Рет қаралды 1,994
Mkuu wa mkoa wa Tanga Adam Malima amewataka maafisa kilimo wa wilaya zote za mkoa huo kuandaa mkakati wa kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo Chao kutoka kulima kwa mazoezi nankulima kiushindani wa soko.
Malima ameyasema hayo wakati akijitambulisha kwa wataalamu wa wilaya ya Handeni ikiwa Ni siku ya kwanza ya kazi yake mkoani humo tangu kuteuliwa kwake.