INATISHA! FREMU ZAHARIBIWA MIKOCHENI, WAKILI MADELEKA AINGILIA KATI, FIDIA ZAIDI YA BILIONI 2 KU....

  Рет қаралды 6,269

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 68
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 сағат бұрын
Kumtoa Jerry Slaa kwenye hiyo wizara ilitosha kabisa kuona serikali haiko tayari kupambana na migogoro ya ardhi
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 2 сағат бұрын
😂umejuaje ndg yangu hii serikali ni ya namna ya ajabu duniani...
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 сағат бұрын
@@NixonJohnson-r4m ukifanya kazi serious unatolewa unaonekana unakua maarufu kumzidi raisi ivyo unatolewa hakuna kusikika sana hadi yule makonda kwa wanaomjua alivotoka iyo likizo kaufyata kaamua awe afisa utalii sio kupambana na wanaotesawanyonge tena.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Сағат бұрын
​@@fahadfaraj6474 Wakati akitenda haki akivunja mpaka za vigogo na wakubwa akirididhia wenyewe wanyonge that why walimtoa kwa kuwa akifata sheria msumeno😂😂😂
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 Сағат бұрын
Hii ndio Tanzania angekuwa magufuli wangekoma
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Сағат бұрын
@@FatimaAli-of4gh nchi za kiafrica wanajiita viongozi ni wahuni na vibaka wenye mamlaka
@YasinOmary-m6n
@YasinOmary-m6n 2 сағат бұрын
Tatizo kwenye nchi yetu mtu akionekana anasaidia wananchi wakubwa wanamtoa ili watu wateseke tu,Jerry slaa alijitahidi kusaidia watu ktk nchi hii,kwasasa hata sijui waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi,sijui anafanya kazi gani🤔🤔🤔🤔🤔
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy Сағат бұрын
Ni kweli kabisa, Jerry slaa alisaidia sana watanzania kwenye wizara hii ya ardhi.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Сағат бұрын
Mama hataki kufunikwa, kazi yake ni kuzima kila nyota inapong'aa.
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy Сағат бұрын
@@RubenMtuwaMungu-bz8ee Lakini mazuri yote yaliyofanywa na Jerry slaa, yalikua yanaipa sifa serikali hii.
@deejeydaev
@deejeydaev Сағат бұрын
Huyu jamaa wa mwisho anajua kuelezea na kichwani very bright
@johnmbungo1971
@johnmbungo1971 Сағат бұрын
Huyu Dogo yuko vizuri sana and he sounds legalise hii ni kesi nzuri sana ikimpata wakili mbishi Kuringe ni mvamizi na atatupwa nje upon court being just and fair
@ShukuruEdward-v1l
@ShukuruEdward-v1l 41 минут бұрын
waliomtoa slaa kwenye wizara nimatajiri mama aliambiwa tu
@seleshaban48
@seleshaban48 49 минут бұрын
Kesi za aridhi nchii zinaleta umaskini wa akili mwili na robo.
@Byme6434
@Byme6434 45 минут бұрын
Mama Wa Kambo Mpk Najisikia Kucheka🤣🤣🤣
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Сағат бұрын
Jeuli wanajua shelia ina ufa haina meno ndio maana wana jeuli ya kutosha
@mwasongweimani5495
@mwasongweimani5495 Сағат бұрын
Hii nchi ina shida jamani! Hivi unawezaje kufanya hayo huku kesi ipo mahakamani? Hela zina jeuri sana. Bila hela hauwezi kufanya hivi.
@alsam4881
@alsam4881 Сағат бұрын
Kwa baadhi ya wabongo wengi mara nyingi huwa wanatumia hisia ktk kufanya jambo badala ya kutumia Akili, kwasababu wengi wao hawajaelimika kuhusu sheria na hawana ustaarabu na kufuata sheria.
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 сағат бұрын
Ajira nguumu wanaajiriwa kuvunja usiku
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Сағат бұрын
Watanzania wazito sana kufuata sheria
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 2 сағат бұрын
😂😮❤hawa ni wahanga na serikali ndio inataka hivyo...
@HuseinMwakindole
@HuseinMwakindole Сағат бұрын
Kila kitu serikali acheni bwana, ikiwa hivyo kunasiku tutachukuliwa wake na hiyo tutaituhumu serikali
@RajeshiSanga
@RajeshiSanga 2 сағат бұрын
Naombeni kazi ningeuwA hata watatu ndipo selikali ije .bila hivyo mtasubili sana
@The1979bornagain
@The1979bornagain 36 минут бұрын
Hata kama huyo anayedai amenunua hiyo ardhi /eneo. Iweje avunje nyumba usiku ambayo inakaliwa na watu na mali zao? Na hata kama ameuziwa, wapangaji wana haki pia.
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 Сағат бұрын
Intelijensia ilikuwa imelala muda huo!! Eeh Mola tusaidie😢😢😢
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy 43 минут бұрын
Hiyo itelijenjensia ni ya umbea2 kuchunguza kina mbowe wanasema nini.
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 сағат бұрын
Washenzi yaani Binaadamu kama Wanyama Hawana Iman
@methodiutou7278
@methodiutou7278 46 минут бұрын
Ndo maana watu wanaamua kujichukulia sheria mikononi maana kuna mambo yanachosha na unaona kama sheria inachelewesha maamuzi😢
@pegionstudiotz8910
@pegionstudiotz8910 40 минут бұрын
Sana hao walinzi walikua wanakazi gani mana kulinda kumewashinda
@wanguwangu34
@wanguwangu34 12 минут бұрын
Mambo haya yamekuwa mengi sana sijui Kwa nini, auction marts zingefungiwa kwanza ndiyo source ya matatizo mengi sana kama haya..
@johnsonkatanga
@johnsonkatanga Сағат бұрын
Serikali si ipo sisi yetu macho
@mwlekartiesmwankenja3602
@mwlekartiesmwankenja3602 40 минут бұрын
Iko wapi Serikali?
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y Сағат бұрын
Usiseme mama wa kambo sema mama mdogo au mlezi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Сағат бұрын
Kumbukeni ya kwamba ardhi tutaiwacha awache kujifanya mbabe😢😢😢
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 54 минут бұрын
Uliokua hujui
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 2 сағат бұрын
Mnaenda kuomba kura.Lkn kila kitu mmeshindwa.Hamjui kuwa.mna jukumu la kulinda raia na mali zao ?
@knight6757
@knight6757 Сағат бұрын
🙄
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 Сағат бұрын
Tunyamaze tu!
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 12 минут бұрын
JERRY SLAA ALIPOTOLEWA TU NIKASEMA SASA UWONEVU WA ARDHI UMERUDI
@victorcephas3618
@victorcephas3618 45 секунд бұрын
Mama wa Kambo Oyeeeeee
@leokamil6284
@leokamil6284 2 сағат бұрын
Matatizo ya Mirathi ni shida ya Mahakama zetu kutokutenda haki .Haya matatizo yapo nchi nzima. Na wanunuzi wa mali wawe na ufuatiliaji wa sehemu wanazonunua wasiwe wababe kununua mali za watu kwa viburi vya uwezo. Kuna Mkuu mmoja mstaafu kanunua mali ya watu kibabe ndio maana naongea haya
@ikungetajohnluketa8601
@ikungetajohnluketa8601 2 сағат бұрын
Kununua mali ya urithi inaitaji umakini sana.
@leokamil6284
@leokamil6284 Сағат бұрын
@@ikungetajohnluketa8601 Sana na sio tu ya urithi ila kununua Ardhi nyumba inatakiwa kujiridhisha na anaekuuzia ni mmiliki halali ?
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 11 минут бұрын
Inaonekana huyu mama anapangiwa nani amuweke wapi na nani amtowe
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 10 минут бұрын
Waziri aliekuepo sasa hivi Anakaa ofisini tu
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY Сағат бұрын
Yaan uyu kuringe nae amekua kama kirusi...ni mvamizi kweli wa Ardhi
@oam14l
@oam14l 2 сағат бұрын
Investment environment in Tanzania.
@Byme6434
@Byme6434 39 минут бұрын
Yaaaani Hapo Wanaojiita Mainvestment Wamevamiwa Asaivi Wanataka Wakikujengea Hakuna Kikomo Cha Mkataba Hawa Si Wezi Hawa Sie tumewafukuza Nyumbani Tumewaaambia Watuwache na Umaskini Wetu
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 52 минут бұрын
MBONA MNAKUWA WASENGE DSM? KWANINI MSIWAUWE?
@GiselaMungereja
@GiselaMungereja Сағат бұрын
Kweli inasikitisha ,tumefikia mahali kuna wale wanaojifanya wako juu ya sheria na yote hayo ni uongozi huko chini haufanyi kazi wako kimaslahi zaidi.
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 Сағат бұрын
Ndo tatizo la mali za urithi. Hapo kila mtu angetafuta chake mapema wala huu ugomvi usingetokea mzee yeye angeendelea tu kugombana na mkewe basi. Na kama mke angeuza vyite basi watoto wangemlea baba yao wakiwa makwao
@RajeshiSanga
@RajeshiSanga 2 сағат бұрын
Mlinzi wenu hana bunduki
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 2 сағат бұрын
Wameona sheria hazifuatwi wakaamua kufanya mwenye nguvu mpishe. Wanasema kuku mkubwa alimfundisha kuku mdogo ku........
@samorajama8833
@samorajama8833 2 сағат бұрын
Hawa kiboko yao ni slaaa
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 сағат бұрын
Serikali mnataka ifanye nini wakati kesi ni ya watu waliouziana wenyewe? Kila kitu mnataka serikali. Kesi ya hapo ni umiliki wa ardhi. Kuna mtu alinunua na waliouza. Kwahiyo ninyi wakamateni hao wawili muuzaji na mnunuzi.
@1961nungwi
@1961nungwi Сағат бұрын
Uko sahihi. Ila unakosea: kuvunja usiku sio sahihi
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Сағат бұрын
Wewe hujui Serikali ni pamoja na jeshi la police
@tynashao9200
@tynashao9200 27 минут бұрын
Fidia itamlamba shenzi huyu Bora wangetumia utaratibu na wapangaji wakisema wameibiwa hela hachomoki
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Сағат бұрын
Hao wakamatwe kama majambazi
@bamdogokiki1486
@bamdogokiki1486 Сағат бұрын
Enzi za Jerry hii kitu siku tatu tu, inaisha.
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 55 минут бұрын
Jerry ndio nani wewe boya na haya yanatoka wapi kama hayakuwepo acha siasa kwenye mambo ambayo yanahitaji utaratibu wa kisheria
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 Сағат бұрын
Mademu wabovu kwakujifanya wanajua kuongea kingereza 😅pyeee
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 57 минут бұрын
😂😂😂😂
@MohadiTv
@MohadiTv Сағат бұрын
Sasa sungu sungu wanachukua ela za nini
@knight6757
@knight6757 Сағат бұрын
🍺🍻
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op Сағат бұрын
Baba yenu kauza na baba yenu mzima tatizo nini?Watoto,tafuteni zakwenu.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 104 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 140 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 24 МЛН
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
TLDR News Global
Рет қаралды 187 М.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 2,7 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 104 МЛН