PAUL MAKONDA AWEKEWA SUMU AKIMBIZWA AFRIKA KUSINI | UKWELI WOTE HUU...

  Рет қаралды 122,687

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 414
@aminafrancismwandu5789
@aminafrancismwandu5789 2 ай бұрын
Jamani Mungu awa angamize wote mlioshiliki kumwekea Sumu kiongozi Paulo Makonda Mungu akuponye haraka 😭😭
@julieluziga4773
@julieluziga4773 2 ай бұрын
Yaani akija mtu anayetetea maskini anauawa! Ee Mungu utete na wanaoteta na Makonda, upigane na wanaopigana naye. Mungu akupiganie mtetezi wa wanyonge, kazi unzofanya tunaziona 🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Hao wanaotumwa kuwa wekea sumu viongozi wenzao watambue kuwa Pua zao zimetizama chini. Tz kiongozi mkweli mtetea haki kwa wanyonge huwa wanachukaua jukumu la kummaliza kwa sumu iliafe wao waendelee kula rushwa pesa za wananchi. Mwenyezi Mungu akupe shifaa Mh Makonda 😢
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 ай бұрын
Ni basi tu kutokujua kuwa hiyo tabia sio solushen bali ni kuchochea uadui Kati ya wazalendo na wenye vyao
@mpindafamily1496
@mpindafamily1496 2 ай бұрын
mungu yupo na wewe makonda.mungu yupo nyuma yako ninaimani utapona tu.yote ni mipango ya mungu
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 2 ай бұрын
Huyo aliyefanya hiyo hila atakufa yeye muda c mrefu
@JacklineKessi
@JacklineKessi 2 ай бұрын
Mungu akulinde mtetezi wa wanyonge akupe afya tena uedelee kutekeleza majukumu yako ❤
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 2 ай бұрын
Inasikitisha sana huyu jamaa mimi nampenda sana.
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 2 ай бұрын
Pole Sana mtani wangu na mwanangu Makonda Mwenyezi Mungu yupo pamoja nawe,na wasijisahau kuwa Sisi wote hapa tunapita haija kugombea kufuri au funguo Wkt Mungu ndio mfungaji na mfungaji.❤
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Mungu baba Nakuomba umponye na kumlinda na mabaya yote Mh Paul Makonda, Awe Salama in Jesus name 🙏
@carenzigilwa598
@carenzigilwa598 2 ай бұрын
Na iwe ivo
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 2 ай бұрын
MAKONDA ATAPONA,WATU WOTE TUSEME AMINA, WAMEONA ATAKUWA RAISI AJAYE
@SalomeMalema
@SalomeMalema 2 ай бұрын
Namuombea Kwa Mungu aliye hai amponye arejee kwenye Hali yake ya Mwanza nakwanini Mungu utamtendea mwanao Paul Makonda mtetee baba. Amen
@judithsarahmasanja550
@judithsarahmasanja550 2 ай бұрын
Inaumiza sana kwa kweli, yaani mmeona Makonda anasifika kila kona basi mnataka kutuondolea, Eeh Mungu Mponye Makonda, Bado tunamhitaji sana. Ila kiukweli Watanzania tu wapole sana lkn kwa matukio kama haya ya Waziwazi mtatuua wote ili mtawale vzr. Hata kama hawasemi Watanzania tumuombeeni tu kwa vyovyote vile, nakumbuka aliongea hadharani siku moja kuwa ametumiwa watu wa8 wa kumuua, sasa ikashindikana wameamua waweke Sumu na itakuwa ni watu wa karibu sana na marafiki. Ee Mwenyezi Mungu hujawahi kimuacha Mtu anayekuja mbele yako, tunaomba Uponyaji kwa ndg. Na kipenzi chetu Paul Makonda.
@MwanahamisiHashim
@MwanahamisiHashim 2 ай бұрын
Duh ila nchi hii mtu ukiwa mzalendo lazima wakuue mungu akulinde broo mim naamini mungu yupo
@patelokoh5828
@patelokoh5828 2 ай бұрын
Quick recovery sir I'm from Kenya but I real watch your concern. Through you cube...
@JushuaBugali
@JushuaBugali 2 ай бұрын
Alafu mnajiita serikali yawanyonge akitpatikana mtetezi wawatu mnamuuwa laanaya jpm hamjaimaliza mmeanza tena mengine
@ZuhuraAbdulrehman
@ZuhuraAbdulrehman 2 ай бұрын
Poleni.ndugu.zetu.watanzan8a.from.kenya.mungu.amponye.makonda
@AgnessZephania
@AgnessZephania 2 ай бұрын
Jamani mungu amponye paul makonda awe mzma mtetezi wa wanyonge jaman
@kivurimwerumungwi
@kivurimwerumungwi 2 ай бұрын
we pray for your Health . God will be with you . amin
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 ай бұрын
Hii ikiwa kweli basi nchi hii haitakuja kupata kiongozi mzalendo wote wataogopa kuuawa na mawakala wa shetani wauao mwili
@fransiscajohn4373
@fransiscajohn4373 2 ай бұрын
Ee mungu tunakuomba uponye Mh : Makonda kiukweli ni mtetezi wa watu wote haangalii sura wala kabila tunakuomba mungu umsaidie ili aendelee na kazi nzuri hakuna wa kufananisha naye 🙏
@antoniaseif2480
@antoniaseif2480 2 ай бұрын
Mungu asimame nawewe atete na wanao Tena nawe apigane na wanao pigana naweee❤😢
@NURDINMgaza
@NURDINMgaza 2 ай бұрын
Yuko wapi mtetezi wa wanyonge?
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 2 ай бұрын
Kuhusu mkuu wetu chochote kikitokea basi na sisi tutafanya chochote kwa waliohusikaaa. Hatutakubaliiiii hataa kidogoooo😢😢
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 ай бұрын
Hill.neno
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 ай бұрын
Mungu akusaidie DC makonda nakupenda sana kwa kweli kwa kazi unao ifanya from omani ❤️😍💕
@stephenmhando4785
@stephenmhando4785 2 ай бұрын
Makonda ni RC ARUSHA
@NgomelejiSindiyo-yt5ib
@NgomelejiSindiyo-yt5ib 2 ай бұрын
Ni Rc
@gloriamavura3706
@gloriamavura3706 2 ай бұрын
Mungu wetu ni mwema sana, atakuponya,Damu ya Yesu ikasafishe hiyo sumu yote kwenye kwenye mwili wa Makonda mtumishi wa watu,Apone,na aliyefanya hivyo Mungu ndio mtoa hukumu.
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh 2 ай бұрын
Kwa tetesi hii imeniuma sana nakama ndivyo naomba mungu amponye mi chadema ilakwa huyubwana mungu tusaidie apone
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 2 ай бұрын
Watanzania mtaua wenye haki na huruma kwa masikini mpaka lini? BWANA YESU kiristo wa nazaleti usiruhusu kifo Cha makonda maana hakijaruhusiwa na wewe kumbuka kazi yake njema. Umponye MUNGU uwezae
@FatmaAlabri-lz2cw
@FatmaAlabri-lz2cw 2 ай бұрын
Allah amlinde
@HamadiHussein-y8l
@HamadiHussein-y8l 2 ай бұрын
mwenyezi mungu muumba mbingu na arthi mponye kiongozi huyu wa wanyonge
@SingaiEmanuel
@SingaiEmanuel 2 ай бұрын
NAKUOMBEA sana Paul sana mkuu wa mkoa wetu wa Arusha upone haraka
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 ай бұрын
Mungu akuponye nakupendaaa,
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 ай бұрын
Get well Baba Keegan Got he is with you always🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@JosephinaNyoni-l3b
@JosephinaNyoni-l3b 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuponye baba.mtetezi wa wanyonge nakuombea sana
@SanziNzige
@SanziNzige 2 ай бұрын
Washenzi nyie na huyu Tena?. mmezoea Sasa na mjue kila jbo nna za mwizi NI 40 Safari hii Safari hii Safari hii.haya
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 2 ай бұрын
M.Mungu amsimamie jamani kwanini Tz kila mtetezi wa wanyonge mnataka kumtoa roho inasikitishaaaa😢😢😢😢😢
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 2 ай бұрын
Mungu amponye jmn mtetez wa wanyonge 🙏
@LascoMwasege
@LascoMwasege 2 ай бұрын
Tunaomba kwa Iman mwenyez mungu amlinde tumuombee apone haraka Dunia mzima ifunge kwa maombi tunampenda saaana
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 2 ай бұрын
Amen hakika makonda ni jembe letu tumuombee jamani
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Safari hii kitawaka hatukubari tumechokaaaaaa
@DeboraCalton
@DeboraCalton 2 ай бұрын
Niko pamoja na wewe
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 ай бұрын
Ndivyo ilivyo. Anayesema ukweli au kufichua maovu anapata majanga.
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 2 ай бұрын
Tuamke
@KikwaleRashid
@KikwaleRashid 2 ай бұрын
Nipo palee na wangalia mnavyo pigwa mabom
@HappyArcticBirds-iy3dg
@HappyArcticBirds-iy3dg 2 ай бұрын
Tumechoka kwakweli
@patelokoh5828
@patelokoh5828 2 ай бұрын
Makonda is like the late Magofuli. Mtetezi wa wanyonge
@AnnaMsigwa-oi8do
@AnnaMsigwa-oi8do 2 ай бұрын
Uwiiiii,jamani mungu ingilia Kati mponye kakaetu mnusulu na hili,ndugu zanguni mnataka kiongozi awaje awafanyie nn?
@Zubaiba
@Zubaiba 2 ай бұрын
Mungu nakuomba mponye makonda😭
@godlovekinyunyu-lk3hu
@godlovekinyunyu-lk3hu 2 ай бұрын
do!!! very sad!!!❤but God can
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 2 ай бұрын
Jamani hii ndio Tanzania kama ni sumu kweli akipona anitafute nimpatie dawa hata wakiweka sumu haifanyi kazi. Mungu amponye mtetezinwetu
@EliafuraGabriel
@EliafuraGabriel 2 ай бұрын
Mungu umlinde🙏
@irenejoh1242
@irenejoh1242 2 ай бұрын
Aliefanya hivo familiar yake yote iteketee kwa jina la yesu,,be healed our RC😢😢😢😢❤
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro 2 ай бұрын
Feel better soon and be healed in Jesus Name
@DeboraKaaya-du9ot
@DeboraKaaya-du9ot 2 ай бұрын
Mungu kumbuka vilio vya wajane yatima na masikini kama nikweli!!! Kufa Afi subirieni fimbo ya mungu
@BakariMohamed-q1k
@BakariMohamed-q1k 2 ай бұрын
Hii nchi inakokwenda sijui yaan akitokea kiongozi anaetetea wanyonge wanamuundia trik za kumpoteza hii sio sawa na ninaamin paul atapona kwa uwezo wake muumba! Mungu yupo jaman tuendelee kumuombea mtetezi wetu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Ndo nchi ya Tanzania ilivyo lakini mungu atamponya amtete Kwa sababu hakuna anawenza kubishana na mungu na hii nchi mambo ya vificho siyo nzuri watu waambiwe ili waendelee kumwombea duh nchi Gani hii ya rabi
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Watasema nn na wao ndo watendaji wakuu kwani kwa magufuli ilikuaje
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 2 ай бұрын
Hatutaelewa
@fellisianholle9431
@fellisianholle9431 2 ай бұрын
Pole sana mkuu Bwana akuponye
@GodfreyJ.GMasunga
@GodfreyJ.GMasunga 2 ай бұрын
Namkumbuka Ben Saanane.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 2 ай бұрын
Kama ni kweli Damu ya Yesu Kristo imponye kwa Jina la Yesu Kristo
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 2 ай бұрын
Mungu ni mwema na atapona tu kwa jina la Yesu🙏
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 ай бұрын
Makonda ni mzarendo ,
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 2 ай бұрын
Huyo aliemwekea nae ataishi mpaka lini? Kwani yy atabaki wa mbegu tz? Mungu mponye mwanao🙏🙏
@masoudnzowa4608
@masoudnzowa4608 2 ай бұрын
mungu amfanyie wepesi inshaallah
@MsafirialfaTemba
@MsafirialfaTemba 2 ай бұрын
Mungu tunaomba tusahidiye makonda wetu Arusha tunaumiya sana Arusha pesailikuwa ahionekani lakini Paul makonda alipokuja vituvingi vimefanyika napesa tunazihona makonda usituhache baba makonda shujaha wetu emungu turudishiye shujaha wetu
@irenejoh1242
@irenejoh1242 2 ай бұрын
Tupo hapa watanzania tunakulilia,,😢😢😢😢😢😢upone haraka mtetezi wetu nusu ya watanzania wote ni masikini tunakuombea hata kwa kufungua upone haraka kaka yetu❤
@romanasanga94
@romanasanga94 2 ай бұрын
Mungu ampiganie! Get well soon
@PaulbuttaButtapaul
@PaulbuttaButtapaul 2 ай бұрын
Inauma sana hata chakusema sn😭😭😭😭😭😭😭😭
@WillibartJames
@WillibartJames 2 ай бұрын
Mungu akusaidie upone haraka
@AminaTanzania
@AminaTanzania 2 ай бұрын
makonda makora baba wamekuwekeea sumu kweri duu tanzania haina urizi kweri mangufuri dumu makonga sumu wasukuma hawana haki kuongonza taifa jsnani nimeria kwa hasira sana jamani makoda mhhhhhh mungu akutangurie baba angu upone jamani
@LaurentMagesa-iv5yt
@LaurentMagesa-iv5yt 2 ай бұрын
Mh makonda watanzania tunakuamini na tunakupenda sana mungu akuponye wewe ni mzalendo wa kweli
@PeninaMatemba
@PeninaMatemba 2 ай бұрын
MUNGU Wa haki umesema utateta nao wanao teta nasi mponye mtumishi wako P.makonda mtetezi wa wanyonge😢😢
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 2 ай бұрын
Magufuli tena Makonda dahhh!!😭😭😭😭
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 2 ай бұрын
Naomba kwa Mungu yule aliyemwekea sumu, apate mapigo ya kutosha kabisa. Mungu mlinde mtu wako Makonda.
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 ай бұрын
Tuko bize kuwaombea akina Azori Gwanda, Mawazo na wengine walio uwawa na kupotezwa kwa ajili ya kupigania haki ya Mtanzania,
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 2 ай бұрын
Nchi yetu itaendelea kumwaga damu ya Watu wasio na hatia mpaka lini?
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Mpaka pale kila Mtu atakapo tambue yeye ni Mfano wa Mungu. Hakuna mmoja wetu anayemfanana Mungu zaidi kuliko mwenzake. TANU ilifukuza Mkoloni kwa kutumia nguzo hiyo.Hiyo nguzo imepuuzwa huku tukiimba nyimbo za sifa na shangwe. Tufanyie kazi ukweli halisi
@queenolais2098
@queenolais2098 2 ай бұрын
Eee mungu mlinde makonda mponye na iyo sumu aliyopewa na hao mashetani wa nchi wasiotaka kuambiwa ukweli
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 ай бұрын
Jamani nimeliaaa😢😢😢😢 kweli nyiee jamani jamaniii Tanzania
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 2 ай бұрын
Daaaaah..........,mnanifanya nichoke kukaa kimya sasa.......
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 2 ай бұрын
This news is very sad true
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 2 ай бұрын
Kila mutu anatenda ayo kumupa sumu!ayuwe anaingiza laana mbaka kwenye kizazi chake!malipo niapa duniayani Mungu awakemeye
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze 2 ай бұрын
Na ndo hao hao waliompiga risasi tundu lisu Mungu aliyemponya tundu lisu amponye na Makonda wote tuseme amina
@MsafirialfaTemba
@MsafirialfaTemba 2 ай бұрын
Pole sana shujaha wetu
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship 2 ай бұрын
Yaani aliyemuwekea afe yeye makonda apone kwa Jina la Yesu.
@franciskavyega280
@franciskavyega280 2 ай бұрын
Big AMEN
@OmanOman-ty6ef
@OmanOman-ty6ef 2 ай бұрын
Allah atamponya naatampa afya yake kwaharaka
@alexkamba5264
@alexkamba5264 2 ай бұрын
Mungu yupo pamoja naye hakika ataishi ili kuaibisha ushetan
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 2 ай бұрын
Yesu akusimamiye Kama kunajambo
@KhatibSebiga
@KhatibSebiga 2 ай бұрын
Kama ni kweli amewekewa sumu Mungu ammnusuru
@Avith-lj2sp
@Avith-lj2sp 2 ай бұрын
God bless Africa God bless Tanzania God bless Paul makonda
@MAIkojumaikelyaIkelya-ug1uh
@MAIkojumaikelyaIkelya-ug1uh 2 ай бұрын
Mungu mnusulu mheshimiwa Makonda
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 2 ай бұрын
Nikikumbuka ya Magufuli kwa kweli sitaki kukumbuka Mungu amlinde awe salama
@thomasernest4363
@thomasernest4363 2 ай бұрын
Neno la Mungu linasema hata mkinywa vya kufisha havitawazulu Marko 16:18 namuombea Bwana Yesu Kristo Ampoyee Katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth .
@zaiboris9696
@zaiboris9696 2 ай бұрын
Allah atamfnyia wepes apone haraka
@titosimon4360
@titosimon4360 2 ай бұрын
Damu ya YESU iponye
@rahmasaid9351
@rahmasaid9351 2 ай бұрын
😢ooh
@Danfordfungo-m4y
@Danfordfungo-m4y 2 ай бұрын
mungu kama ni kweli kuna mtu au watu wamwfanya ivo mungu awalaan sana pia mungu tunaba umponye ndhgu yetu poul makonda
@Kwarasi
@Kwarasi 2 ай бұрын
Mimi binafsi huwa siamini haraka kama wengine Kwa sababu Hawa viongozi huwa suala la kuwelewa sumu huwa Lina ewaongezea zaidi umaarufu Kwa wananchi Kwa hiyo wajomba tusikurupuke siasa mchezo mchafu sana na hasa viongozi wetu wanatuonaga sisi bado laia wa enzi za mwalimu nyerere.
@EmanuelKitokero
@EmanuelKitokero 2 ай бұрын
Ni kwel ww
@PiusKimaro
@PiusKimaro 2 ай бұрын
Inawezekana Kiki.anataka urais.
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 ай бұрын
Kwa msaada wa Mwenyez Mungu upone Paul Makonda
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi 2 ай бұрын
Mh pole kiongoz Ila naic upo sawa na pia umeshapona
@farajambilinyi6741
@farajambilinyi6741 2 ай бұрын
Mungu tenda muujiza...
@Kelviniemileemile
@Kelviniemileemile 2 ай бұрын
Watanzania wote tuamke kwani kama viongozi wetu wazuli wanakufa kwa ajili yetu sisi ni nani tusife kwa ajili yao ,magufuli wamemuuwa ,na makonda ,tena sasa mnao fanya hiyo michezo mna muda mfupi sana maana mnatutengenezea chuki sisi wana nchi ,uhulu haupatikanu kwa maneno lazima wachache wafe ili kuokowa wengi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
Kwa uwezo wa Mungu atapona InshaAllah
@GodfreyMbikasana
@GodfreyMbikasana 2 ай бұрын
Mungu atakusaidia
@margarethswitbert
@margarethswitbert 2 ай бұрын
Hakika wanadamu hatuna wema,ila kwa jinsi ulivyowatetea wanyonge Mungu aliyehai akuponye kwa Utukufu wa jina lake Takatifu.
@JosephChacha-kq6ki
@JosephChacha-kq6ki 2 ай бұрын
Huyu naye akifa sasa ni wazi kwamba nchi haitawaliki na viongozi wengine wapo hatarini sana , hii inaleta picha mbaya sana kwenye nchi
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 2 ай бұрын
Pole mungu akuponye
@EvaKolab
@EvaKolab 2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akuponye.
@rashidbusanya5843
@rashidbusanya5843 2 ай бұрын
Daah hii tariifa imeniumiza sana hadi natoa machozi eee Mungu msaidie huyu Rais wetu mtarajiwa poul makonda
@SablinaNgweta
@SablinaNgweta 2 ай бұрын
Siku zote katika ulimwengu mtu mwema na mwenye huruma itambuluke kua mtu huyo ni mboni ya jicho la mungu msifikiri kua Ile mijitu iliyo jaa laana inayojiona Dunia ni Yao inapenda mtu mwema ila mijitu kama hiyo siku zote ayanaga amani Kwa sababu ni mapandikizi ya ibilisi nimijitu miofu mingine utaona ikicheka lakini ni nibaya kama nyoka
@irenejoh1242
@irenejoh1242 2 ай бұрын
Walituulia magufuli wetu na huyu tena😢😢
Senate gukindira kuhagurwo kwa Rigathi Gachagua ta munini wa President
28:27
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,9 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 9 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,4 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 9 МЛН