe tu kisa kudai akiyao
@kidubwashaone60926 жыл бұрын
Atakupa nani kozi mtu mpenda kusifiwa.
@tendwajohn77856 жыл бұрын
Frank Mushi hapo ipo kazi kwahyo wastaafu wasiongee kitu
@coachtemba60026 жыл бұрын
Ni vema kutambua ukimya ni hulka na pia kuongea ni hulka. Pindi mwenye hulka ya kunyamaza akaongea kuna mawili. Mosi, akapata kusikilizwa sana kwasababu si kawaida yake na pili, akaonekana anaropokwa. Vivyo hivyo kwa mtu mwenye hulka ya kusema, anaweza onekana ni kawaida yake na anapoamua kunyamaza atapata 'attention' kwamba nini kimemsibu bwana huyu. Hivyo basi, kama kuna wako wa kimya basi tuwatambue na wanaosema maana wote wanamichango muhimu, ila kutatokea ihtilafu kama woote watalazimishwa kuwa wakimya(mkimya+msemaji) au kinyume chake. Natukubali kuwa ni suala la Asili kuwa na pande mbili tofauti zenye mvutano na hii ndio maana alisi ya Muungano 'Unity' na msamiati kuvumiliana ndipo ukazaliwa. Na yeyote mwenye kulitambua hilo, basi anajitengenezea njia ya kukua kifikra, hisia na kwa utu wake kwa ujumla (maendeleo yanazaliwa ). Kinyume na hapo, ni mfarakano na kutokuvumiliana na mwisho wa siku hakuna atakaeshinda bali ni muanguko kwa wote. Hivyo basi ushauri wangu kwako mtukufu Raisi, tambua mchango wa wanaosema na kufikiri tofauti na wewe.
@momembe99806 жыл бұрын
Hasa mizengo pinda mtu ? Hata akiongea atasilikizwa nani
@msafirimwampamba46986 жыл бұрын
Mungu akuongezee afya Rais wetu
@gbconline20066 жыл бұрын
Magu🙏
@allymasenti79746 жыл бұрын
Nyie ni wauaji
@richardsimpasa14516 жыл бұрын
TANGU LINI MSUKULE UKAONGEA! MSUKULE UNAONGEAGA NENO MOJA TU..... "WAPIGWE TU HAO" au mtapigwa tu! Watu wanapotezwa, wanakufa, wanapigwa risasi hadharani na wasiojurikana, maiti kwenye viriba, wizi wa Trilioni 1.5, maisha magumu, watu kufukuzwa kazi kiholela na mengine mengi ya kusikitisha, halafu unataka watu wakae kimya. Nyambafu zako!
@dicksonisakwe30636 жыл бұрын
Sa kuful nalo linaongeaga? Hata likchokonolewa, linatulia tu
@mohamedisarafi20256 жыл бұрын
Unataka aseme hili humfirisi kama sumaye
@papafikiri6 жыл бұрын
Ukifanya fujo....umeambiwa usifanye hivi weae ukakaidi....utapigwa tu
@michaelsayote54516 жыл бұрын
ha ha haaa patamu hapo
@saidsaid94636 жыл бұрын
Safi mh magufuli
@hekimaelia37836 жыл бұрын
Acheni kulaumu na kushutumu walaumuni baba zenu na mama zenu ambao awkuwawekea mpango mzuri Wa maisha. Acheni kumtukana kiogozi wetu. Mnalaana nyinyi nyote mnaomtukana kiongozi wanchi na laana hii itawatesa nyinyi na familia zenu na vizazi vyenu kama mmetumwa kutoka kuzimu imekula kwenu Sisi wetu tunampenda Bali nyinyi mnaombeza na kumkashifu mnalaana ya MUNGU inawala.
@saidsaid94636 жыл бұрын
Hekima Elia kabisa maneno kuntu kila siku wanalalamikia serikali wapambane na hali zao
@erentjohn13036 жыл бұрын
NI KWELI MKUU, SASA UNAMUENZI VIPI HUKU KATAVI TUNASOTA, BARABARA ZA MITAA ZINATIA HURUMA, ZA MIKOWA USISEME .
@afmabeat95676 жыл бұрын
Hana cha kusema
@professorjoma23646 жыл бұрын
Tumkumbuke kwa lipi hana akili bora tena ww licha hatukutaki
@Hauleshabby6 жыл бұрын
nenda huko
@hanifarukman96616 жыл бұрын
ujaachaga utoto tu
@joshuamgeni6 жыл бұрын
Hanifa Rukman 😀😀😀😀...Dah umenichekesha sana
@psterinishayo42706 жыл бұрын
Mzeee wa piga tuuuuuuu
@ramambongo40696 жыл бұрын
Mohamed hassan safari hii mficha uchi atazaa tu
@utaani16 жыл бұрын
Wauwaji wahalifu wanapongezana
@saidasimba99796 жыл бұрын
utaani1 ma..vii wewe
@Madanstars6 жыл бұрын
hats Mimi kama pinda au punda
@imamboya94146 жыл бұрын
piga tu
@abssaleh1416 жыл бұрын
Mzee neng'enekaa weeee lakini kesho kutwa lazima ujue kama watanzania sio wajinga au waoga kama unavyofikiria na wana uchungu na nchi yao
@estaradam49936 жыл бұрын
Abs Saleh andamana uone moto si umeshavimbiwa makande
@abssaleh1416 жыл бұрын
Estar Adam inawezekana nimevimbiwa makande na nyie mnao taka kuzua haki ya kikatiba mumevimbiwa hela za wananchi
@mayalajames55416 жыл бұрын
Abs Saleh Ha ha haaaa, hakuna maandamano bro
@abssaleh1416 жыл бұрын
Mayala James hahaha bro rais mwenyewe anajua kama kuna maandamano.