JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@christinaelias-u1o7 ай бұрын
Mama tunashukuru umefika sarama mama naomba mtaji kidogo tu nifungue ofisi yangu ya ushonaji nina watoto nimeelekezwa wanasoma kwashinda mama sina ofisi nipate kituo changu wateja wajue nilipo ilinipate kulipa ada yawatoto hasa wachuo nalipa kwashinda sana mama naomba nisaidie
@omarybakunda255410 ай бұрын
Hivi Raisi wetu ataichoka lini ulaya?
@michaelndilima621010 ай бұрын
Husuda hiyo, mungu ndiye anatoa .
@mawazoaliselemani10 ай бұрын
Where is the world becoming to?lovely and lively ?Good to be alive 2024
@hotmix583710 ай бұрын
Maeneo kama haya alafu mtu unaumwa Ngiri sijui inakuaje.
@SaleheMkomwa-l1g10 ай бұрын
MBONA kule anawapa mkono huku bongo NYAU INAKUAJE hapo wale WAKO salama cc haas c salama
@ROZITHOMAS-y4q10 ай бұрын
Mwacheni atembee alete wawekezaji. Utawala wa nchi ni sawa na business. Ukiwa mfanyabiashara ambaye biashara yako haijulikani utapata fedha vipi? Mama pita dunia yote ukiweza 😂😂😂
@PhysicalSecuritySystem7 ай бұрын
Munamuponda amujui tyu tatizo kama huna d mbili huwezi elewa
@AdamSaffi21110 ай бұрын
She is off again? How many trips has she done since she became president
@lordsm.k-db3wy10 ай бұрын
Rais wetu anapambana sanaa, Lakini wa chibi yake wanamuangusha sana.
@gregory616510 ай бұрын
Make hapo kwanza ncheke, nmetoka kununua sukari 5000,wala sio kwamba hajui hali ilivyo.. Tuache kumtetea kwa ushabiki nchi imemshinda😂😂
@westmoh640410 ай бұрын
Kwa hyo wewe sukari unataka upewe bure magufulii hajatoa kitu cha buree kama unaona sukari beiii usinunue au subiri magufuli atoke kaburini aje kukupa ya bure
@gregory616510 ай бұрын
@@westmoh6404 umetumia akilii kuandykaa hii C0mment au unatania?
@OmariMsumi10 ай бұрын
Mama yeye kila uchwao yuko uraya2 duuuh haya kula maisha
@chiniyamuti10 ай бұрын
Matumizi mabaya ya Ndege Mama. kuna ndege medium size and range ungeweza tumia.
@gregory616510 ай бұрын
Tulishaongea hadi tumechoka kaka
@chiniyamuti10 ай бұрын
@@gregory6165 Inasikitisha sana dege lenye uwezo wa kubeba watu 250 linambeba Raisi na watu wachache Kwenda Ulaya, Vatican Italy halafu Norway baada ya hapo sijui anakwenda Wapi? Kwanini hakuchukua ile Gulfstream au at least A220, like a month ago alitumia B737-9 max kwenda Singapore, hizi safari ziko very expensive kwa nchi kama yetu, halafu tunaenda kuomba misaada na madege makubwa hivi.