Hatari sanaaaa sister Hakuna kuganga Wala Nini watu hatujui Nini Mungu katupatia ndio shidaa unataka kuishi ndoto za Mtu akati na wewe UNAKITU chakoo ukilitambua hiloo Ni rahisi kufanikiwa
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMU
@mediatz85379 ай бұрын
Siku moja Milard Ayo watantafuta kwa ajil ya interview i beleave 🫣
@SamsungA03core-tz7sz4 ай бұрын
Amiin
@emmanuelfari89247 күн бұрын
Amen
@YasminaMkali11 күн бұрын
Mashaallah, tumefanana uso mzima, mpk mwanya, kasoro pua tu. Mashaallah!❤❤❤
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Hapo kwenye jina kwa ajili ya kumuenzi baba yako... umenifurahisha sana
@mrambadiana9678 Жыл бұрын
Congrts sana ila jitahidi malaya wa bei rahisi wapungue Me nlkuja once was monday nkasema siez rudi tena malaya wanazunguka kiasi kwamba myu ukienda unaonekana naww malay
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Sio pouwa
@edsonerasto39519 ай бұрын
Sijapenda
@MariaMichael-j9p Жыл бұрын
Iam grateful kuangalia hii video, greatest woman 🎉
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Kitambaa cheupe ya tabata nimeipenda sana nilikuja na familia yangu kula Combo 👌🔥😋😋waudumu tulipofika walituchukulia poa tukaanzisha balaah ya kuchafua meza wenyewe walitupa na mlinzi meneja wako mzuri sana mkaka mwembamba❤️kiukweli tulienjoy sana 🙏🙏
@MadinaAbduKyabazinga9 ай бұрын
Wahudumu always uwa ndo walivyo
@SalumAlly-sv5bk Жыл бұрын
Hongera sana Jesca Kikumbi, CC FN 💪
@DM.22009 күн бұрын
Waliokuja apa baada ya kumwona akilia kwa uchungu gather here 😢 RIP kwa mzee king kiki
@johnmichaellukindo218 күн бұрын
19/11/24 👍
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Hongera sana dada, uko na creativity ya kutosha! Si Ndo najua leo jamani mtoto wa mzee King kiki nampenda sana mzee! Saafii❤
@tynercolin5060 Жыл бұрын
Nmependa saut ya dada mtangazaji yaan iko very calm 🥰🥰🥰
@Mariam-ke4og7 күн бұрын
Jesca umefanana sanaaaa na baba yako na hongera kwa kupambana
@leilakihoko14908 ай бұрын
Naomba kazi
@dayana5513story Жыл бұрын
Sis keep going achana Africa mentality mtu akiwa ana pesa utasikia wewe mvivu ukipata ulifanya kaz ukaipata wanaanza wewe nimchawi guys kama niraisi nanyi karogeni,maaana duh Africa people 🙌🙌🙌
@faniahassani2238 Жыл бұрын
Safi sana jesca wewe piga kazi huwezi kuwazuia binadamu kuongea,ushauri ni mzuri vijana wapambane watafute pesa
@judamsaki56095 күн бұрын
great lady
@TheQaled4 күн бұрын
imagine mtu upo Dar unajitafuta kumbe fursa zipo mafinga....
@joshuamsaki7734 Жыл бұрын
Dada Jessica masai pork niliye kuwa jirani yako kitambaa cheupe tabata chama,nakupa big up sana my Dada wewe nimpambanaji Mimi binasi nakukubali ktk harakati zako.
@aginsagins-jf4vz Жыл бұрын
Hongera sana namimi nitakuwa kama wewe hata kama sio biashara ya bar
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
Kwanini.usimuenzi kwa Dua na kumtolea swadaka yani mtihani Munguatujaalie watoto wema ukipatamtoto anakuenzi kwa maovu yako ni hasalakubwa Duniani na ahellah
@jumalihumbo5314 Жыл бұрын
Jesca ana jicho zur sn😂😂😂
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Very good waende nao wakafanye ufreemason 😂😂 kila siku meseg zinatumwa na namba za hao matapeli wa freemasonry watu wajiunge ongera Jessa mafanikio ni kupigana kupambanaa❤ mm nakupenda na Irish ntakuwa kama ww one day unaniinspare for sure❤❤❤ 11:52
@roseneemamassawe-gv7oq Жыл бұрын
Big up dada nakupenda Sana piga Kaz acha maneno maneno
@isunga19648 ай бұрын
Ndoto ya kazi yangu mungu nifanyie wepesi nije nifungue PUB yangu kubwa sana mitaa ya chanika 😊😊😊😊
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
Laanatu
@kamusindegetai6342 Жыл бұрын
My classmate makongo
@IsraelMungure Жыл бұрын
Focus and God❤ Big up
@gloriakoku2766 Жыл бұрын
Jesca is a good speaker
@clouartmichael72969 ай бұрын
Acheni kuunga mkono kazi za shetani ,Tubuni kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia Mathayo
@wannaproducts9 ай бұрын
Kuna nabii alitabiri itaungua moto maana Pana kisima Cha kuzimu hapo na kweli imeungua
@seifkulwa33469 ай бұрын
Km ww uko na Mungu uko wapi kimaisha
@zuberikamote20789 ай бұрын
Binti anamacho makali huyu yanaogopesha.😂😂
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
Natafuta marafiki wa mafinga tupeane mawazo ya business 😊😊
@hababdallah9669 ай бұрын
Nipo apa
@Mariethakay Жыл бұрын
Kwanza mwanamke Uko simple huringi unapesa
@theresagenes6389 ай бұрын
Dada nahisi umesikia unabii wa Edmundi. Acha kumsindikiza lusfa moton. Mrudie Mungu
@rashidimdee9 ай бұрын
Ni hatari awa ata mm nimeiona uo unabii apa anajifanya tu..!! Tusitamani vya watu Kwa kweli
@suzanalucasemanuel70069 ай бұрын
Halafu Kuna watu hum wanasifia mungu atusaidie sana
@clouartmichael72969 ай бұрын
Mungu akubariki Dada ,Tupo nyakati za mwisho ingawa humu watu wanampa hongera badala ya kumuombea Mungu aache hiyo biashara na afungue biashara nyingine na pesa anayo
@betrackjasson6698 Жыл бұрын
We umezima bar ya sweet conar uku buza mnaishije kwann msishilikiane
@papadimayo1chanel.747 Жыл бұрын
Kuna watu huwa wanategemea waambiwe uchawi. Ukiwaambia ni kupambana tu hata hawakuelewi.
@joshuamsaki7734 Жыл бұрын
😢. Hongera sana watu walikupiga vita sana chama,nakumbuka ulidondosha machozi wewe pamoja na wazazi wako segerea nikiwepo ukisadi haki yako,walisema Jessica hutoboi Sasa leo wako wapi,mungu akisema ndio hakuna atakae pinga.
@augustinofifi Жыл бұрын
Kwan huyu kabla si alikuwa airhostes kwenye fastjet au
@chinguilechinguile1501 Жыл бұрын
Huyuhuyu
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa piga kazi dear God is good❤
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMU
@AliciaMwalimu-ce2qt Жыл бұрын
Pako vzr hiyo kitambaa cheupe ya sinza iko moto,.
@dalalihakweahakweya66638 күн бұрын
Madalali madalali tumepatwa
@lucaspilla8732 ай бұрын
Huyu kuna nabii ametabiri juu ya hii bar kuungua yupo mtandaoni,nabii edmund, uchawi huu😢
@reginamluviji9405 Жыл бұрын
Kitambaa cheupe ya tabata naipenda asubuh kama ndo watunwanaingia kumbe wanatoka 😂😂😂😂😂
@NgaizaKimbeNgaizakimbe9 ай бұрын
😁😁😁
@abwevincent1438 Жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩damu yangu kabisa ❤❤❤❤❤❤nakupenda dada yangu
@summanelson55239 ай бұрын
Haaaa masikini!!! Ni mtoto wa King Kikii!!!
@machintangachibwena59228 күн бұрын
Wapigaji tuu hao hawana cha kuchangisha wala kuchangisha kuna taratibu zake kwani hawaoni kwenye familia mfano mtu amekufa au anaumwa hizo taratibu keani hawazioni
@clouartmichael72969 ай бұрын
Baba wa Mbinguni aliyetuumba ,hawezi kubariki kazi ya shetani bali shetani ndio anaesaport kazi hizo ....ndio maana kweny ulimwengu huu kuna Nuru na Giza na kazi za gizani zinapendw zaidi kuliko ukifany kazi zeny kumpendez Mungu....tufany Toba maana ufalme wa Mbinguni umekaribia.Mathayo 3:2 na tuwaombee watu kama hawa wanaofungua Bar kuendesha maisha yao badala ya kufungua ofisi zenye tija kumpendez Muumba wetu
@wannaproducts9 ай бұрын
Kuna nabii alitoa unabii kuhusu hii bar
@Lulualshagri9 ай бұрын
Maneno ya kweli siku zote hayakubaliki umeongea point ndugu
@chulelubella28199 ай бұрын
Ni kweli ni freemason
@meshajohn87138 ай бұрын
Acha ushamba wee maskini tuu
@remigiusrwechungula7047 Жыл бұрын
Hatumii uchawi ila anaenda kwa waganga, maana its too much, halafu mabaunsa wa hizo bar wanajua na kukutana na mengi
@christiannyamamba9089 Жыл бұрын
Sasa kwenda kwa waganga siyo uchawi si ndio uchawi wenyewe na hao mabaunsa wanakutana na nini?
@Lulualshagri9 ай бұрын
Wanakutana na nini tuelezee tujue
@Zainab-sq1tc8 ай бұрын
Kabsa@@christiannyamamba9089
@salomewandya72579 ай бұрын
Saafi saana
@alexander19077 Жыл бұрын
Great interview
@jobmbigi3048 ай бұрын
Wakin binam Ndo wataram wamikop na waben watot wa Mwaji lusisi
@emmanuelkisusu24658 ай бұрын
Umeulizwa kabila, unataja utaifa😂😂 daah
@godfreyally-ps3fo Жыл бұрын
JESCA 🔥🔥💪
@preciouspeter61269 ай бұрын
Kama anafanana na mke wa Mbilinyi kwa mbali.
@nabetv8024 Жыл бұрын
Njoo Na DODOMA 😅😅KItambaa cheupe🔥🔥🔥
@tajilimtoto5009 Жыл бұрын
😂😂😂😂nyie kweli tutafute pesa jamani unageuza siku za weekend unaweka jm3 bado na jitafuta
@rehemangowi-zk6qu Жыл бұрын
Hongera sana dada🎉
@simonshija24769 ай бұрын
hakuna uhalisia wa sura mekapu tupu!!!
@bejoytv2702 Жыл бұрын
Kweli unapambana
@SalimRamsei-ok9el11 күн бұрын
Mmh
@TALLUBOY Жыл бұрын
Mafinga mufindi Na temeke dar essalaam Hizo ndiyo wilaya kubwa Zenye mapato makubwa tanzania
@yussbreezy9189 ай бұрын
😂😂 takwimu umezitunga ww au
@rademm89249 ай бұрын
Kahama Shinyanga je?
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Mafinga weka like hapa👇
@allenshetuli9100 Жыл бұрын
Sio mchezo rafiki yangu sana uyu kitambo
@richarddavidmk8 ай бұрын
Huyu anasapoti ushogha.
@christiannyamamba9089 Жыл бұрын
Biashara zina mambo mengi haswa hizo anazozifanya za bar zina siri nyingi mno si rahisi kama aongeavyo so utamu wa ngoma ingia ucheze😂
@glorylema Жыл бұрын
amejitafuta miaka 12 si mchezo
@seifkulwa33469 ай бұрын
Ukikosa Siri kwenye maisha ww Ni mtu wa aina gani
@teddytedy2489 ай бұрын
Jamani mambo mengine Mungu anaona,bar ina vituko,watoto wa shule wanapita hapo wanaona maajabu
@AshuuuBakari9 ай бұрын
Ndio maana imeungua
@seifkulwa33469 ай бұрын
Maajabu yapi
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Hongera sana
@Lulualshagri9 ай бұрын
Huyu babaake king kiki mbona yule mzee kipindi anaumwa alijitoa mitandaoni anaomba msada ni kweli babaake?
@sarahtaste2876 Жыл бұрын
Hivi watu wanachukuliaje Freemason kwamba mtu yeyote tu anaingia hawachukui watu hovyo huo ni Mtandao wa matajiri wakubwa duniani dada hajafika level ya kuwa freemason labda kalumanzila wa mafia huko
@chany9950 Жыл бұрын
Jeska muzuri jmn
@twiseghekisilu88459 ай бұрын
Likuwa na bwana mkinga ndo akapata wazo la mafinga😊😊
@WemaSamir-c7q Жыл бұрын
Jeska kitambo sana hivi maria dadaako yupo kwel
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Manager wako c ndio anakuzungukia kwa waganga,, Dada kaa kimya Mambo hadharani ck hizi,, Ila unajua anachofanya....
@jumabidery5051 Жыл бұрын
Na we nenda upate,
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Kwani we ujamaliza tiba?! Bado una ganga?!
@vailethmaji2158 Жыл бұрын
ndugu acha mawazo mgando fanya kazi acha kusikia habari ambazo huenda unazisikia kama unamjua mganga wake nenda na wewe
@explorewithbertin Жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@AkleyMushi Жыл бұрын
Dda nimekkubali Sana.. mmi kijana Nami najitafuta kimaisha. Nafanya biashara to kitmoto so. Naomba jiko laktmoto apo afisini kwako..
@kazikazini1042 Жыл бұрын
Tutaona
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMU
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Sawa anajisuhukisha ila mzee tunamjua yuko behind😅😅
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Kama uchawi au kudanga na wewe ukafanye upate hela. Huyu binti ni mpambanaji muacheni.
@Algisolišauskas9 ай бұрын
Jamani ishaungua
@paullwangili2235 Жыл бұрын
Huyu dada ni FM kabisa kw mwenye macho anaona ila kipofu ndo hawez jua hata kwny hii video anathinitisha mwenyew ila lazma uwe making kumuelewa.
@mwanaidimussa Жыл бұрын
Dont judge a book by its cover 😅
@angelsblackboard8008 Жыл бұрын
Kwenda kwa waganga ni hatari vile vile. Hii mambo ya kutumia media kujisafisha haisaidii. Something that doesn't feel right is not right.
@nth35129 ай бұрын
Anaefanya hizi biashara yyte yule nyuma yake yupo shetani. Haijalishi uko freemason au hapana. Ni starehe za muda tu, ila tuwe makini mbeleni kuna kulia sana kuliko tulivyocheka
@clouartmichael72969 ай бұрын
Heri yako ww uliyejitambua rohoni,Bali tuwaombee Toba hawa wanaoendesha bar na kuchochea maovu hapa duniani ...Mathayo 3:2
@seifkulwa33469 ай бұрын
Kwa hiyo kanisani kwenye mnafundishwa shetani ndo mwenye Mali sio Mungu
@NgaizaKimbeNgaizakimbe9 ай бұрын
Kitambaa Typing😂😂😂😂
@Lulualshagri9 ай бұрын
Huyu sio freemason ila atakuwa kaolewa na mkinga na ndio mana kawekeza mafinga na babaake hajamtoa ila kamuweka ndondocha ndani hatembei kuongea yenyewe ya shida yule mzee kuna siku alijitoa mitandaoni anaomba msaada akatibiwe huyu dada sio hamuudumii chochote babaake
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
Subuhanallah wakingawengi mtihani
@aminakassim8319 ай бұрын
Freemason huyo angalia nembo yake ya kitambaa cheupe,pia ukienda hata elements pia nao wamo
@Yana-o2u9 ай бұрын
😂😂😂
@seifkulwa33469 ай бұрын
Ukosefu wa maarifa tu!
@WemaSamir-c7q Жыл бұрын
Mm namjuwa hyu dada ake babammoja malia kingkikii alikuwa mcharuko hata cjui yupo wp
@markmushi89409 ай бұрын
Maria nmesomanae primary pa1 na paulo katambo
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Brava dada
@ramadhanichilumba3610 Жыл бұрын
Alikuwaga fastjet huyu ila amenenepa
@mucci_AI Жыл бұрын
Mm pia napumzika j3
@aminahamadi7198 Жыл бұрын
Jeska naomba kazi
@IbrahimShan-qu3um9 ай бұрын
Yani macho yake yamekaa kishetanii
@Lulualshagri9 ай бұрын
Macho yake yamepita ila anayakwepesha mjanja mpk umuibe ndio utamgundua
@arnoldmambali37709 ай бұрын
KAMA KUNA NJIA YA FREEMASON NA WEWE UNAONA INAWEZA KUPATIA PESA NA WEWE IPITE
@theodoremilenzo9420 Жыл бұрын
Jumatatu kama weekend???? Kwa kweli haya maisha ni kaazii kwelikweli
@masukehaluyi7421 Жыл бұрын
We mwandishi huwezi kuhoji huulizi mwanamuziki aliyeimba kitambaa cheupe ni nani ambae ni baba yake. Wewe mwenyewe humjui ndo maana umemuuliza we malinga. Hoji mtu kama watu hawamjui sio kama wanamjua
@TimaFood-r2p Жыл бұрын
Ndomna kapita mulemule
@bakarikayugwa3295 Жыл бұрын
usikate tamaa kama unaona Kuna njia ya mafanikio inuka pambana
@Msuya-w4v Жыл бұрын
Namfahamu tangu kwetu pazuri
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Mrembo
@SamsonNduluma Жыл бұрын
Sjui kwa nn nilkuacha kimapenz😅😅mpaka najuta umetoboa mpaka nakutaman tena
@ukiasili352 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@shakilabakari69289 ай бұрын
Ila nimecheka jamn khaaaa😂😂😂😂
@jescamoshi3821 Жыл бұрын
Namesake
@mucci_AI Жыл бұрын
Kuanzia leo sitaacha kupitia acc ya millard kila siku
@pauldotto7868 Жыл бұрын
DOGO NIMEKUELEWA, PIA ANDAA MAISHA YA WANAO
@bensonlameck6348 Жыл бұрын
Sinza ni balaaa Asee.....
@libeberu Жыл бұрын
Kumfanyia mtu interview kwa kushare mic moja ni zama za mawe za kale, hiyo itoshe kusema ni kwa intwrview za mtaani kushukiza ila hizi za hivi kila mtu awe na microfon yake