My God Afande nimepack gari kukusikiliza you have drown deep down my emotions Salute Sele Msiba wa Magufuli uliniumiza sana sana
@mwajumashaibuomary73638 ай бұрын
Hakika
@JofreyMsigwa-ok7hv8 ай бұрын
Sana mw amba
@MihayoMageta8 ай бұрын
Afande Selle umeongea MADINI matupu, tuko pamoja.
@patrinraura13978 ай бұрын
Tupo pamoja Kijana wetu Afande Sele Hakika unamheshimisha Mwamba wetu Hayati Dr Magufuli ambaye baadhi ya Wanasiasa na hasa kwenye chama chake wanavyomwandama vibaya" "Sikiliza kwenye majukwaa hawaangalii mema aliyoyatenda kwa Umma wa Watanzania wanashupalia makosa aliyoyatenda kama Binadamu"Mungu ampuzishe mahali pema PEPONI
@MARYLembeli8 ай бұрын
Pole sana Afande sele. Tuko pamoja tunamkumbuka daima kama alivyosema yeye.
@hassnsalim51568 ай бұрын
Hakuna wa kuvaa viatu vya Magufuli waliobaki hivi sasa ni wanafiki hata Mtume Muhammad alikuwa nao wanafikii
@josephatkiliko25468 ай бұрын
True patriotic and leader of Africa rest in perfect heaven Dr Jpm
@jumaally42638 ай бұрын
Kumbe Afande Sele ni mtu mwenye akili sana. Nilikuwa namwelewa kinyume. Hongera sana umeongea ukweli mtupu. Sina la kusema. Ila wewe ni hazina ya badae. Mungu akuongezee vyema
@Goodluck-p9y8 ай бұрын
Natamani nigonge like mara mbili Ila haiwezekani
@johnsosy31288 ай бұрын
Umeongea vizuri sana brother.
@MagrethMallya-we8ui8 ай бұрын
Katika Marais wa Africa huyu mwamba alikuwa KICHWA.
@simonmadiba20538 ай бұрын
Pole sana. Ni msiba uliotuuma watanzania wote. Ila kazi ya Mungu haina makosa
@hildandumbalo58278 ай бұрын
Umesema sawa kabisa Sele 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@aloycesamba9988 ай бұрын
Kati ya Maraisi niliyotokea kuwaelewa Africa Ni gadafi na magufuli,mungu awalaze mahali pema peponi 🙏
@mohamedslh54788 ай бұрын
Na Thomas sankara
@SALEHSALEH-lk5jr8 ай бұрын
Na Mugabe
@ArnoldMbulawa8 ай бұрын
Magufuli alikuwa "True Leader" Tukubali tumepoteza Assert.
@ilynpayne74918 ай бұрын
Hakuna maendeleo nchi hii bila magu saahv ni wizi tuu
@EzzyEddy-il3ce8 ай бұрын
Katika watu waloumizwa na kifo Cha Magu na wewe ni Mmoja wao nakufatilia since mr president Magufuli yupo hai ulikua hupitwi na ishu yoyote ya Magufuli still had Leo hii ukiona title ya Magufuli lazima upite Hadi nimefahamu jina lako,kiukweli na mm pia ni miongoni mwao rafik yangu
@ndogoroedson1998 ай бұрын
Yaan we acha tu Afande Sele ila Mungu anajua
@PhilipoLeonard-q5w8 ай бұрын
Sijawahi kuumia moyo kama kifo cha magufuli RIP jpm
@fidelfidel-jz4iw8 ай бұрын
Magufuli alikuwa kama viongozi waliokuwepo ulaya waliibadili ulaya kutoka chini mpaka walipo. Ila hatuambiwi eti democracy wao wameanzisha democracy 1978 wakati wameshaweka mambo yao sawa .leo wanaongea uhamiaji tu kila kitu chao kipo sawa maono yako mungu akubaliki kk binadamu ni wachache hilo ulijue.
@makelemohuya27238 ай бұрын
Afande sele Mungu akutangulie you're right ✅
@abdulikilala59028 ай бұрын
Jpm tulikupenda Sana❤
@ladislausmoris96388 ай бұрын
Hakika kifo cha hayati magufuli hakita sahaurikz tuliumia na bado tunaumia mungu atujalie tuzid kusafir salama ingawa tunaumia.
@OscerShop8 ай бұрын
Na alisema kwamba sikumoja mtanikumbuka
@Japhary-sx3je8 ай бұрын
Nikweli mungu muweke magu peponi
@adamdaudi61918 ай бұрын
Nimefurahi kusikia Afande Sele yuko detailed kiasi cha kufahamu Giants of the world, Mussoline, Hitler etc na harakati zao, inaonesha unapenda kusoma na kufatilitia mambo!.
@maureenkemei87628 ай бұрын
Pumzika kwa amani Rais wetu mpendwa Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Huku Kenya tunakukumbuka sana❤.
Daaah, kifo hicho cha mwamba sikuamini! Yaaan vitu ambavyo nilivyokuwa nimepanga vimefeli baada ya kifo chake, Mungu aendelee kumpuzisha salama!
@Ushauri2358 ай бұрын
Niliona mengi Sana wakati wa magufuli tena makubwa 1.flyover 2.reli ya kisasa 3.usimamizi wa madini 4.usimamizi kwa watumishi wa umma 5.ununuzi wa ndege 6.samaki wengi 7.kubadili mindset ya watu Duuu na mengine mengi Hakiki taifa letu lilipoteza kiongozi hodari
@PhilipoLeonard-q5w8 ай бұрын
Lakn leo sifa zinaenda kwa msimbe
@marcoakyoo7608 ай бұрын
Alafu kuna boya moja linaelea kwenye sifa ya Magufuli 😢
@TPW_FLUXY8 ай бұрын
Pamoja afande sele huyo rais alikuwa wa aina yale😊
@RamhaJuma8 ай бұрын
Allah amrehem magufuli wetu kipenz cha watu jaman angekuwepo tungukuwa mbal san wanyonge allah allah mpe pepo ya firdaus milele laima sasahv hawangaliwi wanyonge nauli zipo juu sana baba tunakukubuka sana 😭😭
@OscerShop8 ай бұрын
Afande Sele ukweli nikwamba waliombeza magufuri walikuja ni Mafisadi na waliokua na uchu wa mafaraka
@eliadaniel2168 ай бұрын
Sema afande selle ana akili nyingi saana huyu jamaa Mungu akupe maisha marefu zaidi
@adamdaudi61918 ай бұрын
Umeongea kwa ufupi lakini katika mpangalio mzuri sana!.
@MagrethMallya-we8ui8 ай бұрын
Hakika Mungu alimtuma atupiganie lakini wale wasiopenda maendeleo ya Tz wakahakikisha wanaikatiza safari yake. Mungu akulaze Mahalia pema unapostahili mwamba. Rip Mwamba Magu.
@saidbakar-qo6ri8 ай бұрын
Kosa lake ni kuwafilisi watu Mali zao na kuwakamua wawekezaji mpaka wakaanza kukimbia nchi na uchumi ulishaanza kuporomoka polepole ila sisi masikini tulifurahi hali hiyo si unajua tena mtu masikini anavyofurahia anguko la mwenzake akawabana wapinzani ili asikike peke yake hakupenda kupingwa wala kukosolewa
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
@@saidbakar-qo6riuchumi ulipanda tulikuwa uchumi wa kati blue Leo tuko wapi?
@jamesmasome3598 ай бұрын
Hujitambui ww.@@saidbakar-qo6ri
@ebonybhoke53218 ай бұрын
@@saidbakar-qo6ri wewe ulikuwa mmoja wa waliofilisiwa?
@FrankMushi-cs5js8 ай бұрын
Kaka na kukubali sanaaaaa afandee seleeee kaka wee akili zako ni OG
@emilyKassiano-oo5iy8 ай бұрын
Afande sele 🔥🔥🔥🔥🔥
@AloyceKiria8 ай бұрын
Sio ww tu kamanda inauma Sana aisee Kwa wale walioipenda Tz
@jworld14808 ай бұрын
umeongea kwa hisia sana kaka ni wachache tu wanayajua makuu aliyoyafanya jpm
@hildandumbalo58278 ай бұрын
Tumepoteza sasa hivi ni dhiki tupu Wamasai wanyonge nk
@OscerShop8 ай бұрын
Nikweli kabisa maana ofisi zote za selikali watu walikua wanasikilizwa maneno ya njoo kesho yaliisha kabisa
@mohamedslh54788 ай бұрын
kweli kabisa kk yani mtu wako chini unaskizwa nakupewa heshima
@mwajumashaibuomary73638 ай бұрын
Maneno yako yananiliza sana
@josephsaghana10568 ай бұрын
True man umesema kweli sanaaa tuko pamoja sana mm pia ila JPM hapana.😢😢😢😢😢
@sautiyamunguduniani46208 ай бұрын
Iv Yan mtu kalala bado anamguso kwawatu lkn Kuna watu wako hai hawana sifa kabisa Oh! Hallelujah 🙌 Dr JOHN POMBE JOSEPH MAGUFUL lala salama kamanda uliamusha na kufungua Akili za wengi Hilo n kusudi la MUNGU juu ya wateule wake mwamba umelala na ulale salama kpnz Cha Tanzania na Africa kwa ujumla.
@ramamohamed83928 ай бұрын
Daah thanks for this Afande 😢
@yayananajota58388 ай бұрын
Wl take 100years to find new magufuli, RIP king 👑magufuli
@mussakiuzio-wq2jm8 ай бұрын
Kizuri hakidumu kazi ya mungu haina makosa pumzika kwa amani JPM!!
@MatatizoMkama8 ай бұрын
Pumizika salama baba tulikupenda sana magufuli
@SilaMinanda8 ай бұрын
Kabisa kaka mtaani ovyo sana, ukiachana na uchawa wa mama unaupga mwingi ila kitaa kimaharibika
@NuruMfaume8 ай бұрын
Ndo vizuri so tulimkataa tukasema dikteta Sasa ndio tufaidi Hali hii Sasa !
@OmmyJames-xn7ji8 ай бұрын
@@NuruMfaume😢😢😢😢WANAFIKI TU
@weiryalema80578 ай бұрын
Narudia Tena Afande umeongea ukweli mtu
@MnaitheBigname8 ай бұрын
Niko pamoja nawe afande Sele ila kazi ya Mungu aina makosa
@hamisimuhammad36568 ай бұрын
Sasa kama upo pamoja na afande selle Sasa unatuambia sis ili iweje?😊😊😊
@Jurbeg8 ай бұрын
@@hamisimuhammad3656 tulia mbona unawaka kama Moto wabangi kwani amekuita kwenye coment yake 😏😏😏
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
@@hamisimuhammad3656uko na shida mingi xn😅😅😅😅😅😅
@piuslugata49318 ай бұрын
❤❤ jiwe magufuri
@MARYLembeli8 ай бұрын
MUNGU AMUWEKE KTK NURU YA USO WAKE APUMZIKE KWA AMANI KIPENZI CHETU.
@joezeno88 ай бұрын
Afande Sele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤💯💯💯💯🔥
@RwegoshoraPatt-os2ik8 ай бұрын
Tutasubiri sana kumpata kama magufuli
@ndilibangokaruhawe93358 ай бұрын
Nikweli kabisa Mimi naamini ipo siku mwili wake utapimwa upya
@EsterKiyabo8 ай бұрын
Ndg,yangu itatusaidia nini!
@JeremiahElishaMwanyesya8 ай бұрын
Salute afande sele❤❤❤❤
@abdulkadirgafla38898 ай бұрын
Wakubwa wa serekali ndani ya ikulu wako na siri kubwa! Tafakarini hilo. Msipumbazwe kwakua Tanzania ni nchi ya amani 🙏🙏🙏 MAGU WAS THE BEST
@aishakhamis29968 ай бұрын
Kabisaa...!! Hawakupendwa waendeshwe...!
@zegelibilishanga60478 ай бұрын
❤Tuliya ndg mutungie mashauri mazuri kama kumuenzi hii ni dunia tunapita,pole saana mwanangu zMungu atakulinda usife moyo Wote niwaja wake kwake nitalejea
@AmadeMbezy8 ай бұрын
Bg nakupata ndani yá 🇲🇿🇲🇿
@dayana5513story8 ай бұрын
Kwakweli mpaka sasa sijawai amini kama kweli magufuri Kafariki nikirudi tz ndo nitaamini maana niko ndotoni😢
@thelonewolf44298 ай бұрын
( MTAKATIFU MAGUFULI ) St JPM mimi sio mtz ila naamini pia uyu alikuwa ni mtume wa Mungu
@noelbryson78408 ай бұрын
Ukimuita mtakatifu unamaanisha nini?..
@thelonewolf44298 ай бұрын
@@noelbryson7840 wazungu wanavoitaga watu wao waliofanya makubwa kwenye mataifa yao huwa waafrika kama wewe hamusemagi chochote ila wa kwetu mnaleta ubishi . Learn or perish
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
@@noelbryson7840vyovyote utakavyoelewa
@SophiaKamgunda8 ай бұрын
Yaani uongozi wa Dr Magu ulitufanya kuuelewa zaidi uongozi ninini nakututoa woga kutuweka kwenye mwanga fulani
@Diana-lf3nr8 ай бұрын
Nimefurahi kusikia mpendwa wetu snaongelewa❤❤
@ScopionScopion-zj9cd8 ай бұрын
kweli bn mama kaluhusu kila mtu ale ulefu wakamba yake dah mungu huyu bx bn yeye ndie anajua kuliko sisi ila watu wabaya sana hata kama wamemtanguliza ili wapate vyweo na nakukusanya mapesa ya kutosha pita kaliakoo sasa ivi2 uone magolofa yanavovunjwa nakujegwa
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
Wee acha ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@ibrahimhumbotv8 ай бұрын
Daah! MI MAGUFULI nilimuona Nabii wa kizazi cha sasa ,,r i p magu.
@homeboy23078 ай бұрын
Bado nampenda sana magufuli
@josephmchodo8 ай бұрын
Kiukweli leo nikipewa kalama ya kufufua mtu mmoja tu kweye hii dunia mimi na mfufua "Mr. late president Magu"maana ntaokoa vitu vingi sana.
@atutweve41608 ай бұрын
MIMI JE 🥹🥹🥹🥹🥹NITAMFUFUA NIMPE MIAKA 25 ILI ASIZEEKE MAPEMA 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🥹🥹🥹🥹criying everyday
@atutweve41608 ай бұрын
MIMI JE 🥹🥹🥹🥹🥹NITAMFUFUA NIMPE MIAKA 25 ILI ASIZEEKE MAPEMA 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🥹🥹🥹🥹criying everyday
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
@@atutweve4160Moja 50
@musapfute66088 ай бұрын
Wise man, nakukubali sana afande upo vzr sana
@lunangabenjamin31218 ай бұрын
Rip mz magu.maneno yako niya busara na maono yako ni mapana mno hata kama wanasema nabii hana heshima kwao.magu kafanya mingi sana,kwasasa mama anayandelesha!na kuna wengine watakao tokeya kama magu akina makonda mbona wako vizuri tu kwanye siyasa.magu mwenyewe ashaga nena hayo maneno mbele ya umati kwamba viongoze wazee ndio waliouwa inchi.na akawaambiya lukuvu,na kabudi,ya kwamba hawawezi kuwa ma raisi juu uzee unaanza kuwatawala.tanzinia ni inchi tajiri ukipata viongozi wema mbona ni haraka kuwa na mabadiliko harara.karibuni tanzania itapinzana na chine.kwenye uzinduzi wa zahabu mupya inayo patikana africa. Na inawezekana kati ya inchi tatu za africa moja itakuwa juu kwa iyo chine watashuka kamataifa.kuna madini yanayo patinakana tanzania na ni muhimu sana kimataifa.nayanapatina inchi tatu barani africa,mijawapo ni mozambike,madascare,na tanziania.ni madini ya thamani sana.mnamo mwaka 2026 njo uvumbuzi wa hayo madini utaanzishwa.ongera
@marcoakyoo7608 ай бұрын
Pole sana mi mwenyewe nilikuelewa sana sana hali iliyokupata
@elikanakagembe75308 ай бұрын
Ni kweli wapo watu walio Fulahia kifo cha Mangufuli lakini leo wanajutia
@mrdeniskomba61998 ай бұрын
Hakika aisee
@shabanimadobe9728 ай бұрын
Jacob hongera maana nakumbuka ulisoma zombo na kina salumu kindaile
@davidnyaonge20358 ай бұрын
Tupo pamoja Afande hata mimi navhukizwa na Tabia za utegemezi
@shelyboyshely29288 ай бұрын
Pamoja sana kaka mkubwa mi mwenyewe niliumia sana rais wangu mpendwa mchapa kazi niliyasema mengi moyoni mwangu
@rosetreffert41798 ай бұрын
Kwa kweli tutazidi kumkumbuka huyu mwamba ❤❤❤❤🙏🙏
@MBALASUPA8 ай бұрын
Kwa imani yangu JPM ni mtume wa Mwenyezi Mungu naamini ata andikwa na ata somwa na vizazi vijavyo, Time will tell .
@FatumaMohamedi-t6t8 ай бұрын
Hakuna mtume tena haw wengne wanafata tu nyayo zao ktk matendo
@margarethpolepole74388 ай бұрын
Magufuli alikuwa mwamba kupatikana Rais kama huyo mpaka Mungu apende tena maana Serikali ya sasa hivi ni ya awamu ya nne iliyojaa wezi awamu ya sita kuuzwa kwa bandari zote kuwaondoa wamasai kwenye ardhi yao
@lucasbonface-lv5ek8 ай бұрын
Nakubali wwe sio mnafki ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@christianlutego12888 ай бұрын
Afande umenena, kweli kbsa siku Moja huyu Magu atatangazwa mtakatifu , ni mgumu kuelewa.ww n nabii,
@dicksonwanyama16898 ай бұрын
Much respect afande sele😢
@catherinemdage49058 ай бұрын
Hakika afande selle umenifanya nilie mno ., daa hakika Magu Umetuacha njia panda wanyonge mweeeeeeeeeee.
@KitokiSospeter8 ай бұрын
Afande Sele,umenigusa sana kwa kweli.Waliokukamata wote wasamehe bure.Ndo nchi yetu ilipofikia kwa sasa.Mwenye haki hana haki lakini wale wasiostahili haki,ndio wanaonekana wenye haki.Tutamkumbuka Magufuri daima.
@anosiata82428 ай бұрын
Mungu amulaze mahari mpema peponi hata mimi nilimupenda jpm
@NuruMfaume8 ай бұрын
Wataanza kukufigisu wanapoona unamuongelea na kumpenda magufuli!,,maana hawataki hata kumsikia!
@Manyesha62908 ай бұрын
Thank u afade hakika hapo ndo naelewa why uliimba msnii ni kioo
@innocent910448 ай бұрын
Afande Sele ana akili mingi sana huyu bwana. Bug up brother. Uko vizuri sana. Sisi huku tunaendelea na maombolezo ya kifo cha JPM. Kila kukicha ni maombolezo tuu.
@allyomary22718 ай бұрын
Point sana lakini namna unavyoziwasilisha ndio kwenye changamoto punguza Jani la arusha
@NuruMfaume8 ай бұрын
Your wrong!sisi 18:45 tunamwelewa
@emilyKassiano-oo5iy8 ай бұрын
Mimi nililia sanaaa usiku ule
@sambulugu99888 ай бұрын
Hakika Afande Sele! Apumzike kwa amani!
@subirajohn7288 ай бұрын
Kwa kweli umeongea❤
@JumanneSamike778 ай бұрын
Afande sele umeongea kitu kikubwa Sana mama Samia ikikupendeza mpe Hata ukuu wa wilaya atatupa kitu watanzania. Ebu jaribu kumwamini umpe nafasi serikalini.
@emanuelelias46958 ай бұрын
Afande kweli ww ni kichwa sana msema kweli na mwenye uzalendo wa hari ya juu
@frimatuslupimo20318 ай бұрын
JPM my most beloved president.
@ConfusedDaisies-rb58 ай бұрын
Pamoja na kuvuta bangi lakini akili ungali nazo
@SylvanusNgutse8 ай бұрын
Unanitonesha kidonda. Magufuli ananiuma sana kila siku. Mungu amlaze peponi.
@SaluMaige-sc8bm8 ай бұрын
Sasa tunataabika maisha ngumu
@lilianHigilo8 ай бұрын
R.I.P Magufuli kipenzi cha watanzania walio wangonye