Bakini hivyo hivyo kuwa wapinzani ila kushika dola mtasubiri sana.
@barakalyatuu305711 күн бұрын
Chama hakina nidhamu! Hii sio discipline kubishana au kutoa maneno wakati katibu yupo anaongoza! CCM nimeamini ni chama chenye watu matured sana
@XaveryBillings-w1t10 күн бұрын
kajamaa kanadharau kameweka mikono mfukoni hii si sawa,, najua kukosea ni kujifunza ila kuna umuhimu wa kuwa na nidhamu ya kuheshimiana kwa viongozi na woteee,
@Boniphaceshayo511 күн бұрын
😂😂😂iyo kali jamaa alitoka ila alivyo ona kashida anafanya alitumia staili
@absm808411 күн бұрын
CHAMA DEMOKRASIA NA MAENDELEO mtasubiri sana kwa CCM mpaka karne kadhaa😅😅😅😅 hiki ni chama cha mbowe😅😅😅😅😅
@Mrsalt-zs11 күн бұрын
Chama ch bb yk
@abuunayfatu870111 күн бұрын
Mbona kama amelewa hv
@davidkawesa359411 күн бұрын
Mzee rwaitama Mzee unatafita laana uzeeni
@PhilipoMwita-b2x11 күн бұрын
Kijana anaweka mkono mfukoni😂😂mbowe kawafundisha
@PaulMwashikuba-rm5xs11 күн бұрын
Mlimruhusu vip mpaka kaingia acha kuwaadaa watu tangazeni matokeo au mnaandaa mpango wakuingiza kura haramu
@johnmwasilu708711 күн бұрын
Timu Lissu walikula kichwa cha mshindi wakamuweka mtu wao
@MiltonByems11 күн бұрын
Hivyo vitoto vya Bavicha ni wahuni tu wa Lissu
@MatiasMatisse11 күн бұрын
Wewe ccm kwenda
@ZakariaSanga-e9y11 күн бұрын
Mbowe pumzika baba utushauli tuuu
@mercyemmanuel853611 күн бұрын
Mbons mnawatoa nje timu lisuuu?
@johnmwasilu708711 күн бұрын
Wahuni
@BarakaMparee11 күн бұрын
Hawafai kupewa nchi Hawa Yani wenyewe hawaelewani
@luluwillium136411 күн бұрын
Nam navonaa
@KishiwaMaganga-g1r11 күн бұрын
Wananiuz Kambi ya Lisu wakishndwa wanaondoka
@KOATV11 күн бұрын
Vipi wakipewa nchi wataweza kuongoza??😢
@PhilipoMwita-b2x11 күн бұрын
Mama Yako ataweza
@AbubakariTarishi11 күн бұрын
Chama tu kinawafuwa
@AbubakariTarishi11 күн бұрын
Watatuuza ubelgiji
@MasaweMasawe-r5b11 күн бұрын
Baraka bakiya na CCM yako kila mtu anachagua anachokipenda funga mbanga yako
@MasaweMasawe-r5b11 күн бұрын
Mlevi ni wewe na familiya Yako condock wewe
@MiltonByems11 күн бұрын
Bavicha sasa inaenda kuongozwa na wahuni wa mihemko ya Lissu. Chadema sasa chama hamna, karibuni chama dume CCM