SAKATA LA FREMU KUVUNJWA MIKOCHENI, WATOTO WA MMILIKI NA MLINZI WASIMULIA ILIVYOKUWA

  Рет қаралды 3,183

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 сағат бұрын
Unavunjaje duka la mtu mali zake siko ndani serikali ya ajabu sana
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 сағат бұрын
Ata ao mabausa wakamatwe wawekwe selo wakae Kama mwaka mmoja au miwili ili kukomesha huu upumbavu wa tamaa walio nao.
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 4 сағат бұрын
Raisi Huwa anakurupuka sana kwenye teuzi zake! Alimuhamisha Jerry Slaa kwenye wizara ya ardhi kimakosa Amempeleka wizara ambayo hana Cha kufanya huko
@ziggertv3185
@ziggertv3185 13 минут бұрын
Yani yule alikua jembe hapa panamfaa
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 5 минут бұрын
Huko serekalini wakubwa wengi wamedhulumu maeneo ya watu Yule Alaa Alianza kuchimbua makabiri Hadi Kuna majengo ya Chama 10:05
@barakarobert1029
@barakarobert1029 6 сағат бұрын
Iyo kampuni ya ulinzi ni local sna hakuna hata mobile patrol ya gar au panic button ya kubonyeza upate msaada
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 сағат бұрын
Tanzania 🇹🇿 finish nchi ya ajabu sijawahi kuona raisi anasuguana visimi tu
@shabanimbega40
@shabanimbega40 5 сағат бұрын
Anzeni na wizara ya Ardhi mtaona ujinga uliofanyika
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 5 сағат бұрын
Watt wamepangishaa bila kumshilikisha mama Yao wa Mambo pesa mtaitema uyo dd kaingizwa chaka
@Ajijji12
@Ajijji12 4 сағат бұрын
Huyo mama wakambo sikavikuta anauza km nani
@ZalkiaBendera
@ZalkiaBendera 3 сағат бұрын
Mke ana nguvu jidanganye😂😂
@ziggertv3185
@ziggertv3185 10 минут бұрын
​@@ZalkiaBenderasheria inasema mali niya bana na mama
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 2 сағат бұрын
achen umasikin mtaishia kuuana kisa pesa za urithi pamvaneni mtafute vyakwenu ndomaan mnaishia kurogana na kugeuzana vichaa tumbafu
@shabanimbega40
@shabanimbega40 5 сағат бұрын
Tatizo lipo ardhi wabaya wanaendeleza vyao kuna vitu vya ovyo ajabu
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 3 сағат бұрын
Jesus lord 💔😭
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 5 сағат бұрын
Ayo kamuojin mm Yao na bab yao
@Gody360
@Gody360 6 сағат бұрын
Daaah
@barakarobert1029
@barakarobert1029 6 сағат бұрын
Huyo ni nani anazalau mahakama
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 сағат бұрын
Dah hasara jmn
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 6 сағат бұрын
Ndugu kasababisha mgogoro
@leokamil6284
@leokamil6284 5 сағат бұрын
Wacha tu hapo kuna ndugu Plus Mama wa Kambo ambae alikuta mali ila nae kaichanganya familia. Kuoa oa nayo ni matatizo matupu
@makukamakaveli6581
@makukamakaveli6581 6 минут бұрын
​@@leokamil6284Sahihi kabisa
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 631 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 13 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Viral Video of a Man's Crazy Job Interview
16:02
Darryl Vega TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
HILI HAPA GARI ALILOPEWAGA MBUGE JESHINI WAKATI ANAAGWA
7:06
Millard Ayo
Рет қаралды 11 М.
VITUMBUA
13:12
Joti TV
Рет қаралды 142 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 631 М.