RAIA WA OMAN ANAYEZUNGUKA TANZANIA KWA GARI "AMKUMBUKA HAYATI MAGUFULI, ASILI YANGU NI TZ"

  Рет қаралды 6,047

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Ayo TV inakukutanisha na Yusuph Said Amir Raia wa Oman ambaye kwa sasa yupo Tanzania na anazunguka Mikoani kwa kutumia usafiri wa gari, tayari ameshaingia Manispaa ya Bukoba Mkoa wa Kagera.

Пікірлер: 33
@adamsharif475
@adamsharif475 3 жыл бұрын
Zanzibar
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
MashaAllah tabarakallah
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Tumempata Balozi wa Utalii! Nawaomba viongozi wetu wakupokee, na hasa Waziri wa Utalii akupokee, maana unaitangaza vizuri Nchi yetu... Barikiwa kaka yetu... Karibu nyumbani! 🇹🇿🇴🇲
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
Namkubali , huwa hachanganyi kiswahili na English ... KiswaEnglish
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Asante bro kiswahili lazima tukienzi
@mwamibukulu7745
@mwamibukulu7745 3 жыл бұрын
Oman wanaitaka Zanzibar kwa nguvu zote! So wanachokifanya ni kuangalia nguvu ya Tanzania bara kwa ujumla!
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Bss
@FatmaAyoub-yr6mk
@FatmaAyoub-yr6mk Жыл бұрын
Please twaomba namba ya hyo mtu wa oman
@hamisimakunja521
@hamisimakunja521 3 жыл бұрын
Millard Ayo Michuano simba yanga
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Millard Ayo, mke wake na watoto wake for the next interview, please!!!👨‍👨‍👧‍👦 👨‍👨‍👧‍👦 👨‍👨‍👧‍👦
@aliamjad2683
@aliamjad2683 3 жыл бұрын
Nimependa achanganyi Luga tujifunze ilo na afichi ukweli wa kabila nime penda iyo
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Oman kwa Gar ad Tz sawa je Kuna watanzania wanaotoka Tz ad Oman kwa Gar!?🤔🤔
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Boss kama bosi ludi omani tumekumisi
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Nazipenda busara zake jamaa huyu... "Msizozane, mkagombana, mkaweza kufeli mambo yenu, na umoja wenu ukaondoka, na kisha nguvu zenu zikapotea... " Hii ni kweli kabisa, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu... Ujumbe umefika:-)
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 shukran
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Oman kwa Sasa tunaiva kwa joto.. Hata ukioga maji asubuhi.. Yanamoto.. Atar..
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
Mmmmm
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Bass haya
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Waoh! Jamaa anazungumza Kihaya, Kiganda, Kiswahili, Kiarabu, Kiingereza, na Kifaransa !!! Lugha ngapi kwa jumla ?! Siwezi kuhesabu!
@jdidyehuddhveor5479
@jdidyehuddhveor5479 3 жыл бұрын
Mnapesa nyingi toeni misaada huko tz
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Yaani Oman ya tisha kwa joto jua kali kinoma fikilia samoja asubuhi maji ya vuka moshi bombani 😂😂
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 жыл бұрын
Ila wanatumikisha ndugu zetu huko Oman 🇴🇲 kama watumwa kazi kibao mshahara mbovu
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Hapana jaman kazi za kawaida nashahara mnono bila makato 😅
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Tunakufa na joto uku maji ya kuoga niyamoto mbaka uweke barafu ndio uwoge
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Haaaaaaa nimecheka
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 tunakufa sio utani
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU
7:59
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
Top U.S. & World Headlines - October 16, 2024
9:59
Democracy Now!
Рет қаралды 117 М.