Anapambana, sio mbaya. Lakini wateule Wake wanamuangusha.
@chiniyamuti10 ай бұрын
Matumizi mabaya ya Ndege Mama, ungetumia zile zingine medium size and range. Juzi juzi ulikuwa Singapore na B737-9 Max, leo B787 Dreamliner halafu tuwaambie wanorway tunaomba misaada wakati raisi wetu anasukuma mchuma wa nguvu.
@monicahovda589010 ай бұрын
Wewe. Norway iko Ulaya kasikazini. Karibia Actic. Hali yake ya Hewa kwa Majira haya. Muda mwengine inakuwa Ni Mbaya upepo Mwingi. Ndege kubwa ndio at least . Pirot akikutana na crose Wind. Anaweza badilisha Hata Airport. Kwa hiyo ni sawa tu. Tulize tunaoishi juli sio Mchezo Hali hewa kwa kipindi hiki
@kitute10 ай бұрын
Ishu ni Hali ya hewa ya kaskazini mwa Dunia. Ulikimbia geography Mzee.
@chiniyamuti10 ай бұрын
@@kitute You don’t know what you’re talking about brother, the kind of airplanes we have in TZ they have got the capabilities to land in any type of weather, so is not an issue of weather, please do a little research about it you will find out.
@chiniyamuti10 ай бұрын
@@monicahovda5890 Okay wewe Monica tuambie kama Singapore kuna Hali ya Hewa kama Norway.
@vanessastafford642610 ай бұрын
Mama pambana, Huduma ya Visa ubalozi wa Norway zirudishwe Dar es salaam. Kama ilivyokuwa kabla ya uongozi wa Raisi Magufuli.
@KELVINSOSPETER10 ай бұрын
KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉
@braystuskibassa384210 ай бұрын
Lakini pamoja na safari zote sijasikia raisi wetu akitembelea Urusi, Korea Kaskazini, Kazakhstan n.k
@modestwenceslaus910 ай бұрын
😂😂😂Anaenda kwenye Nchi zenye watu wanaojitambua na wanaothamini utu,haki na uhuru🎉🎉🎉
@lpdude200510 ай бұрын
Nchi hizo hazitoi chochote na labda hazina pesa za kutoa.
@lvanyDaniel_pw7kk10 ай бұрын
Mamae wana kufa watu wa maana wana bakia manyumbu😅
@Halima-wy7to10 ай бұрын
Mama pore namajukumu tunakupeda sana mama👌👌
@LEO-uq6el10 ай бұрын
Kama umeona mzungu kavua gloves kumpa mama mkono
@Thekidp370210 ай бұрын
Mzungu asivue au
@LEO-uq6el10 ай бұрын
@@Thekidp3702 tafuta historia ya nyerere na wazungu ndio utanielewa namaamisha nn
@jrsaid427010 ай бұрын
Mama amefika Norway kabla yangu.Ila one day yes
@Malaikalaizer-d2q10 ай бұрын
Uyo kasiake ni kutembea sana ajui kazi yake mujinga sana
@yousuphnzira320910 ай бұрын
Mjinga mwenyewe
@ivankadaudi816110 ай бұрын
Naomba connection ya kazi huko jaman
@joozeycraft236110 ай бұрын
Wanajua wanataka nini hao jamaa,heshima hiyo siyabure mjue
@Thekidp370210 ай бұрын
Tutajie
@valenakomba76869 ай бұрын
OMEONA VITABU VILIVYOKABIWA LEO? HUO UCHUMI UCHUMI GANI?. MAHESABU YOOOTE NI HASARA, HASARA, HASARA. SASA HUO NDO UCHUMI UPIIÏ? 😂😂😂
@justinmbangukira703410 ай бұрын
Kazi yake kuzurura tuu. Hamna cha maana alichofanya Tanzania. Katuacha tuu na mgao wa umeme.
@charlesmwambinga435510 ай бұрын
Mama anapambana sana
@stevengeorgetibenda164710 ай бұрын
MTU anayekukopesha anakusifia uchumi wako utakuwa kwa kasi mwaka huu
@goodluckkombe99410 ай бұрын
Anaendelea kuuza kwa hasara. Anakukopesha na kukusifia unakua kwa kasi ya ajabu kiuchumi huku akikupiga raba 150%. Lol.......
@justiceemmanuel813710 ай бұрын
huwa nawaona sana viongozi wa nchi na wenzi wao, mbona yeye simuoni na mume wake?
@jailosibrahim8810 ай бұрын
Mbona ameenda bila urinz wake
@josephjulio611210 ай бұрын
Tumeachiwa mwingiru haki ya nani
@JamesMalale-io1qj10 ай бұрын
Kaenda kudanga ulaya
@yousuphnzira320910 ай бұрын
Mamaako yeye kaenda kudanga wapi
@JamesMalale-io1qj10 ай бұрын
Mamayangu anjitambua sio kama mama yako
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
@JamesMalale-ioqj sasa wanatetea nini si ni kweli , tanzanian Ina utajiri mwingi sio nchi ya kuombaomba, viongozi wetu washenzi
@annapeter499410 ай бұрын
Uongo mkubwa
@IbrahimMwinyi-mu5gp3 ай бұрын
Kunabarafu balaa
@aminaaminamayalla330810 ай бұрын
Mabarafu tupu😢
@JohnSulle-q6p10 ай бұрын
Amebakiza nchi ngapi kumaliza dunia
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
Kazi kunadi nchi
@HappyGreyCat-jh8wz10 ай бұрын
Wazanzibar kwa kwenda
@shabankarotta62510 ай бұрын
Nenda pia urusi
@STELLABUTE-fk5ee10 ай бұрын
Mbona walinzi wake awapo apa???
@kitute10 ай бұрын
Kiongozi anapoenda nchi nyingine ulinzi unakua juu ya hiyo nchi husika.
@Mitama4910 ай бұрын
Aende urusi..kuna nini uko?
@Kisaboleonards10 ай бұрын
Zulula Dunia nzima magu Si kakuachia control namba!
@babycappuccinocappuccino10 ай бұрын
😂😂😂😂
@dancerboy268610 ай бұрын
😂
@dancerboy268610 ай бұрын
😂
@HappyGreyCat-jh8wz10 ай бұрын
Tembea usije ukatuletea ushoga huku
@caswaralbadry848110 ай бұрын
Mh huo uloutaja afrika upo mwingi koliko ulaya kiuhalisia , sema wafrika wanafichiana kwel
@Leilafsadick10 ай бұрын
Harafu kwanza ana kosea sana mama wa kiislam ana wapaje wanaume mkono wake 😢😢😢
@gregory616510 ай бұрын
Kwani sheria zenu zinaruhusu hata yeye kuwa rais?
@SaumuSaidi-z2v10 ай бұрын
Nyie wajinga sn mbona ukifa unazikwa na wanaume?au tulivyokuja duniani mungu alisema tusiwape mikono wanaume?acheni ubaguzi ndo mn waislamu tuko nyuma sn kifikila na kimaendeleo
@gilbertmwakalebela286210 ай бұрын
Kwa mujibu wa katiba ya Tz serikali haina dini, kwahiyo ukisha kua mtu wa serikali unaongozwa na katiba sio misingi ya dini yoyote.
@Leilafsadick10 ай бұрын
@@SaumuSaidi-z2v kuzikwa wana zika wakiume ndio lakini ana kua ame sitiliwa mwili wotee mtu mkubwa kama hyo na ana ijiua dini vizuri mtu anae stahili kushika mkono wake ni familia yake tuu pamoja na mumewe mbona avyo enda oman rais wa oman haku pokea mkono wake mnajua ni kwanini
@Leilafsadick10 ай бұрын
@gilbertmwakalebela2862 sija ongelea katiba ana weza salimia kwa kuinamisha kichwa chini tuu ina tosha