No video

Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa

  Рет қаралды 814,321

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry 'Madam Flora' amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.
Ndoa ya Madam Flora na Daudi Kusekwa imefanyika jijini Mwanza ambao Ayo TV na millardayo.com imepiga kambi kuhakikisha haupitwi na chochote kilichotokea na hapa nimekuwa video ya tukio zima la harusi hiyo.

Пікірлер: 1 000
@zuhuraakida5932
@zuhuraakida5932 7 жыл бұрын
the way ur singing i cant stop my tears walah😢😢😢😢 mungu ayafute na machozi yangu Insh'Allah kama alivyofuta yako madam flora🙏🙏🙏 kila jambo na wakati wake tuzidi kumuomba mungu Insh'Allah 😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏
@charlesemily205
@charlesemily205 7 жыл бұрын
mbona kwenye harusi watu niwacheche sana
@jackliineurio8099
@jackliineurio8099 7 жыл бұрын
+said machaka watu ni wengi mno hujaangalia vizur tu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 7 жыл бұрын
hongera sana mungu akusaidie katika ndoa yako . umependeza maisha yako ndo muhimu zaidi kuliko midomo ya watu
@abdulazizi375
@abdulazizi375 7 жыл бұрын
Nice Madam Flora. Congratulation kwa kufunga ndoa. Binadamu always wao ni kuongea 2 ila ukwel wa maisha yako anaujua Mungu na wewe mwenyewe. Keep it up na nimebarikiwa sana na nyimbo ulizoimba kwenye harusi yako.
@esterkapinga1336
@esterkapinga1336 5 жыл бұрын
Hongera sana dada wangap wametoa mimba kabla hawajaolewa itakua wew kuzaa nche ya ndoa kawaida hao wakamilifu waje mbele ambao hawajawai kufanya hayo
@abbasmjatta3102
@abbasmjatta3102 7 жыл бұрын
Hiyo ni ndoa fake, ukristo hauna ndoa mara mbili mpaka mmoja wenu afe. Yesu alisema "amini nawambia mtu hatamwacha mkewe isipokua kwa habari ya uasherati, naye atakayemwoa yule aliyeachwa azini"
@jamesmaro4293
@jamesmaro4293 7 жыл бұрын
mmh
@annahpadry1514
@annahpadry1514 7 жыл бұрын
Sangole Machungi amina
@janethadam5391
@janethadam5391 6 жыл бұрын
Amekataa kuzini ndio maana kaamua kuolewa mm nampongezatu dd huyo kwa uamuz,
@angelinemutindi5488
@angelinemutindi5488 4 жыл бұрын
Yes
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 3 жыл бұрын
Wewe umejuaje kama hapakua na uzinzi? Na kama hivyo ukimchoka mkeo unazini ili upate kibari cha kumwacha...naongea haya maana najua ndoa za kikristo zimekosa reflection ya hayo unayoyasema.....ni shida na mateso matupu. Naomba niwaambie ukweli kabla na baada ya ndoa kinachokosekana ni knowledge.....understanding juu ya habari ya ndoa. Sasa mkiingia kwenye ndoa mnaanza kuishi maisha imaginary ambayo ndio chanzo cha matatizo.......jifunzeni kwanza kabla ya ndoa.
@furahaema6000
@furahaema6000 7 жыл бұрын
hongera sana Flora mungu akusaidiye iyi ndoa idumu isiwe kama ya zamani na uwe na furaha
@magynzioka1122
@magynzioka1122 7 жыл бұрын
pole dada nyimbo yako ina mahana kumbwa moyoni mwako ata kupiti kwa mahana aombae msamaha usamehewa na una jutia moyoni ukweli mnapedana sana wewe na mbayia ila shetani aliamwa kuvurunga doa yoko ya kwaza mungu ata kupa ujasiri na mbayia unaijua siri ya yote mungu die akim wenu amina ila aipedezi machoni mwa mungu atakae kuowa mke alie wachua na kufunga doa basi anazini na atakae oa mke alie wachua ana zini yote wayajua doa yako ni mangungu bele ya mungu bali machoni mwa wanadam ni sawa
@klausschmidt9288
@klausschmidt9288 7 жыл бұрын
naona ile sehemu ya kusema " mpaka kifo kitutenganishe " wameiruka hahahaha
@loserianlaizer1623
@loserianlaizer1623 7 жыл бұрын
duuuuuh duuuuuh duuuuuh duuuuuh duuuuuh duuuuuh !!pepo la ngono
@eddydomy2145
@eddydomy2145 7 жыл бұрын
hahahaha kweli aisee, jamaa ameruka hicho kifungu akatumia tafsida :-)
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
gidion dulle hahaha
@ajuayekilendirewxaqefo2525
@ajuayekilendirewxaqefo2525 6 жыл бұрын
umetisha
@loycejohn8363
@loycejohn8363 6 жыл бұрын
Hongera dada ang
@shedrackphilipo9626
@shedrackphilipo9626 7 жыл бұрын
siyo vizuri sister labda urudi ukasome biblia vzr umeudharirisha ukristo
@jacksonlusagalika
@jacksonlusagalika 7 жыл бұрын
naesoma comments za watu akicheka kama mimi gonga like hapa
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
Jac XY hahaahahah halloooooooo
@nellysingano3029
@nellysingano3029 7 жыл бұрын
Najua hakuna mkamilifu chini ya jua lakini si kwa Inafiki huu..msitudangaye mnayajua maandiko Frola na Pastor wako hata unaimba kwa hisia,,bora ungelaa kimya ukafunga ndoa kimya kimya eti you ar happy!.ww ni mwanamke gani usiejua kuvumilia ni kuitamamia familia yako..Umenishangaza,,umeniaikitisha na unatia aibu..Mbasha alikuomba msamaha mpka akawa analia hovyo ila ukamuona yy gar taka!.na aliomba msamaha kwa kesi uliombambikia..eeh eti Frorance!makubwa
@ahmedalshammari9372
@ahmedalshammari9372 7 жыл бұрын
NELLY SINGANO umesema wewe ndoa n uvumilivu
@nellysingano3029
@nellysingano3029 7 жыл бұрын
Ndio ndoa ni uvumilivu..kama hakiweza kuvumilia kwa Mbasha huku kwa Daudi ataweza!?
@sultanmm7722
@sultanmm7722 7 жыл бұрын
Jac XY mm apaa hadi mbavu zinaniuma
@felistamarandu8140
@felistamarandu8140 7 жыл бұрын
wanawake tutapendana lini.walijua wanaishi pamoja hatujui waliishi je huko ndani.hata kama alizaa nje huwezi jua nini kilimsukuma juzaa nje ya ndoa yake.angekua mwanaume hapo anaoa ndoa ya pili ni sawa tuu na kuna wanawake wangeshabikia kibao.gooo madame flora.umepata faraja ya moyo wako.MUNGU akutangulie katika maisha yako mapya.
@evelynematheo3574
@evelynematheo3574 7 жыл бұрын
sawa unafanya utakavyo ili kuilinda amani ya nafsi yako na je kuhusu kuulinda uhusiano wako na Mungu Mungu akusamehe kwakulivunja agano La ndoa yako
@johnmhoja6878
@johnmhoja6878 7 жыл бұрын
mfupa umeshindwa na fisi wewe panya utauweza pole dauda
@khadijajuma3887
@khadijajuma3887 7 жыл бұрын
hh
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 жыл бұрын
unajua nini siku Daudi akigombana na flora atasikia hivi usiniletee ujinga nitakuacha kama nilivyo mbasha nanikikuacha tu naolewa tena ,tena najutia kuolewa na wewe pimbi,na huyu naye flora akimzingua utasikia Mimi siyo mbasha nakuchafua sura alafu namwoa mwingine tena nimejua kwanin mmeshindwana na mbasha kwa hyo kukubali kuolewa Mara ya pili ni kuriziki maisha.
@williamngelela208
@williamngelela208 6 жыл бұрын
Ulimwengu umekwisha
@adellahmboya122
@adellahmboya122 5 жыл бұрын
Ngome tv Arusha Safii
@hildamsechi5199
@hildamsechi5199 5 жыл бұрын
😃😅😅😅
@deborahmacha4915
@deborahmacha4915 7 жыл бұрын
hongera flora. nashangaa watu wanaokuukumu kama vil wao ndo watakatifu, kumbuka hata biblia imeandika usimhukum mwenzio ucje kuhukumiwa, kama alitenda dhambi una uhakika gani kama alitub dhambi zake. we nan hadi umuhukumu, kazi ya hukumu mwachien aliemuumba.
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 2 жыл бұрын
Jamani nimerudi tena happy 5 years of anniversary ❤ Mungu ni mwema sana
@geremanicolibori6230
@geremanicolibori6230 7 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza ninashuhudia waliostahili kuliinua jina la bwana leo wamelitia aibu kanisa.Ninamshangaa sana huyu mpendwa anayejifanya kuwa mwimbaji wa injili akienda kinyume na kiapo alichoapa mbele ya Mungu na kanisa lakini zaidi ninamshangaa huyo mchungaji ambaye kalitia aibu kanisa kwa kufungisha ndoa mke wa mtu. Mungu anawaona
@nelibaba
@nelibaba 7 жыл бұрын
Watu waweza kumponda Madam Flora lakini Jamhuri(Nchi) itamlinda na Mungu atamlinda vilevile.Nadhani madam Flora sio wa kwanza na hata kuwa wa mwisho kufanya kitendo hiki...Kuna vitu vinafanyika nyuma ya pazia hatuwezi kuona kwa macho ya nyama tunabaki kulalamika na kulaumu..Ikiwa changamoto za ndoa ya Flora "ya kwanza" zilijulikana publically tangu mwanzo ni nani aliyepiga mbio ya imani kwa kuiombea ndoa yake isivunjike? Kuna jambo la kujifunza hapa!!!!! UPENDO!!!!!!
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
Nelson Kato Haujuwi unachokiongea ww! Jamuhuri haina mbingu ya kumpeleka siku atakapokufa.
@kelvinnyonyoma6398
@kelvinnyonyoma6398 4 жыл бұрын
Nelson Kato tuna angalia maandiko yesu alisema nini nayeye nimkristo anajua vizuri xna kwanini aingie kwenye uzinifu? Duu aibu
@nelibaba
@nelibaba 4 жыл бұрын
hayo yalikuwa maoni yangu ya awali,Mungu anisamehe pale nilipokosea kimawazo..
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
Wakuache bidada fanya vile ambavyo ww wapenda achan na maneno ya binadamu kwn hawakos ya kusema ni ww uliyeamua kutoka kweny ya kwanz na kuingia kwngne hatuwez jua kwan sir ua mtung aijuae kata mm kam mm nakupa hongera sana kwa kufunga ndoa penda sana madam flora
@momylaviel
@momylaviel 6 ай бұрын
Hongera kipenz wanakuhukumu utafikiri hawana makosa anayehukumu ni Mungu pekee nakupenda
@rechaelelisha6630
@rechaelelisha6630 6 жыл бұрын
Ww cyo mjinga mpk ukamuacha,hongera mwaya wanaume wazinzi tupa kule
@fredrickswai2566
@fredrickswai2566 7 жыл бұрын
Bwana Kusekwa amenunua matatizo... Mungu atupe uzima tuone kwa nini biblia ilisema mpaka kifo.... Time will tell
@elizabethtarmo7176
@elizabethtarmo7176 6 жыл бұрын
fredrick swai using'anie mstari mmoja soma vifungo vilivyotangulia na vilivyofuata
@delphinacharles1304
@delphinacharles1304 7 жыл бұрын
Lakini hata kama anasema hasikilizi maneno ya watu, ni dini gan ya kikristo inayoruhusu mtu kufunga ndoa kabla mwenzake hajafanya, Mungu anisamehe kwa kuhukumu ila duh!!!!
@safiniasinyangwe2977
@safiniasinyangwe2977 2 жыл бұрын
Bola iyo kuliko kuzini sa amsubir nani nandoa ilivunjika sisi wakristo tunasema amina kwa kila jambo
@annen3923
@annen3923 7 жыл бұрын
Mungu aibariki ndoa Yako da Frora. wimbo huo was hapana usiku umeniguza Sana. Asante Sana
@dorinjonh8055
@dorinjonh8055 6 жыл бұрын
Hana tofauti na Lucifa kwakuwa ameenda kinyume namaandiko usimuaache mume wa Jana wacko,na amelaaniwa yeye aolewaye na mume mwingine wakati wa kwanza yuhai hii ndoa Ni ya kizinzi maarusi watatumikia tanuli la moto Hata wewe uliemuoa utaachwa kama alivo achwa mwenzio usage auaye kwa upaanga naye atakuwa kwa upanga mtumishi gani wa mungu unafanya mambo ya ajabu mnafiki mkubwa unamdhihaki mungu!bora uache utumishi
@meronstudioz
@meronstudioz 7 жыл бұрын
Biblia Yangu inanambia mwanamke akiolewa haruhusiw kuolewa tena except mumewe awe amekufa,kwan atakaye muoa huyo mwanamke azini nae...mathayo 5..... Mungu anajua lkn
@fyoosekkfyoose3231
@fyoosekkfyoose3231 7 жыл бұрын
octavian hellen amen
@keifatuke99
@keifatuke99 7 жыл бұрын
octavian hellen kama uateswa na mume utafanyaje?
@meronstudioz
@meronstudioz 7 жыл бұрын
+Keifa Tuke ndoa nn basi,ndoa n makubaliano ya mume na mke ina maana mnapokubaliana kuoana kwamba mnafahamiana vzr, kwa wakristo wanajua ndoa n kifungo cha maisha ndo maana inahitajka busara sana ktk hil maana ukipotea kuoa au kuolewa ndo maisha yk yt... Kuna msemo wanasema kosea vyote ila sio mke au mume
@keifatuke99
@keifatuke99 7 жыл бұрын
octavian hellen kumbuka mwanadam undani wake hautoujua mpaka uishi naye
@meronstudioz
@meronstudioz 7 жыл бұрын
+Keifa Tuke n kweli lkn...kabla yakuoa au kuolewa kuna taratibu zakufuata .... Ni lazma umjue mtu vzr japo huwez kujua yt but kwa machache unaweza ukapata mwanga wakujua n mtu wa aina gan... Kabla ya stage ya uchumba n lazima uanze urafik na katka urafik nadhan hapo ndo pakujuana vzr kulko katka uchumba sababu mnapokuwa marafk sio rahis kufchana siri zenu tofaut na uchumba...km kwel ukiptia stage zote huwez kuona tofaut ya mtu mkiwa katk ndoa
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 жыл бұрын
Saaafi saaana... maneno yakitoka yana recordia for the world to retrieve in the future.. upo smart saana Florance..
@johanikwelikwaninihakiyaok7373
@johanikwelikwaninihakiyaok7373 7 жыл бұрын
me naona kama kajisumbu tu
@lamsnshiga892
@lamsnshiga892 5 жыл бұрын
Eeee
@greysondaud4980
@greysondaud4980 5 жыл бұрын
shameless girl ndoa ya beach ogopa mungu we kafir Subir hukumu yako we tapel
@greysondaud4980
@greysondaud4980 5 жыл бұрын
Utaolewa sana hii laana haita kuacha Salama una roho ya usingiziaji mwanamke Mungu anachukia kuachana ole wako hutafika mbali
@nikitumarthinne8909
@nikitumarthinne8909 7 жыл бұрын
Nimetetemeka jamani Sijawahi kuona ila niliwahi kusikia! Ndowa iliofungwa kikristo ikirudiliwa na wahusika mmoja wao akiwa bado yupo!OOh kipenzi changu Flora.Mimi nimesikitika wala sija furahi.Wachungaji Mnatupeleka wapi jamani?au mimi ni mdogo katka maandiko? Anyway kila la heri.Mbalikiwe.kwani Mungu ndiye anayejuwa zaidi kuhusu ukweli wa maisha yetu.
@simatokakiha8894
@simatokakiha8894 7 жыл бұрын
Ni ngumu but ndio imeshakuwa hvyo..pole Mbasha.biblia inasema ndoa inavunjika Kwa habari ya uasherati.Mbacha alifanya uasherati..na Flora alifanya uasherati..hata km wangeendealea..Mungu haoni ndoa yao.anaona uasherati.Mungu awasamehe wote na kuwapa haja za mioyo yao.Ndugu mawazo ya Mungu sii ya mwanadamu.
@faithngasoma6733
@faithngasoma6733 7 жыл бұрын
Mm binafsi nakupa hongeraa saanaa wala usimsikilize mtu yeyote Kula honey moon yako kwa raha zako mdogo wangu we we songa mbeleee achana na kelele za madebe kwani hiyo anayekupigia domo siku ungemwomba akuazime mume wake kwa siku moja je angekuwa tayariii au angeona unamtukana Sasa kwa nini uendelee kuishi bila mume ikiwa ndoa imeharibika na hatujuwi yaliyokukuta walitaka ufe kwa streets achana nao mungu Ndio mwenye mamlaka ya kukuhukumuuuu
@veronicahshayo315
@veronicahshayo315 4 жыл бұрын
Faith Ngasoma Mi sisemi kitu maana sijui ulichokua unakipitia kweanye ndoa ya kwanza huenda ilikua madoa au ndoano
@mrshilken9654
@mrshilken9654 7 жыл бұрын
Hongera Flora kwa kukipata cheti chako kipya, chana na awa wengine wenye vyeti Feki Magufuli ameshawachanganya🌚
@fatmalusimba523
@fatmalusimba523 4 жыл бұрын
Huyo mchungaji anayefungisha ndoa ya pili alipaswa abadili dini awe muislam tu
@salamamohamed9519
@salamamohamed9519 7 жыл бұрын
Mungu awape maisha ya Aman na frah hakuna mkamilifu ktk dunia!!! Hatuwezi jua walicho gombania kikubwa arudi kwa mungu
@leonardchoma1141
@leonardchoma1141 7 жыл бұрын
Flora, Mungu hadhihakiwi kiasi hicho.Umechagua njia isiyo sahihi.Bado Emma mumeo hajafa na Mungu anamtambua yeye kama mume wako.
@khadijamalifedha6008
@khadijamalifedha6008 7 жыл бұрын
unajua nimeangalia hii harusi zaidi ya mara 3 nimegundua kuwa huyu dada kuachana na mbasha sio ujinga kwani hakuna mtu anapalilia magugu shamba na kulima kupanda mbegu akatia mbolea na kuhudumia vzr shamba lake eti wakati wa mavuno aseme ataki kuvuna inakuja kweli mm nakuombea maisha mema tu makazi mapya
@jackliineurio8099
@jackliineurio8099 7 жыл бұрын
umenena
@jackliineurio8099
@jackliineurio8099 7 жыл бұрын
umenena
@jackliineurio8099
@jackliineurio8099 7 жыл бұрын
umenena
@doopaq804
@doopaq804 4 жыл бұрын
Wanadamu tuangalie jinsi ya kuishi na kutenda malengo ya mwenyezi mungu sio eti watu wanafurahia , hakika dada ameamua ila kwa mwenyezi mungu haimo tabia hili kabisa tusidanganyane ,kuachana ipo ila bibilia ina sema ingelikua sawa mukirudiana ,Mbasha angali hai kwa hivyo angegoja kwanza ,yakin ni uamuzi wake na mwenye maamuzi wa mwisho ni mola sina mengi ila kwangu ni malimwengu tu
@naomieliasi6096
@naomieliasi6096 7 жыл бұрын
hongera my mungu akubariki udumu ktk ndoa yako nakupenda sana,wew ni mwanamke wa mfano wa kuigwa safi sana
@rosemarysebastian6846
@rosemarysebastian6846 7 жыл бұрын
jaman nipo naangaika natafuta wapi maandiko yanasema wakristo kufunga ndoa mara mbili tena ya kikristo. kweli mnaipeleka wapi injili? yaani huyo mchngaji cjui kwakweli?
@frankkibago9610
@frankkibago9610 5 жыл бұрын
Mmmh nishidaaa
@kagemulontasi204
@kagemulontasi204 5 жыл бұрын
Hahaha mchungaji kama kakodiwa tu, maana anachoongea, anachouliza, hata havifanani. Hahaha yaani nimecheka mimi japo inasikitisha
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Yote tisa, lakini hakuna kitu kinaniudhi kama kuona hizi shela zikivaliwa na wazee wenye watoto. Wachieni bikira hizo tuache kumdhihaki Mungu. Mungu hadhihakiwi.
@sambatenzi5243
@sambatenzi5243 7 жыл бұрын
Damaris Zuckschwert kwani shera/shela ni utaratibu wa ki Mungu?!
@leahsikuzani4923
@leahsikuzani4923 7 жыл бұрын
MUNGU atawauliza kakaangu.
@heriethbangi6114
@heriethbangi6114 7 жыл бұрын
Damaris Zuckschwert kweliii kabisaaa asee
@heriethbangi6114
@heriethbangi6114 7 жыл бұрын
Sam Batenzi shelaaa ni kwa watakatifuuu Wale ambao hawajawai kutana bro
@sambatenzi5243
@sambatenzi5243 7 жыл бұрын
Herieth Bangi kwa uelewa wangu shela zimeanza kutumika mwaka 1840 baasa ya Queen Victoria wa Uingereza kuvaa shela kwa mara ya kwanza kwenye ndoa akiwa ana funga ndoa na Albert of Saxe-Coburg, ndipo sehemu kubwa ya ulimwengu wakaanza ma bibi harusi wakaanza tumia gauni jeupe, kuvaa shela sio taratibu Mungu aliweka ila ni mwanadamu tu, na si kwamba ndoa hazikuwepo zilikuwepo hata kabla ya mwaka 1840...
@mwanaidiismail7762
@mwanaidiismail7762 7 жыл бұрын
Jaman kwani PAPA si keshawaruhusu kuachana ama vipi. Madam flora angejua angeslim tu awe huru
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 7 жыл бұрын
flora anajua kuchagua alaf warefu weupe mamaeeh 😘 daaah HONGERA SANA
@furahafrancis6915
@furahafrancis6915 7 жыл бұрын
Nimesikia eti bora kuolewa kuliko kuzini inje mwenye hila ana hila tu alishindwa kusameh na badae akazaa inje hata huko alipo enda sioni kizuizi cha kuchepuka kikubwa tumuombee mungu ampe msimamo wa ndoa
@habarizauhakika9376
@habarizauhakika9376 7 жыл бұрын
sasa anaolewaje na mume wake hajafa jaman .bora hata waisilam basi walioruhusu.mnatuogopesha jaman kha
@mamaerick7050
@mamaerick7050 7 жыл бұрын
Hongera mengine tusijurge mungu ndie ajuae nasi binaadamu
@violethwilson1871
@violethwilson1871 7 жыл бұрын
Frolah mungu anakuona
@juliethgordon3460
@juliethgordon3460 7 жыл бұрын
Mama Erick ila dunia simama mm nishuke,ckuwez dunia
@upendijuma8683
@upendijuma8683 6 жыл бұрын
mhhhhhhhhh hujafa haujaumbika ebuuuu tumwachieniii mungu ndo mtoa hukumu peke yake sio binadamu
@reyirichard8699
@reyirichard8699 6 жыл бұрын
Mama mshezi we we
@atujunarubunga911
@atujunarubunga911 7 жыл бұрын
naukumbuka wimbo wako wa jipe moyo, hv ulikuwa unaimba kutoka moyoni au? au kuachana na mbasha ndo umeyashinda hivo majaribu? pole Sana Daudi.
@sophiandumbaro7741
@sophiandumbaro7741 7 жыл бұрын
mungu anakuona flora,ndoa ni moja tu kwetu ss wakristo, hii ya pili umeitoa wapi?na huyo pastor ni feki wa kwanza,hata kanisa lake siwez ingia,nisije nikatoka na mapepo.
@tonnyford8196
@tonnyford8196 7 жыл бұрын
huyu dada asilaumiwe cc hatuwez jua mambo ya ndan huenda jamaaa alikua @/&$@ sasa dada ameshinda.mwili wenyewe huu wa nyama huenda alichoka peke yake asingeweza.
@oliviapure428
@oliviapure428 7 жыл бұрын
beautiful voice congratulation Ms Flora Almighty bless your marriage who are we to judge
@angelinemutindi5488
@angelinemutindi5488 4 жыл бұрын
Which God habadilishangi neno lake mbinguni haendi ng'o
@lilianngamba2884
@lilianngamba2884 6 жыл бұрын
Mungu ndie mtoa hukumu sio ss wanadamu jaman Mungu awatangulie ktk maisha yenu
@nellysingano3029
@nellysingano3029 7 жыл бұрын
Dada imetia aibu wanawake woote wameumwa kuvumilia na kuziatamia familia zao ila shost we hujui unajua kubadili kama nguo..sawa basi kama unaona uvumilivu wa ndoa huuwez usiolewe we kua chama la wana tujue Moja kuliko kujidai unamjua Mungu ilhali yoote ulioyafanya hayapo ktk Biblia takatifu..Umekuja na maandiko yako,,muombe Mungu toba na Mbasha maana!wat goes around camz around...Umechefua
@jenikaijage7954
@jenikaijage7954 7 жыл бұрын
Ongera sana frola furahaa ya moyo ndio mambo yote.Kila jambo na wakati wake.Maisha yako yakiwa na rahaa au mateso siku zote yatabaki kuwa ya kwako.mungu akupiganie.
@emanuellyamuya6635
@emanuellyamuya6635 7 жыл бұрын
duuuu!!!! usizungumze maana hata matendo yanazungumza!!!! kula maisha mama!!!
@jumaabduli781
@jumaabduli781 4 жыл бұрын
Kama kukosa uvumilivu ni dhamb jehanum itafurka, maana uvumilivu ni moja kati ya tunda roho sasa wengi wameukosa, mkipshana kidogo mnaachana hiyo sio sawa mbela za Mungu wetu
@nadiahussein6793
@nadiahussein6793 7 жыл бұрын
Katika dini yetu ya kiislam hicho ni kitu cha kawaida ongera madame frola ila pole sana mbasha mungu atakupa mke mwema na usiuzunike sana uwezi jua mungu kakuepushia nn mbele yako.
@abellabv
@abellabv 7 жыл бұрын
Nadia Hussein. Kwa sisi Wakristo, Ndoa unatakiwa ubaki na mumeo hadi kifo kitakapo watenganisha. Hii ni kwa sababu Ndoa si Mkataba kati ya Mume na Mke. Mkataba unaweza ukaubadilisha au kuuvunja. Ndoa Takatifu ya Kikristo ni Agano kati ya Mume na Mke. Agano halibadilishwi wala kuvunjwa na mwanadamu - hakuna mwanadamu awaye yote mwenye mamlaka ya kuvunja Agano la Ndoa Takatifu iliyofungwa kihalali na kwa baraka zote mbele ya Mungu na mbele ya Kanisa/Wakristo. Kwa maana anayewaunganisha Mume na Mke kwenye Agano la Ndoa Takatifu siyo Afisa wa Serikali wala Mchungaji au Askofu Mkuu, bali ni Mungu mwenyewe. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hana mamlaka ya kukitenganisha. Ni Mwanandoa aliyefiwa na mwenzi wake tu ndiye anaruhusiwa kufunga ndoa tena kama atataka.
@salomejuma352
@salomejuma352 7 жыл бұрын
kuzaa inje ya ndoa si kupenda kwa mtu msiukum kbl mungu ajaukum ni kweli niani aoni kundule wacha mungu atamuukum
@berthampenba4696
@berthampenba4696 7 жыл бұрын
Nyie mnasema tu mpaka mtu anaamua kuiacha ndoa yake na kwenda kuolewa kwingine ujue kuna shida. Msiukumu jamani mambo ya ndani ya ndoa anayajua mke mpaka kasema basi ujue kachoka. Mwache aangalie furaha ya moyo wake.
@estergodwin9889
@estergodwin9889 6 жыл бұрын
mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kwahiyo Dada yetu amevuna alichokipanda
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 жыл бұрын
bertha mpenba kwel kabisa
@lizziechris619
@lizziechris619 5 жыл бұрын
Duu kweli kabisa jamani, watu wasiingilie mambo ya ndani ya ndoa
@victorkajiu1578
@victorkajiu1578 5 жыл бұрын
Kuna ndoa isiyo na shida?
@alphoncenestorybishirangon1836
@alphoncenestorybishirangon1836 7 жыл бұрын
Hii kali kabisa. Kwa Wakristo hii ni mpya.
@deborahelias943
@deborahelias943 7 жыл бұрын
Eee M/Mungu tuongoze ktk njia sahihi ili tuweze kufany yakupendezayo ww '' Amen
@shyneplatnumz2583
@shyneplatnumz2583 7 жыл бұрын
Huyo pia utamtenda tu ww malaya mkubwa ulizaa nje ya ndoa acha kuzuga
@abellabv
@abellabv 7 жыл бұрын
Shyne Platnumz. Hatujui, ila yawezekana atakuwa kafanya toba kwa aliowakosea. Tusimhukumu haraka, tuombe Baraka za Mungu.
@judyedith6181
@judyedith6181 7 жыл бұрын
acha uongo ulimuona alivyozaa nje ya ndoa ..au una DNA test ya huyo mtoto msiwe mdantia treni kwa mbele ..
@desynerzemimi4652
@desynerzemimi4652 7 жыл бұрын
Judy Edith sikia alipoingia kwa ndoa alikuwa na mtoto na alipofunga ndoa akawa na mtoto.....pia why alivyopata ujauzito mumewe alikuwaaa jera
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
+Judy Edith judi acha kutetea uovu angekuwa amemtenda ni kaka yako ungejisikiaje?
@nenetwajmamaa2244
@nenetwajmamaa2244 7 жыл бұрын
Edson Sign
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 7 жыл бұрын
Huyu Dada anaroho ngumu noma sana
@shemv_fnk
@shemv_fnk 5 жыл бұрын
unasema vizuri sana dada vidamu niwatu wahajabu sana
@louispasteuralimbukomashen3619
@louispasteuralimbukomashen3619 7 жыл бұрын
tangu kuzali ni Mara ya kwanza kuona mtu anakula kiapo kwa mtu mwengine wakaki mwenziwe yuko hai,nasijuwe huyu mchungaji amefunzwa na nani, nani Kamuita kufanya hiokazi? na wewe flora ulipoowana na bwana mbasha ulimuona mutana shati ila kwa leo imekuwa je, na mbingu gani munatarajia enyi wa kristo wanyakati za jioni, Mungu rehemu Tanzania na Africa kwa ujumla
@davidachimpota773
@davidachimpota773 7 жыл бұрын
Hongera sana.....Mwenyezi Mungu awe pamoja nanyi
@josephinalubanguka1884
@josephinalubanguka1884 6 жыл бұрын
David Achimpota
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 7 жыл бұрын
bora kijana umepata Mam wakukulea😂😂😂😂😂
@kelvinwainaina3744
@kelvinwainaina3744 7 жыл бұрын
Mariam Hadija 😂😂😂😂😂
@zuusaidibushiri5556
@zuusaidibushiri5556 7 жыл бұрын
Mariam Hadija hahahaaaa umenichekesha
@zainabbukari1910
@zainabbukari1910 7 жыл бұрын
Mariam Hadija 😀😀😀sindio zao vijana sikuizi wanataka kukelewa bibi akiwa na vijipesa tu basi akosi serengeti boys
@kibasiwakibasi5070
@kibasiwakibasi5070 7 жыл бұрын
Mariam Hadija eee mama nimeamini ulichosema.
@marysekuye3821
@marysekuye3821 6 жыл бұрын
Mariam Hadija 😂😂😂😂😂😂
@evanadoo3471
@evanadoo3471 5 жыл бұрын
mchungaji mwenyewe hana afya sijui wamemkodi wapi mwe mungu tusaidie sisi wanawake
@agripinafungo2532
@agripinafungo2532 7 жыл бұрын
frola mbasha acha kumuabisha mungu,, mungu so wa sport sport kama hivyo, na wewe mchungaji , uliyefungisha hii harusi mungu anakuona ujinga wako wote ulioufanya,,
@bmamysaid3317
@bmamysaid3317 7 жыл бұрын
Banaeee muachen florah wa watuu oiii muachen fanyen mambo ya maaana ukwel wa florah anauujua mwenyewe baaaaana eeeeh
@priscapius7500
@priscapius7500 7 жыл бұрын
ukweli tusimuhukumu flora huwez jua nn kimemfanya akatengana na mbasha ndoa ina siri kubwa
@hollymore4904
@hollymore4904 7 жыл бұрын
kma umevutiwa na SUTIRAPA Ya PASTOR gonga like 😂😂😂😂
@neemashalua2283
@neemashalua2283 4 жыл бұрын
Sijawahi kukuheshim floral maana huna Cha kunifunza mm Kama mdogo wako huijui ht Bible ht kidogo
@elisantewawa3047
@elisantewawa3047 7 жыл бұрын
olee wake Mchungaji aliefunga hii ndoa mkono WA mungu ukojuu take ole wako
@emilymwabwalwa6052
@emilymwabwalwa6052 7 жыл бұрын
eee halo sijui MSUKUMA wapi umetufezehesha sana wasukuma kwa jina yesu usiludie tena nyimbo za dini imba talaab maana wewe changu
@emilymwabwalwa6052
@emilymwabwalwa6052 7 жыл бұрын
muongo ktk waongo wizi mtupu
@carolineakut6752
@carolineakut6752 7 жыл бұрын
wewe ni nani muwaache
@merrydaudi2977
@merrydaudi2977 7 жыл бұрын
aibu sana, mungu akusamehe ujui ulitendalo, pole sana
@emilymwabwalwa6052
@emilymwabwalwa6052 7 жыл бұрын
Mwachieni mungu anamajibu yake
@fellylove536
@fellylove536 7 жыл бұрын
hongera sana binadamu hawakosi cha kusema usiwasikilize mungu ndo anaejua
@joyceabdallah465
@joyceabdallah465 7 жыл бұрын
Felly love Kweli kabisa watu wanaomsema vibaya hata bible hawajaisoma wanaropoka tu.ukisikiliza wanadamu utachelewesha muujiza wako
@fellylove536
@fellylove536 7 жыл бұрын
Joyce Abdallah kweli kbs awaache wazungumze tu watachoka tu
@babarebecca304
@babarebecca304 7 жыл бұрын
Tatizo alizaaa aje Njeeeee before ya NDOAAAAAA
@mebolinsnjowoka8628
@mebolinsnjowoka8628 7 жыл бұрын
ila Frola watoto wako unawafundisha nn duuuu
@johnmhoja6878
@johnmhoja6878 7 жыл бұрын
hahahahahaaaa kila MTU ataubeba mzigo wake mwenyewe mbasha abebewa na Saudi pole
@lovenessmwakipasile8888
@lovenessmwakipasile8888 7 жыл бұрын
daah.... but ungevumilia kwä ndoa yako ya kwanza no One perfect
@eldajoel3654
@eldajoel3654 7 жыл бұрын
Guys no one is perfect under the sun!! ila yampasa kuomba toba kwa Mungu maana atawasamehe wasiojua walitendalo ila c wale waijuayo kweli na wakapuuza!! nimesikitika na kuumia.....
@mohammedalfahdi5404
@mohammedalfahdi5404 7 жыл бұрын
daudi kafanana na mbasha ndio mana flora kamchagua
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
wewee acha banna mbasha ni handsome zaid
@salomekinyua1170
@salomekinyua1170 4 жыл бұрын
Mohammed Alfahdi nakubaliana nawe
@abdulsarungi2962
@abdulsarungi2962 7 жыл бұрын
Flora ujui maandiko kama ungejua maandiko ungefunga ndoa tena ndoa ni maramoja tu alafu hata pastor aliyekufungisha ndoa huyo pia ajui maandiko na kama anafanya hivyo amefanya kwa mjibu wa sheria ya nchi siosheria ya MUNGU
@saidabdallah8784
@saidabdallah8784 7 жыл бұрын
aiseeee watu wanajalibu kuficha maovu yao katika makanisa na ndo maana aliamua afunge nje ya kanisa!!! Halafu pastor mwenyew alikua anafungisha hiyo ndo kwa waswas na pia alipofika kweny kipengele cha nan anapinga!! Nidhahili kbsa wote walikua na nyuso amabzo mungu ndo anajua.
@franklawrence9512
@franklawrence9512 7 жыл бұрын
ifike mahara nadhani tujaribu kusahau yaliopita, my frndz u can't change ze past, hongereni maharusi
@fetilishazomar4799
@fetilishazomar4799 7 жыл бұрын
Nimejikuta nacheka Ila sijui kwa Nini?😜
@pilimabula9730
@pilimabula9730 7 жыл бұрын
Knfazzuk
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Fetilishaz Omar hahahahhahah mm ndio zaid
@vumiliakalulunga258
@vumiliakalulunga258 7 жыл бұрын
mbna we2 umezaa njeeeeeee ya ndoa looooo
@joycefelix9047
@joycefelix9047 7 жыл бұрын
Fetilishaz Omar Legacy Kia Quinn a food addict with your man I'm happy
@estermushabi5653
@estermushabi5653 7 жыл бұрын
Fetilishaz Omar mi mwenyewe nimecheka cjui sababu
@AlexMosha
@AlexMosha 11 ай бұрын
Jamaa wa zamani anaendelea kuteseka hataki kuowa sijui anamsubiri flora arudi
@jallygabriel5715
@jallygabriel5715 7 жыл бұрын
imenikumbusha ile filamu ya kanumba inaitwa PENINA
@ansyfalesy1457
@ansyfalesy1457 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@marthamaganga357
@marthamaganga357 5 жыл бұрын
jally gabriel
@rosejustine1400
@rosejustine1400 4 жыл бұрын
Hongera dadaangu humu kwenye hizo ndoa wanazo sema watu tumo tu hadi mioyo imepanuka hakuna amani wala upendo ni magonjwa tu hongera dadaaaaa
@sophiandumbaro7741
@sophiandumbaro7741 7 жыл бұрын
flora usikubali kiapo cha uongo,mbona kwa mbasha uliapa na leo umemwacha?hukumu ipo.
@patrickmwaibambe820
@patrickmwaibambe820 7 жыл бұрын
mungu awatunze
@hildarmsanyarichard620
@hildarmsanyarichard620 7 жыл бұрын
Anamkosea mungu huyu viapo mara mbili kwel
@misscon7592
@misscon7592 7 жыл бұрын
hufai kabisaaa wewe dada, nlikupenda kama mtumishi wa mungu kumbe muhun, kwa sasa utaachwaa ww mchanaa kweupee
@preciousmoshi3392
@preciousmoshi3392 7 жыл бұрын
congratulation Frola... hatujui kwann kafikia maamuzi hayo.... nakutakia furaha
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
hongera sanaa flora hakuna ajuayee maumivu yako wanaudhi sanaa hawa viumbe hata umbebe mgongoni atanyoosha kidole kama kabebwa maumivu ya mapenzi nayajua hongera ndoa yenu idumu daima kukosea ndio kujifunza
@patriciamassawe6496
@patriciamassawe6496 7 жыл бұрын
Zaudat Makula kweli kabisa ss hatujui kilicho nyuma ya pazia
@justinewangaelurio4732
@justinewangaelurio4732 7 жыл бұрын
hakuna anayejua huyu dada kapitia mangapi.mi nampongeza kwa maamuz
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
patricia Massawe hapo kweli japo sisi tunapenda kuhukum kwa kuskia na si kuona
@patriciamassawe6496
@patriciamassawe6496 7 жыл бұрын
Siku zote unaambiwa sifa ya mwanamke kifua yani kutunza siri
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Justine Wangael Urio kabisaaa ndugu yangu nampongeza sanaa maana juu ya yote kaolewa tena wengine hata ndoa ya siku moja hatujaigusa
@salomejuma352
@salomejuma352 7 жыл бұрын
lkn Yule daud si alimuona tu ni mkubwa na akamkubali anajua kilicho ndani mwa Yule dada
@ndayisengasergdine8812
@ndayisengasergdine8812 6 жыл бұрын
munapendeza sana kbs Mwenyezimungu awabariki
@merychandeka7275
@merychandeka7275 7 жыл бұрын
Umependeza kweli wenye wivu acha wachonge wewe songa mbele wengi wao yao yamewashinda wamekalia kuchukulia ya watu
@deoally8417
@deoally8417 5 жыл бұрын
Hakuna wivu nisawa naoshoga
@florencekashaija7539
@florencekashaija7539 5 жыл бұрын
Pete zijaze vidole vyote .... Amani ijaye kapu
@lilylilian8729
@lilylilian8729 7 жыл бұрын
yaan anatoka Kwa Mme sekunde mbili anafunga ndoa na mwingine Mimi hapa sina hata mpenzi miaka mingi lol! Mungu wangu unapozuru wengine usinipite sasa!Amina
@josephinalubanguka1884
@josephinalubanguka1884 6 жыл бұрын
lily lilian
@amonrupia2953
@amonrupia2953 7 жыл бұрын
frola dada yangu mungu anakuona jaman dah we mwanamke nlikuwa nakpenda ila mmmmh huna jipya axee
@niceabdallah9344
@niceabdallah9344 7 жыл бұрын
Nimechoka kuona mama zetu dada zetu wakioa waume zetu tena wao ndio wanagaramia harus, sasa nyie kwann mnaoa vijana wetu😫😫 hamuoni size yenu 35+? Mpaka muchukue waume zetu under 30?sie twende wapi bwana 😕
@faddeyfahey
@faddeyfahey 7 жыл бұрын
wewe sasa watakiwa kumuomba Mungu kwa dhati usiwe kama huyu, Mume umpendaye atapatikana Mbele ya macho ya Mungu, under 30 hajawamaliza na hawezi
@magievuriva4775
@magievuriva4775 7 жыл бұрын
huyu dada anaaibishaaa sanaa......hatumuonei wivu kwa ujinga aliofanya bibi kizee huyuu. mnafiki huyo ana baka jamn ameolewa na mtoto wake. Wewe daudi utajutia tuu siku moja kuolewa na huyu ajuza msaliti kabisaa... teeh mkaka wawatu hana raha hata ndo maanasemaje mkubwa ni flora bibi kizee kaka huyo hana usemi. florah huyo mtoto muache aoe vijana wenzake umeacha mume unafata ushuga mami. teeeh.........aibuuuu
@khamissalim3934
@khamissalim3934 7 жыл бұрын
am a muslim bur wat she did....only God can judge n not wanadamu so hakuna mkamilifu isipokua yy Muumba wa mbingu na ardhi
@victorkajiu1578
@victorkajiu1578 5 жыл бұрын
Sasa if you are a Muslim how can you talk of a Christian's faith? Let the bible judge her! No such kind of marriages in Christ!!!
@neemamkumbukwa6293
@neemamkumbukwa6293 4 жыл бұрын
Kabisa
@claraemmanuel4169
@claraemmanuel4169 7 жыл бұрын
Mh! Ukakusany maviti meng ukijua wakristo watakusapoti na kuja,,,,,,mung hadhihakiw dada pole sana..... 🙏 nikuombe tu ndio ukatulie
@pendouwoya2263
@pendouwoya2263 7 жыл бұрын
du we dd utakuja kujuta tuu na kueka mikono kichwani mungu akupe pigo
@mzeewangwasuma2612
@mzeewangwasuma2612 7 жыл бұрын
amekumbuka kweli kuvua ile pete ya mbasha?maajabu
@mariambb4683
@mariambb4683 7 жыл бұрын
mzeewa ngwasuma haahahaha 😃😀😃😀😃😁
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
upendo popote hongera Flora daud
@angelkariko7706
@angelkariko7706 4 жыл бұрын
Ovyoooooo, huko nikujifariji tu kiukweli umeharibu haupo sawasawa, sio ndoa ya maana hiyo, mnaharibu injili
@josephkisembe6663
@josephkisembe6663 7 жыл бұрын
Mbasha Yuko hai ndoa Mara mbili ya nin,Msimjaribu Mungu.
@mamarama6360
@mamarama6360 7 жыл бұрын
neno la mungu unalijua ndio lilikufanya uzae nje yandoa na kumkataa mumeo mnafik ww
@pendouwoya2263
@pendouwoya2263 7 жыл бұрын
yani we ni Malaya tuuu
@florasamuel9860
@florasamuel9860 5 жыл бұрын
Harusi yenyewe haina uwepo nkt
@phillipsonvictor2897
@phillipsonvictor2897 7 жыл бұрын
Huu ni mwaka wa kina Daudi. Huku Daudi Kusekwa kule Daudi Bashite... Aisee, ukipata mtoto dume mwaka huu usithubutu kumuita Daudi
@sultanmm7722
@sultanmm7722 7 жыл бұрын
phillipson victor hahahahaaa
@salomekonga6531
@salomekonga6531 7 жыл бұрын
we acha kuimba nyimbo za yesu inatukera sana
@joycejohn7754
@joycejohn7754 7 жыл бұрын
Mc pastor namuona kwa mbali
@hildajohn3075
@hildajohn3075 7 жыл бұрын
unajisikiaje kuvaa shera Mara mbili?ukizaliwa mwanamke jua Tatar wewe mama,Na mama huvumilia mengi,ulishindwa kuvumilia Na mkatatua matatozo Na mwenzio, kumbuka hiyo ni bibilia kanisan ndoa ni moja tu, labda itokee mmoja amekufa au amezaa Na MTU mwingine Na kue Na usibitisho, sasa unavaa Pete mbili
Emmanuel Mbasha: Flora amethibitisha kuzaa nje ya ndoa
21:27
EastAfricaTV
Рет қаралды 147 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 72 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
EXCLUSIVE: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA BAADA YA HARUSI
10:30
Millard Ayo
Рет қаралды 348 М.
MFALME ZUMARIDI AZAWADIWA GARI LA KIFAHARI
17:16
ZumaridiNews Tv
Рет қаралды 26 М.
HARUSI YA MCHEKESHAJI MASELE CHAPOMBE ILIVYOFAANA KANISANI
10:14
Global TV Online
Рет қаралды 825 М.
Kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha
6:16
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 72 МЛН