Dah kama unaona ebitoke atafika mbali weka like twende saw
@naymah35605 жыл бұрын
Mmh? Sitaki kuamini kwamba eby anaspidi kiasi hichi kwa kunywa maji nna wasi wasi amehamia kiwandani maana sio kwa weupe huo, haya mamy twakuombea mafanikio mema lkn upunguze kunywa maji mwanzo ulikuwa poa sana na rangi yako nyeusi
@allyjuma61365 жыл бұрын
Hivi nikwanini wasani wetu hampendi kutunza rangi zenu nyeusi. Au rangi nyeusi haionekani vizuli kwenye camera?
@zedonswaga13985 жыл бұрын
ujue hawa wasanii wetu wa kibongo wapumbafu sana, akishapata umaarufu kidogo wanaanza kuwadharau maboss zao nakuamin kua wanaweza hata wakiwa wao binafsi, lakini hupotea kwenye ramani na mwisho wa siku wanakosa wa kumlaumu
@jumamooneys85585 жыл бұрын
Niseme upande wa huyu binti kile alichoongea ambacho Mara nyingi tumeshindwa wengi ni kitendo cha mtu kuhama kutoka sehemu Mona kwenda sehemu nyingine,alichofaulu ni kutozungumzia mabaya au kumzungumza mtu isivyo,yuko vizuri hapo nampa hongera na uendelee kuwa hivyo, Fanya yako wala usimfanye mwingine hafai kwasababu mmeachana, barikiwa
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Mungu yupoo usijali my dia fanya kazi Insha Allah 🙏🙏🙏
@manyaramrema65315 жыл бұрын
Me nafikiri bora ungeendelea kubaki timamu umri wako bado ni mdogo ungeendelea kukua kiakili na kimawazo, umaarufu ulioupata na hao timamu wamechangia kiasi fulani!!! Mdogo wangu hakuna sehemu yeyote utaenda upewe mkataba usio na unyonyaji!
@imbatokamoyoni22095 жыл бұрын
je, una changamoto ukiwa Unaimba SUBSCRIBE hapa #IMBATOKAMOYONI
@rahmaramadhani39935 жыл бұрын
Jamani vido wewe uko vizuri sana sauti yako ukuje kwangu nakupenda bure
@alexkabeho56095 жыл бұрын
Hiyo interview pekee inaonyesha ummekuwaa so go on with life ata usihogope you will make it, talent ni ya kwako siyo ya boss
@firdausabdullah63155 жыл бұрын
Hongera ebitoke mutegemee mungu utafanikiwa
@rutashubanyuma45465 жыл бұрын
Bado wewe ni mdogo kujisimamia dogo ungekomaa na timamu,umaarufu kidogo tu uliokuwa nao unajiona mkubwa! Utafeli
@BigZhumbe5 жыл бұрын
There is more than wat meets the media
@andreymalisa16255 жыл бұрын
Daah....nampenda huyu dada jman
@ilovejesus93035 жыл бұрын
😍😍😍😍 you Ebi
@amanlenatus90675 жыл бұрын
WEWE ULIKUWA WA KWANZA KUMCHEKA MKALI WENU NA KUMUONA KAMA YEYE HANA AKILI KUTOKA PALE ILA KIUKWELI NA WEWE HII NI ZAMU YAKO YA KUPOTEA
@angelndikizi4475 жыл бұрын
mfyuuu siuseme ukweli kama uliiba mumewamwenzio mama ashura! ukavunja ndoa yake! sasa wameludiana ndo ukatimuliwa! unajiuma uma nn wakati ukweli unajulikana
@faridahshisha67175 жыл бұрын
Carolight
@mashallahoman63555 жыл бұрын
yote nikheri ebitoke allaha akutaguliye
@habibakhalfan10655 жыл бұрын
wa bongo hamuwezi kudumu sehemu mkiona mfanikio kidogo mnabadilika Roho mlianza vizurii mwisho mnamalizaga vibaya
@youngkillermsodoki76645 жыл бұрын
Mkaliwenu alivyoondoka #Timamu alichekwa sana Je na nyinyi mna toka sasa leo hii hamcheki tena? Usidanganye watu😁😁 eti ni mkataba ume kwisha hapana umeondoka kwa sababu labda ni kunyonywa labda umechoka na tabia za viongozi wa #Timamu angalia kwa mfano Mkali aliondoka je ni mkataba? Mavoko aliondoka #WCB je ni mkataba? Usi wadanganye watu kila mtu ana akili.
@tripleddc87245 жыл бұрын
yeah very true Hawa wasanii ndo walivyo wanatuchukulia sisi hatujielew
@mbodzebemasika74775 жыл бұрын
kwanza huyu alimcheka sana mwenzie
@hadijandenga40255 жыл бұрын
mungu akupe nguvu
@ishaq99255 жыл бұрын
Hamna rorote mnajifanya mnatemberea magali mwisho wa siku mmnaumbuka
@mariamameir85275 жыл бұрын
Nitumie namba ya timamu nikajiunge mimi maana nataka niwe mugizaji ila sijapata pakujiendeleza natamani sana
@ericstephenm.8445 жыл бұрын
Tatizo kubwa la wasanii wetu wakipata umaarufu kidogo tu wanadhani wameshakuwa na wanaweza kujisimamia. Wengine wanadiriki kuwazungumzia vibaya mabosi wao wanasahau kwamba wao ndio wamewatengeneza na kuwafanya wapate majina.
@johnnyakabhi57915 жыл бұрын
Utafka mbali mwaya
@manyweretv51775 жыл бұрын
mkaliwenu, ebitoke na mzee makulusa undeni kundi mnajua sana
@nyamalwaleonard7935 жыл бұрын
Acha mkorogoooo byanaa Baki mweusi hata hujapendezaaa
@queengee9885 жыл бұрын
Mmmmhhh shost weeee so kwa futa hilooo jmn duuuhhh yaliyop yanafurahish😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂
@martinyohani37575 жыл бұрын
Mmm
@amirsab11585 жыл бұрын
Una nikera Ebitoke kama ulitoka timamu badilika basi wacha hayo mamekaup ya uso
@shakirshakir91005 жыл бұрын
acha bn emb
@adolphmwangoje28875 жыл бұрын
kaza bna badiliken ktka mzigo wenu uoga umaskini
@uwimanaraoul68245 жыл бұрын
Usijali w chapa kazi
@reginaemmanuel82335 жыл бұрын
wasanii Wa bongo bwana, kila mmoja haachi kusema yaa, may be, okey nk,,,,,,, wana vingereza vya ajabu ajabu....
@msangimsangiz99675 жыл бұрын
umekua mweupe ebitoke
@lilianjeremiah28805 жыл бұрын
Naona filter inafanya kaz
@msangimsangiz99675 жыл бұрын
mama ashura yuko wap
@kajjd405 жыл бұрын
Unganen namkalii
@Jameskaguo5 жыл бұрын
jamaa unahoji kama unamtokea vile safi
@hasiyakeniyausiachiebabu76345 жыл бұрын
usiangalii udogo angalia akili
@Tam_media25485 жыл бұрын
Hayuko huruu
@mayungamapinga72665 жыл бұрын
mboso
@joshuamkupi68935 жыл бұрын
Mama Ashura afunguka kwa Ebitoke kuhusu kuvunja ndo yake kzbin.info/www/bejne/kH-QZKOlnpWekNU
@innocentchulla67385 жыл бұрын
mr.joshtz
@enosmchomvu66495 жыл бұрын
Ebtoke mbna anacheka kama hamnazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shakirshakir91005 жыл бұрын
kumbk ww umetoka wp mukipt kindong huw munaribga sn muuu
@shakirshakir91005 жыл бұрын
half unaony na kuringa sn
@badmanno.16505 жыл бұрын
Hya ungana na mkali wenu..mukinukishe
@allyjuma61365 жыл бұрын
VP ukitakiwa kufanya show ya live. ilo futa utafanyaje ili liendelee kung'ara wakati upo jukwaani?
@dannygroening35475 жыл бұрын
Ndio
@aishaismail77175 жыл бұрын
Muosha nae huwoshwa
@sikuzanibusanya64235 жыл бұрын
Uo weupe vipi wewe mzingu eti Ebitoke jamani mkerewe wewe
@shakirshakir91005 жыл бұрын
kam unatoka mbon bado miwaja yako😵
@asiazuberi97225 жыл бұрын
Bitoke umekua mweupe au ni ilo futa ulilojikandika
@rashidhusain29585 жыл бұрын
😁😆
@uwimanaraoul68245 жыл бұрын
😂😂😂ww
@abdulazizsharif29845 жыл бұрын
my Sweetheart Asia am just looking for u msalimie Ebitoke na futa lake
@asiazuberi97225 жыл бұрын
@@abdulazizsharif2984 we nae nilipo nawe upo mmh
@abdulazizsharif29845 жыл бұрын
yes of cz my Asia how can i stay fer from u? nakupenda that's whay kila kwenye uko lazima niweko