Povu la mashabiki Yanga: Kipigo hiki 3-1 tutaoza, tulilewa sifa, Vilio na Hasira vyatawala Chamazi!

  Рет қаралды 136,380

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 229
@SINGANOJUMA
@SINGANOJUMA 2 ай бұрын
Tabora watu wamaana kabisa🔥🐝🐝🐝
@StelaMaloda
@StelaMaloda 2 ай бұрын
Mo asante sana kwa kututengenezea vijana❤❤❤❤Ilove you Simba
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 ай бұрын
Nasisi tulilia hivyo hivyo zaidi ya miaka 2 iliyopita. MO BOSS WANGU HOYOOO Kwa kutuletea vijana wazuri.❤❤
@JosephChrisant
@JosephChrisant 2 ай бұрын
Kwakweli kumbe Simba mlisha vumilia sana kufungwa inauma mno!.
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 2 ай бұрын
Kiukweli Mimi nilishaona Hawa utopwinyo Wana makandokando mengi timu yao haikuwa Bora kama walivyokuwa wanaisifia na Hilo bado litaonekana zaidi nyie mtaona tuu.
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 2 ай бұрын
Walipitia njia ya chanika lakini kichapo palepale wangepitia mbagala wangekula6
@CyprianMichael-j6q
@CyprianMichael-j6q 2 ай бұрын
Mbona mkifungwa na yanga mnalia wikinzima pamoja na vijanawenu
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy 2 ай бұрын
Kulia kupokezana 😂😂
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 ай бұрын
Safi sana mashabiki wa simba, wale wengine wangeanza ohooo tutavisha sanda, tutaandamana, hatupigi kura basi vurugu tupuuuuu.
@ElinihakiMsuya
@ElinihakiMsuya 2 ай бұрын
Wewe siyo yanga yanga bingwa
@georgebestmponda8017
@georgebestmponda8017 2 ай бұрын
Nimeipenda hiyo mpira una matokeo matatu. Big up mtani mpira unaujua. Nashangaa wapo wanaomtuhumu Mobeto eti anachangia Yanga kufungwa. Wengine sio watu wa Mpira wanapata bahati tu ya kuonekana wanaongea.
@rukayyaaliy9713
@rukayyaaliy9713 2 ай бұрын
Na bado boss mooo tuko juu wana simb❤ llove simba
@AllyjumaSwadi
@AllyjumaSwadi 2 ай бұрын
Daah! Katik shabiki wa yanga anayejielewa ni huyu kaka wa 1 anajitambua Sana
@JohannesMtung
@JohannesMtung 2 ай бұрын
Kiufupi mashabiki was yanga wajifunze kwa Simba na ndoomaan tulikuwa mashabiki bora afrika simba
@DeoUrio-k6f
@DeoUrio-k6f 2 ай бұрын
Yanga bila bacca ni dhaifu , yule bacca anasaidia sana tangu apate kadi nyekundu yanga inateteleka sana,ila ndo mkome unajifanyaga eti yanga hii mnaifungajeeee eeeehee 🎼🎵🎶
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 2 ай бұрын
Kweli yanga imelewa sifa
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 ай бұрын
Joseph ndio tuna kikosi kipana ndio kwanza mwezi wa 12 Kuna vitu vinashushwa. Asante mwanangu Jose❤❤
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn 2 ай бұрын
NAWAZA TU SIKU YA UNYAKUO, UKAJIKUTA UMEACHWA!!! UTALIAJE!?! NAONA WIVU EE MUNGU, UNIKUMBUKE KWENYE UFALME WA YESU KRISTO MWANAO
@FestoMillanzi
@FestoMillanzi 2 ай бұрын
We Broh wa kwanza umeongea vzur sana Yan umeacha upenz umekua mwanasoka, pole mtan
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 ай бұрын
Mtafungwaaa sanaaa na badooo hamjasemaaa
@KulwaRajabu-b6w
@KulwaRajabu-b6w 2 ай бұрын
Mo bosi Asante Kwa kutuletea vijan wadogo watan wakubali kipigo tu wameisha kuwa wazee
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 ай бұрын
Kufungwaaa kubayaaa sanaaa
@rukayyaaliy9713
@rukayyaaliy9713 2 ай бұрын
😮Kashakua azizi k m.baya
@Yassin-z6o
@Yassin-z6o 2 ай бұрын
Kazi ya uandishi ngumu sana, mashabiki mnazinguwa sana. Ukiwa na hasira usiongee.
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 2 ай бұрын
Wewe simba rahaa❤
@yudachelango6824
@yudachelango6824 2 ай бұрын
Huyu jamaa aliyesema TUMELEWA SIFA ANA IQ KUBWA SANA
@OmarySima-r5l
@OmarySima-r5l 2 ай бұрын
Kweli ana IQ kubwa sana hujakosea
@SuddyMpanda
@SuddyMpanda 2 ай бұрын
Sanaa
@mchaleteknik
@mchaleteknik 2 ай бұрын
HAKUNA TIMU YA MPIRA HAPO....SIMBA ITAENDELEA KUCHUKUA TUZO YA MASHABIKI BORAAA
@charleznicholas416
@charleznicholas416 2 ай бұрын
Wakipewa maiki wanaropokatu, hawajuwi kwamba sisi Simba tunafurahia Yanga mkiwa mnalalamika 😂😂😂😂
@mchaleteknik
@mchaleteknik 2 ай бұрын
@@charleznicholas416 na wametufata geto KMC complex
@TwalibumsaaMusharaba
@TwalibumsaaMusharaba 2 ай бұрын
mtani ww 😂uogopi😢 ubaya ubweraaaaa😊 yanga nawapa maua yenu🎉
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Ww ndiyo shabiki muelewa sana
@calistgwaydamuy8813
@calistgwaydamuy8813 2 ай бұрын
Duuuu, yanga Leo mnakimbia maiki, kweli Tabora sio watamuu
@edwardkishiwa3296
@edwardkishiwa3296 2 ай бұрын
DIARA Hakuwa Kwenye Form Kitaalam Tunasema Siku Mbaya Kazini, Tuwaache Waseme Ligi Bado,
@mauaabdul216
@mauaabdul216 2 ай бұрын
pole sana😂
@RehemaRamadhani-o9q
@RehemaRamadhani-o9q 2 ай бұрын
Hii sio poa,Daahh
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 ай бұрын
Utooooo makasirikoooo😂😂😂😂😂😂😂
@mombasa0076
@mombasa0076 2 ай бұрын
YANGA WAACHE KUJIFANYA MALAIKA.
@magreth1492
@magreth1492 2 ай бұрын
Na bado kimataifa kucheza majeruhi wataongezeka tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@homeboy2307
@homeboy2307 2 ай бұрын
hawa mashabiki wangekuwa wanapewa nafasi ya kupanga kikosi wanajua sana kuhusu wachezaji
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 2 ай бұрын
Simlisema tabola niwabovu vipi leo
@NoorSaid-x2q
@NoorSaid-x2q 2 ай бұрын
Azizi ki yupo na mtoto mzuri
@nuruosward8161
@nuruosward8161 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kumechangamkaaaaaa rahaaaa sanaaaaaa
@sadikihemedmlugu2372
@sadikihemedmlugu2372 2 ай бұрын
Ni kweli tumbleweed sifa roho zisituume mpira ndio ulivyo kufungwa kufunga na sare
@RithaDevid
@RithaDevid Ай бұрын
Poleeni
@SophiaMitheo
@SophiaMitheo 2 ай бұрын
Wewe kaka umeongea yanga imewaponza sifa ubaya ubweriri mwenga!!! 2:46
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 2 ай бұрын
😂😅😅 Tuongee mpaka kingoni msimu huuu Ubaya ubwela mwengaaaaaaa😅😅
@leomika8473
@leomika8473 2 ай бұрын
Azizi k arilewa na Tako la mobeto amesahau Mpira uwanjan
@PeterMbelah
@PeterMbelah 2 ай бұрын
Bado hajasema
@judithkombe1644
@judithkombe1644 2 ай бұрын
Smart ni ulevi
@sabatoager
@sabatoager 2 ай бұрын
wametolewa ubikra 😂😂😂😊
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 2 ай бұрын
Huyu jamaa aliyekubali kuojiwa ni mwamba amejieleza vizuri. Kocha Gamondi amefanya makosa sana kuchezesha wachezaji kama Nkane na Musonda. Anatakiwa kuwajibika kabisa.
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 2 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko najua feeling ya kufungwa wamejitahidi Sana
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 2 ай бұрын
Kweli Yanga wamejisahau sana. Wanajiamini kupita kiasi. Hizi mechi 2 ni funzo kwako
@iceking1796
@iceking1796 2 ай бұрын
huyu jamaa alie sema Azam wenyewe wanaushindwa huu uwanjaa kanichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kichwaMasta-ys6wt
@kichwaMasta-ys6wt 2 ай бұрын
Kaua sana😀😀
@HamisiKianga
@HamisiKianga 2 ай бұрын
Mashabiki wa hivyooo😂😂😂 hamjasema na mtasema
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 2 ай бұрын
Chama kashampoteza aziza kii😂😂😂🙌🙌
@SaidKasuka
@SaidKasuka 2 ай бұрын
Nyuki hakumbatiwi
@davidjoetv9595
@davidjoetv9595 2 ай бұрын
Naenjoi sana kuon hv
@merycianshinda546
@merycianshinda546 2 ай бұрын
Baaaadoooo hamjasema
@TimotheeMutima-v6k
@TimotheeMutima-v6k 2 ай бұрын
Wana yanga shitukeni amjaona kama yanga wanarogwa pale azam complex badilisheni uwanja jameni washa waroga
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Kufungwa ni haki yetu shida ilianz mwanzo kucheza na kushinda kimazoea, mpira wa hovyo nikazungumza nikaambiwa shida point tatu...haya hiz zinaenda kwa wenzenu
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 2 ай бұрын
Ww tuheshimiane😁😁😁
@madiziarts
@madiziarts 2 ай бұрын
🎉Umesikia da mjomba shangazi 😂😂
@davidwatson6821
@davidwatson6821 2 ай бұрын
😂😂😂 tumeisikia mjomba shangazi
@FabiDthree-ro1ms
@FabiDthree-ro1ms 2 ай бұрын
😂😂😂
@Hamadikassim-y4y
@Hamadikassim-y4y 2 ай бұрын
Na mkenda uwanja mwengine mkifungwa mtasemaje
@mussangalawa2403
@mussangalawa2403 2 ай бұрын
We tuheshmiane😂😂😂
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 2 ай бұрын
Halafu utalisikia jitu linasema utopolo wakifungwa hawalalamiki
@leahmuhone1847
@leahmuhone1847 2 ай бұрын
Umesikia wametoka kawama ?
@leahmuhone1847
@leahmuhone1847 2 ай бұрын
Cc Huwa hatutafuti sababu zilizo nje ya mpira,hatulaumu makocha na magoli tumefungwa ya halali kabisa
@NgoyaiLaizer
@NgoyaiLaizer 2 ай бұрын
Dah mna moyo jamani
@misojibahati6110
@misojibahati6110 2 ай бұрын
Inauma sana basi tu
@SaidSuleiman-s7p
@SaidSuleiman-s7p 2 ай бұрын
Yani jamaa alie sema tumelewa sifa kanifurahisha san kaongea ukwl sifa nyingi yanga
@ProsperGabriel-k3k
@ProsperGabriel-k3k 2 ай бұрын
Mfalme Belishaza
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 2 ай бұрын
Acheni Utoto Mnalia Nini Sasa😂😂😂😂
@nicholausyusti4068
@nicholausyusti4068 2 ай бұрын
😂😂😂
@Ibrahimmeshilieki
@Ibrahimmeshilieki 2 ай бұрын
Wapeni pole sana jamani dah😅😅😅😅😅😅
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 ай бұрын
Yule jamaa aliyesema yanga wamelewa sifa ni shabiki sahihi wa yanga ni kweli yanga Wana team nzuri sana ila tatizo wamelewa sifa
@RajabuRamadhan-cy4cj
@RajabuRamadhan-cy4cj 2 ай бұрын
Poleni yanga,kutesa Kwa zamu na zamu inauma,nasi tuliumia hivyohivyo ndani ya miaka 3,Ila Sasa mo katueshimisha katuletea vijana nguvu kazi ,ubingwa mwaka huu ni wetu simba,yanga tupisheni wenye makombe yetu tumerudi
@Mr4Real
@Mr4Real 2 ай бұрын
HIVI VILIO SIO VIGENI HAPA MJINI LABDA KWA WAGENI WA MJINI 😅
@Devinyamuntu
@Devinyamuntu 2 ай бұрын
ILAA NYUKI WANA TABIA MBAYA SIKU ZOTE UWIIIIII UWIIII UBAYA UBWELA RAHA NYIEEEEE😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
@joanitamligo6321
@joanitamligo6321 2 ай бұрын
Jamani simliupa uwanja mwatano 😂😂😂 leo uwanja hauwafai
@CrosumuAlly
@CrosumuAlly 2 ай бұрын
Hahahahahaha mnalia mmekosa kazi yakufanya tabora atar
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 2 ай бұрын
TATIZO LA AZIZI KI HAMJAELEWA NYIE , KABLA YA MECHI ANAPEWA MECHI NA MOB,,,,,NDIO MAAAAANA
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Poreniiii mtaniii😂😂😂🐸
@TwaimTwaim-n7r
@TwaimTwaim-n7r 2 ай бұрын
Taarifa ya hsbari
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 2 ай бұрын
Nyuki wamewakomesha msimlaumu azizi mbona mwanzo mlikua mna mdifia acheni unafki mmeishiwa mbinu
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 2 ай бұрын
Vibabu hivyooo😂😂😂
@Loui_2766
@Loui_2766 2 ай бұрын
Mambo yameanza kuchangamka😅😊
@JenniferAndrew-u6v
@JenniferAndrew-u6v 2 ай бұрын
Jamani shabiki kaongea vzr rudini uwanja wa mazoezi😂😂😂 msilewe sifa
@RehemaRehema-s3i
@RehemaRehema-s3i 2 ай бұрын
Nyie wananchi mnakikosi kipana na Leo mmepanua mkagongwa 3 but sis wanyama kikosi chetu ni kikubwa so mkubwa ni mkubwa tu hajawahi kua mdogo na hapo mpaka mseeeme
@MaldyMaldwex
@MaldyMaldwex 2 ай бұрын
😅😅😅mwekeni kayoko awe refa ndo mtashinda
@omeganthale3220
@omeganthale3220 2 ай бұрын
Utopolo kaliwa kiboga
@shimagibson1568
@shimagibson1568 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 3 simchezo
@NicolasRafael-w9f
@NicolasRafael-w9f 2 ай бұрын
Nikolausi
@VailetMashaka
@VailetMashaka 2 ай бұрын
Wachezaji Amna😏😏😏😏😏
@AsiamohamedMasauni
@AsiamohamedMasauni 2 ай бұрын
Kayoko fc sindano fc 😂😂😂
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Leo,uchawi tena ngebeee zinawaponza yanga
@abubakarmtaki9172
@abubakarmtaki9172 2 ай бұрын
Mashabiki wa yanga wanajua Sana mpira wanaongea vizuri hawatukani
@hashimabdallah673
@hashimabdallah673 2 ай бұрын
Tatizo kubwa Azizi anakopangwa Julia hawezi kupiga Julia arudi kushoto kwake
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 2 ай бұрын
Nawaona chama na baleke wanatamani warudi simba maskini simba sasaivi sio Ile tena chama tulikuimba sana ila dooooh
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 2 ай бұрын
Yes aibu kwao shame of Chama na Baleke
@abubakarkapena739
@abubakarkapena739 2 ай бұрын
Kumbe mpira bado hatujui watanzania kufungwa ni kawaida
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 2 ай бұрын
​@@christinainnocent3184hivi unajua mpira kweli wewe..au unaongea kwa mihemko
@ShomarSalum
@ShomarSalum 2 ай бұрын
Bado amjasemaaaaaa😂😂😂😂
@nicholausyusti4068
@nicholausyusti4068 2 ай бұрын
Poleni sana ndo ukubwa huo🐸🐸🐸🐸
@AmosiPeter-z3g
@AmosiPeter-z3g 2 ай бұрын
Mwambien mwiguru ainunue na tabora
@yohanalukindo3737
@yohanalukindo3737 2 ай бұрын
Eti mchawi anamuita mwenzie mchawi maajabura😅😅😅 sindano fc
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 2 ай бұрын
Unamwacha Kibwana Mkude unategemea nini.....
@DeoUrio-k6f
@DeoUrio-k6f 2 ай бұрын
Nenda yanga uwe ww kocha ww si unajua ukocha kamtoa gamond uwe ww unapanga kikosi , mmepigwa husitafute kichaka Cha kujifichia , au husitafute mtu wa kumvisha furushi la lawana mbona gamond kocha mzuri sana wakat inashinda sana mbona hukuongea hivyo kwamba mbona hamchezeshi mtu Fulani mkifungwa ndo unaona watu wakuchezeshwa , nenda kacheze na ww km rahis
@charleznicholas416
@charleznicholas416 2 ай бұрын
Unamsusia nani,,, susaaa 😂😂😂😂
@PeterMuhina
@PeterMuhina 2 ай бұрын
Wanavyolia mpk rahaaaa😅😅😅😅😅😅
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 ай бұрын
M😂😂umlaumu mobeto
@kakak1245
@kakak1245 2 ай бұрын
We tuheshimiane😢
@GraceSadalla
@GraceSadalla 2 ай бұрын
Yaan yanga nikubwa kiasi kwamba mtu akiifunga anadhani ni ubingwa
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 2 ай бұрын
Aaaaa, hayo ya mkosaji. Sasa kama mnafungwa mtakuwaje mabingwa? We unaongea nini?
@wandoabenjamen7003
@wandoabenjamen7003 2 ай бұрын
Kweli Bana mtu akiifunga yanga anadhani ni ubingwa.
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 2 ай бұрын
Simba tumeshapita huko shida ya utopolo mnataka kujion tz mmemaliz timu bado bovu limejaa wazee
@shimagibson1568
@shimagibson1568 2 ай бұрын
Utopolooooooooooooooooooooooooooooooooooo safari imeiva iyo
@subiramoshi2157
@subiramoshi2157 2 ай бұрын
Jamani aibu Leo wananyongonyea wamekua kama piritoni
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 ай бұрын
Uzuri wa mashabiki wa Yanga wako vzr huwa wanakubali,ila wangekuwa wa upande wa pili kelele zingekuwa nyingi sana,hasa kwa GSM.
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 2 ай бұрын
Vipi mtani umelala hao wenzanko wanaolalamika huwaoni fungua macho mtani wetu
@JoshuaMwambene-h5j
@JoshuaMwambene-h5j 2 ай бұрын
Tunajua panapovuja sasa
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
GESI YA RUSSIA YAANZA KUITAFUNA MAREKANI NA UINGEREZA, PUTIN KICHEKO
6:40
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.