Ushauri wangu Yanga ipewe jezi ya Taifa star iwakilishe nchi kabisa
@Prince-rafaelАй бұрын
Goli la chama kuna watu hapa Tanzania linawaumiza sana kuliko hata CBE wenyewe
@AtupeleFestoАй бұрын
hahaa wanywe sumu tuu ya nn kuumia na huo ni mwanzo atafunga sana
@ElizabethMasterАй бұрын
Hahaha makoroooo lazima waumie
@FloraChami-o7sАй бұрын
Panya rod
@rukiakyaka1827Ай бұрын
Alhamndulilah tunamshukuru M/Mungu kwakutuwezesha yalio ya Kheir na mafanikio nakuomba M/Mungu tuzidishie zaidi na zaidi kwenye Timu yetu Inshaallah
@cliffmwande3145Ай бұрын
Dah raha hii utaniuwa yanga oyeeeeeeeeee💚💛💚💛💚💚
@hassanparamana2215Ай бұрын
Ally Kamwe najuwa siku ile mamelod tuliumia sana sasa hii dua tulio iomba leo basi Yarab atusikie atupokelee dua yetu mamelod tunamtaka mchana usiku asubuhi mda wowote ule watueleze lile goli la Aziz ki goal au sio goal kudaaadeeekiiiii 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@AngelinaHassan-fe3jpАй бұрын
𝙐𝙢𝙚𝙣𝙚𝙣𝙖😂😂😂
@Samwel-y4dАй бұрын
Ndo utalia ten hna uwezo wakumfunga mamelody 😊
@DenisRukangulaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@charlestobby6031Ай бұрын
@@Samwel-y4dSasa mamelodi wana nini kama sio figisu tu
@Samwel-y4dАй бұрын
@@charlestobby6031 figisu ipi ya kupiga penalty juu
@phillephillip6091Ай бұрын
Mimi msimbazi lkn wanahabari mjipange, huyu kijana anatakiwa ahojiwe na CNN, BBC, Deutch Welle, Aljazeera na vyombo vingine vya kimataifa. Mmepwaya sana waandishi.. Kila swali mnalouliza mna pigwa shule adi mnapigwa bumbuwazi😂😂😂
@mwananganziАй бұрын
Naitwa Boka Chama pakome
@YudaMsafiriKamanijaАй бұрын
Tusipoleta kombe la ccl nahama nchi
@Prince-rafaelАй бұрын
Kama rais wetu Samia atopunguza kiasi alichoweka kwenye goal la mama hii yanga itajakuwa na deni na taifa Yani stoshanga kabisa kuona ikitajwa bungeni kuwa na wao wanadeni na nnchi hii maana haiwezekani watu wanafunga lakn bado hawariziki wanabeba mpira wanarudi kati.
@IbranationMainaАй бұрын
😅😅😅 dah umenichekesha kwakweli
@FatmaAliy-ld4dgАй бұрын
😂😂😂tulitaka goli10
@issamagabiro3162Ай бұрын
Kwa kweli hata Mimi Nina 😊hasira na Mamelodi CAF, ama zao ama zetu
@AnthonyShirima-z6vАй бұрын
Mudathiri alitimiza furaha yake pale alipofanikiwa kuweka mpira kambani akiwa uwanja wa nyumbani kwao
@yuzomanenoАй бұрын
YANGA bingwa 🙌🙌🙏🇯🇲💥💥💥💚💛wakwaza like zenu wadau🙌🙏
@Halima-xc6ogАй бұрын
bingwa sn xiyo kitoto
@devothaignatius5256Ай бұрын
💚💚💚💚💚Yanga utaniua mie cio kwa udambwi udambwi.makolo sasa kaeni 🤫🤫🤫🤫
@RehemaMwakisyala-k9uАй бұрын
Kamwe nakupenda bure unajielewa si usemaji tu hata uchambuz unafaa
@EmmanuelMrimi-v1rАй бұрын
Yanga naipend daima
@remidusmwanandenje-yy5gsАй бұрын
Yanga bingwa🙏🙏
@KulwaElias-c3dАй бұрын
Inafurahisha sanaaa na najivunia kuwa na Young African
@elizabethismile6827Ай бұрын
Ila ally😂😂😂😂et mmoja asafishe Miwani bas😂😂😂😂😂
@immaabukuku7180Ай бұрын
Ivi kumbe simba ndio mlikua mna-enjoy na chama ivi na hamsemi
@NuruNyanja-kz1qrАй бұрын
Naipenda yanga yangu inanipa rahaaaa
@MariamuHussein-l4oАй бұрын
Yanga rahasana
@hafia.056Ай бұрын
Yanga Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi
@JennyjonhАй бұрын
😂😂😂Ila Yanga wambea nyie sa kusikitika gan huko
@ZamdaMpitaАй бұрын
Sawa tunashukuru lkn mama angalie upande
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Hivi kwa yanga hii inavyocheza Yule mzee magoma anatutaka nini🥹🥹🥹🥹🥹
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
Achana naye kwa sababu yeye ni katika wale wahafidhina wajinga (ignorant conservatives)
@SabrinaSalehe-h9uАй бұрын
Mimi dua tu nimelipenda sana
@hellenmgonja6137Ай бұрын
Nakukubali sana msemaji wetu
@NuuhKatotoАй бұрын
Hii yanga itacheza na man u
@rasakakaombweАй бұрын
Yanga itakuja kufunga mtu gol10
@Abdul-jj6lqАй бұрын
aliyempa ally kamwe cheo hiki mungu anamuona😂😂😂
@GreyGosbertАй бұрын
Duuuh nimesikia yang wana mpango wa kuifunga silikal ma inafunga sana laia😢😂😂😂😂😂😂😂💚💛💚💛💚💛
@fazo-kl9fuАй бұрын
Ila mm naomba mkude awe anaanza apo kati
@personalitiesan9806Ай бұрын
Hv yule msemaji wa vitalo ameiona mech huko kwao
@rehemamahendeka-rm2ekАй бұрын
Cjapata mfano wake vjn walivokuwa na mzuka/mdadi wa KUMIMINA MAGOLI kwa CBE yaani kila baada ya goli kwa kac ya ajb wanaweka gozi kati KABUMBU LIENDELEE,Asanteni asanteni asanteni sana mno vjn wetu,HAKIKA MNAWEZA kila jema 2024/25
@benjaminmoshi2965Ай бұрын
Acha wachezaji wale mama samia yupo vinzuri
@Prince-rafaelАй бұрын
Kati ya mtu ambae aongelewi Sana lakin kwenye mchezo wa leo wametupa ubora wao wa muda wote au wametupa kile tulichokuwa tunataman kukipata na hatukukipata n Chama na baraka mpenja Hawa ndio wamekuwa kivutio Sana.
Semaji la Cuf hebu jitaidi kuitafutia YANGA uhamisho ili ihamie EPL maana huku Afrika ishakosa wapinzani.
@BahatiIsanguАй бұрын
Jmn yanga unanipa Raha mie mpaka sisikii njaa yanga oyeeee
@Prince-rafaelАй бұрын
Kama nimewai kusema chama n mzee naomba nisamehewe nilikuwa nmekunywa mama muuza buzaa alinichanganyia chibuku na wanzuki kwa wakati mmoja🙏🙏
@AaAa-tf7slАй бұрын
😂😂😂😂
@RamseykingGeniusАй бұрын
😂😂
@ashamkesa979Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@VeronicaZumbaАй бұрын
😅😅
@emmanuelndotela9412Ай бұрын
Mjinga wewe 😂😂😂
@monicalucas3738Ай бұрын
Tunaomba MUNGU awepisje wachezaji wetu na majeraha 🙏
@kelvinjoseph4545Ай бұрын
Hizo pesa za magoli si wawape hata vijana mitaji kuhusu hamasa kila timu inalengo la kufanikiwa itajihamasisha yenyewe,yanga watamaliza hizo pesa
@AlexMbagataАй бұрын
Hata mbinguni Kila mtu atavuna alichopanda,hongereni.
@oscarmwailubi5078Ай бұрын
Nawaonea huruma watakaokutana na YANGA kwenye MAKUNDI
@rukiakyaka1827Ай бұрын
Allah humma Amini
@JanuaryJohnMhanziАй бұрын
Wakwanza leo🎉🎉🎉
@AzhadSaid-j1tАй бұрын
Manara pole
@FRANKNTIBENDA-m4xАй бұрын
Alichonifrahisha gamond nikutowaweka wote CPA hapo aliua huenda angefanya ivo kule naakaanza mzize tungeshuhudis mengne zaidi yahaya make ukiangalia mpinzan leo kawa imara kuliko kule kwake 😂😂😂
@Dipeson700Ай бұрын
Mpewe raja😂😂😂
@mwanapiliali8504Ай бұрын
Yaani yale magoli mwili ukikuwa unanisisimka
@albertvalentino130Ай бұрын
Boka Shadrack --- Mei day Mei day --- lile ni " Jitu mwitu msitu " dume lina upepo wa kutisha ---- litawatesa sana -- mpaka mcheeeeeme.
@emmanuelodiemboАй бұрын
😂😂😂Gamondi alishangaza anagoli nne bado anaonesha mda waharakishe
@PriscaMaswagaАй бұрын
😊 nae anataka goal. La mama jaman
@Hgd-jk6lhАй бұрын
Yangaa inatupa rahaaa😂😂😂hadi tunasahau kama tupo single wengine 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@PeterBernard-j2wАй бұрын
Uko saiii mkuu chama Simba hirikua inamfanya awe mzee
@BukharyTaufiqАй бұрын
Dooooh dua
@JustinMilly-vx8mqАй бұрын
dua ya kibabe❤❤
@AthmanKijaziАй бұрын
kukaasikumbiri birakuwangariya yanga nivigumusana kwakweri c mchezo
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Yanga yetu oyeeee🎉🎉🎉🎉
@elizabetty-rt7pyАй бұрын
🙏🙏 amen amen
@MaulidyMadyoАй бұрын
Na ivi n8 kembamba
@SaadIssa-c9oАй бұрын
Yanga hiyo timu ya Ethiopia siyo ya kujitamba nayo,ngoja tuone makundi
@SwebeYongoАй бұрын
Tuta maliza pesa za mama kunamtu atakula gori ya idadi ya wachezaji waliopo wanjani
@asifznzАй бұрын
SASA MNAANZA KU KUFURU MIMI YANGA LAKINI HIZI DUA AHHHH ANGALIENI MNACHOKI SEMA
@jumannemsengi2195Ай бұрын
Ww sio YANGA ni KOLO tulia utajua we😅
@RehemaMwakisyala-k9uАй бұрын
Kibaya gan hapa kilichosemwa
@DhahabuSafiАй бұрын
Kufungwa wamefungwa, wamechambuliwa kama karanga wamapepetwa kama mpunga, Hiyo imeeenda . Furahini kimoyomoyo .Haijalishi mengineyo.
@ausonjustinian4673Ай бұрын
YANGA YANGA YANGA JMN... MNA MPANGO GANI? WA KUIFILI NCHI NINI?? 😅😅😅😅🎉🎉🎉
@WilfredChomo-k4eАй бұрын
Haya mashindano ni CAF champions League. Katika ligi hii ,hakuna timu hafifu.Wachambuzi,chambueni kwa viwango vya kimataifa. Onesha ukomavu epuka uhasama.( Darasa lenu wachambuzi ni nguli Salim Kikeke
@majidfrolian4904Ай бұрын
😂😂😂😂😂 ila Yanga
@maratochacha5308Ай бұрын
Wahooo....🎉🎉🎉
@HellenChalangeАй бұрын
Mbona Azizi K kama mnamzima hivi sasaivi anatajwa chama au ndo mna bland arudi mjini?
Aah we ni mchawi yanga mbele kwa mbele nyuma mwiko yanga piga keleleeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
@hezronisote2133Ай бұрын
Mechi imeisha ko tuendelee na kesi yetu ya kagoma.
@jacksonhyera2230Ай бұрын
Kwa nnn al ahly aachwe😂😂😂😂
@BukhetJuniorАй бұрын
Semaj ilo
@saxannjo6173Ай бұрын
HUJALIONA GOLI KALI LA MZIZE??? TAKATAKA WW
@AlfaMwasofuАй бұрын
Mabingwa wa kihistoria
@josephsanduli.5216Ай бұрын
Makolo wanasonya huko😂😂😂😂
@noelkipera6581Ай бұрын
Semaji lenye akili duniani,,, ahsante kwa data 😅😅😅😅kina mwambino wapate pakufungia madomo
@HABIBHASSAN-wf5mrАй бұрын
ICHINJWE NGAMIA INYWEWE SUPU YAKE PAMOJA NA DUA KUBWA IFANYIKE
@Prince-rafaelАй бұрын
Hii timu ya yanga inakula Sana ela ya serekali maana mpaka Sasa wameshaingiza milioni 85 na hyo ni atua ya awali Sasa wanaenda kwenye makundi sindio watafanya miradi ya serekali isimame.
@maftahmusa9513Ай бұрын
Wakati mnacheza na maiti
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
Nyinyi makolokwinyo tulipowapiga 5 mlikuwa maiti?
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
Nyinyi makolokwinyo tulipowapiga 5 mlikuwa maiti?
@pendaeli5464Ай бұрын
We chaliii Acha mdomo mtoto halali bila nepi
@HenedAidhaАй бұрын
Na mtume utamtaje?
@devothaignatius5256Ай бұрын
Namuona mwl kwambali anafrai mpaka jino la 32 Yanga bwana mtatuua 🤣🤣🤣🤣
@StevenKapugi-y7bАй бұрын
Semaji😂😂😂😂😂😂
@b1vevoАй бұрын
Dah 😂 Young African's is very dangerous
@AbdulIsmail-ie4hpАй бұрын
Jaalia mamelodi katika hatua ya makundi....!! 😀😀😀
@yasrikomba7874Ай бұрын
❤❤❤amiina
@HenedAidhaАй бұрын
Chili kapewa rungu
@LilianBitwaleАй бұрын
Shida wachambuz bila kuichambua yanga kila siku hawanaga content mpya watadorola 😂😂
@ThadeyMawopeАй бұрын
Komedi tu hakuna point apo
@mkudeАй бұрын
Unateseka ukiwa wapi😂😂😂
@ChangaNdoroboАй бұрын
Hawa yanga niwana jisifu kwa wabofu
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Sawa subiri saa 10 Sio mbali tuombe uzima
@emmyleonard5939Ай бұрын
Sisi yanga timu zote tunazokutana nazo nimbovu,ikiwemo simba
@saliminyusuph6122Ай бұрын
Ata Azam na Simba wote ni wabovu.😂😂😂😂😂@@emmyleonard5939
@aishafrancis7714Ай бұрын
Mimi ni mwana yanga damu ila tabia ya raisi ya kununua magol angesitisha kwa sasa watu wana hali ngumu hasa wazee na wagonjwa mahospitary hizo pesa ni bora angesaidia wenye uhitaji,sijaongea kwa ubaya maisha yamezidi kuwa magumu wazee wanateseka sana.
@robertphilip385Ай бұрын
Wewe nikolo acha kutudanganya
@sheezy96sarah55Ай бұрын
@@robertphilip385Yaan hili n likoloooooooooooo mnooooooooo
@saliminyusuph6122Ай бұрын
Roho mbaya inakuuma.
@robertphilip385Ай бұрын
@@sheezy96sarah55 kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
Kila sekta na tasnia ina umuhimu wake tumia akili yako sawasawa