Mama Mzazi wa aliyepigwa na mume hadi akauawa Dodoma aeleza alivyomuonya mkwewe

  Рет қаралды 225,493

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Kufuatia kifo cha Aisha Ramadhani anayedaiwa kuuwawa kwa kupigwa na mumewe hapa jijini Dodoma jambo lillopelekea kifo chake Mwananchi Digital imefika nyumbani kwa mama yake mzazi eneo la Changombe jijini hapa na kukutana na mama Mzazi wa aisha ambaye anaeleza namna ambavyo mwanae alikubwa na Masaibu hayo.

Пікірлер: 798
@user-fb7vo2fh4w
@user-fb7vo2fh4w 4 күн бұрын
Poleni sana huyo mwanaume nae aueawe iliajuwe kifo cha klazimishwa kinavouma mungu amlaze mahali pema poleni wafiwa mungu awape subraa
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 6 күн бұрын
Atakuwa aliumizwa figo na damu ikaganda ndani
@user-gv9zo3os2m
@user-gv9zo3os2m Күн бұрын
Huyo Peter atakuwa anavuta bangi. Mama pole sana Mwenyezi Mungu ampokee kwake mbinguni
@alimwangabula5060
@alimwangabula5060 Жыл бұрын
Wanawake wanakufa kwaajili yawatoto jamani nani kama mama poleni wafiwaa
@user-mt9qg2br8p
@user-mt9qg2br8p 3 күн бұрын
Jamani siyo wa mama wote mm yamisha nikuta nikatoroka kurd homu mume kanitatiriya wazazi wakamwambiya binti atoki sijarud nimepata mume aritaka kunihuwa siku hiyo nirivyo toka baci mungu ali,kuwa pamoja nami
@letciamapunda8428
@letciamapunda8428 Жыл бұрын
Wanawake wenzangu mwanaume akisumbua achananae angalia maisha mengine
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 Жыл бұрын
Hivi niulize wenzangu mshawahi sikia mwanamke kamuua mume wke au kampiga mume wke!!!so kwanini kila kukicha sisi wanaume tunawapiga wanawake wetu ambao wanatuzalia watoto na kutujengea familia mpaka tunaitwa baba Fulani na tunawafanyia vtendo vya kinyama hadi kuwauwaa dah I say SUBHANNALLAH THUMMA SUBHANNALLAH InshaaAllah MUNGU amalaze mahali pema peponi na amsamehe dhambi zke za siri na dhahiri yaaa Rabbal aaalamin..
@joycemluga1125
@joycemluga1125 Жыл бұрын
Point
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
Swalii gumuilo daaadaa😭
@mwazanimnyamani8493
@mwazanimnyamani8493 Жыл бұрын
Tunakoelekea kila mtu ataishi maisha yake sioni haja ya kuolewa mana kaolewa ni shida wanawake tunateseka sana na mwisho wetu ni ulemavu na kifo
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
Wapo!!
@kifubayusuph8741
@kifubayusuph8741 Жыл бұрын
jirekebisheni mama anasema arifata era ya marejesho kwa shoga yake maisha gani ayo
@joycemluga1125
@joycemluga1125 Жыл бұрын
Mama samahani umechangia kwa kiasi kifo cha mwanao simulizi yako imeonyesha wewe ni dhaifu ulikua unapata Nini kwa uyo pita ndoa ni mapanga na fimbo pole kwani serikali ulikua huioni mama?
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 Жыл бұрын
Point
@heriethmuta2903
@heriethmuta2903 Жыл бұрын
Kajengewa hiyo nyumba. Wamama tuache tamaa ya mali
@tonymwalanya3027
@tonymwalanya3027 Жыл бұрын
Uyo mama nimchawi kamtoto kafara iyo nisababu mongo mkubwa yeye na uyo mtoto wake mungine wawongo wAkubwa sikiya upuzi wake. Mke
@prosmacharius7074
@prosmacharius7074 Жыл бұрын
Hakika.bora anyamaze tu.mtoto umemzaa mwenyewe anakulalamikia kila akija kwako bado huchukui hatua??eti Sina la kukusaidia
@rosendile8235
@rosendile8235 Жыл бұрын
Mama yetu mpendwa anatisha kwa kweli ndoa ni maelewano ikishindikana ni vema kurudi nyumbani kupumzika kwa muda. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@shahashaha6269
@shahashaha6269 Жыл бұрын
Kuna cha kujifunza hapa wanawake wenzangu tujifunze hapa kuanzia mume Hadi family zetu innallilah wainalillah rajiun 😥
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Жыл бұрын
Kitu kinachoniudhi Kwa wamama , ni kutokujali, mwanao anakuja Kila mara amepigwa Bado unamruhusu kurudi Kwa mume . Kweli wamama wanabidi kujitambuwa , labda tunaweza kuokoa maisha ya mabinti zetu ,huyu amekufa Kwa uzembe .rip
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 Жыл бұрын
Muda mwingine unakuta mtoto mwenyewe king'ang'anizi wanapigana anarudi kwao baadae akipigiwa cm tuu na mume akiambiwa nakupenda baasi awezi sikiliza tena mzazi tusiwalaumu wazazi jani
@fanenchimbi6721
@fanenchimbi6721 Жыл бұрын
Wazazi tufike mahali tusishauri mtoto kurudi kwa mwanaume anayepiga,huwa hawaachi.Maana anakuwa keshazoea kumgeuza ngoma.
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 Жыл бұрын
Hii familia inaonekana haina ushirikiano kuanzia kwa mama hadi kwa watoto wake
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Yote hayo bado tu mulimruhusu arudi kwa huyo mshenzi mulikosea kumuacha wakati mifano tele ya ukatili wa wanawake ishatokea dah ila poleni sana
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 Жыл бұрын
Mi sijauelewa huyu mam ktk uuguzaj na kudeal na hlo jambo
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 күн бұрын
@@ablashaffy2860 mama kakosea wapi,alikuwa anajalibu kulea ndoa
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 Жыл бұрын
Ila akina mama wa kitanzania tufike mahali pa mabadiliko. Mwanao anafanyiwa vituko vyote hivyo mmekaa kimya na mnamruhusu kurudi akiwa na maalama ya kipigo mpaka siku anakufa kweli???? Tutaendelea kutoa ushuhuda hadi lini? Kwa nini hatua hazikuchukuliwa mapema? Huyu Peter yuko juu ya Sheria? Mlishindwa hata kutoa taarifa polisi?
@ipyanamwaipaja3720
@ipyanamwaipaja3720 4 күн бұрын
umeona amepoteza mwane kwa uzembe kabisa
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani pole mama mungu akutiye nguvu
@agnesssimon3976
@agnesssimon3976 Жыл бұрын
Ninawalaumu Sana ninyi ndugu za marehemu,Sasa amekufa ni faida gani umepata wewe mama?
@lilianhermenegild7175
@lilianhermenegild7175 Жыл бұрын
Pole sana mama lakini ulikua unauwezo wa kumsaidia mwanao tangia uliposikia kweny simu akilalamika ananiua, ungepiga simu police wakatangulia wewe ukifanya utaratibu wa kuelekea eneo la tukio. Pole Sana dear, Mwanamke mwenzangu, mwanaume akishanyanyua mkono Kwa Mara ya kwanza akakupiga usipochukua hatua basi ndo itakua mchezo wake na mwishowe atakumaliza kabisaa. Run girls run for your life.
@janeamsara4845
@janeamsara4845 Жыл бұрын
Yaani sehemu anaishi mama na mtoto alipokua anaishi nauli ya pikipiki Ni 2000,very sad indeed
@neemahusseinrajabu8913
@neemahusseinrajabu8913 Жыл бұрын
Mama umli nao umekimbia hapo yupoyupo tu
@MwanaishaKarata
@MwanaishaKarata 7 күн бұрын
ile ya Arusha ya juzi huja sikia mama kamua mume wake 😢
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 6 күн бұрын
Naile ya kumkata mwana mume uume haujawahi sikia😂😂
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 күн бұрын
Polisi wangesema gari haina mafuta polisi gani
@sultankivumbi9255
@sultankivumbi9255 Жыл бұрын
Pole sana mama mkwe kwauchungu ila dada zetu mkiona wanaume wastaili hii mue mnajiengua mapema msing'ang'anie
@tnerdaniel6198
@tnerdaniel6198 Жыл бұрын
Sijui wanang'ang'ania nini kwa mwanaume wa kupiga unakubali kupigwa kweli
@nyangigenyabitwano1180
@nyangigenyabitwano1180 Жыл бұрын
Mi mwanaume hanipig hata siku moja, kofi tu naondoka zangu mie , watoto wataishi tu kwani nikifa wataishije
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙌
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Sijaelewa kwann watu wavumilivu kiasi hicho cjui ndio sifa
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Sijaelewa kwann watu wavumilivu kiasi hicho cjui ndio sifa
@happymlowe497
@happymlowe497 Жыл бұрын
Ndugu mshukulu mungu huyu mama alikuwa akiludi kwao anaenda kumpigia hukohuko isitoshe hata pale mtaani watu tunamuogopa
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 Жыл бұрын
Wewe ni mimi kabisa siku atamke tu nitakupiga atoniona tena nitaama ata mkowa
@zikenims6167
@zikenims6167 Жыл бұрын
Pole sana mama mimi nisingeenda uko ningezika kwangu mwanangu
@janeamsara4845
@janeamsara4845 Жыл бұрын
Mama anang'ang'ania mke wa ndoa ndio maana kakubali wakati mine was ndoa ndio kamuua😱😱😭😭
@user-yj5zw8yi5i
@user-yj5zw8yi5i 3 ай бұрын
Kazi sanaa
@user-mi1ud5jf8b
@user-mi1ud5jf8b 4 күн бұрын
kaabiiisaaaa
@umiy1971
@umiy1971 Жыл бұрын
Anaonekana alipata majiraha ya kuvuja damu ndani kwa ndani, mungemuwahisha matibabu pengine angekuwa hai . Na sie wanawake basi ushashikiwa mpaka panga na mwanaume huyo bado umeng’ang’ania hapo tu.
@abdalaseleman921
@abdalaseleman921 Жыл бұрын
Mwanaume kumpiga mwanamke ni kitendo cha woga kabisa na kinyama. Mwanaume ni mlinzi kwa mwanamke. Kama umeshindwa kuishi nae achana nae kwa wema. Tafadhali ukiona dalili za mwanamke yeyote kunyanyaswa na mwanaume toa taarifa kwa mamlaka mapema kwa usaidizi. Majirani msifumbie macho vitendo hivi vya kikatili.
@reginasigera4204
@reginasigera4204 Жыл бұрын
Kabisaa abdalah Yani mwanaume tatizo lake kijishusha ndo tatizo mwanaume hataki kujishusha
@ashrafseif9460
@ashrafseif9460 Жыл бұрын
Polen jjaman
@judithkiramweni7135
@judithkiramweni7135 Жыл бұрын
Mama mzembe sana unapigiwa simu hutaki kwenda , mwanao kapigwa mara nyingi huripoti popote na unazidi kubembeleza mkwelima 😭😭😭😭😭😭😭 nimeudhika sana mamaaa mzembeee sanaaa
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 Жыл бұрын
Sijawahi kuona mama wa ajabu kama huyu
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Halafu kama hana uchungu,au mimi naona vby.
@jeskahaule2867
@jeskahaule2867 Жыл бұрын
Alichoniboa ni mzembe huyu mama maana walikuwa wanampigia cm lengo asaidie Tena yeye anakaa kimya Wenda huyo Pita angeshaonywa Wenda hata mauaji yasingetokea
@ezirabatu2734
@ezirabatu2734 Жыл бұрын
Wewe mama mm nilijua unaishi mkoa mwingine kumbemlikua jilani nimekuchukia kbs ww mwanamke
@husnamtitiko9312
@husnamtitiko9312 Жыл бұрын
@@ezirabatu2734 inaonekana huyo pita ana pesa na pesa ndo alifanya fimbo ya kuwachapia hiyo family na kuwadharau 😭😭😭
@kimcash3079
@kimcash3079 Жыл бұрын
Mama ulikosea kumuacha arudi 😭😭rest in peace sister watoto jamani
@mustorytellermullah2737
@mustorytellermullah2737 Жыл бұрын
Asee pole Sana mama,wanaume wenzangu Kama tume shindwa kukaa na watoto wa watu tusi wa tese kiivo jamani daah 😢
@tinageofrey9361
@tinageofrey9361 Жыл бұрын
Njoo uniowe wewe kaka,maneno kuntu
@gracegeorge9140
@gracegeorge9140 Жыл бұрын
Pole mama ulichukulia enzi zenu kwa sass cluhusu mkwe kumpiga mwanangu
@venerandahhayuma4341
@venerandahhayuma4341 Жыл бұрын
Njoo nioe sasahivi bila hata mahari
@marcominja8850
@marcominja8850 Жыл бұрын
Pole sana mama, hao majirani nao ni wazembe sana mtu mnakaaje kimya mwanamke anashambuliwa hadi kifo, mnashindwa hata kuvunja mlango na kumshikisha adabu huyo bwana.?
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 Жыл бұрын
Ni mjeshi. Hawamuwezi.
@rosejoseph2093
@rosejoseph2093 Жыл бұрын
Kuna geti kubwa
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs 18 сағат бұрын
Poleni Sana wapendwa. Kwa Kuondokewa na mtoto wenu na watoto Kuondokewa na mama Yao mungu amsamehe makosa yake kwa kweli haya marejesho ni tatizo mkubwa Sana kwenye nchi zetu za ki Africa yani ndowa zinavunjika maisha WA watu yanaharibika na mwengine Kama hivyo wanasababishiwa mauwaji watoto wanayumba majumbani kwa kukosa male I bora ya Mama mana mama kutwa yuko resi na marejesho hii ni vita baridi kwa kweli
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Жыл бұрын
Daaa jamani pole Sana mama kwa kumpoteza mwanao mpendwa hakika ni huzuni kubwa 😭😭Hii Tanzania yetu imeshakuwa ni nchi ya mauaji sas hivi kila mtu anajiamulia tu kuua ,kuua siku hizi imekuwa ni kawaida tu mauaji yamekuwa too much.Mungu tusaidie tuondolee roho ya umwagaji wa damu.R.I.P
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Pole sana mama yangu mumgu amrehem wajina wangu 🤔😭😭😭 huyu mmewe afie jela in shaaj🤗😭
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
hachukuliwi hatua yoyote na ataendelea kuishi tu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@njuka3515 saahii yuko ndan😥🤗
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Pengine uyo mama anali,siku inaletwa posa ndie wakwanza kupokea,na kuuliza mkwe anafanya kazi,kaambiwa ana mabiashara yake makubwaa. Magari ya kutembelea,manyumba ya kupangisha,,,tuvumilieni na yabadae yanapo tokea
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513labda
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513 mungu atusa8die waja wake 🤗🤗
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Huyo mother nae aache unafki, Inaonekana huyo mtoto wake kapigwa sana tu kila sku afu hachukui hatua, Siangemshauri mtoto wake mapema aachane na huyo mwanaume! Mi siwezi kukubali mtoto wangu nilie mzaa akanyanyaswa! Nitasimama imara kujua ukweli! Siwezi!
@tnerdaniel6198
@tnerdaniel6198 Жыл бұрын
Ila mama anaongea kama hajaguswa anatuumiza watazamaji Wazazi waambie watoto wao wasivumilie vipigo
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Жыл бұрын
Wanaume wamekuwa wanyamamwitu! Nakupenda nakupenda nyingii, na makosa wafanye wao tukifanya sisi ni kifo tu! Sasa bora na sisi tuwauwe tu Aaah! Imekuwa hatari bora uishi katikati ya pori utaamka Asubuhi! Kuliko hizi ndoa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Sista tatizo nyinyi SASA hivi huwa hampendi mtu mnapenda alicho nacho yaani Mali,mwanaume akiwa Fara mnamuona boya,SASA vumilieni iyo Hali
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513 sio wanawake woote wanao taka mali. Wengine tunawaokota wanaume majalalani tunawaogesha wakisha nga’ara ndio wanakuwa majeuri siku hizi wanawake tuna pambana
@zainabmohammed6700
@zainabmohammed6700 Жыл бұрын
Ndo muchukuwe maamuz y kuuwa au mbon nyiny mnatuletea wanawak ndan wanawak tunavumilia,,,,jichungeni
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
@@ummySheikh72 ilA ndio inahuzunisha,huyo dada Yule wa geita nae kapigwa visu,,
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
@@zainabmohammed6700 SASA madam unakuta mtu amekuoa Kwa pesa zake na sio mapenzi yaliyoko Dani ya moyo,pesa zake ndio zilizo Fanya kwenu akubaliwe,haraka ,Kwa hiyo kama pesa zake anauwezo kufanya lolote,
@estherhamis
@estherhamis Жыл бұрын
Pole sana mama Kwa kuondokewa na mwanao pole Kwa watoto wa marehemu pia Kwa kuondokewa na mama Yao. Mungu awape faraja kuu mioyoni mwenu
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 Жыл бұрын
Ila wameshindwa mtoto kuita majilani jamani kweli
@telesiakaovera4381
@telesiakaovera4381 Жыл бұрын
Ningekuwa Mimi ndo mama huyo mke huyo pita angekomaa
@belinamartini1768
@belinamartini1768 Жыл бұрын
Pole mama, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Жыл бұрын
Huyo alikuwa na mwanamke mahali
@tabuomary1016
@tabuomary1016 Жыл бұрын
Pole Sana mama. Hawa wanaume siku hizi tuanatakiwa tuwaelewe, na ukae mbali na mume Kama tabia zake hazieleweki. Kujifanya unatunza ndoa ndio hivyo mauti yanakukuta. Mume ana tabia za ajabu , kipigo kwanini usiondoke !? Innalillah wainnailayh rajiun.
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
kweli kabisa
@nameloidd5241
@nameloidd5241 Жыл бұрын
Hii tabia ya kuambiana vumilia vumilia hii ndio mwisho wake mtanisamehee mimi siwezi,sasa watoto watoto leo unawaacha bora ungekuwa nao bila huyo mume
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 Жыл бұрын
Pole Sana Mama ila kuna uzembe umefanyika ulipigiwa cm kua anapigwa hukuja..amejitahidi amefika hadi kwako mkamrudisha kwa huyo katili badala ya kumtibu, haya umeenda kwake umemkuta na hali mbaya badala ya kumpeleka hospital mkaanza kubishana ukamsikiliza huyo mkalala hadi mauti ikamkuta.. daah pumzika kwa amani mbele yako nyuma yetu inaumiza mnooo🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭
@elizabethmassawe694
@elizabethmassawe694 Жыл бұрын
Pole saana mama ,ungefanya kitu pale ulipopigiwa cm,jiran yangu Aisha mungu akupumzishe salama.r.i.p
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 Жыл бұрын
Yaaan kumbe hata ndani haingii af unamuita Mkwe mkwe gan? Pumbafu wazaz tuachee kuwalazimisha watoto wao kwa wanaume, sio lazima
@hamisaabdulhamid529
@hamisaabdulhamid529 Жыл бұрын
Mtoto kaja nyumbani hoi mnamrudisha tena kwahuyo shetani mmh pole sana
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 Жыл бұрын
ALIKOSEA SANA KUMRUDISHA
@dotnathalazaro472
@dotnathalazaro472 Жыл бұрын
Nahis huyo baba alikua ndo tegemez ndo mana walikua hawana sauti
@user-mi1ud5jf8b
@user-mi1ud5jf8b 4 күн бұрын
Yaani hapo ndio nimechoka eti anarudi kwake wapi kama ingekuwa kwake angepigwa hivyo . Hata huo msiba nisingeruhisu ukafanyike huko WA nini sasa. Wakati ndg Yao anaishi na mtt WA watu manyanyasi hivyo INA hawakuwa wanajua eti mkewe WA ndoa msiba ukawe kwake weweeee never
@user-mi1ud5jf8b
@user-mi1ud5jf8b 4 күн бұрын
​@@dotnathalazaro472hata Nyumbani alikuwa hawaachii pesa ya matumizi wanawe utegemezi huo UPI!! Ni mkatili tuu
@mwajumakudema5840
@mwajumakudema5840 4 күн бұрын
Duh hao ndugu wa mume ni wajanja wanatengeneza mazingira ili ionekane huyo mume hausiki moja kwa moja na hicho kifo,, Yani kosa kubwa hapo mama ni kuamua kukaa na mtoto bila kumpeleka hosp ,,,,huko hosp general sijui hosp gan iliompokea huyo mtu amepigwa na kujeruhiwa mlitibu na pf3 kma ndio basi marehemu atapata haki yake na kma sio hapo uwezekano mkubwa marehm akakosa haki yake . Japo marehemu aliripot police lakini uwezekano mkubwa hapo RB ya marehemu isiunganishwe moja kw moja na sababu ya kifo chake ili kumsaidia mtuhumiwa ,,marehemu hana Haki😭 mungu awakuze watoto na amsameh mama yao
@rayanamrsshariff5777
@rayanamrsshariff5777 Жыл бұрын
Mama hukufanya wajubu wako maelezo yako meoesi Sana ,mtu yupo hoi mnakaa nae tu
@mwaget0815
@mwaget0815 Жыл бұрын
Umeonaeee... yaani mtu anaugulia yeye anamuangalia tu, angemuwaisha hosp kesi baadae
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Haya mambo yapo jamani mimi yamenikuta .nasiolewi tena
@ashuiddy9322
@ashuiddy9322 Жыл бұрын
Ulipigwa
@naalyhussen3253
@naalyhussen3253 Жыл бұрын
Pole
@user-ne1ln5hz9o
@user-ne1ln5hz9o 8 ай бұрын
Poleni sana mama yangu mimi nimwanaume lakini uyo mwanaume niwaku uwawa nayeye hafayi ndowawo tukanishaga wana ume
@syliviakente9460
@syliviakente9460 Жыл бұрын
Sasa alirudi.kufuata nini kwa mume
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Ndugu yupo Sentro Mama sikitikia mwanao usikubali kurubuniwa na yeyote. Kwa nini usingemshauri mwanao aondoke tu na kama alikuwa anamfanyia hayo kwa nini msingemshitaki siku nyingi ona sasa kamuua mwanao .Hasara kwako ulikosea sana Mama pole sana
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Kbsa ,alifanyiwa ukatili siku nyingi
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Yani Wanawake tutamalizika kwajili ya Wanaume, Wanaume, Wanaume mkiona mmewachoka wakezenu wapeni talaka warudi makwao
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 Жыл бұрын
Umeongea point
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
Story yako inasikitisha sana…. Mmefanya uzembe wa hali ya juu sana😭😭
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 Жыл бұрын
Yani mno
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 Жыл бұрын
Uzembe mkubwa
@nsumburoote2486
@nsumburoote2486 Жыл бұрын
Eti Hata kupeleka hospital wangeweza kuokoa maisha yake
@mariakabonga2
@mariakabonga2 Жыл бұрын
wakati mwingine panahitaji maamuzi magumu jirani zangu pole sana mama
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Жыл бұрын
Ukisikia binti yako anapigwana mume,mshauri akimbie kabla ya kifo.Pepo la kipigo lipo kazini.
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
Pole Sana mama Ila kwanini alivyotoka hospital akarudi Tena kwa mumewee yani vipigo ivyooo
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 күн бұрын
Karudi kwasababu ya mumewe ndio tunavyojidanganya eti ndoa mavi
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 күн бұрын
Mimi huyo angekuwa dada yangu,hoooo!!!shemeji angeshakufa bila kuuliza,shemeji yangu alimpiga dada yangu akamvunja ubavu tuliamka asubuhi na fimbo zetu naye tukamvunja mkono ngoma drooo,leo wako wote na heshima ipo kama yote.
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Yaani mtoto wako kauliwa Bado unawapa wanazika wao eti kisa kafunga ndoa duuu mama sijakuelewa 😭😭😭😭😭😭😭
@veronicajulius6741
@veronicajulius6741 Жыл бұрын
Mama mpole hajakutana na wamama waliopinda uyo mwanaume mama kashazeeka na ni mpole hawezi ata jinsi ya kutetea kitu nmeumia Sana jmn kwanza mwanae kaja kaumia afu alikua anamwambia apande kwenye gari Tena warud nyumbn sa cjui alichkulia kawaida
@berithatilutoza5492
@berithatilutoza5492 Жыл бұрын
mwenyezi mungu anisamehe kama nakosea but kunauzembe hapa pia mkubwa sana kwa upande wa mamake .. alikua mzito sana ! utuuzima anao usema hauingiliani na maumivu mwanae anae alikua anapitia.. ukimsikiliza kwa makini mama hata aina ya majeraha mwanae alikua nayo haelewi kabisaa kwamba hajawai hata mkagua mwanae majeraha alionayo pia kufatilia kama mkwe alimpeleka mwanae hospitali.. very slow mama very slow .
@reginasigera4204
@reginasigera4204 Жыл бұрын
Nime muelewa mama anacho zungumza Hawa wanaume Hawa eeee mungu anisimamie
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 Жыл бұрын
Wanawake bado hawajajielewa umepigwa hoi bado unarudi kwako, mtu kapigwa hata Kituo cha polisi hamna, lazima tujielewe wanawake hali imekuwa mbaya
@hamadishaibu8490
@hamadishaibu8490 Жыл бұрын
Kwanini mkipigwa mnakaa tu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Mshenzi mkubwaa daah
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Dodoma sasa ivi inamatukio jamani
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Asanteni kwa kumkamata mtuhumiwa kwakweli shelia ifate mkondo wake.hasila hasala
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Dah wanawake tunatesekaaaa jaman pole sana mama inasikitisha sana Mungu wangu tusaidie
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Tesekeni tu c mnataka ndoa
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Hadi mapanga we mama weweee
@esterelias8137
@esterelias8137 Жыл бұрын
Mimi niliondoka mapemaaaa kabla ya hayo yote ila tanzania tumezoea sana ukirudi nyumbani unaambiwa rudi kwa mumewe kumbe unarudi makaburini
@user-yj5zw8yi5i
@user-yj5zw8yi5i 3 ай бұрын
We mie kama mm we nilikua nashikiwa kisu napigwa ovyo now niko kwenye
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Wanawake jifunzeni kupigana.. ukipigwa na wewe pigaa kweli kweli!!bora watu wabaki single. Na nyie wazazi mtoto anapigwa kila siku mnabaki kumwambia avumilie. Acheni ujinga. This is nonsense!!
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Mm namiliki chuma siku akileta upuuz namtwanga ya mguu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
@@neema_mollel piga ya kichwa kabisa afeeeee
@angelaloy4332
@angelaloy4332 Жыл бұрын
nina shoga angu anapigana mpaka shemu anakimbiaa
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 Жыл бұрын
Internal bleeding hiyo kumtoa roho mwana wa mwenzio subhanallah
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
pole mama yngu hii tabia imekuwa sugu kwa wanaume
@emmanuelmuchunguzi45
@emmanuelmuchunguzi45 Жыл бұрын
Ni kweli Kama unamchoka mtoto wa mutu mwambie aludi kwao mrejeshe kwao mtt wa mtu
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Yesu wangu ntakaa mwenyewe tu hawa wapumbavu sitaki hata kuwasikia
@simplyfay5308
@simplyfay5308 Жыл бұрын
Me too Mungu anisamrhe km natenda dhambi🙌
@fredrickymuxhy668
@fredrickymuxhy668 Жыл бұрын
Wew mama pia mbaya kwa nin usimpeleke siku zote mpaka alale kwako siku zote hizo
@nyamburanyaega1990
@nyamburanyaega1990 Жыл бұрын
Yaan amepigwa amerudi anasema amekuja kuchukua familia yake mnamuruhusu duuuuu .poleni wafiwa ndoa siyo kifungo
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
hatariiiiiiiiiiii mm ningemwangia petrol ⛽wallah namchoma moto na gar yake
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Yaani kupigwa na mwanaume siwezi vumilia huu ujinga kwani kuishi single sh ngapi??¿
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
hapo sasa
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Жыл бұрын
Kwa kweli haiwezekani nitauza hata vitumbua
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana familia. Jamani mbona kazi jamani mwanaume kumpiga mpaka kumuuwa
@naomisamwel18
@naomisamwel18 Жыл бұрын
Yaan duh kwakwel mmi mwenyew huku nimekimbia ctak kbsa upundapunda😏
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Tupo wengi
@jacklindaud5749
@jacklindaud5749 5 күн бұрын
Tupo wengi
@ZaitunSeif
@ZaitunSeif 3 күн бұрын
Poleni familia mungu awatunze
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Ndugu wa marehemu nao wazembe jamaaanik ndugu yenu kaja anaumwa nyiiieeee mnamuangaliiiaaaa tuuu badala mumpeleke hospitali jaaamaani
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Yaani inaumiza.
@jamilakiroga7483
@jamilakiroga7483 4 күн бұрын
Huyu dada kafa kwa uzembe wa family yake
@maryberege3093
@maryberege3093 Жыл бұрын
Kweli huyu mama hata mimi simuelewi kabisa. Hivi kweli mwanao analalamika anasema umsaidie unamwambia jiombee mwenyewe Mungu atakusaidia kweli hakika wewe Mama hauna uchungu kabisa na mwanao. Naona unafurahia mtoto kufariki
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Жыл бұрын
Pole mama mungu akupe nguvu na akupe uvumilivu
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 Жыл бұрын
Wanaume wabongo kama maisha yanakuwa magumu rudisheni watoto wawenyewe kwao maana vifo hivi hapa nchini imekuwa nikm fashion sasa huyomke anazikwa wewe unaishiya wapi?km sijela?watoto mnawapa mates yamaisha maisha bila mama nimagumu mujue 😭😭😭😭yaani uchungu kwakweli
@arafahhh5574
@arafahhh5574 Жыл бұрын
Mama ana roho nzuri saana
@zeldakahitwa7509
@zeldakahitwa7509 6 күн бұрын
Sijaipenda roho yake ya kurudisha tena huko msiba!!, huyo mke wa ndoa kwiyo??
@marianyalusi6386
@marianyalusi6386 Жыл бұрын
Pole sana mama . Mungu ampumzishe kwa amani.
@muragizinourah1042
@muragizinourah1042 Жыл бұрын
Wanawake wa tz mgombanie uhuru wenu,wanawake kupigwa mnaona kupigwa nikitu cha kawaida......serikali ya tz isimame kwa hili jambo.sio sawa kwa kweli.mwanamke ni mtu mkubwa Sana katika jamiii.....wanaume wanaua wake zao hovyoooo.kwanini wao wasiuliwe?SAMIA SULUHU mungu kakupa uongozi....tetea wanawake wape we thamani....hata ukitoka dunia tutakukumbuka kwa kuwapa wanawake uhuru
@kimcash3079
@kimcash3079 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭.. Nilipitia kipigo watu walijua nimekufa mungu wa ajabu ni hai mwananyamala hospital mungu awabarki
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 Жыл бұрын
Ndo uondoke mapema mara ya pili huamki!💃💃💃
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
Mie kipingo siwezi himili ak ndo maana nilijiengua mapema wallah 😭😭😭
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Me akishaaa subutu tu kunishikia fimbo basi tena me na yeye
@user-yj5zw8yi5i
@user-yj5zw8yi5i 3 ай бұрын
Poleeee
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 Жыл бұрын
Jamani wazazi mtufikirie Ali kama ile ilitakiwa uangalizi wako mama usingemuachia Arudi tena kwake baraka hivyo.R.I.P.mpenzi.
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 Жыл бұрын
Mama mzembe kwelii,Yani mtoto wako 😳anapigwa unashindwa kuenda kuangaliya mtoto wako,unasubiri arudi mwenyewe,😭😭😭wewe mama mtu mzima mzembe Sana 😭😭 umeniudhi 😭 hiyo familia yenu ya kizembe Sana😭😭Yani munapigiwa mtu munamuacha kea Ajili ya ATI mume wake
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 Жыл бұрын
Uzembe kweli
@hellenchristopher2417
@hellenchristopher2417 Жыл бұрын
Huyu pita aliizoea hii familia
@janeamsara4845
@janeamsara4845 Жыл бұрын
Uzembe wa hali ya juu,wakati chidachi na Changombe pikipiki 2000 mtoto anasema anakufa yeye anasubiri apigiwe simu,cha pili badala ya kuwahi hospitali wanamlaza kwenyekochi,duh! Huzuni aisee:-P😭😭😭
@mariamsindano1953
@mariamsindano1953 Жыл бұрын
Hata sielewi, mume ndio nini
@gladnesskweka9699
@gladnesskweka9699 10 күн бұрын
Huyu mama anakera haoni hata aibu kuhadithia ety anamuomba ety baba usimpige yaan anambembeleza
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Ee Mungu baba tusaidie jamn 😭😭😭😭😭Pole Sana Mama
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 Жыл бұрын
Tatizo ni maisha ya dhambi kwa wanandoa!
@sabrinaamour1820
@sabrinaamour1820 Жыл бұрын
mamazetu wanateseka kwa ajili yetu wanastahamili kwa ajili ya watt anaona achanivumilie wanangu wakuwee
@JuliethNgowi-n8f
@JuliethNgowi-n8f 4 күн бұрын
Poleni sana inauma ila huu ulimbukeni et ndoa nyingine zitawauwa ndoa nyingine nijehanamu lakini mtu anavumilia mateso ukiulizwa ndoa jamani hata bila ndoa maisha yanawezekana mungu yupo hawezi kukunyima riziki
@MamaZena-ph7vm
@MamaZena-ph7vm 2 күн бұрын
Uyo aukumiwe tu iwefundisho kwawengine mungu akuraze mpema mareemu
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 Жыл бұрын
Wallahi wabillahi watallahi i say wanawake wameumbwa na moyo wa subraaa na huruma pia INSHAAALLAH MUNGU AWABARIKI WANAWAKE WOOTE DUNIANI NA AWAJAALI KHERI MAISHANI MWAO PAMOJA NA AKINA MAMA ZETU....
@peragiaisdol3804
@peragiaisdol3804 Жыл бұрын
Amina 🙏
@johnonkoba740
@johnonkoba740 Жыл бұрын
Shameless wicked somebody. Shame to this family of the deceased
@yaelijoseph8742
@yaelijoseph8742 Жыл бұрын
Mimi jamani lawama nazitupia serikali, kwàsababu hata ukienda kushtaki wanawasikiliza wanaume nakutulaumu sisi wanawake 😭😭😭na ndicho kinachopelekea tunauawa kila Siku 🤷🤷🤷🤷
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Mmh jmn hv wanawake vipigo vyote hivyoo upo tuu jamani hata Kama ni watoto ona Sasa unakufa unawaacha watoto Bora ungeondoka na watoto wako maisha mengine yaendelee.
@happymlowe497
@happymlowe497 Жыл бұрын
Wew usiseme ivo yule mama alikuwa anaenda kwao mwanaume anaenda kumbuluta aludi nyumbani
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Pita akili yake sio nzuri
@lydiampayo597
@lydiampayo597 Жыл бұрын
Haya marejesho haya mungu aingilie Kati kwa kweli,,,wapendwa wetu wengi wanapotea kwa ajili ya mikopo😭😭😭😭 Ila wewe pita mungu anakuona,jamani wanaume ukimshindwa mtoto wa watu mrudishe kwa wazazi wake,kwani lazimà kuishi na mtu ambaye humuwezi🙆🤗🤗🤗ona Sasa pengo kubwa kwa watoto na familia😭😭😭😭
@matildamushi1741
@matildamushi1741 Жыл бұрын
Hizo hospitali alizopelekwa sijazielewa bdo
@ClaudiaShirima
@ClaudiaShirima 2 күн бұрын
Jamaniii. Huyo mume ni muuzaji na katili Sana. Anasahau aluspa kumtunza mkewe, ni ubavu wake ksmzalua watoto na anaitwa baba? Ataona mwanaume mwingine ila mwenzetu kudhamoiteza mwanae. Damu ya mke wake hsitamwacha salama. Pole Sana mwanamke mwenzangu kwa kufiwa na binti yako. Ni msiba wetu Sote naamini Sheria utachukua mkondo wake iwe fundisho kwa mwengine
@Pendoshirima-tp8mm
@Pendoshirima-tp8mm 9 сағат бұрын
Ndugu wamama amkua siliazi mtumnamuona mgonjwa mnalala naenda aiseeee inaumasana mama ulizidi upole kwamkweo
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Duu kwanini tena alikua anarudi tena kwa mume duu inauma
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
Huyu mama ameshindwa kumtetea mwanae wazazi wengine mitihani kweli
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana.
@NashonSawema
@NashonSawema 18 сағат бұрын
Poleni sana
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 5 күн бұрын
Jamani mtoto wako anarudi nyumbani hoi baadae mnamkabidhi tena mwanaume amchukue mke wake, nae anaenda kumuweka ndani bila matibabu. Nasi wanawake tupunguze uvumilivu jamani unamuabudu mwanaume kama Mungu
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Mama usingekubali msiba uende kule kule alikouawa, ungezika mwanao ukaombolezea hapo hapo kwako. yule mwenzio wa mwanza hakukubali mwanae akazikwe kule alikouawa.
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 Жыл бұрын
Mmmmmh jmn polen sana ila inauma sana
@rosendile8235
@rosendile8235 Жыл бұрын
Mama huyu ni mwenye moyo wa kipekee 😭😭😭😭
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Hii xaxa inaitwa vitina ndo mana watoto wakikuwa wakubwa unasikia kuwa mtoto ameua baba angalia xaxa peter amejengea nn familia? Mana hapa watoto wataixh wakijua baba aliua mama !! Wanaume nawasihi tunapopiga wanawake piga kwa kiasi ukiwa unaonya sio kupga Kila sehemu utaua! Xaxa kupiga m2 mbavun au kichwani unatarajia nn?
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Alokuambia mke anaonywa na kipigo Nan, wewe mume Nan anakupigag?a
@user-ct3um3fr6j
@user-ct3um3fr6j 4 күн бұрын
Mungu akupe wepesi una Moyo sana
@rozzymossesshayo6844
@rozzymossesshayo6844 5 күн бұрын
Yni nakosa maneno ya kusema pole sn family 😢😢
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 Жыл бұрын
Polesana Mama,poleni sisi wamama wotee tunaopatwa namajanga ktk uzaziwetu,Polemchungaji Kiula mtaniwangu,Watoto wetu wakike hawapisalama.
@kilunjupolinah343
@kilunjupolinah343 Жыл бұрын
Tatizo wazazi wetu wameamini sana ndoa. Hivi utarudisha vipi mwanao kwa mume anaempiga kumuumiza? Mila zingine bwana! Ila pole Mama
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 4 күн бұрын
Tunawaambie acheni mikopo ya riba hamsikii hiyo ndiyo hasara riba ,mwenye kula riba ametangaza vita na Mungu
Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa
14:23
Mwananchi Digital
Рет қаралды 45 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 111 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 8 МЛН
BABA AMTOA KAFALA MTOTO WAKE/MAMA AMTAKA MWANAE ARUDISHWE
9:48
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 85 М.
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,1 МЛН
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 66 М.