Pole mtoto wangu. Mi nakushauri usifanye Tena kazi ya bodaboda, maana wameshaona sura Yako, wanaweza wakalipiza, kwakuwa Mungu amekuponya, watanzania tunakuchangia ulipe pikipiki na tafuta kazi ingine tafadhali kwa usalama wsko, ikibidi hama hata hapo unapokaa kwa sasa.
@mwajabumsami63886 ай бұрын
Nimewaza kama weww
@JohaDomi-bg5yh6 ай бұрын
Nimeumia jamani kama kaka yangu@@mwajabumsami6388
@zamBakar-y3j6 ай бұрын
Kweli kabisa
@CoolLate-tm8vc6 ай бұрын
Kweli inaliza jmn
@annamwakibinga5276 ай бұрын
Kweli kabisa
@GibsonNtamamilo6 ай бұрын
Mchanga ni silaha moja matata sana. Hata mbwa alikukimbiza mkabidhi mchanga. Big up chalii kwa kupambana.
@HusnaMtitiko-yt4ru6 ай бұрын
Aise umeniambia hivi nikakumbuka tuliwahi kuvamiwa na nyuki shambani basi mama alisema inameni chini kimuweni mavumbi basi tulifanya vile hatukuzurika 👏
❤naomba serikali imfikilie kijana jasiri aende hata jeshi
@mayrfrimi47596 ай бұрын
Dogo nimempenda sana, da! Hongera uko vizur, natamani awe dereva wangu, na umri wake, 19 yrs, hongera sana,
@5googleuuu7276 ай бұрын
Tumsaidie jamani. Anafaaa aende jeshini❤❤. Kikubwa tumsaidie. Brother wetu mdogo wetu😢 ila alihamundulih. Umetoka salama
@VeroNassary2 ай бұрын
Pole mtoto watu pole sana umejitshdi usifanye hyo kazi hyo
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin6 ай бұрын
Mnge mficha sura hii nhatari kwakwel Allah akulinde babaa 🤲🤲
@khadijazuberi36726 ай бұрын
Amiin
@FurahaNgala-s6s2 ай бұрын
Na hii nikweli wangemficha lakini Mungu yupo
@EnockKepha4 ай бұрын
Pole sana dogo kwakupambania uhaiwako fanya kazi nyingine tu
@MaryKalunde6 ай бұрын
Pole dogo, pia hongera kwa kupambania roho yako
@hidayaswai31194 ай бұрын
Namshauri pia dogo aache hii kazi. Si salama kwake tena. Aache hii jamani si salama tena kwake
@sarahkinyashi62136 ай бұрын
Mungu bado anakupenda mwanangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Jurbeg6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@melangongo649027 күн бұрын
God is good 🙏🙏🙏
@issabakari19164 ай бұрын
Bahati buku alisema, mtu akikupia mawe we yaokote, ipo siku yatakusaidia kujengea msingi,, Safi dogo hatimae mshindi, pole Sana kijana
@GfgGgh-v5z6 ай бұрын
Maa Shaa Allah hongera sana mdogo wangu kwa ujasiri pia pole kwa mashakil na iman utapata msaada kwa uwezo wa Allah
@KiparaOriginal-nt1zi13 күн бұрын
Wao wanayoyafanya gaza drc mungu kalipizia
@PendoMatemba-ql1ng6 ай бұрын
Wewe tajiri wa pikipiki mungu Anakuona leo Angepoteza maisha ungedahi nini? Siyo sawa bora msaidiane yeye Ajapenda kuvamiwa kweli mungu Anakuona haya maisha bhana
@mariamkibindo17416 ай бұрын
Yaani mpaka mtu unaeza his kama nae anajua huo mchongo sababu pikipik mpya siku mbili TU alafu tukio Hilo boss anadai mmmh?
@PendoMatemba-ql1ng6 ай бұрын
@@mariamkibindo1741 hapa duniani kuna watu wanateseka kisirisiri huyo kabahatika kukutana na mwandishi wangapi wanaonewa kama yeye ni wengi mnoo kpz.
@kibasamohamedi80296 ай бұрын
😅😅😅😅
@AlHamra-k4u6 ай бұрын
@@mariamkibindo1741yani hata mimi nimewaza hivyo hivyo istoxhe kapelekwa hadi sehemu ya tukio jambazi kalikuta linaungua moto bado anafungulia kesi huyu dogo
@BahatiHagichan6 ай бұрын
Hakika at me ni bodaboda ase hakuna anaependa hicho kitokee
@JoyceJemcАй бұрын
Duuuh!!!pole sana kaka angu mungu bdo anakpenda endelea kumtegmea ila najushauri usifanye Tena kaz yabodaboda
@arafakiloli7496 ай бұрын
Subhanallah pole sana mdogo wangu...ALLAH azidi kukuhifadhi...pia shikamana na ibada
@FatmaAlabri-lz2cw6 ай бұрын
Mweny ez Mungu akulinde mwanangu,serikali mpelekeni jeshini kijana na mumlinde
@garinchamkobe45826 ай бұрын
Dr.Samia Rais wetu Kipenzi kijana huyu ni jasiri naomba Kijana huyu apelekwe CPP Akapewe Mafunzo ya Uaskari maana huyu ni Kijana Jasiri kabisa.MUNGU ambariki sana❤❤
@shikuhata14 күн бұрын
Safi sana kijana. Naamin utaonekana KWENYE serikali yetu hii
@WilliamMarai-o8c6 ай бұрын
Hongera Sana shujaa hakika Mungu hajakuacha mkumbuke sana huyo Mungu aliekupigania maana hujapigana mwenyew Mungu atakupa pikipiki yako na ya tajiri pia
@MathaMponela-yn2cm4 ай бұрын
Ila tajir kwanini huna utu
@saumodzumbo96715 ай бұрын
Pole sana kakaangu na mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika maisha yako
@donaldmpagaze98036 ай бұрын
Pole saana dogo Maiko Mungu atakurejeshea
@machejostudiosmramba53656 ай бұрын
Dah JAMAAA angu umepambana 💪💪 pole sana ndugu Mungu akutie nguvu na mm kwasababu napambana nitakutumia kidogo kitu kidogo
@ConfusedAlien-xk3sh6 ай бұрын
Mchanga fimbo nzuri sana😂hongera mwanangu wewe ni shujaa
@MfiriFulgensi6 ай бұрын
Lakini hawezi kuwa mpenzi kama mbwa analindda chake tu
Pole sana kaka Mungu amekupa nguvu.. Haikuwa rahisi ni mkono wa Mungu .umekuokoa.. Hao majambazi ya Babati Manyara wamekuwa wakiwavamia watu na kuwaua huo mkoa wa Manyara imeoza kinyama.. Makonda wakomeshe nchi imejaa majambazi..
@cyprianboniphace-oz5lw6 ай бұрын
Pole sana dogo,mwenye piki piki awe muungwana,hii ni kama ajali.
@FatumaHussein-r5v10 күн бұрын
pole sana mwanangu utapata Kaz nzuri
@LaurenciaKitauli-or8rr6 ай бұрын
Mungu ni mwema. Pole zake . Huyo ni jasiri ila tajiri yake hana utu. Askari wasitoe maneno ya kukatisha tamaa ,
@MsNajma-e6e6 ай бұрын
Asikari wa bongo wajinga sana badara ya kumpongeza wanakatisha tamaha uyo angekuwa nchi hi uku kwa wenzetu angepata tunzo na kupewa kaz ya jeshi,,Kwan ni jasiri sana, na mungu kampa nguvu alhamdulillah kashinda?
@sharifamahamudu1826 ай бұрын
Aslay wa bongo wenyew waoga
@stellamallya20012 ай бұрын
Hongera kwa kupambani uhai wako
@JJKitomary6 ай бұрын
Huyu kaka ni shujaa jamani afu Bado mdogo, umepambana sana mungu anakupenda sana siyo kazi rahisi.
@MwaliSuleih6 ай бұрын
Hongera kijana ulijitetea xan kw Hali Kam izo Mungu azidi kkujaalia afya njema akulinde na zaidi mdogo wangu unahuzunisha xan lakin pia kw kua uko mzima ni jambo la kumshukru Allah kw xan ak zoezei la karatee pia ni muhim kw kua umeweza kujisaidia kw mtu mkubwa ukamshimda subhaana'Allah allahu Akbar jaman ashukuriwe mwenyezi Mungu kw kumjaalia ujasiri kijana huyu ak 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@AnnaKipetha6 ай бұрын
Pole sana mungu akupe wepesi!
@SalmaHemedy-fb8eoАй бұрын
Pole sana mtoto wangu, ila jitahidi pia upate no ya nida, ili uweze kusajili laini yako
@meshackthomas13416 ай бұрын
Ndo tujue Mungu akiruhusu ushindi Kwa anaemtaka. Huwa hazingatii wew. Unapambana na jitu la milaba minane ama kitugani tuweni na imani na Mungu alitupatia Akiri kama sehem ya vitendea kaz kujitetea💪
@SalmanMughal-lq5lt6 ай бұрын
InshaAllah
@sharifamahamudu1826 ай бұрын
Kabisa
@JeannetteManirambona-o6m6 ай бұрын
Kabisaaa
@HusnaSalum-zu9og6 ай бұрын
Allhamdulillah mungu aongeze ulizi kwako inshałah yatakwisha
@gracekiondo25415 ай бұрын
Naam Mungu akiruhusu ushindi unashinda.hata Goliati alikuwa jitu kubwa na akashindwa.
@MariamSaid-h5z5 ай бұрын
Mwenyenzi mungu akulinde ahadi haijafika,pole sana
@mbwawafillingstation6 ай бұрын
Pole kijana wangu wewe ni zaidi ya mjeshi. Mpeni nafasi jeshini huyu
@bonifacemushijoseph93826 ай бұрын
Ingefaa mbona Awe kama Majaliwa... Serekali Ione pia
@JuwayriyahRamadhaniАй бұрын
Maashaallah,mtangulize mungukwakilajambo🙏🙏🙏
@MsAisha-w4o6 ай бұрын
Piki piki ni bei gani jamani kwa atakae guswa na hili tueze kuchangia chochote hata ikiwa ni mia tano tano..umoja ni nguvu.. sis ni WATanzania .mngu atulinde..maisha ya boda boda yamekua hatarini sana kwa nyakati hizi..
@ahmedsaid55196 ай бұрын
Hili ni wazi zuri sana
@annamwakibinga5276 ай бұрын
Kabisa
@FaridaKizenga6 ай бұрын
Kweli kabisa 😢
@FaridaKizenga6 ай бұрын
Kuna watu hawana huruma jamani, yani mkaka wawatu kidogo athlete roho na majelaha hv lakn bado tajili anamdai😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@DeborahManang6 ай бұрын
Atoe namba
@MayarashidiMayarashidi5 ай бұрын
Pole kaka mungu akuweke na kesi iishe
@hildegundembilinyi90426 ай бұрын
Umri wa mwanangu daaa! watoto wetu Mungu awalinde watoto wetu wa kiume wanapitia changamoto
@elishangoli3294 ай бұрын
Pole sana dg umenipa mbinu ya kupambana na adui
@aishaabrahaman99576 ай бұрын
Achana na iyo kazi dogo tafuta kazi nyingine 😊
@argentinandelwa87858 күн бұрын
Huyo boss hana hata chembe ya huruma duh!! Kweli ubinadam kazi hongera sana kijana kwakumshinda jambazi uyo Sali sana asee
@Jamesmchinaa6 ай бұрын
Kaka yangu usiache kwenda kumshukuru Mungu Mungu anakupenda sana sana
@AzizaIssa-o9o2 ай бұрын
Mungu azid kukusimamia ujasiri ulonao
@nicholouslahoya95106 ай бұрын
Mung akufanyie wepes kijana mwenzang
@JacklineKOWERO-yi2bh2 ай бұрын
Pole Sana mdogo wangu na hongera sana kwa kupapmbana
@MageshotofuShotofufande6 ай бұрын
Nimefurahi sana, mungu awalinde kaka zetu
@FaridaM.Shomary4 ай бұрын
SUBHANALLAH,,POLE SANA BILA SHAKA UMESOMA DINI SILAHA HIYO YA MCHANGA HUIKUTI POPOTE,,MUNGU AKUSAIDIE.
@STELLAMARCELY6 ай бұрын
Pole sana kijana....na hongera Kwa kupambania maisha yako
@LamarOmary6 ай бұрын
Mngeficha sura yauyukijana aisee vipiusalamawake kwa majamazi walobak mungu akulinde mdogoo akuepushe namikono mibaya nauyotajiri munguanamuona atalipwa na mungu ana utu
@ndagabwenekusaya2236 ай бұрын
Pole sana dingii ,askri anao wajue kupigana na ktu sio mwili ni mbwinu tu,na mbwinu zake kazitaja
@SebastianSteven-pt8kh6 ай бұрын
Pole sana dogo ila serikali ya mama samia naomba muoeni huruma huyu kijana aliekuwa anahangaika kwauminifu siokwa wizi kwan hatamkimpatia pkpk anaongeza pato lataifa kwakununua pertoli namegineyo
@ChristopherCosmas6 ай бұрын
Daaa mungu akutie nguvu mdogo wangu na pole sana
@SaidaMsekete5 ай бұрын
Kaka mungu atakufanyia wepesi katika maisha Yako pole
@hadijasalim77696 ай бұрын
Mungu wangu yarabi tulindiye watoto wetu yarabi pole sana mutoto muzuri Allah yupo atakusaidia😭😭😭😭😭😭😭😭
@husseinrashidi58285 ай бұрын
Yaani dogo ulicheza na mawe tu pole sana
@MsNajma-e6e6 ай бұрын
Hu wizi bado upo jmn aisee pole sana mwanangu,vijana fanyeni kazi sio pow kuiba mari za watu
@YohanaAbdalla-j4m2 ай бұрын
Ubarikiwe Eee shujaa
@hawasaid71516 ай бұрын
Huyu boss hana utu kabisa angekuwa boda mwingine kuona panga tu angekimbia🏃 na kuacha pikpik lakn kijana wa watu mdogo kapambania pikipiki japo ilichukuliwa lakn kapambna mpaka dakka ili tu kuokoa usafir na uhai wake😢😢alafu unaenda kumfingulia kesi angekufa huyo ungemdai nan bas umpe hata muda wa kutafuta hio pesa unataka kulipwa haraka🙌
@KinanaZagar-pv6qc3 ай бұрын
Ishauri wangu naomba hiyu dogs asiendeshe pik pik tena nihali yahatari kwake tumsaidie apate kazi nyingine watanzania wenzangu bado mdogo sana
@Juke9956 ай бұрын
Huyo boss ana roho mbaya na hatofanikiwa 😢je kama angeuliwa huyo boda.......Unaweza kuwa mtu mkubwa ila haujui kupambana vitu viwili tofauti
@omariaman781813 күн бұрын
Na ukute yy ndo aliwatuma hao wezi Hawa maboss wa pikipiki sio watu huku ifakara tunawaona
@MariamSelemani-y6w25 күн бұрын
Mungu kampigania inaumiza sana jamani ahsant mungu kwa kuokoa maisha ya kijana wetu
@rosetreffert41796 ай бұрын
Mungu mwema hongera kwa ushindi huu mkubwa Mungu azidi kukulinda ❤❤❤
@ashreyally29934 ай бұрын
Mmekosea sn kumuonyesha sura yni usalama wke ni mdg sn sahv maan yule aliyekufa anawenzie kwhy hawatakubali lzm watamfuatilia hyo dogo daaaaaaaaah!!!!mmemuweka hatarini sn mtt wawatu
@Craiver6 ай бұрын
😂😂😂 Nimeinjoy Sana Ila Yote kwa yote nikwanguvu ya Allah
@ayoubmtumishi506 ай бұрын
Nguvu ya Yesu kristo hiyo
@EddahBure-te7ft6 ай бұрын
@@ayoubmtumishi50Yesu mwenyewe hakujitetea akauliwa kashindwa na huyo dogo kapambania uhai wake yesu kabaki jina tu ivyo wala si shujaa 😅😅
@Munayya-g2p5 ай бұрын
@@ayoubmtumishi50acha uwongo watu siyo wajinga 😂😂😂
@Munayya-g2p5 ай бұрын
@@EddahBure-te7ftUmechoma 😂😂😂😂
@EddahBure-te7ft5 ай бұрын
@@Munayya-g2p 😂😂
@JamilaIssa-u7u5 ай бұрын
Mh pole sana kaka mungu akufanyie wepes huwez kulipa pik pik
@JoycemsangiJoyce-go9su6 ай бұрын
Kwakweli we ni daudi umemuweza goliati hongera sana kijana
@LucasMayunga4 ай бұрын
Haa pole aisee,
@SirajRash6 ай бұрын
Shujaa kapambania maisha..hongera sana. Mungu kakupa ujasiri.
@AnethMushi-c3e6 ай бұрын
Na kweli ni Mungu tu kampa ujasir
@SofiaCosmas4 ай бұрын
Pole sana kaka atahivyo njasili
@esterMahenge6 ай бұрын
Uyu mchunga ngo’ombe nae ngo’mbe tu yaaaa😢🙆♂️pole kk
@JuliasMalegesi5 ай бұрын
Watu siwazuri😅🎉 ❤🎉😂😮😅😊
@TrezaPanga5 ай бұрын
Dah polee sana broo angu
@lampadshigonko30066 ай бұрын
Dogo... Umri unaruhusu... Asahidiwe tunamtaka jeshini huyu... Tena kitengo cha komando
@AnnastaziaVicent6 ай бұрын
Jamani pole sana lakini tafuta kazi nyingine tofauti na hiyo
@regybahati59866 ай бұрын
Uende kanisan ukasali Umshukuru Mungu, ujikite kwenye Sala usiku na mchana umwombe Mungu akulinde.
@Judy-dy4zt4 ай бұрын
Ubadirishe kazi mwanetu
@jitabojilala61626 ай бұрын
Mama samia amwangalie huyu kijana na ahame maeneo hayo bado kijana sana
@MdakimohamedRamadhan6 ай бұрын
Dah iyo kaz imeshakuwa hatari maana watakutafuta kwa mbinu zote walipize kisasi tafuta kaz nyingine kwa muda pole sana
@rosehaule67656 ай бұрын
Mungu tusahidie na watt wetu wa kiume kupata kazi ninngumu maskin wana pambana pole kijana wngu❤
@mariamzubeiri17236 ай бұрын
Hata goliath alipigwa na kijan mdogo sana Mungu abariki hawa ndugu zetu wa bodaboda changamoto ya kazi zao ni nyingi mno😢😢😢😢
@VictoriaMefya6 ай бұрын
😢😢😢😢nimelia mwee eti tajiri anipe bike nyingine nifunge kwa 15 tutakuchangia utapata
@AugustinoNyakunga5 ай бұрын
Pole kijana ulipambambana sana nikijana jasiri
@vero576 ай бұрын
Huyu apewe kazi ya jeshi
@faidhamyovela1796 ай бұрын
😂😂 kwa sabab gan sasa kumwaga mchanga machon au
@MauaDumba6 ай бұрын
Ndio utaki au?au we ndio mtoa ajira
@JofreyMsigwa-ok7hv6 ай бұрын
Et kama majaliwa😂
@JofreyMsigwa-ok7hv6 ай бұрын
@@MauaDumba sijui
@shanimbaruku20716 ай бұрын
Ni shujaa na bado mdogo sana🎉
@Musa-vv2mz6 ай бұрын
Ww tajir abc naww acha roho mbaya mungu anakuona ko dogo unahisi amekuibia au acharoho mbaya ww
@mchungajimpigauzitv57036 ай бұрын
Uanze kwenda Kansan Maana ni Mungu aliye kusaidiya
@AsnathRingo-db4jl6 ай бұрын
Hongera mdg wangu mungu akulinde uendelee kuwa shujaa mtu wa mungu
@gilliardgodfriend57456 ай бұрын
Hii mbinu ya mchanga na kumvuta pua aisee😂🦁🦁🦁 we ni zaidi ya mjeda🎉
@naomikatharinaandrewmnkai67606 ай бұрын
😂😂😂kavuta pua ikapasuka. Asee huyu ni zaidi ya jambazi
@frezo81776 ай бұрын
@@naomikatharinaandrewmnkai6760ushaona pua ina achana aisee 😅😅 sio poa ana mbinu za kivita huyu janja
@naomikatharinaandrewmnkai67606 ай бұрын
@@frezo8177 apewe kazi dogo😂
@EddahBure-te7ft6 ай бұрын
@@frezo8177😅😅hafai kabisaa
@AminaMasunga-uj2ki4 ай бұрын
@@frezo8177 mpeni nafasi ya jeshi jaman
@namsifubwana21525 ай бұрын
HONGERA SANA KIJANA JAMANI🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@GaudenciaMadirisha6 ай бұрын
Aisee hongera kwa kuonyesha ushunjaa 🙏🙏🙏
@MariaKazimily4 ай бұрын
Apew kazi ya kulinda p diddy😂 na mond
@NyotaBalolane.6 ай бұрын
Mungu alikuwa upande wako usi ache ku mtukuza Mungu alikuteteya akakupa nguvu
@HabibaBb-d3s3 ай бұрын
Mungu tuu kwakweli pole sana mwanangu 😢
@SiaCollins6 ай бұрын
Big up kijana kwa ushujaa wako,,unekonesha wezi wa pikipiki
@japhetisraelsmafie9974 ай бұрын
Pole sana ,ila najiuliza imekuaje huna jeraha hata kidodo,hata jino ulilongolewa jana tu hata uvimbe hakuna , Mi kwa upande wangu sijamini bado maana kuna mjaluo mmoja nami alinibia pkpk yangu hivyo hivyo akanionyedha jeraha kwenye kidole kumbe alichora mpango wakuuza pikipki yangu ,angekua amepigwa hivyo angeobekana na jeraha,upigwe ngumi mpka gego litoke alafu jana tu leo hata uvimbe hakuna😢😮
@ramadhanihudhaifani43766 ай бұрын
Hongera sana,dogo! Umepambana kiume. Usijal kuhusu jino lililotoka.
@Jurbeg6 ай бұрын
😂😂😂👍👍👍
@ArafaAmirAmir-ci7ld6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@paulinajuvence-rn7rz6 ай бұрын
Ningekua mimi Boss ningemsamehe tu huy mtoto kwakweli