Hawa jamaa yaani kwa interview zote wanaongea sense sana, kama unakubaliana na mimi gonga like toka KENYA
@issackchalahani12355 жыл бұрын
Safi sana, Artist anatakiwa kuwa makini kujibu maswali pindi aulizwapo media, sio kukurupuka na kujibujibu sio vizuri. Of course Rostam mpo vizuri pia ktk uwasilishaji wenu ujumbe kwa Jamaa yenu inayo wazunguka, so binafsi nawaombea kwa Jah awatangulie katika kazi zenu mzitumazo kwa Hadhira.
@ambaranguathuman44465 жыл бұрын
Nyie watu hatar sana yani mtu akijifanya kuwafuatilia atakula mweleka hongeren sana mko active sana big up nyingiiii
@bosslilyg43905 жыл бұрын
Jamani Roma....me i love you so much wallah
@aganomgata8680 Жыл бұрын
Nmewaelewa sanaaaa mazeeeee 👍
@amosdaniel59075 жыл бұрын
Napendaga sana Interview za Roma!!
@Jimmy-q4i2i Жыл бұрын
Braza hawa jamaa n zaidi ya genius yani unatamani uzidi kuwackiliza muda wote wakiwaga kwa interview..
@mohamedmlundi56375 жыл бұрын
Stamina unaznguaga interview sijui kwann...hujibugi maswali vizur........mambo ya no comment ya wanawake ayoo acha umama
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Muddy show kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@BiornProductions5 жыл бұрын
Millardayo unachagua sana aina ya watu wa kuwapa interviews na kuwa support na hili umelifanya kwa kipindi kirefu sana. Binafsi nakubali na kuheshimu kwa ukubwa ulionao kwenye industry ya media but in professionalism huwa sikusomi kivile sababu umechagua upande haupo balanced. Wapo wasanii wengineo pia wanahitaji uwepo wako wape nafasi pia kiroho safi. Kuna mtu anaitwa Lillommy pale times anafanya kazi na wasanii karibu wote wa Tz..yaani yupo very balanced na hana ukubwa ulionao 🙏 ukweli umuweka mtu huru Sorry kama nitakukwaza.
@sumaussi77645 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka Milad Ayo
@martinngwembe99035 жыл бұрын
Roma na stamina kunakitu nataka niwajuze nynyi niwasanii wakubwa sana na mnauwezo wa kuandaa show na mkapga pesa ila sijui mnakwama wapi yaan naona kamamnarud nyuma hv tena roma umesoma hvyo jarbu kufanya music business na usifanye kama unatafuta tu ela ya mboga tu no usifanye hvyo
@mathiusthomas30745 жыл бұрын
Unauhakika hawapigi show?
@oscarkaingu45595 жыл бұрын
Mwanaume kujiamini baunsa si ni mwanadamu Kama wwe usiamini mwanadamu mwenzako weee👉👉👉
@laizersikoyan41575 жыл бұрын
Rostam nawapenda sana
@amindadi245 жыл бұрын
Nimeipenda hii interview iko very entertained
@alibulush62005 жыл бұрын
Roma nakubalii sanaa unaongeya pont
@denisngalo35555 жыл бұрын
Watu atali sana ROSTAM
@ikizakubuntuf25912 жыл бұрын
nice audience I like it lakin tuna kumiss kinoma bro
@katarinawilliam99605 жыл бұрын
Bhareksa ana cha moto anatembea nacho haitaji baunsa.Wasanii mnajilinda na vibaka waporaji wa mikufu yenu .Kama weee huna ,huitaji baunsa.Wanini????Hata kiatu cha maana huna.
@alijuma65025 жыл бұрын
Jamani kua namabaunsa. Nimoja ya ajira. Hao baunsa wote walikua mtaani hawana ajira. Sasa dimond kawa mbunifu. Na ameacha ubinafsi wakula pekeake. Kawaita anawalipa hapo tatizo liko wapi. Wabongo mbona hamna jema..lakin pia ni usalama kwake. Kumbuken pia wasani wanakufaka wakati mwingine kwakukosa msaada wakiulinzi..mfano albat mangwea. Steven kanumba..nakuna bondia anaitwa tomac mashali. Nawengine wengi tu. Shida yawabongo mnasahau kwaharaka sana. Waacheni baunsa nao wapate ajira jaman
@pacifiquerema23475 жыл бұрын
Awa bidamu wawili nawapenda sana
@abamotv5325 жыл бұрын
tulokuwa tukisubir kwa hamu naomba like
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Abamo Tv kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@abdulparesh48995 жыл бұрын
Wanangu mm nawakabali sana
@kitolano15 жыл бұрын
Guys don’t be so stupid, Bill gate does not have baunsa but 50 cent does. There is richness and famous, Tanzanien don’t understand it. Don’t hate someone who has Baunsa, it part of creating works. That why you America there is a lot of jobs and Africa always suffer
@singanomichael68185 жыл бұрын
that z correct!! Roma hana akili
@japhetkavishe23475 жыл бұрын
So you mean 50 cent is famous than bill gates??!
@maidafrancis455 жыл бұрын
Hahaa Roma umejieleza vzr sana
@binomarkheir33675 жыл бұрын
Nyie wabanapua tulieni tu hao Rostam balaa pendeni hao hao wakata viuno wenu kina diamond Rayvan
@SLTN45035 жыл бұрын
Yani hawa jamaa diamond anawasumbua sana..wanateseka sana na wanakosa gis watamtaja wanaona bora wazungumzie habar za mabaunsa..
@jaydon33615 жыл бұрын
Sasa wew Roma utamlipa nin baunsa Kama wew mwenyewe unatembelea gar la million 3
@Mwalimu_seleman5 жыл бұрын
Son P kwani gharama ya kumlipa baunsa ni tsh ngapi???
@Theunitedeastafrica5 жыл бұрын
kuwa na bodyguard mara nyingine ni kuiweka brand yako iwe expensive na vilevile una protection as huwezi jua nani mbaya nani mzuri. Ila bodyguard 10 au zaidi ya wa5 duh hapo sasa utata
@afterfull-time13485 жыл бұрын
I like that, good opnion..
@tanzaniamycountry93085 жыл бұрын
Pamoja @roma
@simbarajabu41575 жыл бұрын
Mm nashangaa eti konde boy baunsa 8 na diamond baunsa 12 eheeee kweli balaaa
@samoy54815 жыл бұрын
Asa jaman mnataka mabaunsa tusipate riziki??!!! Ifikie mahara tupeane mchongo tu jaman maana ata sisi mabaunsa tunasaka hella kwahiyo sio poa kupondea ajira. Baada ya mziki/baunsa kuna maisha mengine yanafata.
@geofreymsengi99715 жыл бұрын
Kweli bhana
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Sam ßoy kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@machdizzo65195 жыл бұрын
Sam ßoy hakumaanisha kama wasiwepo but uonekane utouti kat ya fulan na fulan
@BiornProductions5 жыл бұрын
Binafsi nimekuelewa mno mwisho wa siku baunsa nayo ni kazi lazima wapate riziki
@salimmkambila35425 жыл бұрын
Amini
@humphreyharold95015 жыл бұрын
Nyie mnazingua watu tunapeana michongo ayo majungu tu ata ao baunsaa niwatu mtu kuwa na baunsa wengii usijajii xana kimpango wake na wew kua na wengi alafu pia msifananishe watu
@ikombebusisi90175 жыл бұрын
Bakhresa anavaaa ndara na shati LA mtba suruali kauka nkuvaee hana Pete wala chochotr cha samani ...alindwee nn ila usijidanganye kubwa halindwii analindwaa jaribu uone....kumbka Mo.
@hassansalum53625 жыл бұрын
Ayo mambo ya bounsa mbwembwe tuu na kukuza brand
@stevemwakisimba59865 жыл бұрын
Roma acha bangi mnavyozidi kuwasema watu wenye mabaunsa mnajitengenezea uwadui na hao watu maana wanapata ajira tosha mkisema bakharesa yeye ni utashi wake!nyie hamna pesa zakuwalipa!
@henrysobrill3865 жыл бұрын
Stev we fala eti hana pesa maviii kweli ww
@frankmaria67175 жыл бұрын
Bakhressa ushamuona kwenye mikusanyiko ya watu,wafanyakazi wake tu wengi hawamjui kwa sura Mabaunsa wanafanyakazi wanalipwa mishahara wanaendesha familia zao Kuna nyie mnaimba kuna wanaocheza shoo kuna wanaokusanya mapato getini kuna wanaobeba vyombo nk au Roma zote unafanya mwenyewe?
@mahmoudkhamis86385 жыл бұрын
Humjuw ww ni mtu kawaida sana Bakhresa anatoa airport kawaida to peke yake hanaa makuuu tafuta jengne lakn c Bakhresa
@frankmaria67175 жыл бұрын
@@mahmoudkhamis8638 ni kawaida sana? Umetumia bando lako vibaya
@mahmoudkhamis86385 жыл бұрын
@@frankmaria6717ni sawa ila angalia vzr utumikaj wao ni sahihi au maana me naona km fation to kwa waliowachukua Angalia na kiundan zaid usieke ni ushabik kaka wakat ata ww umgelua stej iyo usingefanya
@frankmaria67175 жыл бұрын
Hakuna mahali nimezungumzia ushabiki kwenye andiko langu, Kuna watu wanatushangaa tunavyoweka bando kwenye simu wanatamani hizo pesa wangepewa wanunue unga wa ugali kwamba tunatumia pesa vibaya Ni sawa na kijana anapambana anatafuta pesa yake anatumia kwa starehe zake hasaidiwi na mtu kuwalipa hao walinzi sisi tunatukanana na kukashifiana mitandaoni Ni mtazamo wangu pesa zinatafutwa na mtafutaji akizipata namna ya kutumia mradi havunji sheria ni haki yake,
@oxtinho1595 жыл бұрын
Hahahahhaha BAKHRESA MWENYEWE HANA BAUNSA hahahahah
@oxtinho1595 жыл бұрын
@@platnumzlyrics9928 Mtu anotekwa unamjua auuu
@juliusjulius20805 жыл бұрын
Afu hao baunsa wanaingiza ela kuliko nyie mnaedhulumiwa na clouds
@hightechofficial2555 жыл бұрын
Unaumwa kweli
@juliusjulius20805 жыл бұрын
Mr Edjing Mix Official exactly mrembo mm naumwa kweli
@hightechofficial2555 жыл бұрын
@@juliusjulius2080 poa Mama
@theodorycharles63845 жыл бұрын
Harafu mboma wabongo wengi hamjielewi wanazurumiwaje umeenda wakakuxurum mbona hamnaga hofu ya mungu kazi kusema watu
@kondegangfans73685 жыл бұрын
💥 uno to the world
@joshuamweta65515 жыл бұрын
Roma kitambo sana aseh very mature majamaa
@salomemphela8785 жыл бұрын
Roma nimekuelewa unajua kujielezea #ualimubadoumekujaakwenyedamu#
@abdallahkitwana84715 жыл бұрын
Maneno ya mkosaji hayo...mawazo finyu Kabisa... popularity ya bakharesa tofaut na hao wasanii Daimond,Harmonize nk. Mkifikia level Yao mtaelewa.
@mussamussa91745 жыл бұрын
Acha upumbavu ww
@abdallahkitwana84715 жыл бұрын
@@mussamussa9174 jenga hoja kijana
@japhetkavishe23475 жыл бұрын
Et popularity kwahiyo diamond ni popular kuliko bakhresa 😂😂
@abdallahkitwana84715 жыл бұрын
@@japhetkavishe2347 bila shaka kama ukijua maana ya popularity...leo hii bakharesa atembee nan anaemjua na kumzonga? Bakhera ana pesa kuliko Daimond ila diamond ana fans'base kubwa kuliko bakharesa...ukibisha bisha
@afterfull-time13485 жыл бұрын
Abdallah kitwana, unaelewa🙏🙏
@yeftafilmproduction42145 жыл бұрын
Haki leo nimeipenda sana hii
@geofreymsengi99715 жыл бұрын
Kuwa na bodgadi Ni Pesa ile waache vijana watanue Ni Wakat wao
@ziadasalumu11765 жыл бұрын
Si hivyo tu pia ni moja ya ajira kwa wale Baunsa sababu wanalipwa nao wanapata riziki au wanataka wale jamaa wakakabe tuache ukuda ni ajira moja wapo vijana wanajipatia we huna uwezo wa kufanya hayo piga kimya roma
@geofreymsengi99715 жыл бұрын
@@ziadasalumu1176 kweli mtaalamu hyo Ni ajira inatambulika na wamepata mafunzo ya ziada
@kazungusostenes64225 жыл бұрын
woo
@hassansawasawa19415 жыл бұрын
Roma anamchimba stamina iliaseme ilabado jamaa kakomaa kweny pwent yk
@juliusjulius20805 жыл бұрын
Majungu meeengiii
@MKobe_2545 жыл бұрын
Stamina kama konyagi ilishika mid interview, kwanza baada ya kuulizwa ya ndoma.. kaka kama alishikwa depression... tafathali bro Roma acha dogo home ukienda interview asije jiwekea kamba shingoni ateleze tumsahau bure... izo dude zicome come despite all
@rajabramadhan15085 жыл бұрын
Maneno ya mkosaji
@georgemwidima38515 жыл бұрын
Kama biashara yako ni kuuza maandazi hauhitaji BodyGuard. Sisi tunaita Bodyguard ninyi mnaita Baunsa kwa lugha yenu. Lakini kwa mwanasiasa, mcheza sinema, mwanamuziki ushindani na maadui ni wengi kuliko wafanyabiashara wa kawaida. Hata hivyo Baunsa si kwa ajili ya kulinda fedha za wafanyabiashara bali mwili wa watu maarufu.
@dhungu_one43315 жыл бұрын
tumapenda tusikie mziki ukiongea na si maisha ya wanamziki anae fanya vizuli apogezwe
@sulendidu18385 жыл бұрын
Roma unajitetea hatari
@arnoldmbuya15795 жыл бұрын
Roma anatafuna BIg G interview nzima.. Usivae Earphones aise..
@damianmachilutv11675 жыл бұрын
Majungu tu na wivu,
@chobastian-chobo57595 жыл бұрын
Imekuaje stamina ametoa siri za ndoa yake sasahv sasa, kweli maisha yanaenda kasi
@dastunluswaga51825 жыл бұрын
Ungekuwa na ulinzi kile kipindi wangesaidia....C unaona sasa Mo anaulinzi baada ya lile sakata..
@chuggabeatmurderstreetfree26855 жыл бұрын
HUYU JAMAA #ROMA BAADA YA KUTEKWA sijui walimfanya nini... Karudi hajui kingine zaidi ya kuimba tarabu.
@mohamedfogo88205 жыл бұрын
Acheni wivu Mziki wenu haulipi Mtabaki kuambiwa Dah!!! Nyie wakali lkn mfukoni njaa.show moja tu mpaka fiesta
@idrissajuma11875 жыл бұрын
Lifestyle....
@isayakilangi82005 жыл бұрын
Mmmh stamina hueleweki kaka nakukubali ila apo umezingua
@raymondcyprian1685 жыл бұрын
uwepo wa mabaunsa pia ni fursa ya ajira.. wananyanyua vyuma wakale wapi?
@donatusswai15745 жыл бұрын
Hahahhahaha nimecheka hatari
@kachaladouble85935 жыл бұрын
Muogope mungu hao wasenge wanatumia mabaunsa wanataka tu.kiki nakuogopwa wakiti sio mungu
@kdloon20305 жыл бұрын
Upo sahihi stamina,mambo yako ya ndoa usiyajadili mitandaoni.Wabongo sijui twakwama wapi,yaani private life twaidhihirisha na hao hao tena baadae wanaanza tena kukucheka.
@athumanyusuph10995 жыл бұрын
ujanja ukizidi sana mwishowe huwa ujinga
@gadsonmanchester4755 жыл бұрын
ivi kuna malaia hawapendi muziki
@camposomsasani38945 жыл бұрын
jamaa mm siwaelewi kabisa wanaimba hiphop au taarabu maana mambo yao kama waimba taarabu atamziki wao sasaiv umbea ndio mwingi wanakwama wapi hawa
Imbaa wew achaa ushambaa wew wanaimbaa Vilvyopo kwenyee jamnii Kama unaqaskilza wnasem hipop ni mazngiraa yaliyopo Achaa kulurupukaa wew
@juliusjulius20805 жыл бұрын
Wanasema km hauna hela unaona mwenye hela anatumia hela zake vibaya
@paulbinezekiel82255 жыл бұрын
Hawa jamaa wanajielewaga sanaa
@platnumzlyrics99285 жыл бұрын
Noma na wakati Roma kaliwa tigo
@godfreysebastian22605 жыл бұрын
stamina nae
@hassanjomaa23135 жыл бұрын
Kama wewe roma ulivo tekwa si ulitolewa marinda au unataka tutagaze yaliyo kukuta kwa watu wasio julikana
@mbotwambotwa81365 жыл бұрын
Ukweli bila baunsa huwezi kufanya show naikaisha salama kwa sababu shabiki wapo wa damu kwa mhusika pia maaduwi
@wilfredmbussa49305 жыл бұрын
Wabongo bhana kwani mnateseka mtu akiweka bodyguards? Inaonesha nyie ni wabinafsi wa maendeleo maana hao bodyguards wanaolipwa na wao wanafamilia zao na kazi yao ni hiyo.. Mlitaka hao bodyguards wale kwenu
@gamc7735 жыл бұрын
Sasa wewe una banusa alafu unaendesha gari ulisha ona puffy dady anaendesha gari
@mubofuthegreat49555 жыл бұрын
Stamina umeboa kwenye interview bro
@henrysobrill3865 жыл бұрын
Bx kajibu ww ayo maswali
@hasanjuma11115 жыл бұрын
@@henrysobrill386 roma mshamba stamina kuna ubaya gani kutembea na mabaunsa amnaga vitu vya samani
@stopper41415 жыл бұрын
I don't surport msanii kua na bodyguards kibao ila pia tukiangalia positive side wamecreat jobs to alot of bouncers mtaani so big up.
@jaypili99555 жыл бұрын
mbona umeludia kupost hii interview
@gabrielmugabo92235 жыл бұрын
Hajarudia,hii ni part two
@itongwamtebwa72555 жыл бұрын
Upo sahii
@lugembelucas66745 жыл бұрын
Hii ni interview tofaut
@iddyprod31875 жыл бұрын
Wenzenu wamening'iniza Prado tatu shingoni nyie mabaunsa mna nini?
@zumbeshauri81145 жыл бұрын
iddy prod hahahahaaa kabisa ndugu yangu iddy prid watu wamehifadhi hela shingoni sasa wewe hata Pete ya laki huna
@faisalwaafrica74785 жыл бұрын
Wacha usenge roma wasomal una maanisha wote ni magaidi sio futa kauli yako pumbav
@nestoryjackson55165 жыл бұрын
Stamina hueleweki kaka
@allynanyundo20205 жыл бұрын
Milaid ongeza kamera tuwaonewote
@cavonboyblogger19955 жыл бұрын
ALLY NANYUNDO 😂😂
@silverman69305 жыл бұрын
Instead of talking about serious issues
@jumjumanderson97155 жыл бұрын
What do u mean?
@silverman69305 жыл бұрын
maundu andersonjum what do I mean ,? Are you for really ? Or daft ? 🤔🤔🤔
@thebestplatformz82825 жыл бұрын
Sasa bakharesa hana pesa lkn hana mashabik wa kumfuta futa mtaan
@witneymathy40585 жыл бұрын
Ila Rostam wanatumia akili ktk kujibu maswali na ktk show zao ni za kibabe
@mangalilikilawe67885 жыл бұрын
Roma mshamba kama kweli kaongea hayo maneno yalio andikwa hapo , mana siwezi kuangalia intview za wakuda
@kubrymtutala17365 жыл бұрын
Hujaangalia ila umecoment nani mjinga,
@mataamiry67205 жыл бұрын
Awa ni maskini sana wakifedha kwaiyo wapunguze taarabu
@theodorycharles63845 жыл бұрын
Wewe tajili sana unaonaje kibanxi kilichoko kwenye jicho la mwenxako wakati boliti lililopo ndan ya jicho lako
@endruwguzula59935 жыл бұрын
wewe wzazi wako wananini?
@alexmsemwa91305 жыл бұрын
Muna mambo ya kike sana wivu mtupu.
@tajikiller50215 жыл бұрын
Alex Msemwa awana hela awo
@fubanjenjele5215 жыл бұрын
Entertainments kweny industry Nawaelewa jamaa
@alijuma65025 жыл бұрын
Hamna hela nyie rostam. Hamkeni wcb imekuja kuwaamsha. Badiliken
@itongwamtebwa72555 жыл бұрын
Hacha ujinga umesha kuwa kijana
@alijuma65025 жыл бұрын
@@itongwamtebwa7255 wanazingua. Wenzao wanatoa ajira. Baunsa wanaenda chooni. Tatizo wasani wabongo wabinafsi sana. Ndio mana mond anawanyoosha. Na wcb media ndio itawaonyesha njia media zakubaniabania wasani
@issackchalahani12355 жыл бұрын
Sio kweli, wcb wamekuja kuwaamsha! Mmh! It's true coz Rastam is the strongly songs but wcb is the softly songs, so this is different music.
@alijuma65025 жыл бұрын
@@issackchalahani1235hata chid benzi. Dudu baya nawasani wengi tuu. Wana nyimbo nzuri sana. Zaidi za hao wakina rostam. Lakini wanaelewa na wameheshim nawanakubali kama WCB imeleta mabadiliko makubwa..hapa tatizo sio uzuli wanyimbo hapa tunazungumzia biashara yamusic kwa ujumla
@brendaulomi64825 жыл бұрын
Achaa upuuuziii wew Unamlinganisha wcb na Rostaminaa Achaa ukoroo
@mariyamdotto22455 жыл бұрын
Napenda Roma akicheka jamani
@salmashaban2373 Жыл бұрын
Kitu najuwaga nikukupenda tu Roma ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@singanomichael68185 жыл бұрын
sio kwamba eti roma hataki mabaunsa, atawalipa nini??? wenzio wana uwezo na wanayoyafanya broo..!! Wake up!!!
@davidmlyuka93985 жыл бұрын
kijiwe nogwa...
@salumchande27025 жыл бұрын
Baresa anao bodyguard
@esabelfadhili84325 жыл бұрын
Nashangaa baunsa analinda nn atii
@emmanuellucas5 жыл бұрын
Roma nimekuelewa jomba uko deep jiniaz Dingili
@Burner_Acc5 жыл бұрын
Roma unaongea sana
@siwemamichael6905 жыл бұрын
Demu kasepa kuwa mkweli wew unazani atujui
@machintangachibwena59225 жыл бұрын
Si ulitekwa wewe mbona hukuongea tena kuhusu ile ishu
@stanleygeorge66385 жыл бұрын
Rostamu ujinga ujinga tu
@kazungusostenes64225 жыл бұрын
Stanley George kaka muko vizuri xna
@hassanjomaa23135 жыл бұрын
Hawa jamaa awana marinda usiponde kazi ya mtu bonsa ile riziki yake kama wewe roma unavo imba acheniukandia kuma nyinyi