MZEE ERNESTO ANAYEISHI NA WAKE 16 "7 KATI YAO NI MTU NA DADA YAKE WAMENIPENDA WENYEWE"

  Рет қаралды 1,080,989

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Hii ndio mara ya kwanza nakutana na Mwanaume aliyeoa Wake 16 na wote anaishi nao ndani ya eneo moja, tumezoea kuona kwa Ndugu zetu Waislamu ambao wanaruhusiwa Wake wanne ila hii ya Wake 16 ni noma na nusu, tumekaa na Mzee Ernesto kwenye mahojiano ili tusikie ilikuaje mpaka akawa na idadi hii kubwa, anamudu vipi kuishi nao, msosi wa siku inakuaje? Je anakumbuka majina ya Wake zake na Watoto? tazama hii EXCLUSIVE video ujionee.

Пікірлер: 2 100
@josephmhoma4339
@josephmhoma4339 3 жыл бұрын
Kama umesikia mzee anafata Maandiko ngonga like yako apa
@lucywakolela5619
@lucywakolela5619 3 жыл бұрын
huyu mzee anajiweza aisee sijaona mke aliyevaa vibaya wala kupauka kama ilivyo kwa watoto wake.salute kwake
@bethjaphary3459
@bethjaphary3459 3 жыл бұрын
My best host it's u Millard Ayo 😍😍😍...tunaompenda Millard, tujuane kwa like pls
@happyneshappy952
@happyneshappy952 3 жыл бұрын
Hi,canI have ur number, for,deeply information, I am among, in this family, am here, dar es salaam
@lilianochieng4347
@lilianochieng4347 3 жыл бұрын
Naota ama nilive jamani
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NYETI ZA KIUME KUWA KIVUTIO CHA UTALII NCHINI JAPAN 👇👇 kzbin.info/www/bejne/qIO4ZoqljLF6msU HUYU HAPA ALIYEGUNDUA DAWA ZA KULEVYA 👇🏾 kzbin.info/www/bejne/roDGhZ2CrqdnZ6c WATAFITI WABAINI MAZITO KUHUSU WATOTO MAPACHA 👇👇 kzbin.info/www/bejne/fIavgmCka5dgi6s UPDATES ZOTE Ni 🔥🔥🔥🔥
@janetnalianya8887
@janetnalianya8887 3 жыл бұрын
@@happyneshappy952 haa
@sabatoelia312
@sabatoelia312 3 жыл бұрын
Kama umeona suti ya mzee imenyooshwa na inapendeza japo ni bush gonga like hapa
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Hahahahaha mungu anakuona hahaha
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Mhhhh
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Yngu
@judithmlongeca8492
@judithmlongeca8492 3 жыл бұрын
liberath samcky kkkkkklajplj na jnjk lol j
@elvirachacha8289
@elvirachacha8289 3 жыл бұрын
kzbin.info/door/bbNN-eBPP69po2Shsb6G3A
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
*KAMA NAWE UMEGUSWA NA MAAJABU HAYA ACHIA LIKE YAKO*
@josephstephen2047
@josephstephen2047 3 жыл бұрын
Njoo nikubinue kwanza
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 3 жыл бұрын
Kaaa hivi kweli anawakumbuka hao watoto
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
@@salomemchewa5187 hakika
@milickenock8201
@milickenock8201 3 жыл бұрын
Maajabu yalikuwa kwa Suleiman (wanawake 1000)
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
@@milickenock8201 *na hiii ni bongo*
@sarahpendo515
@sarahpendo515 3 жыл бұрын
Wangapi mlitamani hii interview isiishe .like hapa twende sawa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
@Change Mindset 😂😂😂😂
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Duh
@salamajuma5481
@salamajuma5481 3 жыл бұрын
Subhanallah
@francfrancs1508
@francfrancs1508 3 жыл бұрын
Kama na ww umependa mazingira na mpangirio wa izo nyumba tujuane wadau
@absalimlufyagile4974
@absalimlufyagile4974 3 жыл бұрын
Da hii ni hatali Kuna uwezekano wa kumtembelea huyu mzee anakaa wapi
@barakaserina9364
@barakaserina9364 3 жыл бұрын
Nakubali mzeee kama umemkubali Mzee uyu ni jasili naanajikubali gonga like Daa uu ndo wanaume
@nasserrostom6340
@nasserrostom6340 3 жыл бұрын
uyu ndio africa mwenyewe,gonga like apa kumkubari mshuaaa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@joimanbuya3583
@joimanbuya3583 3 жыл бұрын
Ametisha mwanaume jembe
@jacksonmpenda4829
@jacksonmpenda4829 3 жыл бұрын
@@nasraabdallah850 by by
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 жыл бұрын
Yaan Hawa wanawake inaonekana wanapendana Sana Mungu awaweke pamoja👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 3 жыл бұрын
Kweli
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Amin
@welemamarwa1356
@welemamarwa1356 3 жыл бұрын
Inatakiwa serikal imuchengee shele yaake
@mossesmuumbakhan7617
@mossesmuumbakhan7617 3 жыл бұрын
Mimi binafsi naikubali hii Chanel ya Millard ayo wew vip like
@mapasaelectronics3949
@mapasaelectronics3949 3 жыл бұрын
Nimeikubali
@naomijohn6759
@naomijohn6759 3 жыл бұрын
Sana
@meckmecktz3228
@meckmecktz3228 2 жыл бұрын
Hata Mimi bro namkubali Millard anafanya kazi Kwa weledi mkubwa
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
He is a hero...both kids en wives are healthy, congratulations baba true african man😃😃😃😃
@noahchepe8036
@noahchepe8036 3 жыл бұрын
AHahah
@hussenmwasa5971
@hussenmwasa5971 2 жыл бұрын
Sawa kabisa hapo kazi kazi
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
Happy family kusema ukweli watoto ni baraka tena watoto wote wako wasafi na afya♥️❤️❤️♥️💜💕
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 3 жыл бұрын
Imagine tena wako na mavazi tu vizuri
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 3 жыл бұрын
Masha Allah ,,, maana wote wamependeza hata watt na mwenyez mungu kamjalia Masha Allah mzee wetu🙏
@fauziahamisi2557
@fauziahamisi2557 2 жыл бұрын
Maashallah ya nn wakati mtu anafanya kinyume na Sheria za Allah
@richardmoses936
@richardmoses936 2 жыл бұрын
Hongera sana mzee kwa nguvu ulizojaliwa hapa tanzania ww niwakwanza
@arnoldrukwembe4146
@arnoldrukwembe4146 3 жыл бұрын
Kama umeskia Shule ya msingi msimame gonga like 😂😂😂
@alicebanele1196
@alicebanele1196 3 жыл бұрын
😂😂😂
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 жыл бұрын
Asante, kweli huyu kidume
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 жыл бұрын
Hongera sana Mr Milad Ayo, Wewe ni bonge la mwanahabari, Hapa media zingine lazima ziige mfano huu.
@sabatoelia312
@sabatoelia312 3 жыл бұрын
Nan kaona mzee anauliza wake zake wamkumbushe kwa lazima na wanajibu kwa furaha 😂🤣🤣🤣
@jacklinewilliam4565
@jacklinewilliam4565 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂fake smile
@marrykinyamagoha6234
@marrykinyamagoha6234 3 жыл бұрын
Hahahaa
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Ingkua. Ni wew unaomba kjkumbushwa ungejiskiaje hahaha
@habibizainab7300
@habibizainab7300 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂tena kwa amani mambo polepole
@scottsanga557
@scottsanga557 3 жыл бұрын
Haya bwana
@ritchiesamballa5078
@ritchiesamballa5078 2 жыл бұрын
Millard Ayo the best jonalist in Tz...I enjoy the of being your fan
@natafutapesa9678
@natafutapesa9678 3 жыл бұрын
Duuuh yani umetisha Millard ayo wewe kweli ni mwana habari wa kweli
@nasranassor6796
@nasranassor6796 3 жыл бұрын
Duh Mzee Hicho kigongo chako kina nguvu Sana ukishuka hapa unapanda hapa.
@mashambwana9849
@mashambwana9849 3 жыл бұрын
@@nasranassor6796 Wallah tena hajazeeka kabisa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Safa tunamkubal mno
@hassanally6427
@hassanally6427 3 жыл бұрын
Nu
@ismailjussa4856
@ismailjussa4856 3 жыл бұрын
@@hassanally6427 eek
@raymondpaul2891
@raymondpaul2891 3 жыл бұрын
watoto 40 wamefarikik duuu pole sana
@jacobnapikwejacobnapikwe9603
@jacobnapikwejacobnapikwe9603 3 жыл бұрын
This man is strong enough I can imagine How he can manage to marry all this women ,God help him
@ganjobakari5728
@ganjobakari5728 2 жыл бұрын
Mungu am Jaalie nahiyo family yake
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 2 жыл бұрын
Nimeipenda style yako yaobile office, unatembea na meza na viti, Bigup boss
@sarahpendo515
@sarahpendo515 3 жыл бұрын
Shkamoo mzee✋wake wote 16 watoto mia na nne bado upo fiti💪
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 3 жыл бұрын
Sanaaa me pia nipo feet hataree
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
😂😂😂
@hamisiomari1990
@hamisiomari1990 3 жыл бұрын
Anamiaka 71 na alioa mke wakwanza mwaka stini namoja maanayake alioa akiwa na miaka 12 duh sijui amesahau sijui nikweli haya
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 3 жыл бұрын
@@hamisiomari1990 75 sio 71 sikiliza vzr mwamba
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Yani Mimi nikipija viwili tu sitaki tena hadi zipita siku tatu sasa wewe 16 unawagonga vip apo
@jocety4426
@jocety4426 3 жыл бұрын
Hongera baba nimeipenda iyo Watot wameenda utawa Mungu awatangulie katk kumtumikia yeye🙏🙏
@irenemwakasonda6735
@irenemwakasonda6735 3 жыл бұрын
Jaman nmesoma shule moja na watt wa ernesto, ilikua kila darasa anawatt zaid ya 3. Nakumbuka darasan kwetu nmesoma na Martha mhenuchi, Aida mhenuchi, Maria Mhenuchi na Johnson Mhenuchi . am so proud to hear that
@janetnalianya8887
@janetnalianya8887 3 жыл бұрын
Kweli????
@bhokechacha8013
@bhokechacha8013 2 жыл бұрын
Kumbe ni kweli duuuu
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 3 ай бұрын
Mkoa Gani huyu baba.
@christianosimba6083
@christianosimba6083 2 жыл бұрын
Safi sn maguful bado nakukumbuka mzee wangu😪
@jocety4426
@jocety4426 3 жыл бұрын
Hongera bro. Napenga utendaji wako wa kazi Millard,. love u💋
@amiabillity1635
@amiabillity1635 3 жыл бұрын
aisee milardayo,congole xn bro.unafanya kaz had raha kaka.huyo mzee mungu amtangulie kwakweli pamoja na familia yake.
@childofgod4412
@childofgod4412 3 жыл бұрын
Huyu komeshea wakati wengine mke mmoja tu wanajinyea magomvi yasiyoisha.🙏hongera zake na hao wanawake&na watoto
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Umeonaee
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 3 жыл бұрын
Vijijini mradi mume tu. Wanawake wanajitegemea wenyewe kulima nk. Ingekuwa mjini kwa idadi hiyo!! Angekuwa ashafanya boxer kofia 🤣
@childofgod4412
@childofgod4412 3 жыл бұрын
@@neemakaluwa2089 😂😂ndio nini boxer kofia
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 жыл бұрын
Neema umenichekesha sana eti boxer kuwa kofia
@ayshaayshaabdulrahman6143
@ayshaayshaabdulrahman6143 3 жыл бұрын
Ongera Sana mungu Akulinde uzidi kupata Baraka ulee wake zako na watoto wako
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 жыл бұрын
Mefurahi Sana hiyo Millad Ayo ni home huko na baadhi ya watoto wa huyo Mzee nimesoma nao ,,namjua vyema !
@veeJesus
@veeJesus 3 жыл бұрын
Ni sehemu gani
@henrickchambilo3119
@henrickchambilo3119 3 жыл бұрын
Njombe vijijini ilengititu Kijijini kinaitwa
@absonmlumbe6633
@absonmlumbe6633 3 жыл бұрын
Umwanani bemdimi umnene hupami hukaye
@henrickchambilo3119
@henrickchambilo3119 3 жыл бұрын
Chambilo
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Mh
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 жыл бұрын
Mirad hongera sana,upewe tuzo baba kiiukweli unachimba na kuchimbua tusiyo jua mambo haya tumezoea kusoma kwenye adithi mwanaume kua na watoto mia na sis wanaume kunakitu tumejifunza hapa
@athanasiaanney5839
@athanasiaanney5839 3 жыл бұрын
Kasema mambo ya zamu hawezi kusema mbele ya watoto 🤣🤣🤣baba Yuko vizuri
@esterjema2484
@esterjema2484 3 жыл бұрын
Umejifunza Nini🤣🤣🤣
@saitotikukula1798
@saitotikukula1798 3 жыл бұрын
Big millad Ayo......I appreciate your effort to give as updates, broo hii ni kali sana 👏👏👏👏👏
@marceljaxson3481
@marceljaxson3481 2 жыл бұрын
instaBlaster...
@floramrema5743
@floramrema5743 2 ай бұрын
Uyo baba anamwitaji Yesu Kristo kwa haraka sana.Kweli hili ni jambo la kushangaza.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Mzee ana jitambua kweli kaulizwa very person quest kalijibu ki heshima kistarabu kweli ni mzee anae jielewa kwa umri wake sio wale wazee wa dar 🥱😏
@sonialand2646
@sonialand2646 3 жыл бұрын
Sisi waislamm wake 4 lkn watu wanaona makosa! Sasa ngoma hiyo hapo! Tena sio muislam! Haya wanazengo lete mistari mibovu! Hongera sana mzee!
@paulshija7632
@paulshija7632 3 жыл бұрын
We jinga kweli, Biblia imezuia kuua lakini wanaua uta justify vipi kwa kutumia maandiko, huyu kaoa kwa utashi wake wengi! Lakini ujue Mungu aliumba Mume na Mke, sio Mume na wake!
@bahatimakango4033
@bahatimakango4033 3 жыл бұрын
Hizo ni ndoa za kimila hizina limit
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
Biblia na Quran ziishie uko uko, na sisi tuwe na utaratibu wetu
@samantafrance5287
@samantafrance5287 2 жыл бұрын
Hongera kwa huyu mzee ameweza kuwatunza wake zake wote na watoto wakati unakuta wanaume wengine wanashindwa ata kulea mke mmoja na watoto wawili
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 6 ай бұрын
😅😅
@lordsmenas3267
@lordsmenas3267 3 жыл бұрын
Msiopendezwa kama Mimi likeni APA
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 жыл бұрын
Jinyonge
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Lamba lolo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Aisee tengeneza documentary ya kingereza hii issue
@rosesolomon826
@rosesolomon826 3 жыл бұрын
Hongera millad
@cleofasnyoni3836
@cleofasnyoni3836 3 жыл бұрын
Ili iweje!!
@mwalimu1520
@mwalimu1520 3 жыл бұрын
Documentary ya kiingereza itauza zaidi kimataifa 100%
@josephmanyama435
@josephmanyama435 3 жыл бұрын
Kwan hao waingereza huwa wanatengeneza documentary za kiswahili??? micah nasake
@ruthmdano4466
@ruthmdano4466 3 жыл бұрын
Ingekuwa bongo moto angeuona wangepigana
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 3 жыл бұрын
Huyo anayesomea upd nadhani atapata changamoto za kuhubiri ndoa ya mke mmoja na mume mmoja bila shaka 😂😂😂😂
@aminakipukasimbababalaouto6310
@aminakipukasimbababalaouto6310 3 жыл бұрын
Mungu hakukuzie
@josephmilinga3909
@josephmilinga3909 3 жыл бұрын
Kwa utaratibu wa kanisa katoliki awezi kupewa upadri
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 3 жыл бұрын
@@josephmilinga3909 Mh hivi ni kweli? Sasa kama ni hivyo kwanini alipokelewa kusomea huko? Maana asije akasoma na kukataliwa baadae itamuumuza sana.
@erickevarist8738
@erickevarist8738 3 жыл бұрын
Mzee respect Mimi mmoja tu ananishinda duh ukistaajabu ya Musa utaona yafirauni
@lukasrogath5825
@lukasrogath5825 3 жыл бұрын
Millad ayoo ni bonge moja la msaka abari Kama unakubaliana na ilo gonga like tende sawa
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 3 жыл бұрын
Mzee nampongeza kutimiza maneno ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na dunia kwamba ZAENI MKAJAZE DUNIA.👍👍👍👍
@twariatiomary486
@twariatiomary486 3 жыл бұрын
Hahaaaaa
@fadhilaally1826
@fadhilaally1826 3 жыл бұрын
😂😂ww msish wanawak wanne tu
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 3 ай бұрын
Usinukuu maandiko vibaya Hana analotimiza ktk maandiko ,kumbuka ni dhambi kutumia maandiko ya MUNGU vibaya ,mshaauri akatubu na hao wanawake watubu yawezekana waliolewa kwa ajli ya tamaa za Mali ,mashamba na Ng'ombe wanaume wapo wengi tu. unakuta kabinti kadogo kanaolewa mke wa kumi ujinga na tamaa ni mzigo mkubwa wa dhambi.
@jocety4426
@jocety4426 3 жыл бұрын
Oyoooo 🙌🙌 Nenden mkaijaze dunia Umetisha baba..💪💪
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Na kajaza kwel
@eunicewambui4645
@eunicewambui4645 3 жыл бұрын
Alfu wee Ayo nakupendanga sana sauti mzuri sana from kenya
@davidtoo9825
@davidtoo9825 3 жыл бұрын
Kweli Watanzania nimewapa shukrani kwa ukarimu mlionayo. Hawa wake wako na heshima sana. Bongezi kwa Mzee kwa kujitolea mhanga
@solomonikalinga9751
@solomonikalinga9751 2 жыл бұрын
Hujambo wewe
@goodluckkitomari2809
@goodluckkitomari2809 3 жыл бұрын
Nimerudia kuangalia hi interview mara 3 Aisee huyu mzee ni nomaa sanaa ...#millad Ayo hongera kwa kutuletelea bonge 1 la interview nzuri sanaa🙏
@globaltrendtvonline4219
@globaltrendtvonline4219 2 жыл бұрын
Duu we mkali Mara tatu
@monicahjared2412
@monicahjared2412 3 жыл бұрын
Hongere mzee uko n nguvu kwli wake kumi n 16 c mchezo waitaji tuzo
@winnermariah
@winnermariah 3 жыл бұрын
Nimependa Sana Hapo Kwa MAPADRE NA SISTER NA NURSE
@dennowderullow1118
@dennowderullow1118 2 жыл бұрын
...this is truly amazing.Siri kubwa kwai familia wanadumisha AMANI,UPENDO na UAMINIFU la sivyo wangetengana na kusababisha kusambaratika("congratulations to AYO TV")HONGERA KAKA MILLARD,big respect to the Mzee and all his Wifes+kids")Mungu aipenguvu familia hii.I'm witching from Africa in Kenya at Kilifi county")
@ngorox254
@ngorox254 2 жыл бұрын
Apo ni sawa ntafikilia iyo kitu
@vibetz9991
@vibetz9991 3 жыл бұрын
Ng'ombe hazeek maini....tule ndizi na mihogo manaume wa dar..
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@upendomatinya6851
@upendomatinya6851 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 mbn mutakufaaa
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
😄😄🤣🤣
@asiajuma8342
@asiajuma8342 3 жыл бұрын
😃😃
@queentermuthoni3904
@queentermuthoni3904 3 жыл бұрын
Hahahah
@Royazdad
@Royazdad 3 жыл бұрын
Aiseee hii inge tafsiliwa na kizungu dunia ione mzee alivyo fiti
@zaitunilucas7133
@zaitunilucas7133 3 жыл бұрын
Kwer kabsa 😂😂😂😂
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 жыл бұрын
Mzee mpumbavu huyu yuko fiti kishenzi unawachanganya mtu na dada yake alafu mnamsifia mnaendekeza ngono saana nyie watu wajinga saana baadae hiyo laana itamrudia watapigana miti wao vwenyewe
@lucykanyopa5350
@lucykanyopa5350 3 жыл бұрын
Si umemsikia anakula ndizi na mihogo ya kuchemsha asubuhi, mchana ugali na maharage, hali chipsi hali piza hali Burger, hapo hata akipewa wali wawili full kuwazalisha tu, nguvu ipo, c mchezo kuwamiliki wanawake 16. Hongera zake sana sana
@naimanurdin1354
@naimanurdin1354 3 жыл бұрын
@@selemankishema5780Yani huyu wakupewa somo mana hakuna mila wala dini inayoruhusu uwafanye mke mtu na ndugu yake jamani hili swala Serikali pia ilitizame kwa jicho lengine
@honeydiamond6235
@honeydiamond6235 3 жыл бұрын
@Seleman kishema unaujua upumbavu na ujinga wa aina ngapi...ustaarabu wa dini na maadili yako uliokufikia unaweza kuwa ulochelewa kwa wengine so usimnyooshee kidole mpe elimu ukiweza ila up to now mzee yuko fiti na huwez mrudisha nyuma "Wengine kwenye amri kumi mmebakiza usiuwe tuu🤣🤣🤣"
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Maa shaallah
@musafiriomary8156
@musafiriomary8156 3 жыл бұрын
Ongela mzee mungu akubaliki kwahekima nabusara nafamilia kuujengea msimamo
@nestoemanuel2821
@nestoemanuel2821 3 жыл бұрын
Ayo tv mipaka yote ya dunia hatari San mzee baba 🔥🔥🔥
@liberathsamcky
@liberathsamcky 3 жыл бұрын
Trur
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Mmmhu kweli wanawake tuko wengi wanaume ni wachache hii familia ni kijiji tayari.Wanawake wamemzimikia Mzee.
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 3 жыл бұрын
😄😄, Elizabeth Mwandu
@martalositotiktok6590
@martalositotiktok6590 3 жыл бұрын
Yaani mpaka mtu na dada ake anazimikia shemeji yake
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
@@martalositotiktok6590 yaani we acha tu ukienda kumsalimia dada haurudi nyumbani unaolewa na kuolewa🤔🤔😁😁😁
@elizabethmwitila5205
@elizabethmwitila5205 3 жыл бұрын
Waoooh milard your the best journalist
@bahatynangi3842
@bahatynangi3842 3 жыл бұрын
Millad Ayo! Hongera saaaana kwa kaz yako nzur!
@jacklinewilliam4565
@jacklinewilliam4565 3 жыл бұрын
Pigaaa kelele kwa mbena wake jamani hawa watu sio wa nchiii mume wangu mbena wako vizuriiiii 😂😂😂😂💃💃💃shooo shoooo
@ipmtv3298
@ipmtv3298 3 жыл бұрын
I like this brother,, milady 💪💪💪
@ramadhan.yangayatiaaibukag5947
@ramadhan.yangayatiaaibukag5947 2 жыл бұрын
Mzee cyo mvivu wengine mmoja tu kajasho kanatoka
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Masha Allh
@sadamramadhan2754
@sadamramadhan2754 3 жыл бұрын
Mke mmoja tu anatesa sana mpaka tunakimbia familia, ukiongeza mke wa pili bii mkubwa anakukosa sum kwanza, bii mkubwa akijua tu unamchepuko lazma hapo mtazichapa mpaka iman itakosekana ndan, ...... .... Sasa wake 20 mpaka 16 duuuuuu !!!!! Hapo ni hatari sanaaaaaa, Hongera kwa mzeeeee ......
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Hao waliokimbia sasa wanataka kurudi mzee usiwakubari magonjwa ni mengi we piga hao hao 16 tu
@lucykanyopa5350
@lucykanyopa5350 3 жыл бұрын
Toba roho yangu
@rmaryp6269
@rmaryp6269 3 жыл бұрын
Mzee okoka, Yesu anakupenda, baki na mke wa ujana wako, wengine warudi makwao. Pia wamama nyie Yesu anawahitani, huo sio mpango wa Mungu.
@user-zt3et5kl5m
@user-zt3et5kl5m Жыл бұрын
Yaan kuna mwingine anaumwa na baba hajui halfu huyu baba apewe alimu aacha wake zingine waolewe tuu nao wamependeza kisa wanajinunulia vitu wenyewe na so yeye anawahudumia
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 3 ай бұрын
Uzinzi tu ulimsumbua.hawa watoto hata kama Wana afya msongo wa mawazo lzm uwapate ,sisi tupo 25 mama tofauti inatuumiza sana kiukweli . Hana mfano wa kuigwa Wala kupongezwa uhalisia wa ndani ya familia hii hatuujui labda ni maumivu makali. Zaidi hapa watoto lzm uwe kama mtoto wa Bata kujifanyia mambo yako na MUNGU akusaidie na akuonee huruma. Zaa watoto pia wape haki za msingi na kulea c kuwalisha tu,mtoto anahitaji kuongea na baba kusikilizwa ,kushauriwa ,mkiwa Kijiji haki hizi utazipata mtoto? Kukosa kumtii MUNGU ni kuitia familia yako katika matatizo ,tuache tamaa za mwili na maandiko ya MUNGU tusiyatumie vibaya( 1)usiijaze Dunia kwa kuwatesa watoto(2)biblia inaonyesha madhara aliyoyapata suleman baada ya kuoa wake wengi ktk biblia 1wafalme11.
@JacobHalili
@JacobHalili Ай бұрын
Matatizo ya walokole ndo haya wanakalilishwa maandiko
@joycemushi248
@joycemushi248 3 жыл бұрын
Daaaa fantastic!!!!!
@priscamagambo7419
@priscamagambo7419 3 жыл бұрын
Siku mojamoja,mzee utampata siku ya 17,mmmm wanawake hapo lazima wachepuke,na watoto wengine sio wake
@peterchipasula1527
@peterchipasula1527 3 жыл бұрын
Kweli
@florianntulo5731
@florianntulo5731 2 жыл бұрын
Waoga hawachepuki
@emmysfitnessandforex9403
@emmysfitnessandforex9403 3 жыл бұрын
Imagine we ndo wa kwanza😂😂😂😂anaolewa wa pili unashangaa wa tatu unaumia.. Wa nne unajisi labda ndo mwisho...mara wa tano huyo...itabidi uanze kuhudhuria tu kwenye harusi za mmeo🤣🤣🤣🤣
@cosmasvicta658
@cosmasvicta658 3 жыл бұрын
Hahaaa
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@vailethmohamed9976
@vailethmohamed9976 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaaa
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Sarahrose-ol6co
@Sarahrose-ol6co 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@dmendbeats3755
@dmendbeats3755 3 жыл бұрын
Dah HUYU mzee anakipawa Cha uongozi bora katika familia. WENGINE mke mmoja TU anakonda + na watoto presha zinaongezeka kwa kuwa akili inabanguka kulea familia. Hapa tunajifunza kitu kikubwa, kuwa ili ndoa idumu inahitaji akili na ukarimu wa hali ya juu. Kama hivi wake 16 + watoto 70 na bado kumbukumbu haipo sawa ya idadi. Hakika Anastahili kuwa FUNZO kwa wanao tumia NGUVU za bia kuendesha familia, huku WENGINE wakitelekeza wenza wao ili wale Bata . Ona FUNZO hili.
@happymshana8693
@happymshana8693 Жыл бұрын
mze hongeraaa
@samsonjuma5618
@samsonjuma5618 2 жыл бұрын
Pongezi mzee wangu, naomba MUNGU AKUTIE NGUVU uwalee hao ndugu zangu..MUNGU akubariki sana
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Magufuri hapo ana kura zake kama 100 tayari
@irenemoses2749
@irenemoses2749 3 жыл бұрын
Ahaaaa
@godlovejuniour4114
@godlovejuniour4114 3 жыл бұрын
😂😂😂
@celinejulius2286
@celinejulius2286 3 жыл бұрын
🤣🤣
@officialjclever9879
@officialjclever9879 3 жыл бұрын
Mzee mfano bora kuna wengine wakiwa na mtt 1 wanakimbia familia zao tujifunze
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Mimi ninawawili kablawapili hajazaliwa nimetishiwa talaka
@officialjclever9879
@officialjclever9879 3 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 hahahahahahahahaaa🤣🤣🤣🤣🤣 njoo nikuoe mimi nimeshaiga huo mfano sasa hv nanunua viwanja kwa ajili ya kuwa na familia km hio
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 3 жыл бұрын
@@officialjclever9879 nunuatu vitakufaa baadae😃😃
@heromanmwamba5000
@heromanmwamba5000 2 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 🤣😂😂🤣🤣😂
@heromanmwamba5000
@heromanmwamba5000 2 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 inabidi tukakuongeze kwa mzee uwe wa 17
@margitmargitt5935
@margitmargitt5935 3 жыл бұрын
CONGRATULATIONS babu💪💪💪💪kama wazee waeza kukaa na wake ivi ndunia ingekua poa
@Boskarii
@Boskarii 3 жыл бұрын
Kapoteza watoto 70. But still happy.
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 3 жыл бұрын
Magufur oyeeeeeeeeeee ❤️
@hukumfamily252
@hukumfamily252 3 жыл бұрын
Kivip sasa
@halimamis4236
@halimamis4236 3 жыл бұрын
Jamanii
@zenamshana6852
@zenamshana6852 3 жыл бұрын
Dah mungu amlinde magufuli amepewa baraka Kama zote mungu amsimamie kila iitwapo leo
@nemhinapolenisanahakiyamtu2321
@nemhinapolenisanahakiyamtu2321 3 жыл бұрын
Wanawake wenzangu hongereni Sana kwa upendo huo kumpenda mzee wetu
@zaitunilucas7133
@zaitunilucas7133 3 жыл бұрын
Alafu ikumbukwe mzee ana miaka 76 mtoto wake wa mwisho ana miez 4 😂😂😂😂😂😂 bado yupo fiti
@SefrozaMafuru
@SefrozaMafuru 3 жыл бұрын
😂😂😂🤣
@wasaficomedytvamour5977
@wasaficomedytvamour5977 3 жыл бұрын
@@SefrozaMafuru Mwanaume yoyote had afe ndio inakua mwisho wakuzarisha
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
Nafikiri sio wa mwisho maana kasema bado anataka kuongeza watoto
@gundajr2883
@gundajr2883 3 жыл бұрын
Me nina kimchepuko tu lkn kikikuta sms za manz mwingn dah shughul yake
@jordanjonas4921
@jordanjonas4921 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fereskenya9923
@fereskenya9923 3 жыл бұрын
Huna bahati
@adijaadija9923
@adijaadija9923 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@Kemmy_Barongo
@Kemmy_Barongo 2 жыл бұрын
They are too good in health....they seem to be comfortable
@sureiamboo
@sureiamboo Жыл бұрын
Exactly my thought
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 жыл бұрын
Kilichonifurahisha kila mtoto anaonekana Ana afya njema hakuna mwenye utapia mlo
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 10 ай бұрын
Mashaallah mungu akuźidishiye sihaba wana chakula kizur
@christayohanayohanangepe1625
@christayohanayohanangepe1625 3 жыл бұрын
Asante.baba.kura.zooote mpigie.raisi Magufuli
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 жыл бұрын
NAAMPEREKEE WALIM SHULE IMESHAKAMILIKA
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 жыл бұрын
Nawanafunzi wakutosha
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Eeeeh heri yao ..hii ndo sister wives kweli 😂😂😂😂😂
@khadijavassardanis3178
@khadijavassardanis3178 3 жыл бұрын
Mh
@richardsweya231
@richardsweya231 3 жыл бұрын
Anaefata maandiko kama mm tusuppotiane Like 👍 twende
@avemushi1355
@avemushi1355 3 жыл бұрын
Maandiko ndo yanataka kua na wengi iviii
@nehanasri4531
@nehanasri4531 3 жыл бұрын
Sijawai kusikia hata kuona before 🙌👍🔥❤️
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 3 жыл бұрын
Maandiko😂😂😂...nendeni mkazaliane🙏😅
@aishadaba7045
@aishadaba7045 3 жыл бұрын
Masha Allah Akubarik mzee wetu pa1 na familia yako..
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 3 жыл бұрын
Jamani jamani uwiiii nimeshindwa hata neno la kusema
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 3 жыл бұрын
Sema mashaa ALLAH Mie ni hilo tu
@fatmamachelenga1887
@fatmamachelenga1887 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@carolinekathure3132
@carolinekathure3132 3 жыл бұрын
This guy Millard 👍👌
@ayshaayshaabdulrahman6143
@ayshaayshaabdulrahman6143 3 жыл бұрын
Thats great👏👏👏
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Mmmmh! Hatareee sana 😀😀🙌 Ama kweli ng'ombe Azeeki maini.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Alafu wake wakiwa wa2 kwa mume,kelele kibao.hao wako 16 amani imetawala
@shadrackdonath568
@shadrackdonath568 3 жыл бұрын
daase namina penda sana babu yangu alikuwaga na kum 10 hiyo ninema kwamungu
@iuem5792
@iuem5792 3 жыл бұрын
Kuna vijiji vingine elimu ya maisha ni muhimu sana.Nyerere alisema tuna maadui watatu,Maradhi,umaskini na ujinga.Hapa hakuna sifa yoyote,hapa kuna ujinga.Kuoa mke na wadogo zake!!wanawake kuja kujilundika mahali pamoja.
@jamiestan7280
@jamiestan7280 2 жыл бұрын
Usi tuletee westen life hapa mpumbavu mkubwa wewe asili ya mwafrica ni kuzaaaa mme kuwa mabwege na ulimwengu wa android
@paulomgan2064
@paulomgan2064 3 жыл бұрын
Asante mzee wangu
@alal745
@alal745 3 жыл бұрын
Watoto 104 na 40 kufariki dunia🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ yani watoto wana lishe bora kweli 😭😭
@jamilaingu7922
@jamilaingu7922 3 жыл бұрын
Usiwaruhusu wanaotaka kurudi atawaletea magonjwa
@munnawwaryaqub8524
@munnawwaryaqub8524 3 жыл бұрын
Huyu ndo baharia sasa hongera sana mzee na Allah akutunze na family yako
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 2 жыл бұрын
kabsa baharia anakula mizizi sio bure
@mtakatifubony1829
@mtakatifubony1829 3 жыл бұрын
Hongera Mwanaume mwenzetuu Umewezaa sanaaaa
@titosanga5447
@titosanga5447 3 жыл бұрын
Hongera miradiayo kwa taarifa nzuri.
@jujo_master
@jujo_master 3 жыл бұрын
Mi najiuliza tu, hizo nguo walizovaa watoto zote kazinunua yeye,,, Daaah
Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania
27:20
Millard Ayo
Рет қаралды 419 М.
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 15 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 100 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 44 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 26 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 15 МЛН