Nakupenda frola hujivung 🤔hata skujui lkn nilikutafta prvate ulinisaidia na tatizo lng limeisha mpka leo 🤞aiseee Mungu akuzidishie sana furo wetuu🥰😍baraka ya kukupenda tyuu mimi😍
@ashurashuraym34974 жыл бұрын
Nampenda sana Frola,umepitia mengi mno mpaka kufika hapa leo, Mungu aendelee kukulinda siku zote my dear Frola 🙏
@aishajuma2603 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍🌷🌷🌷🌷🌷💗💗💗💟💟💟💟💟💟💟😍😍😍💌💌💌💌💌💌
@judithsalufu56884 жыл бұрын
Wewe ni zawadi kutoka kwa mungu da frola mungu awe pamoja nawewe😘😘😘😘😘😘
@rayaalhabsi17254 жыл бұрын
Kwanini watu wanamfanyia vitu kama hivyo na hali yeye maskini ana wasaidia walio kuwa wana hitajia misaada mbona wao hawawezi kufanya kama yeye na wengi wana mapesa, yote ni roho mbaya tu, endelea na Mwenye Enzi Mungu ata kulinda na watu wabaya. Asante dada Flora
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Hongera Sana Flora Mungu Akulinde,Binadamu Hawana Wema Wala Shukran.
@neemasalema15464 жыл бұрын
Hongera sana kazi nzuri napenda unachokifanya Flora ata ufanyeje binadamu huwezi kumridhisha Yesu mwenyewe alinyoosha mikono sembuse wewe wala wasikutishe usikate tamaa
@hedayaabeid31964 жыл бұрын
Penda saaana my Dada, mungu akuepushe na matatizo
@prettyh75094 жыл бұрын
Mashallah flora nakupenda sana
@alajmialajm87944 жыл бұрын
Majina ya kina flora wana utu sana..mungu akujalie maisha marefu ili uzidi kuhudumie wanyonge
@hamidajuma39094 жыл бұрын
Frola chondechonde. Usije ukakubari kukatishwa tama. Pambana. Mungu wa mbinguni yupo pamoja na wewe. Tunakuombea Sana Frola Wangu
@dianalyanga14864 жыл бұрын
Nakukubali sana dada Flora.. Nakupendaga mnoo yaan mungu akulinde akuepushe na watu wa baya na wenye vijiroho kuntu.. Adui akufatapo anaswe apigwe na shoti ya umeme.... Mwaa mtetezi
@sempaprudence90524 жыл бұрын
Hongera sn kwa kazi ya jamii. Biblia inasema hatutotulia hadi tutakapolala katika Bwana.
@carolinemariki40294 жыл бұрын
Pole sana Flora. Hao wanaosema wewe ni mwizi ni wale ambao hata hawachangiagi kitu kwa mgonjwa yeyote. Mungu aendelee kukutetea kama unavyotetea wenye shida. Kumbuka "mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe". Endelea kusonga mbele achana na waliolala.
@praxedadominic51934 жыл бұрын
Nakupenda mno Flora mwenyez mungu akupe maisha marefu uendelee kusaidia wenye uhitaji ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@kulwacharles23144 жыл бұрын
Dada Frola unafanya kazi nzuri, maneno ya watu wabaya yasikunyime usingizi fanya kazi pambana, hyo ndyo karama Mungu aliyokuandikia. Salute kwa kazi nzuri...
@memoryngambi37584 жыл бұрын
Dada frola nimtoaji sana kuanzia ndani ya moyo wake,lazima mungu ambariki,nakushauri usiache,mti mwenye tunda hupigwa mawe,na mungu azidi kukulinda na akupe siku nyingi zakuishi ili watu wazidi kuziona baraka ambazo mungu amekuandalia,watu hawajui Siri ya mafanikio,kutoa ni shida watu hawajui,mungu yupo nawe katika kila pito haji kukuacha kamwe.
@georgiaruhinda17043 жыл бұрын
Dada Frola nakuombea kwa mungu usijali usilalamike bwana Yesu yuko upande wako ,kwasababu unafanya kazi ya mungu kusaidia yatima wenye mazingira magumu wanaokatariwa km yule bibi wa mtoto shemsa so wanadamu hatuna jema mungu ni mwaminifu sana atateta na wanaoteta nawe
@rayaalhabsi17254 жыл бұрын
Masha Allah kumbe umetoka mbali sana dada ndio maana ume kuwa mtetezi wa wanyonge Mwenye Enzi Mungu akuzidishie na akuhifadhi na akulinde na mabalaa
@janembawala60094 жыл бұрын
Frolah anajitoa sana kwa watu nampenda sana frola😍😍
@Maryam-yt8lw3 жыл бұрын
Hongera flora kwa mapito upitia mengi yana lingana na yangu
@mariamramadhani80124 жыл бұрын
Da flora Mungu akubariki mi pia ulinisaidia sana dear wasiokufaham ndio wataongea huo ujinga
@TeamKRX3 жыл бұрын
Aaaa uyu dada nampenda kichizi eee mungu akuweke unavyopapambana na umaskini wa watu kuwataftia riziki daa heko ya heko dada floka mungu akuweekee mkono
@estamichoromichoro56343 жыл бұрын
Pole Sana Dada Frola mwenyezi Mungu akufunike kwa damu ya Yesu
@zuhurambonde75992 жыл бұрын
Flora uko vizuri kweli inshallah.
@lucyshilla31554 жыл бұрын
Mungu amekuchagua. Kila siku ishi ukimtegemea Mungu wewe una kitu ndani yako flora
@azashaban58463 жыл бұрын
Da frola we nimzulii sanaa hongera da wa taifaa
@biberpriyer3304 жыл бұрын
Mungu akulinde uishi miaka mingi binadam tunaroho tofauti jaman MTU from no where hapend maendeleo yako ni laaan zinamsumbua mungu awalaan wanaotaka kukukatisha na kazi zako za kusaidia jamii
@diah34344 жыл бұрын
Nakupenda Sana Da Frola Mungu aendelee kukulinda Sana katika kaz yako nataman na mm kuifanya hii kazi
@saidtembele30704 жыл бұрын
Duh kumbe huyu dada mtu mzima 🙌🙌🙌🙌 Yaani 1994 alikua 24 yrs old na mpk leo ni 26 yrs means ana miaka 50 🙌🙌🤣🤣🤣🤝🤝 shikamoo dada florah👣🚶🏃
@shanishosho9114 жыл бұрын
Mungu ni mwema anamwili mzuri sana
@shanishosho9114 жыл бұрын
Mungu ni mwema anamwili mzuri sana
@saidtembele30704 жыл бұрын
@@shanishosho911 dah amini kwamba
@neemamayco32384 жыл бұрын
Ana mwili wenye shukran
@happinessmartini85674 жыл бұрын
Uko vizuri
@hidayaswai31192 жыл бұрын
Big up Flora. I love you sweet love. Mungu aturehemu kwa kukuwazia mabaya
@aoman52144 жыл бұрын
Nakupenda Sana dada Mungu azidi kukulinda siku zote kazi unayoifanya ni ngumu Sana
@dorislema18144 жыл бұрын
kabsa ni kaz nzur sana ndomaana watu wengi wanamponda maana anamoyo mwema
@aoman52144 жыл бұрын
@@dorislema1814 kweli kabisaaa wanaitaman Ila wanashindwa
@heroes19323 жыл бұрын
Dada Frola wewe ni zaidi ya malikia wanguvu, siku zote mti wenye matunda hupigwa mawe usikate tamaa hatima yako ni kubwa sana umebeba jambo kubwa sana ndani yako, wanadamu siku zote huwaza mabaya ktk mioyo yao, usiwajali wewe kaza mwendo kwa imani my champion Lady
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mungu amelinde Akupe maisha malefu na baraka tele mtetez wa wanyonge uchagui ubagui una moyo wa pekee
@hadijaalpha75474 жыл бұрын
Mlipaji mzuri ni mungu ☝️ achana na sisi!pambana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@hjhj62304 жыл бұрын
Hakika Jaza yake ataikuta kwa Allah
@pillioman20084 жыл бұрын
Pole sana aunt mungu yu pamoja nawe katika kazi yako ya utume ndio maana wanashindwa kutimiza makusudio yao mabaya kazana tu kujikabidhi mbele za mwenyezi mungu
@honorathakiluku77223 жыл бұрын
Dah umenipa ujasir wa kuendelea kupambana Dada,MUNGu akulnde na akubarik pia
@patiencengara57452 жыл бұрын
Pole dada flora mungu atakupigania kila siku
@salimmohamedsalim44484 жыл бұрын
Pole dada hawo ndo binaadam bwana Mungu atakulipa kwahilo na jingine lililo zuri
@remmymayombo30594 жыл бұрын
Amen my sister my God protect u Jesus name
@paskomangee84094 жыл бұрын
Nakukubali Sana mtu wangu wanguvu we ndo malikia wangu siku zote naomba mungu nipate maisha mazuri nikusapoti siku moja by simirii cimotrich
@sophiamacdonald27114 жыл бұрын
Mungu akupiganie flora na akupe maisha marefu uzid kusaidia weng
@presseg.63624 жыл бұрын
Dada umejaliwa roho ya tofauti ambayo mi sina! Bwana akutunze
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Kazi unayo ifanya ni kubwa sana unatakikana uokoke umpee Yesu maisha yako uenze kuingia paradiso
@Globalpeace1232 жыл бұрын
Flora Mungu yuko pamoja nawe Na hao wanaopiga kelele tunaomba Mungu ashughulike nao Bwana ameahidi atapigana na wateja wetu na sisi tunaomba na iwe hivyo apigane nao hao wanaokufanyia fitina na uzushi
@gpp96674 жыл бұрын
God protect you Flora front your enemies
@mariamali18874 жыл бұрын
MashaAllah flora mungu yuko pamoja nawe. Hatawakusanyike hawawezi kukuzuru
@ednacelemon59504 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kwa kazi yako ya kutetea wanyonge ipo sababu ya Mungu kutenda haya.
@abdul-rahmanfakijuma18794 жыл бұрын
Pole Allwah akutie nguvu na moyo
@queenmollel95934 жыл бұрын
Dada Flora hakuna aliyefanikiwa kwa kulala au njia moja, waliofanikiwa wamepitia mambo mengi lazima ujiamini wewe mwenyewe mwisho wa siku maisha ni ya kwako mwenyewe, songa mbele , Asante kwa kujiamini .
@ednajeremiah86713 жыл бұрын
Dada flora hongera sana
@ramadhanishabani16224 жыл бұрын
Mnaom beza huyu dada naona ni kulakulala, hamjui ugumu wa maisha, ndio maana mnashangaashangaa.
@husnamkwata74314 жыл бұрын
Kabla sjasoma hizo comment nikupongeze kwa ulichokiandika mtu kma huyu anasaidia jamii unaanzaje kumbeza hata kama ana mapungufu tukumbuke hakuna mkamilifu
@ukhtyrayyan78844 жыл бұрын
Nani kambexa mbona coment zote zakumsifu tu
@mwajumasima56712 жыл бұрын
Hongera sana kwa kazi yako
@greenermichael20572 жыл бұрын
Mungu anaendelea kuwaaibisha maadui zako baki na yeye tu sisi wanadamu tuna unafiki Mungu Hana unafiki
@starcostantine62504 жыл бұрын
Usiogope vitisho ,Fanya KAZI uliyoitiwa na mungu yakusaidia,mungu ataendelea kukulinda
@jackjudy91824 жыл бұрын
my sister -Inspiration for life
@blasidajulius22404 жыл бұрын
Mungu akubarik sana Frola usikate tamaa maneno yapo tuu songa mbele
@farajalucas27423 жыл бұрын
Usiseme hivyo dada Flor mungu mkubwa atakulinda utaishi hutakufa tunakuombeya dada yetu
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Hongeara na pole me nakupenda sana yani Allah akulinde na kila shari malipo utayakuta akhera usichoke usikate tamaa keep it up
@hedayaabeid31964 жыл бұрын
Malkia wa nguvu Mpambanaji big up
@gracesiyon25184 жыл бұрын
Umebania sana maswali,tunampenda tunataka tufahamu kupitia yeye tuupate ujasiri
@elliceylameck21493 жыл бұрын
Dada mungu atakupgania mwombe kwa Iman, mungu yupo dada
@loycegina39704 жыл бұрын
Pambana Mungu yupo na atakulinda 🙏🏾
@newengwashi26624 жыл бұрын
Piga kazi mie mwenyewe nakukubali sana👍🏾🥰
@tigerchristmas54914 жыл бұрын
Hadi kusudi la Mungu aliloweka ndani yake litimie vngnvenvyo watapgana nae lkn wataishia kushindwa tu na kumzushia uongo, Mungu amtangulie hyu dada
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Dada flora wewe ni jasiri na nnashukuru serikari kwa kukutambua Mungu akubariki na akulinde
@zuwaynamussa56294 жыл бұрын
Ni mzuri mashallah roh sura mpole wallah nampenda sana huyu dada❤️😘
@asmahanyally32254 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi uzidi kuwasaidia wenye uhitaji
@azizamwamvita16662 жыл бұрын
Nakupenda cn dada yngu
@marycelinapaschal96194 жыл бұрын
Yuhu Dada nampenda mungu anajua ,,,,anajitoa Sana
@ibrahimrukundo30644 жыл бұрын
madam flora nimwenye kutenda kazi za kheiry.
@jojomolla76074 жыл бұрын
Pole mamy mungu akulinde
@dorahpatrick66982 жыл бұрын
Nakupenda 💞
@dianajoseph66734 жыл бұрын
Mungu atakungarisha kila itwapo leo dada mshukuru Mungu kwa yote hio kz yeye ndo amekupa usisahau na atakulinda siku zote za maisha yako Amen
@masalakulwa76014 жыл бұрын
Keep it up flora
@rosejoseph93784 жыл бұрын
Flora Mungu akubariki kwa kazi unayoifanya
@theodolaselestine65704 жыл бұрын
Nakupenda Sana sana Dada frola hakika MUNGU akutunze
@neemamturi32734 жыл бұрын
Pole Sana Dada Frola nakupenda sana kiukweli hata Mimi napenda sana kusaidia lakini umenikatisha tamaa kutokana na changamoto uliyopitia ila ninaamini hakuna kazi isiyokuwa na changamoto.
@victoriastephano40754 жыл бұрын
Nakupenda sanaaa dada yangu unaupendo wa thati mno
@verynicemoshi99594 жыл бұрын
Jamani wanyumbani kabisa mungu akukinge na kila baya duniani
@Zainab-sq1tc3 жыл бұрын
Masha Allah mtangazaj wako amepona
@kingsonmurekezi834 жыл бұрын
Kumbe mh Lema anatoka kwenye family tajiri!
@rajeep-ni7lh3 жыл бұрын
We love you bless ❤❤❤❤❤
@sirielsamweli56884 жыл бұрын
Pole sanaa dada flora'''''' Mungu akutie nguvu ktk kaxi nxuriiiiii ya kuhudumia jamaniiii.
@bintiathuman98784 жыл бұрын
Shangazi yangu mpendwa,. Mwenyezi Mungu azidi kukupa. Nguvu na kukupa moyo wa ujasiri, na akuzidishie kwa kila Hali mema, akuepushie na Shari na Hasad na balaa za Dunia. Uzidi kubarikiwa mapenzi tele
@salhaissa26194 жыл бұрын
Dah pole sn da frola mungu yupo ataendlea kuklinda inshaallha binafc nakupnd sn
@aishamaulid18964 жыл бұрын
Wallah dada frola nakupenda sana Allah akupe maisha marefu
@waukweelinikkon65554 жыл бұрын
Yaani nakupendaga sana filo wa watoto,unajitoa sanaaaa
@roseraphael89594 жыл бұрын
Cjampenda mtangazaj hajauliza all we want da flora keep t up
@niwemugenimediatrice56404 жыл бұрын
Kwani yy ni Mungu mwenye uwezo wa kusoma ulichonacho moyoni
@florakaganda30324 жыл бұрын
Aisee Flora nakupenda sana Mungu akulinde sana jmn
@mwanamkemshindi22603 жыл бұрын
Yaani huyu dada MUNGU ambariki
@rayyahbidady43764 жыл бұрын
Frola nitetee 😍😍😍😍😍
@lifejeremiah69574 жыл бұрын
Nakupenda Sana dada florah
@shukranjulius95263 жыл бұрын
Mungu akutetee
@liyanakarzan1824 жыл бұрын
Daaa maisha banh
@rosekweka474 жыл бұрын
Jamani ndio maana atukuoni Tena Dada yangu achana na walimwengu wewe fanya kazi mungu anaona mwanadamu wa Nini achana nao wamejaliwa majungu
@neemamayco32384 жыл бұрын
Pole sana flora me nakupenda mno
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, Allah akubariki inshallah 🙏
@زهرغنيه4 жыл бұрын
Dada hongeya sana kweri
@fatumahengo68494 жыл бұрын
Fanya tu dada mungu ndie atakaekulipa binaadam sisi hata ufanye jema lipi huwa kwetu baya
@aishajeanine35524 жыл бұрын
Nakupenda sana my kipenzi wangu frola Mungu akubariki katika kaziyako 🙏