ALICHOSEMA KUSAGA KWA MILLARD “NI TAJIRI KULIKO MIMI”

  Рет қаралды 48,617

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@madinajamada9180
@madinajamada9180 Ай бұрын
❤❤huyu mzee kusaga tupo majirani Dubai kwake ni mzee mtu mzur sana ana moyo mzuri❤
@McT-m1m
@McT-m1m Ай бұрын
Kumbe anakaa dubai
@innocentmunishi-pr8nf
@innocentmunishi-pr8nf Ай бұрын
Acha basii😂😂😂
@ShukuruSemwenda
@ShukuruSemwenda Ай бұрын
​@@innocentmunishi-pr8nfkwani ajab
@PeterAssenga-r1d
@PeterAssenga-r1d 29 күн бұрын
​@@McT-m1m Yah anaishi huko ata watoto wake awajui kiswahili vzr
@HizzaMtunguja-oo9ur
@HizzaMtunguja-oo9ur Ай бұрын
Allah ametakasika kwa Kila mapungufu. Yeye ndie anaeruzuku humpa amtakae na humnyima amtakae pas na hisabu
@AlyadamMazruy
@AlyadamMazruy Ай бұрын
Hapo Mzee unakosea kusema mungu hawezi kuwapa watu wote et sbb ya wingi sio kwel mungu Ni muweza WA kila kitu mzee
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Ай бұрын
Mungu kaumba maskini na matajiri
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 Ай бұрын
Hujamuelewa
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA Ай бұрын
Umemwelewa vbya .
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Pambana kupata sehemu yako..ukibweteka huna kitu
@allykwaya
@allykwaya Ай бұрын
Kakosea acheni kutetea na kujifanya mmemuelewa kwa namna nyingine kisa Amesema BOSS, Kateleza kateleza tu ni binadamu.
@mansarashid1045
@mansarashid1045 Ай бұрын
Inawezekana ana maanisha utajiri mungu kawapa kila mtu na riziki yake kwa kiwango chake kwa wingi wake.
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Ай бұрын
Mungu kashatoa kazi kwako kuifuata baraka
@abdulally-h1u
@abdulally-h1u 28 күн бұрын
Mwanangu cku jui wala nn ila kwa pumba uliyo ongea hapo inaonyesha wazi kabisa au pesa mzee
@SEMBULILyimo
@SEMBULILyimo Ай бұрын
Ulichokisema boss milad ayo anaheshima Sana kwa kila MTU Wala hajawahi kujikweza
@OmickiMichael
@OmickiMichael Ай бұрын
Hajakosea Mungu anaangalia juhudi pia kuna wa2 tunategemea kupata pasipo juhudi na maarifa
@julianapeason6254
@julianapeason6254 25 күн бұрын
Juhudi na maarifa inapatikana wapi, coz wengi tunategemea tusome ili tupate vya halali matokeo yake tunabaki mtaani hata kazi hazipatikani. So tusidanganyane
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb Ай бұрын
Exactly for what you're talking May God suprim
@josephchuwa2772
@josephchuwa2772 24 күн бұрын
Hiyo saa aliyo vaa Millard mnaiona lakin😊
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Ай бұрын
FOCUS. BIG ACHIEVEMENT TWENTY FIVE PLUS SHARE HOLDERS GOSPEL ANOTHER LEVEL VALUE WHY FULLTIME CONTENT CHALLENGE STRAIGHT WAS THE SAME HIVI HAYA MANENO YANA MAANA GANI SIJAELEWA KABISA
@AmosyElihudy
@AmosyElihudy Ай бұрын
Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka 💙💙
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 Ай бұрын
Tafuteni hela acheni kutafuta pakujishikilia katika kauli za matajiri kwa kuhisi wamekosea
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
KUSAGA KAMA KUSAGA KTK UBORA WAKE❤❤❤❤❤❤❤
@NyandaEndelea
@NyandaEndelea Ай бұрын
Clouds media ni nembo ya Tanzania 🇹🇿 kataa huo ndio ukweli
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et Ай бұрын
Ni kwel milardy ana discipline hata ukimuangalia kwa macho ni kijan mzur mungu akulinde na akupiganie katika njia zako❤❤❤
@antipascann2797
@antipascann2797 Ай бұрын
😂😂
@SurightAmeer
@SurightAmeer Ай бұрын
Display😂😂
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Ай бұрын
Kama ujui lugha za watu achana nazo sio display ni discipline
@triplea3463
@triplea3463 Ай бұрын
@@suleimanbalemba3348 Typing error
@DoongaVibes
@DoongaVibes Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@AtuganyiraKabigumila-rz7ou
@AtuganyiraKabigumila-rz7ou Ай бұрын
Mungu akubariki Mzee wetu Joseph kusaga
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 29 күн бұрын
Kwahyo kupiga gospo ni kimuheshimu mungu😂😂😂 we are not serious
@Itigmedia
@Itigmedia Ай бұрын
yuko serious Millard ni bonge la tajiri
@johnmussa5489
@johnmussa5489 Ай бұрын
Mzee ana maono makubwa sana Mungu azid kubariki maono yako na kuyapa kibari
@abilityemmanuel3000
@abilityemmanuel3000 Ай бұрын
tukipata watu wanne kama big joe tanzaniabitafika mbali mungu akutumie uunde chanel hot tunaamin tutafika mbali
@juniorgodfrey1527
@juniorgodfrey1527 29 күн бұрын
Kumbe Tanzania ni #BARA ✊🏿
@pastorlazarosamwelkilala5795
@pastorlazarosamwelkilala5795 27 күн бұрын
Na ushauri kwa Ayo atengeneze watu kama yeye
@johnaly6691
@johnaly6691 Ай бұрын
Ningekuwa namwa na namna yakuonna na big Kusaga ningemuuzia wazo lango naamini atalipenda pia akilikubali linaweza zaa matunda.naomba Millard Ayo unifikishie ujumbe wangu kwatajili
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Ай бұрын
Inbox kaka
@ukk9798
@ukk9798 Ай бұрын
Huyu jamaa ni tajiri, Siri ya tajiri ni kutojisifia kuwa anazo.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
@@ukk9798 kuna matajiri pia wanahela na wanajisifia bila noma kama Chief Godlove
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 Ай бұрын
@@josephjohn2114we unauakika gan chief anahela..?
@japhmonline5336
@japhmonline5336 Ай бұрын
Congratulations
@neemajohn-u8l
@neemajohn-u8l Ай бұрын
Big Joe keep opening doors
@Allyhujjat
@Allyhujjat Ай бұрын
Uncle mungu akisema kuwa inakuwa hapo umeteieza kidogo kwa kusema kuwa mungu awezi kuwapa watu billion sita
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l Ай бұрын
Madini haya tuliyatarajia kwa Lugumi pia! Chefu 😢
@yaasirimuhudi1664
@yaasirimuhudi1664 Ай бұрын
Mzee kama amesema haya Kwa kukusudia kua mung hawezi kuwapa wote Kisha akasema atawezaje hii ni hatari kuweza anaweza ila mola wetu alivyopangilia utaratibu wake ni kutowaweka ktk Hali Moja ama kama kuweza anaweza
@meshackmarco152
@meshackmarco152 Ай бұрын
Tajiri anaamka saa 10
@fadhilimkanimkole272
@fadhilimkanimkole272 Ай бұрын
Tuna mengi ya kujifunza kupitia huyu mtu, ni hazina.
@allenmasaba1357
@allenmasaba1357 Ай бұрын
Millard master
@dorahvedasto8938
@dorahvedasto8938 29 күн бұрын
Unyenyekevu pia ni nguvu pia ya mafanikio
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Ай бұрын
mpiyane utajir na pepo et
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Ай бұрын
Mird ayo ww usigekuwa kutoka sehem mjaa na haoo ungekuwa ushamakizika
@jemimabakari
@jemimabakari Ай бұрын
Tumeambiwa jisaidie nikusaidie Ukiwa na jitihada utafanikiwa.Kusaga yupo sahihi na kauli yake.
@KharuniNganason
@KharuniNganason Ай бұрын
Natamani ck moja nikutane boss anipe madin MILAD NIFIKISHIE hiyo
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu Ай бұрын
HONGERA BILA KUSAHAU ULIPOKUWA UNAPIGA MADISCO MASHULENI KIPINDI UPO KWA ACHARYA
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Ай бұрын
Milad upo vzr huringi hujisifii kbs unsongea vzr sn redion kujawahi msema m2 wameru hoyeeee malez maxuri kwa wazazi
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy Ай бұрын
Hongeren kwa kutunza mazingira huko meru asee ni pazur balaa hata ulaya wakasome
@IshimweKelebuka
@IshimweKelebuka Ай бұрын
Wameruuu wapi wewe we hujui kama kuna wameru wajinga kila mtu ana akili yake sio kabilaa😂😂😂
@IshimweKelebuka
@IshimweKelebuka Ай бұрын
@@RoseMichael-oz7cykama kawaida yenu kusifia ujinga tu
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Ай бұрын
Kama Baba yake mzee Afrael
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy Ай бұрын
@IshimweKelebuka hujafika meru ww ndo maana unaongea tu
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 Ай бұрын
Good
@ramadhaniissa3373
@ramadhaniissa3373 Ай бұрын
Safi
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 Ай бұрын
Boss kaongea point ya maan kabisa
@mwakajumba25
@mwakajumba25 Ай бұрын
Kwan Clouds imeanzishwa mwaka gani ambao Millard alikuwa form one??
@JojiPhilemon-ge6gc
@JojiPhilemon-ge6gc Ай бұрын
99
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 29 күн бұрын
Tar 5 December 1999
@YonahMwakalobo
@YonahMwakalobo 27 күн бұрын
1999
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
MUNGU ANAWEKA WAAJIRI NA WAAJIRIWA ILI KUTUKAMILISHA. ILA MILADI UMEINULIWA KUWA MAKINI MAADUI NI WENGI.
@HizzaMtunguja-oo9ur
@HizzaMtunguja-oo9ur Ай бұрын
Innalillaah wainna ilayh rajiuun
@salumsalum5712
@salumsalum5712 Ай бұрын
Burundi inaitwa igicu sio iguci
@coldkiller-7
@coldkiller-7 Ай бұрын
Wewe mzee unamkufuru mungu?ataondoa chotee alichokupa,mungu acha binaadamu viumbe wote wslioko duniani,wanyama,ndege,wadudu na walioko baharini wote mungu ndio wanawapa ridhiki yako acha ujinga wako inaonekana uko mbali sana na mungu,huendi msikitini wala kanisani wewe
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn Ай бұрын
Acha makasiriko tafuta Ela wew 😏 😏😏
@PaulTango-he8qo
@PaulTango-he8qo Ай бұрын
Umeelewa vibaya kasema Mungu hawez wapa wote ni juhudi zako anamaanisha ukitaka pesa sio maombi tu ni lazma upambane
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Akili ndogo ni ngumu sana kumchallenge Kudaga😂
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Ай бұрын
​@@PaulTango-he8qoKabisa.
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 Ай бұрын
Mi nimeelewa fanyakazi ndiyo Mungu akuone siyo nilale nikeshe kanisani tu naomba hamna Hela zitakazokujia ulipo tupambane huku tukiomba Mungu abariki kazi za mikono yetu
@Grace-v4g2n
@Grace-v4g2n 26 күн бұрын
Ruge je???
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Natengeneza Millioni Ishirini kwa Wiki - Kyando
5:35
TAHA ONLINE TV (TAHA)
Рет қаралды 57 М.
Jinsi Mjasiriamali Bryson Maro Alivyoanguka na Kuinuka Katika Uwekezaji
34:26
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 4,9 М.
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 208 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 851 М.
MWEKEZAJI MZAWA ROUNDTABLE NDANI YA POWER BREAKFAST NA CLOUDS
3:39:19