MTOTO WA TAJIRI AFARIKI NAKUOZEA NDANI ARUSHA, MWILI WAZIKWA HAPOHAPO "UMEHARIBIKA SANA"

  Рет қаралды 138,199

Millard Ayo

Millard Ayo

8 күн бұрын

Пікірлер: 331
@robertigohe7477
@robertigohe7477 6 күн бұрын
Poleni sana wana Arusha,pia ninazidi kuwakumbusha kuwa Yesu anawapenda pia ni mwokozi ktk jamii,mtu akimpokea kuwa Bwana na mwokozi wa maisha ya mtu huyo,ataokoka na atakuwa na uzima wa milele
@tarsilatesha-el8qu
@tarsilatesha-el8qu 6 күн бұрын
Polen sana familia
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 күн бұрын
Kwahiyo ukimpokea yesu huto kufa kabisa utaishi milele kama mlima?
@Leahmjohn
@Leahmjohn 4 күн бұрын
@@RabiaIddi-ci2uzutakufa lkn utapata mwisho mwema
@africa7479
@africa7479 4 күн бұрын
​@@Leahmjohn wale watawa wanaojiua hawajampoka kumbe?
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 3 күн бұрын
@@RabiaIddi-ci2uzmlima hauish milele
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 6 күн бұрын
Subhannallah daaah jamani mwenyezi mungu atupe mwisho mwema
@eliudjoram1504
@eliudjoram1504 6 күн бұрын
Poleni sana, Mdogo wake marehemu nimependa utulivu wake, he is a really man
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 6 күн бұрын
Yes, ni mtulivu, kumbe nawe umeona ee
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 күн бұрын
​@@easternyerembe7271mmm! anamke jamani acheni hizo😂
@mcback4384
@mcback4384 5 күн бұрын
Yesu Kristo pekee ndio njia kweli na uzima, ukishakufa hakuna mtu atataka hata kukusogelea haijalishi ni nani wako watu wanaojivunia watu na vitu bila kujua kuna wakati havina msaada kwako, Yesu Kristo yupo nawe nyakati zote katika hali zote.
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 6 күн бұрын
Mtu anapesa hanamke hana mfanyakazi hana rafiki wakuishinae Wala ndugu mmh mtihan usikumrefu jamani wawili ni wawili kifo ni wajbu ila mkiwa wawili sihaba uwezi ozea ndani
@ednamunuo354
@ednamunuo354 4 күн бұрын
Upo and 8.Innocent 0:39 😅iikkkii😅998😊99909
@musampanda3643
@musampanda3643 3 күн бұрын
Alisafiri mke
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 күн бұрын
Dah!Kwa hakika kila unapo ingia kulala tujikabidhi kwa Muumba, Mungu alisha mpangia hata Kama angekuwa ns Mke ,mfanya Kazi,su tafiki ndungu,Wasinge jaaliwa kumuona wakat anakufa,Kifo chake kilishaandikwa afe peke yake 🙏 Mungu akampe pumziko la milele,
@directorabiero340
@directorabiero340 3 күн бұрын
Poleni sana
@kevinkatima4975
@kevinkatima4975 Күн бұрын
Inaleta maana dah!
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 күн бұрын
Halafu maisha ya mtu kuishi peke yake ndani siyo vizuri mtu anaweza kufa kwa tatizo dogo tu kwa kukosa huduma ya kwanza
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 6 күн бұрын
Nahicho ndiyo kilicho muuwa huyu chali mm na mfahamu Sana anaugojwa wakifafa
@user-lx8nl8hh3f
@user-lx8nl8hh3f 6 күн бұрын
Kumbesasa kwann akaepekeake jamani
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 6 күн бұрын
​@@deogratiusyudatadei5658mwenyezi mungu amhaalie kauri thabit
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 6 күн бұрын
Kweli kabisa vema kuishi hao na mtu mmoja
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 6 күн бұрын
​@@deogratiusyudatadei5658ooohhh
@jumahili8121
@jumahili8121 Күн бұрын
YESU KRISTO ni Bwana. Mwamini leo uokoke. Siku ya kufa upumzike. Maisha haya ni kivuli cha maisha yajayo. Kama alikuwa na YESU kuozea ndani sii tatizo. Sasa atakuwa amepumzika
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 күн бұрын
Poleni sn Wanafamilia, Mungu awatie nguvu.
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 6 күн бұрын
Eee Mungu tusaidie Taifa la Mungu kama vijana Bwana atusaidie. Nimeumia sana hakika
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 3 күн бұрын
Polen sana wanafamilia. Mungu Awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Marehemu Mungu Ampokee mja wake kwa aman.
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 6 күн бұрын
Msilaumu familia nyingine hazina mawasiliano ya kila cku labda kma kuna taarifa mpya au changamoto yoyote ile ndio mawasiliano yanakuwa mengi mm mwenyewe tu kuwasiliana kila cku na nyumban kwetu au ndugu zang ni fumbo kwasabab za kimaisha unawaza kesho yko unawaza mambo kibao salam unaona hazina muda wakati huo kwasabab za kikazi
@AshuraMaulid
@AshuraMaulid 6 күн бұрын
kweli aisee
@jamesmaths2296
@jamesmaths2296 6 күн бұрын
Kuna maswali ya kujiuliza hapa kuhusu response ya Baba mzazi baada ya mdogo mtu kumpa taarifa ya harufu. Badala ya Baba kwenda eneo la tukio fasta alimpa maagizo ya kuita polisi. Baba mzazi alitakiwa awe wa kwanza kushirikiana na uongozi wa mtaa kuvunja mlango na siyo kusubiri polisi. Mtoto anauma jamani na mimi naongea kama baba maana kuna sintofahamu hapa ambayo iko very clear.
@colletatesha5265
@colletatesha5265 6 күн бұрын
We hujui kufiwa funga bakuli lako
@Thomas-lm1dq
@Thomas-lm1dq 6 күн бұрын
Unajua baba yake aliuwa na hali gani kiafya? Alikuwa wapi muda huo? Alikuwa na usafiri karibu?
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 6 күн бұрын
@@Thomas-lm1dqbora useme mana watu wengine kazi zao ni dhana potofu tu bila kujua huyo baba alikua katika mazingira gani
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 күн бұрын
Me naona hata huyo mdogo mtu majibu yake ni mepesi sana. ni kama vile alikuwa tayari anauhakika jamaa kafariki 😢
@yodeatv.com15
@yodeatv.com15 3 күн бұрын
huyo mdogo mtu napata mashaka nae sana kwa maelezo yake. binadam tumetofautiana uwezo wa kutafsir Mambo lkn mm namuunga mkono mtoa post hii Kuna kitu huenda kimejificha
@salmakeitha3846
@salmakeitha3846 6 күн бұрын
Maisha yana Siri kubwa sna 😢Mungu ndo anajua zaidi
@aloycesamba998
@aloycesamba998 6 күн бұрын
Ni kweli
@DorokasiIssa
@DorokasiIssa 5 күн бұрын
Poleni sana wapendwa mungu awatie nguvu
@Nancy_Daniel
@Nancy_Daniel 6 күн бұрын
Polen sanaaa Lee❤️🙏. May your brother's soul rest in peace🕊 amen 🙏.
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 күн бұрын
Siku ya kufa utakufa tu hata kama umezungukwa na watu 100. Unaweza kuwa umezungukwa na watu ukadondoka hata chooni ukafa peke yakom na ukishakufa hata kama una watu 700 hapo haisaidii na mwili unabaki hauna hata maumivu yoyote. Tujifunze kumuamini Mungu na kuishi pia vile tunavojisikia kuishi. Kama mtu anataka kuishi mwenye we na aachwe aishi mwenyewe. Tatizo watanzania engi hatujafundishwa kuheshimu matajwa ya watu na machaguo yao katika maisha.
@RhodaKabuka-cw3uw
@RhodaKabuka-cw3uw 2 күн бұрын
Exactly
@user-sg7tr9fl5q
@user-sg7tr9fl5q 2 күн бұрын
Nisawa kufa kupo tu ila angekuwa wako wawil asingeoza namna hii
@Mhandisi2008
@Mhandisi2008 6 күн бұрын
Rest in peace rafiki yangu BENSON, Collegemate wa ARUSHA TECHNICAL COLLEGE.
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 5 күн бұрын
Huyu alifanya SOA grumet au ???
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 Күн бұрын
Ongea kiswahili acha act ndugu watanzania tunapenda sana kuonyesha kua tunaweza
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 3 күн бұрын
We are together mda huo wote I think itakuwa nii i do know but nafikiri ni Mungu tu 😢😢😢
@TimaMohammed-pn9eh
@TimaMohammed-pn9eh 4 күн бұрын
Pole sana kujuliana muhimu
@idarousomar1
@idarousomar1 6 күн бұрын
Kuna umuhimu mkubwa mno wa kuishi na majirani na kujichanganya nao vile vile
@mariasalomelukosi6846
@mariasalomelukosi6846 5 күн бұрын
Au usikute alidhulumiwa
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 4 күн бұрын
Stay strong family I can feel your pains for the loss.
@azizaali687
@azizaali687 6 күн бұрын
Jamani arumeru haupiti hata mwezi tukio juu ya tukio Allah atupe mwisho mwema
@tupacthedon7104
@tupacthedon7104 6 күн бұрын
Arusha ni kama soweto ya South Africa,eeh Yesu tujalie mwisho mwema
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 6 күн бұрын
😢😢😢😢
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 4 күн бұрын
Duh arusha kila mtu tajiri Any way poleni wanafamilia
@markmushi8940
@markmushi8940 3 күн бұрын
Ni matajiri kwa asilimia 70au80 mkuu arusha si seem ya kuishi wachovu
@kevinkatima4975
@kevinkatima4975 Күн бұрын
Kumbe!​@@markmushi8940
@ElizabethKidogomaa
@ElizabethKidogomaa 6 күн бұрын
Tusali sana
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 Күн бұрын
Baba anasema Katie polisi kwanza badala ya kuingia ndani kama mwanàfamilia na kuchunguza kisha wamemzika fasta hapohapo nyumbani kabla ya kuchunguza sababu za kifo hata Kama ameoza 😮 aisee hii Wala haihitaji Elimu Wala degree mtu mwenyewe D mbili atakuwa ameelewa
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 6 күн бұрын
Inawezekana alikuwa mtu wa kujitenga sana sio mtu wa kampani
@shamlimah5682
@shamlimah5682 6 күн бұрын
Kwa Nini ?
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 6 күн бұрын
Kwasababu hakuna hata mtu mmoja alimtafuta kwa njia ya simu hadi 3days zinapita kweli?​@@shamlimah5682
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 6 күн бұрын
Kwa sababu kuna watu si mtu wa marafiki sana ​@@shamlimah5682
@IreneIsaya-ek5pc
@IreneIsaya-ek5pc 6 күн бұрын
Ni mtu wa kampan tena sanaa
@svt3
@svt3 5 күн бұрын
​@@shamlimah5682kuishi na watu ni kazi mara nyingine unaona tu ukae mbali na walimwengu kuliko kuzinguwana kila siku
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 күн бұрын
Inna lillah wainna ilah rajiun Baki Allah tu 🙏 Allah ampe kaul thabity
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 6 күн бұрын
Ss kama kaskia arufu alafu aingie bila kuwepo mtu wa ziada je angeiona Hali ya kk yake akazirai nae c angeingia kwenye matatizo jman au angeambiwa yeye kafanya tukio lazima majirani wawepo balozi au mwenyekiti wa kijiji ili atoe izini ya kuvunja mlango kujua kulikoni msiisi vibaya ivyo watu wapo kwenye maumivu ya kumpoteza mwana familia yao tupunguze fikra potofu
@dazuujuma778
@dazuujuma778 20 сағат бұрын
Hakika na umenena vyema
@helentelemla5623
@helentelemla5623 4 күн бұрын
Poleni sana wafiwa😊
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 2 күн бұрын
Msimlaumu mdogo wake angeingia moja moja napo pangekuwa na tatizo hii nchi ni shida ,Na pia kama anajichanganya kujieleza Kufiwa nikugumu mno ,Binafsi huwa sijui kujieleza
@nasrachaya
@nasrachaya 6 күн бұрын
Let's pray to Arusha
@chikujuma18
@chikujuma18 6 күн бұрын
Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake
@neemareuben311
@neemareuben311 5 күн бұрын
Mungu wangu nyie jamani ina mana hakuwa hata na dem wa kuish nae jaman😢😢😢😢😢
@LilyMassawe
@LilyMassawe 6 күн бұрын
Dahh jamani poleni sana
@EmilyAlph
@EmilyAlph 6 күн бұрын
Wiki,wiki 2 hakuna aliyempigia simu??😰 Duh Apumzike kwa Amani Ben🙏
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 күн бұрын
Pole kwa familia M/MUNGU ilaze roho ya marehem mahali pema peponi
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 6 күн бұрын
Poleni saana jamani.ila maisha ya kuishi pake yako sio mazuri.natamani hata angeweza kishi na ndugu wa mbali tu.wawili ni wawili haswa mida ya usiku.
@nurumwangoka5924
@nurumwangoka5924 6 күн бұрын
Hiyo familia itakuwa na shida ina maana siku tatu bila kuwasiliana
@FaithOluouch75
@FaithOluouch75 6 күн бұрын
Watu tunakaaa week kitafutana inategemea mnakaa nyumba moja au mnafanya kaz pamoja apo tunge laumu
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 6 күн бұрын
Et jamani
@IreneIsaya-ek5pc
@IreneIsaya-ek5pc 6 күн бұрын
Anaishi peke yake hapo na mpangaji mmoja tu ,mpagaji wake ni wakiume nq haishi na familia yake ni mtu wa safari
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 5 күн бұрын
Soooooo Sad😭😭😭😭😭😭kwanini afureee Kama c sumu ? Kwa Nini mumzike kabla ya postmortem?
@EmmanuelProtuce
@EmmanuelProtuce 2 күн бұрын
Ndiyo zake zimeishia hapo Mungu amlaze vema pepon
@seifibrahim3883
@seifibrahim3883 6 күн бұрын
Mtajua vp na mtu kazikwa ata bila kuosha kaharibika, aiwezekani kujua sababu ya kifo ni kumuombea kwa mungu aende salama
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 6 күн бұрын
Duh alikuwa haishi hata na dada wa kazi jaman😢 hatar hii sana
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 6 күн бұрын
Cku hz rahc kufa pekee yako yaan ndg zako unaweza kaa hata wk au Zaid na wacsh2ke kwa ukmya wako vjana muoe au mutafute ndg zenu Waco na makaz muish nao kama ndg unahc Hatareee bhac tafuta Dada wa kaz😢😢😢😢😢
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 6 күн бұрын
Maisha yamebadilika sana
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 6 күн бұрын
@@faidhamyovela179 Hakka 2naish kwenye don't spy malife
@deograciousrugambwa2054
@deograciousrugambwa2054 6 күн бұрын
Mortuary wanakataa mwili sasa postmortem atafanyikaje?? Hii nchi ya hovyo sana
@ericdaniels2608
@ericdaniels2608 6 күн бұрын
Uko sahii kabisa, uchunguzi unafanywaje hapo. Ovyo kweli.
@gabrielutou20
@gabrielutou20 5 күн бұрын
Mojawapo ya sababu ambayo inaweza kufanya postmortem kua ngumu ni kuharibika kwa mwili (decaying ) hivyo hata kama wangepokea bado kupata majibu sahihi ingekua ngumu
@dork8749
@dork8749 3 күн бұрын
@@gabrielutou20 are u sure?
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Күн бұрын
​@@gabrielutou20kwa teknolojia ya sasa post mortem inafanyika hata baada ya miaka.
@joharikitundu
@joharikitundu 6 күн бұрын
Hii tabia mbaya sana .Tafuta mtu 1 Hadi 5 .Kila siku asubuhi uhongee nayo na kabla ya kulala sema tu usiku mwema
@judyngowi391
@judyngowi391 6 күн бұрын
Kweli kabisa ndugu, mimi kuna ndugu yangu anaishi Tanga peke yake ikigika jioni sijamsikia lzm nimtafute
@florakibona8042
@florakibona8042 5 күн бұрын
Nimewaza kuwa hii familia hawawasiliani au ndo matajiri wapo hivi😭.. kiukweli tunatakiwa kupigiana simu kila sıku na ukiona ndugu yako hapokei simu siku nzima fanya mpango wa kumtembelea
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r Күн бұрын
Subhana Allah😢 pole kwa familia
@peninashungu6633
@peninashungu6633 6 күн бұрын
Arusha ukiwa muuza madini shida Sana
@RUTAMANTZ
@RUTAMANTZ 6 күн бұрын
Mdogo wa marehemu ana changanya luhaa sana bhana
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 2 күн бұрын
@@RUTAMANTZ Alhamduli'llah 🙏 Si msomi,What the meaning Mji Wa Arusha,Hakunaga Mambumbumbuu kabisa 🙏
@renaldasilvery110
@renaldasilvery110 2 күн бұрын
​@@HannanSomaiyah-wp7nymmmh!!
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 6 күн бұрын
Jaman haya mambo yapo sana hata sisi binam yetu alifia ndani hivyo hivyo kijana majirani hawakujua kama yupo ndani anapigiwa sm kazini haipokelew kuja nyumbani sm inaitia ndani wakavunja mlango siku ya tatu hatari
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 6 күн бұрын
Mhhhh sio kitu cha kawaida hiki kuna mawili kauliwa na watu au mambo ya Imani za kishirikina ikiwemo kutolewa kafala 😢😢
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 6 күн бұрын
👍🤔
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 6 күн бұрын
Kutolewa kafara nimekuelewa ndugubyangu
@seneu.2128
@seneu.2128 6 күн бұрын
Vijana tutafute wake tuoe kama msela angekuwa na mke asingekufa kirahisi hivi
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 4 күн бұрын
Na hata angekufa bs asingeoza jmn
@Mughusi
@Mughusi 3 күн бұрын
Wako wapi hao wanawake wa kuoa, hata mimi sina bado natafuta
@moviessummarized4803
@moviessummarized4803 3 күн бұрын
​@@victorianganyagwa2467sa utakufa uache kuoza ...kuoza lazima
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Күн бұрын
Kwa hiyo ukioa ndiyo haufi! au ukifa hauozi?
@jeremiaisaya6329
@jeremiaisaya6329 Күн бұрын
​@@bockerNyarusahikuna vitu mke wako anaweza akasolve usife labda jamaa angekuwa na mke pengine huo ugonjwa angewahishwa hospitali angepona au pia asingeozea ndani angesitiriwa mapema. Tafuten wake acheni ubishi
@jojotz1210
@jojotz1210 2 күн бұрын
Kifo ni fumbo sana😭 mdog angu alifariki ghafla pia sis bila kujua siku nzima ad jion tukaj kujua
@nadiatanzania
@nadiatanzania 6 күн бұрын
Arusha Mungu isaidie ina majanga sana kwakwel😢
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 6 күн бұрын
Majanga mtu kufariki? Huko kwenu watu hawafi?
@NicksonIsraeli
@NicksonIsraeli 6 күн бұрын
Umewaza Kama nilivyowaza Leo hiyo ajali ya moto mungu atusaidie
@robertigohe7477
@robertigohe7477 6 күн бұрын
Yesu ni wa muhimu mno
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 6 күн бұрын
Na ndo mkoa pekee ulokua unapatikana tanzanite duniani kabla ya kugawanywa kuwa manyara so kwasisi bado tunaoana tumependelewa wageni ndo wanatuharibia
@nadiatanzania
@nadiatanzania 6 күн бұрын
@@PrinceHendry-hp8vv Mungu awasadie msimame sana na maombi 🙏
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 12 сағат бұрын
Hiv mbona hi Arushayetu matukio n ming sana as uku kwenye wilaya ya meru😢😢😢
@surusuru1994
@surusuru1994 2 күн бұрын
Ujiga kabisa kaka yako ete kisa karibika huwezi kumwagalia amakwli 😢
@dazuujuma778
@dazuujuma778 20 сағат бұрын
Usimlaumu kila mtu na nafs yake ndugu yangu
@TrizzahWanjala
@TrizzahWanjala 5 күн бұрын
Poleni sana waaaah!😢😢😢
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 6 күн бұрын
Sasa wewe mdogo mtu tangu mmetoka kwenye mizunguko yenu ina maana hujaweza kumpigia simu kumjulisha umefika nyumbani salama inakuwaje siku zote hukumtafuta kwa simu halafu unaenda tu kama unajua nini kimetokea! Binafsi sijaridhishwa na maelezo yako
@judyngowi391
@judyngowi391 6 күн бұрын
Kweli lakini
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 6 күн бұрын
Uyo marehemu ana mke
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 6 күн бұрын
Ndunia njia
@winnesakara6957
@winnesakara6957 6 күн бұрын
Maelezo ya dogo hayaeleweki 2 week au 3 bila mawasaliano wote mko arusha na kwanini usipige simu yake kwanza na kwanini usimpigie marehemu kwanza na kwa nini usimpigie kwanza beni uko wapi ili ujue hapokei yupo ndo uende kwake
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 6 күн бұрын
Uyo dogo ktk maelezo yake mbona kama kuna kitu cha kupanga vile why baba yake aseme tafuta askar mjumbe au askar.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 6 күн бұрын
Hayo ya kawaida
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 6 күн бұрын
Kwanini baba alikimbilia kwamba tafuta balozi au maaskari kwakuamiwa tuu amesikia harufu yeye alihisi nini huyo baba
@josephineokama2200
@josephineokama2200 6 күн бұрын
eti nami nimebakia sielew
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 5 күн бұрын
Mimi pia nimeona kitu huyu mdogoake akiminywa kende ataongea ukweli,hapo kunakitu sio bure waanze na huyo dogo
@princejuma
@princejuma 4 күн бұрын
Nilifikiri nimimi tu naeona story fulani
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 6 күн бұрын
😢😢😢😢 mmmmhhhh jamani arusha haiishiw na matukio
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 күн бұрын
HUYO SIO MTOTO WA TAJIRI....MTOTO WA TAJIRI LAZIMA AWE NA UANGALIZI,,HASA KAMA HUJAOA LAZIMA BABA-MAMA MDOGO AU RAFIKI LAZIMA MMOJA WAPO AKUCHEKI..SIKU NZIMA INAPITA HUJAONEKANA WATU HAWASTUKI NI MATAJIRI GANI HAO??MNAISHI VIPI??
@saumsaid1966
@saumsaid1966 Күн бұрын
Hapa tunajifunza km unaishi pekee yangu uwe na utamaduni wa kusalimia kila siku asubuhi japo wazee au ndugu. Ili ikitokea siku hujasalimia. Wakutafute na waseme sio kawaida yake kutokupigia sm na kusalimia
@kevinkatima4975
@kevinkatima4975 Күн бұрын
UPWEKE UNAUA!!
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 3 күн бұрын
Vijana oweni acheni ufala ona sasa mtu anajifia mwenyewe angelikuwa na mke au mtu anaishi naye yasingemkuta yalio mkuta
@kenethpatrick6634
@kenethpatrick6634 2 күн бұрын
Jambo la kufikirisha hizo siku zote walikua hawana mawasiliano ya kupigiana simu ili kujuliana hali kama ndugu wa familia
@swaiseif2989
@swaiseif2989 6 күн бұрын
Mimi ninavo ogopa kuishi mwenyew😭😭😭mungu wngu tunaomba mwisho mwema
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 6 күн бұрын
Kwaulivyo mrembo ukiishi mwenyewe umejitakia Kama Hauna mume muombe MUNGU akupe mume mzuri natumai itakuwa Hivyo 🙏🙏🙏
@swaiseif2989
@swaiseif2989 6 күн бұрын
@@user-nb6yh2bn9y niyamume saiv alhamdulilah namshukr mungu
@hamisaally968
@hamisaally968 3 күн бұрын
Uyo mdogo wake mbona aelewiki pia kama anataka kuchekaa😢 haojiwe vizuriii uyoo, unasikia harufu ujui ya nini unapiga simu kwa baba kwa nini usingepiga simu ya marehemu maana ndo anaishi hapo?
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 3 күн бұрын
Nami sijamuelewa😢
@hamisaally968
@hamisaally968 3 күн бұрын
@@ElizabethWamcha ata mie ndugu kwa nini amtafute baba wakati kaka akee ndo anaishi hapo pia alikuwa ajui nini kimempata au kutokea mi naona mtu wa kwanza kumtafuta angekuwa uyo marehemu
@user-sg7tr9fl5q
@user-sg7tr9fl5q 2 күн бұрын
Yesi
@user-bz7kg2lr3f
@user-bz7kg2lr3f 6 күн бұрын
Dunia si chochote mwanadam maringo yann 😢
@YusrahMohammed-rq1lz
@YusrahMohammed-rq1lz 6 күн бұрын
Siku tatu tafrani duniani unanuka vibaya kila mtu hatamani ubaki kwenye ardhi na mortuary pia wanakukataa...lakin sie sie wanadamu tunaringa km hatuozi
@judyngowi391
@judyngowi391 6 күн бұрын
Wewe acha tu , mimi nilishashtuka siku nyingi siringi
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 күн бұрын
Ndio hapo sasa ndugu yangu tumejawa na maringo tumesahau kuwa hii miili tulionayo ni uozo tu
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 күн бұрын
​@@judyngowi391 bora umeshituka mapema umefanya vizuri
@AshuraMaulid
@AshuraMaulid 6 күн бұрын
Na maisha ya saivi mtu akijipata kidogo tu kimaisha anaringa mnoo mimi nina wifi yangu alikuwa anasoma muda mwingi akihitaji msaada anapewa na kaka yake ambae ni mume wangu alikuwa mpole anaheshima anahuruma....jamani hii miaka mitano kajipata kapata kazi nzuri kafungua maduka ya nguo, viatu, jamani kawa mkali, mbinafsi hataki mawasiliano na ndugu anamtukana mpka kaka yake aliekuwa anamsaidia Mama yake mzazi aliumwa akawa anamnyanyapaa nyie kabadirika mnoo 😢😢😢😢
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 6 күн бұрын
​@@AshuraMaulid uyo ni mtu wa hovyo sana kwa kujisikia huko
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 күн бұрын
Police chunguzeni vizuri😮😢
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Күн бұрын
Innalillah wainna illah raji'uun
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 күн бұрын
Sub-hannallah!!? Innalillaih wainnaillaih rajiuun
@IreneIsaya-ek5pc
@IreneIsaya-ek5pc 6 күн бұрын
Aisee Ben😭😭😭😭😭
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 6 күн бұрын
Njiya fupi kafariki bado mdogo rip.
@dayana5513story
@dayana5513story 6 күн бұрын
Naishi pekeyangu Mungu tuu ndoa mlinzi siku yake ilikua ishafika,poleni family,mbele yetu nyuma yake 💔
@sahaleabeid6986
@sahaleabeid6986 5 күн бұрын
N kweli c lazima marafiki ama nani,Mungu ndo uchunga moja wake na ndo anajua mwisho wa kila mmoja,Sisi tuombe mwisho mwema
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 3 күн бұрын
Uwe na ndugu wakujuliana naye hali mara kwa mara.
@Mughusi
@Mughusi 3 күн бұрын
Kwanini unaishi peke yako?
@dayana5513story
@dayana5513story 3 күн бұрын
@@sahaleabeid6986 kweli dear 👏👏
@dayana5513story
@dayana5513story 3 күн бұрын
@@leskarmeikok8956 sina nina Mungu tuu
@loycengasashija2018
@loycengasashija2018 6 күн бұрын
Dah,😢co sad
@leokamil6284
@leokamil6284 6 күн бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c Күн бұрын
Uchunguzi ufanyike kwa kina, inawezekana pengine kuna wabaya wake ambao pengine walimuua kisha wakafunga mlango. Mbona hainiingii hiyo?
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 Күн бұрын
Arusha mkoa wa mambo na vijambo 😢
@annamussa185
@annamussa185 4 күн бұрын
Eti mtoto wa tajiri,kifo hakichagui bro😂
@lilyjones3584
@lilyjones3584 6 күн бұрын
Inasikitisha sana 😢
@abdallahrashid2899
@abdallahrashid2899 6 күн бұрын
Hivi Arusha mbona imatukio mengi Yani Kila ukiripoti taarifa lazima Arusha kwa wingi shida nini??
@graceabdallah2670
@graceabdallah2670 6 күн бұрын
😢😢hivyo amezikwa bila kufanyiwa vipimo vyovyote au
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 6 күн бұрын
Apumzike kwa amani 😢😢😢ndio tujue sie binadamu c chochote c lolote pumzi isituhadae 😢
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 күн бұрын
Kabisa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 6 күн бұрын
@@NeemaSamson-ti8pc 🤝
@wiliampaulo5556
@wiliampaulo5556 5 күн бұрын
Arusha Tanzania
@ruthwanza4037
@ruthwanza4037 6 күн бұрын
Poole sana Brandon😢
@benindangala-t9j
@benindangala-t9j 20 сағат бұрын
dah poleni sana
@rehemamnyeke
@rehemamnyeke 6 күн бұрын
Sema nini Arusha ubinafsi ndio umetawala..kila mtu anajikuta ana maisha yakeee, mnaweza mkawa mnakaa jirani na msionane hata wiki tatu na bado mtu hastuki wala nini na hasa ukiwa wakuja umekwisha for sure😢
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 6 күн бұрын
Dah hiki kitu Tanzania hii ukienda sehemu ukiwa wa kuja shida sana
@AshuraMaulid
@AshuraMaulid 6 күн бұрын
Kabiiisaa ubinafisi mwingi sana kule
@lucianagodson437
@lucianagodson437 6 күн бұрын
Sio kweli jmn labda mlikutana na WA bahat mbaya
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 5 күн бұрын
Kabisa huku mjini undugu ni siku ya msiba tu ,maisha ya kawaida kutembeleana ni nadra sana ikiwa muhimu sana mnaongea kwenye simu, ila vijijini hakuna maisha kama haya jamani wanatembeleana hii sio tabia nzuri kabisa .ukimkosa Jirani yako siku 2 mpigie japo napo kama kuna la kutokea upelelezi na uchunguzi unakuhusu
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 5 күн бұрын
Hata postmotum hajafanya au but😢 he was handsome
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 6 күн бұрын
Emu muwe munaandika kichwa cha habar vizur ukisema tajir mbona anaonekana namaisha ya kawaida tuu all in all mungu amlaze mahali pema
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 6 күн бұрын
Na ww uwe unasoma vizuri amesema mtoto wa tajiri yani baba ake ndo tajiri sio yy woooii
@dorcaserick4473
@dorcaserick4473 6 күн бұрын
Yaan ni wapuuz sana cjui kwann apotoshe
@nancyg8664
@nancyg8664 6 күн бұрын
macho ya jackline yanashida
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 6 күн бұрын
Yule mdogo wa mtu mbona simuelew
@HalimaChuwa-kk5lt
@HalimaChuwa-kk5lt 6 күн бұрын
​@@husnathabiti4114dogo anajikanyaga sana
@peninashungu6633
@peninashungu6633 6 күн бұрын
Mwandishi mwenye matukio yake mjini😅 haunaga tukio la arusi wa sherehe 😂, ww ni wapi wamekufa wapi wameuwana wapi, wamechinjana wapi😅tuko pamoja na ww ndugu mwandishi mpaka na ww tusikie tukio lako😅
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 6 күн бұрын
Jaman Sasa Kla m2 c naktengo chake nmecheka kwenye 2kio la kucktsha 😂😂😂😂
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 6 күн бұрын
Leo tu nilikuwa namtafakari korumba lebabaz ukiona amepotea ujue Arusha matukio yamepungua! Jana kaonekana kwwnye ajali ya moto
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 6 күн бұрын
Aongezewe mshahara kwa kwel
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 күн бұрын
😂😂😂 Umefany nicheke kwa saut sana wakat habr ya huzun
@SophiaSophiapaulo-cj3ko
@SophiaSophiapaulo-cj3ko 6 күн бұрын
kwakweli jaman 🙌🙌
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 күн бұрын
POLENI SANA FAMILIA NA NDUGU WOTE WA MAREHEMU.
@glorypetro2204
@glorypetro2204 6 күн бұрын
Ooh namjua jamn alikuwa mteja wetu sana
@JosephineMegora
@JosephineMegora 6 күн бұрын
Mteja wa wenu wa nin
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 3 сағат бұрын
Ah ah ah nimecheka kwa sauti jinga kabisa wewe​@@JosephineMegora
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 6 күн бұрын
Sasa siku zote hamkumpigia simu muone ana hali gani .
@hellennehemia9269
@hellennehemia9269 6 күн бұрын
Nyie kifo ni fumbo sana💔eee mungu tupe mwisho mwema💔
@GiselaJoseph-z2f
@GiselaJoseph-z2f Күн бұрын
Dah
@SarahCanud-mz6kz
@SarahCanud-mz6kz 6 күн бұрын
😮
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 9 МЛН
Just try to use a cool gadget 😍
00:33
123 GO! SHORTS
Рет қаралды 85 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 151 М.