Dkt. Issac na Madhara ya Unywaji wa Energy I Fahamu Ufanyaji Kazi wa Figo, Ini na Moyo I Faida Zake

  Рет қаралды 54,574

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 145
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 10 ай бұрын
Doctor unaongea kwa nidhamu ya hali ya juu sana,mungu akutunze Kaka..✍🤲
@bahatielias6443
@bahatielias6443 10 ай бұрын
Huyu bro ni dokt kweli,Yuko vizuri sana
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 9 ай бұрын
Yuko vema sana
@jumanneNjama
@jumanneNjama 10 ай бұрын
Watangazaji wameamharibu hii interview
@siyeyetv
@siyeyetv 9 ай бұрын
hawamuachi akamaliza kusema
@hanifamziray277
@hanifamziray277 10 ай бұрын
Doct upo vzr sn hata kwenye kipindi chako cha njia panda mungu akulinde na mabaya
@bigboyben6932
@bigboyben6932 10 ай бұрын
Very smart kichwani na mwili🙌🏾 shoutout to my brother dr isaac Maro pia power break fast kiujumla
@abumuhammad157
@abumuhammad157 Ай бұрын
Njia Panda na Doctor Isaac
@MasaweFransi
@MasaweFransi 9 ай бұрын
Dr Izack yupo true na mkubal
@williammlay3600
@williammlay3600 10 ай бұрын
Nadhani wa kusikia amesikia na ambae hatosikia anaweza kuendelea. Lakini kumbuka MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO. Asante.
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 9 ай бұрын
Nimesikia na nimezingatia
@theodoryngwembele
@theodoryngwembele 10 ай бұрын
Dr. Maro, Mungu akutunze ili utumike kuwasaidia watu juu ya afya zao.
@marketingmazingira1393
@marketingmazingira1393 10 ай бұрын
Haya matangazaji ni mashenzi sana mnaingilia hata hawezi kuelezea vizuri pumbavu sana
@Moris495
@Moris495 10 ай бұрын
Mnaongea sana,Sasa kuna maana gani mnamuuliza maswali halafu mnayajibu wenyewe,kuweni focused
@2116-n
@2116-n 10 ай бұрын
Yaani wamenikera Sana, wanamkatishakatisha tu kila akitaka kuongea point ya msingi
@RynoFiree
@RynoFiree 10 ай бұрын
Duh watangazaj hamfanyi kipindi kiwe na utulivu mnaingilia mazungumzo sana
@kuyengathomas876
@kuyengathomas876 10 ай бұрын
Asante Dr isac Maro
@RoseKhashim
@RoseKhashim 9 ай бұрын
Doctor Isaac ❤
@AngelinaAgustino
@AngelinaAgustino 10 ай бұрын
Namkubali saan brooo mungu akuweke saan hap dunian 🎉🎉🎉
@sjaykigomatz
@sjaykigomatz 10 ай бұрын
Watangazaji mnazingua sana, wacheni doctor aseme
@thomasgwanda9238
@thomasgwanda9238 9 ай бұрын
Watangazaji mu azingua Leo mutulie musikilize Dr
@angelmwaimu3676
@angelmwaimu3676 10 ай бұрын
Sijui kwanini huwa mnapenda kuingilia point husika za mtaalam mara nyingi huwa ninawasikia hivyo kimsingi huwa mnatuudhi wasikilizaji,
@philipomgovano
@philipomgovano 9 ай бұрын
Wanaongea Kila wakati kama wehu
@sampaconnector2845
@sampaconnector2845 9 ай бұрын
Watangazaji punguzeni ujuaji mnapoteza flow ya maelezo ya Dr.
@monicaraphaelkufakunoga5828
@monicaraphaelkufakunoga5828 9 ай бұрын
Dr Maro huwa namuelewa sana naamini angekuwa mwl wangu wa Biology o'level ningepata division one ya 7
@ElizabethNyary
@ElizabethNyary 10 ай бұрын
Watangazaji mnaboa mna mkatishakatisha Dr Maro mkiuliza vitu ambavyo ukimsikiliza vizurii anaviongea. Next mjirekebishe mnyamaze msikikilize mtu mwenye professional yake aongee
@Robbymabangoprinting
@Robbymabangoprinting 10 ай бұрын
Watangazaji miyeyusho sana , yaan bongo ni ovyo sana
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 10 ай бұрын
UMZANIAYE KUMBE SIE🤣🤣yaan moyo unakazi ndogosanaaaa ila cha ajabu ukizima ndo nnamie nazima🙆🏾‍♂️ afu figo na ini vinakazi kubwaaa ila vikifeli unakaa adi mwaka👁
@djbiggie8043
@djbiggie8043 10 ай бұрын
Watangazaji mnaboa sana, siku nyingine msirudie dr anatoa eleimu why msimpatie nafasi ya kutosha atoe elimu kwa watu?, au kama ninyimnaweza kutoa elimu ya afya mmemleta wa nini
@swahili24live56
@swahili24live56 10 ай бұрын
haya matangazaji bhana
@RokasaSamilah-eq1rm
@RokasaSamilah-eq1rm 9 ай бұрын
Dada fety na dr isaac bigaup kwenu
@Deheye-q8q
@Deheye-q8q 10 ай бұрын
Watangazaji mko vizuri kwa kuendesha mada hii ila pia mnaharibu !! mnaingilia point za Mtaaramu acheni hivyo 😢😢
@JoyceMwamafupa-rf7jv
@JoyceMwamafupa-rf7jv 10 ай бұрын
Watangazaj elim ziro
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 9 ай бұрын
Mimi mwenyewe sija penda Hii kitu maana wana Haribu Taaluma za Watu ujuaji mwingi Sana..yaani kujua lugha kidogo wana jiona washa kuwa wasomi Au ma Dr.😒😒😏😏
@abumuhammad157
@abumuhammad157 Ай бұрын
Njia panda na Doctor Isaac Maroo kutoka Japan huyuu jamaaa aiseeee
@cleofasgawasike7696
@cleofasgawasike7696 10 ай бұрын
Watangazaji mnazingua
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 9 ай бұрын
Watanga,aji wachani dr bana aha
@jimmymbella997
@jimmymbella997 9 ай бұрын
DR . I MARO HONGERA KAKA UMEDADAVUA VYEMA SANA, JAPO SI WOTE WALIOKUELEWA🤝
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 9 ай бұрын
watangazaji mhaharibu sana ladha ya kipindi.Mngemuacha doctor atupe faida badala kugeuza kipindi cha story na comedy.
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 10 ай бұрын
Kuna highlife,konyagi na mapombe kibao makali lakini hayo yote hayampati kijana mmoja mdogo mkimya sana anaua taratibu uwezi kumzania ni "Silent killer", shikamoo kaka "Energy drinks." Tunatamani sana kukuacha ila tunashindwa unaladha nzuri na unasisimua misuri na tunafany kazi vizuri.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 10 ай бұрын
😂😂😂 acha kuzingua
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 9 ай бұрын
Nimerudia mara mbili ndio nimekuelewa
@ShabaniButanga
@ShabaniButanga Ай бұрын
Watangazaji madoctor feke, acheni hizo, Mwacheni Dr professional yake aelezee nada, NYINYI subirini comedy mtaingilia mazungumzo, thanks in advance!!
@ojjoajali8438
@ojjoajali8438 9 ай бұрын
Masoud much know kwenye professional isiyo yake mpaka anaharibu
@FintanMkesha
@FintanMkesha 10 ай бұрын
Watangazaji wa hovyo
@EdsonMartin-e3k
@EdsonMartin-e3k 10 ай бұрын
Kajifunzen kwa Salama ,namna ya kufanya vipindi ,andaa swali uliza swali? Mwache mtu aeleze mpaka uone apa umepata jibu ,then twanga tena swali sasaa daah mnapiga stori stori tu yaani
@joelsamwel2580
@joelsamwel2580 10 ай бұрын
Mnaongea sana puzi kabisaaaaa
@josephk90
@josephk90 10 ай бұрын
Watangazaji manina zenu mnakera😢😢😢
@josephk90
@josephk90 10 ай бұрын
Watangazaji manina zenu😢😢
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 9 ай бұрын
MUNGU WA AJABU SANA aisee
@aboubakarymsati7080
@aboubakarymsati7080 10 ай бұрын
Mama anatakiwa kumpa kitengo kijana kwenye wizara ya Afya.
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 9 ай бұрын
Watangazaji acheni tabia ya kuigilia mazungumzo,hata mkiwa wenyewe kwa wenyewe huwa mnaboa mpe nafasi mhusika aongee
@mafiagenius-i4m
@mafiagenius-i4m 10 ай бұрын
Huyu mtangaji wa kiume kiherehere sana mpaka nashindwa kumuerewa vizuri doctar unamkatisha katisha sana😅
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Күн бұрын
WATANGAZAJI MNAZINGUA KWANIN MUNAMKATISHA SANA DOCTOR?
@PaulNtumvavugwa-w5t
@PaulNtumvavugwa-w5t 10 ай бұрын
Watangazaji mnazengua
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 10 ай бұрын
Halafu nyie watangazaji mnaharibu maana mnamkatisha katisha sana Dr. Isack, kuna vingine alipangilia kusema anaviacha!!
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 10 ай бұрын
Tatizo mtangazaji sometimes anataka aonelane nae anajua votu vya kitaalam kumbe ni field mbili todauti, mwache mtaalamu ajimwage as long as yuko within the subject
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 10 ай бұрын
@@angelanaftael7965 kabisa 💪
@2116-n
@2116-n 10 ай бұрын
Wanakera Sana, ukitazama vizuri Kuna muda Dr. alikuwa anakasirika
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 10 ай бұрын
Hat anapoongea wanalet utan wao
@ahz6907
@ahz6907 10 ай бұрын
Wana kiherehere sana
@nassoromussa4440
@nassoromussa4440 10 ай бұрын
Bro hawa wamiliki wa Energy, maji ya viwandani, soda zote wanataka kutumaliza ni Bora Dr. uongelee Tu na muwachane ukweli syo Tu energy drink hata hvyo vngne nilivyotaja ni mfano mikoani zamani kulikuwa na maji ya chupa chemchem Leo hii kuna kampuni Fulani ya maji Dar ndo wasambasaji mikoa yote na wameua maji mengne sasa swali la kujiuliza wameweka NN kwenye hayo maji kuna kitu kipo nyuma kifupi Ajenda fulani
@WilsonCharles-lr1ko
@WilsonCharles-lr1ko 10 ай бұрын
Sasa hapo mtaalamu ni nani? coz watangazaji wanatamani kujihoji wenyewe ili waoneshe utaalamu duuh! hii nchi ngumu sana
@magretangel5242
@magretangel5242 10 ай бұрын
Hata msemeje Energy hatuachi...
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 9 ай бұрын
Yakishakufika ndio utajua
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 3 ай бұрын
Endelea wazikaji tupo
@Hassan-bq8bg
@Hassan-bq8bg 9 ай бұрын
Hawa ndiowanaotakiwa kupewa wizara ya Afya sio wale wanaosomea kuigiza mnawapa wizara yaafya
@nicholauslupimo2851
@nicholauslupimo2851 9 ай бұрын
Acha siasa doctor unazunguka Sana kutoa majibu ya moja Kwa moja kwamba energy inamadhara mengi Sana nahaifai
@jimmymbella997
@jimmymbella997 9 ай бұрын
Ndiyo iko hivyo sasa wew unapaswa ujiongeze, kumbuka hizo ni biashara za watu so, akifunguka moja kw moja anaharibu ugari wawatu, daktari yuko sahihi nazani tumeelewa.!!
@amanididas7660
@amanididas7660 9 ай бұрын
daktari afya anayo maana anang'aaa
@ayobow56
@ayobow56 8 ай бұрын
Mimi energy Huwa sinywagi Wala soda Wala nini
@joshuakinabo6861
@joshuakinabo6861 10 ай бұрын
Mwacheni afunguke basi msimkatishe katisheeeee 😮😮😮😮😮😮
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 9 ай бұрын
Basi zipigwe marufuku hizo energy kwanini ziendelee kuzalishwa na kuuzwa wakati zina madharaa
@simonmlelwa4226
@simonmlelwa4226 9 ай бұрын
Mbona sigara hazijapgwa marufuku
@sultansallah8772
@sultansallah8772 10 ай бұрын
Atupe na madhara ya bia
@FestoChaula-d2r
@FestoChaula-d2r 9 ай бұрын
Nyi watangazaji mnakera Sana Kuna maana Gani? Ya kumwalika Mtaraam kama nyie mnabaki kua waongeaji. Mwacheni doctor Achambue.
@goodluckmambosho-nd7cx
@goodluckmambosho-nd7cx Ай бұрын
Sasa mbona hamu muachi aelezee yn mnakera kwakweli
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 ай бұрын
Kwann kipindi kina watangazsji wengi ikiwa maswala yaongelewsyo ni muhimu dah sielewsgi hizi media siku hiz inakuwa kama genge hiv au kijiwe cha story very serious ishu lakini kunakuwa na kelele ujuaji sana..kipindi kizuri mnoo lakini rekebisheni.lisiwe gengee cos mnajuwa kuandaa lakini muhusika wa kutupa mafunza.mnamfunika kwa uongeaji wenu sana ila safii..
@marcominja8850
@marcominja8850 10 ай бұрын
Nyie watangazaji gani? Hamna taaluma za kuhoji, kila wakati kumuingilia mtaalam akieleza jambo na kumtoa kwenye reli, na mnafafanua kama vile mnajua kuliko faktari mwenyewe. Ovyo sana.
@rashidimaganga9869
@rashidimaganga9869 Ай бұрын
Yaan Hawa watangazaji hawana weledi wa Kaz Yao, Kipanya ameongea mara Moja, ila hv vimbwa vingine Sasa ndo vimekua vidokta
@sangaelly8548
@sangaelly8548 9 ай бұрын
Nyi watangazaji mnamchanganya Dr maelezo yake mazuri, kama amekuacha si unyamaze basi
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 10 ай бұрын
Nauliza jamani hivi hivi vidude mtu akivinywa sana Kuna uwezekano wa kuhalibu hata mbegu za kiume ama,nina jamaa yangu ni mhanga wa energy Sasa kupata mtoto ni xhida mpaka tunahisi energy ndo chanzo
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 10 ай бұрын
Watangazaji wanatakiwa kumuhoji mwijaku, baba levo au H baba lakini sio watangazaji wakuhoji watu makini
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 10 ай бұрын
Dr wamechongo unahamasisha watu kunywa pombe , jichanganye siku ukutane na pr. Janabi kama hujachezea mboko za kwenda!
@kombaisabela2102
@kombaisabela2102 9 ай бұрын
Watangazaji mnaharibu kipindi mwachieni mwenye taaluma yake
@nassororajabu4463
@nassororajabu4463 10 ай бұрын
Jaribu kunywa energy bila kula uone tumbo linavyo kwangua
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Kwel kabisa hawa hawaji elewi eneji ukiwa umeshiba ndio nzur kunywa sio ukiwa na njaa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 9 ай бұрын
Ukiona inakukwanguwa ujuwe una ulcers
@selestinokazumba
@selestinokazumba 10 ай бұрын
Watangazaji mnakera muachen dkt afunguke
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 10 ай бұрын
Ujuaji mwingi mnooo mwacheni atoe elimu, mnaongea mnoo sasa mmemwalika dr wa nini bana
@trustmwimanzi3754
@trustmwimanzi3754 10 ай бұрын
Sasa kama wanajua wamemwita doctor wa nin si wangetuelezea wenyew tu
@agnesmbogo3753
@agnesmbogo3753 9 ай бұрын
Waache kuzitengeneza
@RosemaryMtallo
@RosemaryMtallo 9 ай бұрын
Doctor endelea kutoa elimu sasa wakinyamaza hawa watangazaji doctor si atakuwa kama anaongea mwenyewe??kumbuken sisi tunafuatilia tuu hao ndo wanakuwa kwa niabayetu
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 10 ай бұрын
Watangazaji mnazingua mpaka docter anaamua tu kuchat
@isacksamuel5503
@isacksamuel5503 10 ай бұрын
main thing ni kunywa kistaarabu
@girikimdaila6026
@girikimdaila6026 10 ай бұрын
Watangazaji wasenge wanaongea Sana kuliko doctor
@shayo01
@shayo01 10 ай бұрын
ha ha ha ha ha daaa
@draxelr-vc9wr
@draxelr-vc9wr 10 ай бұрын
muendelezooo
@eliabgitti9716
@eliabgitti9716 10 ай бұрын
Aki manasumbua tu Dr Kama maswli mnayajua kwanini mumulize Dr mnaingilia tu mnamkatisha maada Dr, mnaboa.
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 10 ай бұрын
Hakuna watangazagiii hapo
@ibinnassor
@ibinnassor 9 ай бұрын
Katika kitu kilicho nipa madhara makubwa hakuna kama hizo energy
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 10 ай бұрын
Mpen dokta nafasi
@magretangel5242
@magretangel5242 10 ай бұрын
Doctor mwenyew ana Google 😂😂😂😂 kama hujaona basi
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rubbenmabuga3058
@rubbenmabuga3058 10 ай бұрын
Anachati, watangazaj wanajiongelesha vtu visvyo vya maana
@MuhsinIssa-z9x
@MuhsinIssa-z9x 10 ай бұрын
Clouds hamna kitu apo.ndio maana mnafunikwa na wasaf
@vinniemlinzi173
@vinniemlinzi173 10 ай бұрын
More nafasi sky aeleze..mnaongea mingi sana na mnaudhi
@trustmwimanzi3754
@trustmwimanzi3754 10 ай бұрын
Jamaa wanakera sasa tunamskiza doctor au wao?
@GP-vh4mz
@GP-vh4mz 10 ай бұрын
Hamna muendelezo wa hii interview?
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 10 ай бұрын
Mnasumbua jamii kuna maana gan ya kumuita doctor wangu alafu mnatupigia kelele nyie kama mnajua mngeelezea wenyewe tuheshimiane kwenye kazi kila mtu afanye kazi yake😏😏😏
@mbingusaba9188
@mbingusaba9188 10 ай бұрын
Wanajua Kila kitu wabongo
@othmanbomboma9048
@othmanbomboma9048 10 ай бұрын
Watangazaji mrudi shule tafadhali.....
@jephonaplatinumz8475
@jephonaplatinumz8475 10 ай бұрын
Siku zinapoingia tu energy nikasoma wakasema usinywe zaid ya moja kwa masaa 24 nikasema apa siingii kabisa ata hii moja ikawa mwisho siku iyo yan
@bahatielias6443
@bahatielias6443 10 ай бұрын
Hata Mimi nilikoma mala moja
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 9 ай бұрын
Mimi pia, moja tuuu na sikurudia tenaa😢
@glassamo3847
@glassamo3847 10 ай бұрын
Watangazaji n matako nyie , hivi kwann hamuachi mtu aongee amalize, yani mpka mjionehse kila kitu mnajua🚮
@HusnaMussa-q3v
@HusnaMussa-q3v 10 ай бұрын
Yaani mnamuingilia doktar na masuali ya hovyo basiiii kuweni nyie wasemaji mmeharibuharibu mmemuabia Musa wake Sanaa hovyo kabisa
@piusdeo9380
@piusdeo9380 10 ай бұрын
Mada haieleweki hapo makelele kibao
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 10 ай бұрын
Masudi na mwenzako msivuke mipaka
@ananiakajembe449
@ananiakajembe449 8 ай бұрын
Doc blood sio organ ni tissue
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 10 ай бұрын
Hawa watangazaji wanaharibu kipindi.Mbwa hawa
@godfreypaul251
@godfreypaul251 10 ай бұрын
Watangazaji wapumbavu acheni doctor aongee
@leonardkomba686
@leonardkomba686 10 ай бұрын
maswali yamekuwa mengi watangazaji mnaharibu mnamkatisha katisha mnaharibu content ya kitaaluma
@georgepewa9624
@georgepewa9624 10 ай бұрын
Yani mnaongea sana hamumpi doctor nafasi ya kuongea
@beatricefrankngalubutu1448
@beatricefrankngalubutu1448 9 ай бұрын
Hakuna mpangilio wa kuongea
@pundetv6144
@pundetv6144 10 ай бұрын
Malizieni hiy
JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
15:27
Muhimbili TV
Рет қаралды 27 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
11:54
EastAfricaTV
Рет қаралды 339 М.
UNYWAJI WA ENERGY DRINKS UNALETA ATHARI KWENYE MISHIPA YA MOYO
4:48