TAARIFA MPYA ALIPO MAKONDA YATOLEWA "TETESI, MANENO KUHUSU YEYE, MUWE NA AMANI YUPO LIKIZO"

  Рет қаралды 124,206

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 332
@harounlyakunga4982
@harounlyakunga4982 Ай бұрын
Kama unasiamama na makonda weka like yako hapa
@PastaBahariaWilliam-vi1jo
@PastaBahariaWilliam-vi1jo Ай бұрын
Kama unamkubari Yesu weka like za kutosha,kama hutaki bado moyo wako unamkubali.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
Wee HUYU NDIYE MWAMBA WA MIAMBA YOTE. NI MWANAE MUNGU MKUU ALIEUMBA MBINGU ZOTE NA DUNIA NA SAYARI ZOTE. Mkombozi wa Dunia. Ndiye Alfa na Omega, Huyu NDIE AJAE. Kapewa mamlaka mazima na Mungu Mwenyezi. Mungu Anamuheshimu Kuliko hata Jina Lake. huyu Haelezeki akamalizika. NgOme Kuu Huyu Jamaa. wee wafanya mchezo nn!
@veronicawilson4263
@veronicawilson4263 Ай бұрын
Ameeeeeeen apana kama YESU
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Ай бұрын
Sasa ndy nini mpuuzi wew 😊😊😊
@Joycenangonga
@Joycenangonga Ай бұрын
Wew ndio mpuuziiiiiiiiiiiia​@@JamesJastin-bg1rx
@maureenmgeni
@maureenmgeni Ай бұрын
Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.. Amina
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Ras inatudanganya jua linawaka. Mungu anakuona.. Mungu amlinde Mh Makonda
@simutengene4730
@simutengene4730 Ай бұрын
Kama unamkubali makonda weka like hapa❤❤
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k Ай бұрын
Beni saa nane yuko wap
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
​@@user-ie2sr4fi4kkamtafute
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
@@user-ie2sr4fi4k Muulize mbowe alikua mlinzi wake😓😓
@sambulugu9988
@sambulugu9988 Ай бұрын
Mtafute aliko sisi haituhusu! Kwanza huyo Ben ni nani? Pumbavu zako!
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k Ай бұрын
@@sambulugu9988 😂😂😂😂😂👍👍👍👍
@user-qu1mq2ik2e
@user-qu1mq2ik2e Ай бұрын
Kwa sababu ulikuwa mtetezi wa wanyonge wema wa mungu ukufuate popote ulipo na ufunikwe na damu ya yesu
@VelonikaMwamakimbula
@VelonikaMwamakimbula Ай бұрын
Amina sana
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt Ай бұрын
Amen
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv Ай бұрын
Amen
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Ай бұрын
Mungu mlinde Makonda wetu. Makonda watu hawana amani jitokeze kidogo.
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Ай бұрын
Mm ni mkenya na mfagilia sn Makonda kwa uwezo WA Mungu yuko salama, n tunazidi kumuombea huko aliko aww yuko salama na afya njema
@VelonikaMwamakimbula
@VelonikaMwamakimbula Ай бұрын
Na hatun Aman kweli so mpigien sm tumsikie mtu wa wanyonge huyo
@jafariignas-qf1im
@jafariignas-qf1im Ай бұрын
Kama kweli Makonda yupo likizo Mungu amjalie apate kufurahia Likizo yake, hila kama vinginevyo mnafanya vibaya semeni ukweli pale ambapo viongoz wanapopata matatizo tuambiwe wananchi labla maombi juu yake uenda ikasaidia jamani Makonda big up kwa kazi nzuri MU GU AKULINDE NA WABAYA NA AKUPE AFYA NJEMA 👋👋👋👋👋👋👋
@ZakirIbrahim-zv4ik
@ZakirIbrahim-zv4ik Ай бұрын
Yaani mapenzi yako mpaka awe na tatizo ndio umuombee? Inatakiwa umuombee hata kama yupo kwenye killer cha furaha
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Ай бұрын
Likizo gani hiyo, Serikali Sasa mnatutest hasira zetu, Tunamtaka Makonda mwenyewe hadharani, Tunachoka kudanganywa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
Nikweli,,,sasa likizo ghafla, kuna mtu nilimpigia maana yuko karibu na kina Makonda, akasema dd yake kasema Makonda yuko likizo..mie nashindwa kumuamini. sijui..tumuombeeni Makonda wetu jmni. hii ndo ilikaa tukutafuta kujua juu ya Rais wetu J Magufuli ndo akajitokeza akiwa amenyamaza. wee maumivu mno jmni
@FabianSemba
@FabianSemba Ай бұрын
​@@jedidahbintidaudi8241ni kweli yuko likizo
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Ай бұрын
Inshaallah tumuombee huko aliko awe salama
@IssaAlly-cu4xp
@IssaAlly-cu4xp Ай бұрын
Kuna ka ki2 nn??
@jumasaid6073
@jumasaid6073 Ай бұрын
Serikali haipo kwa ajili ya wananchi !!
@Bushman000
@Bushman000 Ай бұрын
Nimesoma Comments nyingi, naona Mh. Makonda ni kipenzi cha watu❤❤❤❤
@gracejapheth3476
@gracejapheth3476 Ай бұрын
Bwana Yesu naomba umlinde na kumepusha na mabaya yote Mtumishi wako Paul Makonda
@sadamissa5687
@sadamissa5687 Ай бұрын
Mtuambie yupo likizo ya muda gani tuanze kuhesabu ,ili tuje tushikane uchawi vizuri Ole wenu Allah atalipa kama mnadanganya😢😢
@user-bx7zk7to8k
@user-bx7zk7to8k Ай бұрын
Tena hatutaki utani ole wao this time around tutaandamana😢
@SwahiliTechs
@SwahiliTechs Ай бұрын
😁😁 dah
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
😂😂😂😂daah
@janethjuliasi7500
@janethjuliasi7500 Ай бұрын
Ee Mwenyenz Mungu Tunakuomba Utulindie Makonda wetu Tunamuitaji Saaana Ktk Taifa letu
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv Ай бұрын
Amen
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Ndio maneno yenu hayo hata kwa Chuma Jpm mlisema ivi ivi...Mungu akulinde na akupiganie Kipenz cha waTz Mh Makonda...
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Ай бұрын
Kama mpaka Makonda anapotea sisi itakuaje maskini😂
@LEONARDMPEMBA-e8u
@LEONARDMPEMBA-e8u Ай бұрын
MUNGU AMLINDE UYO MAKONDA MIMI NAMUONA KAMA RAISI WA TAZANIA SAMIA NIKOPI TU MAANA SIYAONI ANAYO YAFANYA ZAIDI YA WATUMISHI WEZAKE WA SERIKALINI NDO WANAMPAMBA BADALA YA WANYONGE KWAIYO MAKONDA MUNGU AKULINDE POPOTEE ULIPO ❤❤❤🙏
@barakarobert1029
@barakarobert1029 Ай бұрын
Umeongea ukwel watu tumepona
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Ай бұрын
uko sahihi
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Ай бұрын
🎉🎉🎉
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt Ай бұрын
Amen
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r Ай бұрын
Ayo TV nawakubali naomba mtupe tarifaa wapi alipo 👑 makonda
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Tanzanie hakuna amani kwa wananchi maskini, RIP JPM
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Hata Mzee mlisema Yuko ziara sehem flani lililojili lisimkute makonda
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Ай бұрын
Hawa sijui hawajifunzi hata kidogo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Yesu mtunze makonda kamamkweli yuko south africa kawekewa sumu.Mungu kaonekane lwake please mmnyanyue tena tunamuhitaji
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 Ай бұрын
Mmmmh likizo siyo kweli jamani changa la macho hili ,,,,,😢
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Nina miaka zaidi ya 30 sijawahi kuwa na imani na serekali hasa jeshi la police ukizingatia ccm walishawaruhusu kukaa kimya mtu akipotezwa watulie😢😢
@ArafaMkomwele-vi2hp
@ArafaMkomwele-vi2hp Ай бұрын
Mwenyezi Mungu tunakuomba mlinde makonda na watu wenye husda uziepushe juu yake amin
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Inasikitisha sana tabia hii ya kufunika na kuficha hali za viongozi pindi wanapokuwa wanaumwa
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Ай бұрын
Ukisimqmia haki Tz lazima ufe , ndio drmocrasia yetu
@MashooAdam-m5q
@MashooAdam-m5q Ай бұрын
Yesu amlinde makonda. ... yesu ampe afya njema baba wa wanyonge...
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Ай бұрын
Hapana.amefanya kazi sana amecchoka amepumzika kwakweli anahitaji mwezi hapumzike na mungu aeoushe mabaya juu yake Ameen🙏🙏🙏🙏
@uswegemwakalobo6220
@uswegemwakalobo6220 Ай бұрын
Mpigie simu Makonda ili tumsikie na kutuondolea ukakasi huu! Maana uongo umekuwa mwingi sana siku hizi.
@VelonikaMwamakimbula
@VelonikaMwamakimbula Ай бұрын
Kwel kabisa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
Kabisaaa
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Ай бұрын
Mbona ni jambo dogo tu? Kama yuko likizo?naajitokeze tu katika media aseme yeye mwenyewe watu wamuone au wamsikie hata sauti yake tu itatosha na watu watarizika na taharuki itatoka nyoyoni maisha yataendelea kama kawaida. Tofauti na hivyo sijui nani atamielewa hata mzungumze usiku na mchana. Jamanieeee ndg zangu, hilo ni fungu la Mungu tulizike alopewa kapewa. Mwenzio akikuzidi rizika na lako na umuombee kheri. Halafu sote ni wa Tanzania 🇹🇿 NGUVU MOJA kulijenga Taifa letu 🇹🇿 Mungu atuondoshee CHUKI baina yetu 🇹🇿👏👏👏👏👏👏👏
@EvodiusKalisti
@EvodiusKalisti Ай бұрын
Makonda Mungu akulinde kupitia jina la Yesu,❤❤❤❤❤❤❤!!!
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Siwezi amini mpaka nimuone makonda kwa magufuli zilianza ivi hivi mpumbavu mmoja akatuaminisha mzee ni mzima, kumbe uhuni tu, 😢 hii serikali siwezii kuiamini kwenye mambo aya😢, Mungu amsaidie makonda uko alipo kwa hali zote
@MagomaPato
@MagomaPato Ай бұрын
Uchawi umejaa ndani ya CCM....wanataka kumuua Makonda kama Magufuri😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Likizo gani hiyo kazini ana miezi miwili. Mnatulixha matango pori Watanzania. Mnatudanganya mchana kweupe. Tunaomba apigiwe cm yeye mkuu 😢
@renatuskweyamba6460
@renatuskweyamba6460 Ай бұрын
Umewaza kama mim ndugu....sijui Hawa viumbe wanatuonaje sisi watanzani.... Mwambaji mmoja kutoka mbeya maarufu kama MBALIKIWA MWAKIPESIKE ana wimbo wake unasema " Wanatuona Nyani tuu""
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Ай бұрын
Nimewaza hivyo pia ,wanatulisha matango pori
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Ай бұрын
washatuona makenge hawa..ila makonda akifa hatutawavumilia.makufuli mlimuua hivihivi.
@selegioelias9076
@selegioelias9076 Ай бұрын
Kweli mkuu​@@prosperitymaarifa3324
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c Ай бұрын
Hata kwa magufuli mlisema rais yupo poa anawasalimia kauli ya samia alikua mkoa fulani ziara baadae ikabainika mwamba alikua amekufa kitambo tu na kwa makonda mseme ukweli
@saidantugwa7671
@saidantugwa7671 Ай бұрын
kwel.mwanngu dah....😢😢
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Ай бұрын
Yaani acha tu 😢😢😢
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k Ай бұрын
Malipo ni hapa hapa mungu ndo muweza wa yote
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Nchi yangu Viongozi wangu nyie mnao tudanganya hivi mnazijua hasira za Mungu juu ya watu wema nyie endeleeni kudanganya kuna siku mtaumbuka
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Ай бұрын
Ingekua vizuri zaidi aonekane makonda mwenyew kwenye interview tumsikie yeye akisema yuko likizo bila hivo gumzo halitaisha🙏🙏
@MusaPeter-dc6dx
@MusaPeter-dc6dx Ай бұрын
Yaani tunapoelekea si pazuri kwasababu kunawatu wanajiona wapo juu ya sheria Askari amenigonga na gari kimakusudi kabisaa na gari la polisi zaidi ya mara tatu alipohisi ameniua tayar aligeuza na kuelekea alipokuwa anaelekea mbele ya traffic sababu akidai nilikuwa nawafatilia wakati nilikuwa naenda kazini kutafuta ridhiki kwasababu Mungu aliona sina hatia aliinusuru uhai wangu japo amenisabibishia ukilemawa mguu wangu na sehemu za mbavu ila niseme tu cheo ni dhamana tusiumizane au tusiuane kwa sababu ya kuonekana kwa mtu ,maana sisi sote ni watanzania.
@thabealaizer3313
@thabealaizer3313 Ай бұрын
Adi nimelia 😢pole sana mwenzetu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Ай бұрын
😂😂😂😂pole sana
@Ahmedikiringamoyo
@Ahmedikiringamoyo Ай бұрын
Yaa ALLAAH nakuomba mpeuzima nausalama makonda
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Ай бұрын
Ameen yaarabbi
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu Ай бұрын
Mungu amlinde makonda
@mamkunyapraa3491
@mamkunyapraa3491 Ай бұрын
Jamani jamani sitakikusikia yanayo semwa huyu mtumishi wa mungu makonda kapatwa na chochote nita laani kwa yule aliye mfanyia mabaya makonda mmuache kama alivyo awatetee wanyonge Yani nitamwaga damu yangu kwakulaani kibaya chochote kitaka
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale Ай бұрын
Mpigie simu ..asikike hapo
@wemamtundu7906
@wemamtundu7906 Ай бұрын
Hata kwa JPM ilikuwa kama hivi. Tz nchi yangu ila ni nchi ya watu wenye chuki, uroho wa uongozi, roho mbaya hasa kwa watu walio nacho,. Nyuso utahisi watu wema ila nyoyo zetu wa TZ ni hatarii tupu. Ipo siku hizo damu za wanyonge zitaliweka taifa kwenye wakati mungu.
@user-oc3wu7js5k
@user-oc3wu7js5k Ай бұрын
Mungu nakuombà plz usiruhusu adui akapata nafasi .mlinde makonda popote alipo.
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r Ай бұрын
Mama samia toa tamko King 👑 wetu makonda yuko wapi
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Ewe mungu uliyeumba Dunia na mbingu ukaumba viumbe vyote makonda huko alipo msimamie awe na afya njema arudi madarakani salama
@PascoPas-pe5zs
@PascoPas-pe5zs Ай бұрын
Jaman makonda mrudishen
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Ilitukuamini apigiwe simu mungu amlinde hukoalipo
@mandy-ql5tw
@mandy-ql5tw Ай бұрын
Makonda wetu yupo wapi jamani?????tunakosa amani.Mungu tulindie kiongozi wetu popote alipo Amen
@HappyMwakasege-k7o
@HappyMwakasege-k7o Ай бұрын
Mm maombi yangu Yako pamoja na ww makonda, Kwa wema wako Mungu akukumbuke🙏🙏
@msalice4451
@msalice4451 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤hivi selikali YETU mbona mm sielewi kwanini usitangaze makonda Yuko wapi wananchi hatuma RAHAA KABISA juuu ya kiongozi WETU makonda
@EvodiusKalisti
@EvodiusKalisti Ай бұрын
Mungu wa Makonda ni Mungu wa Yusufu wa kwenye Biblia.
@StanslausCostantine
@StanslausCostantine Ай бұрын
Mungu ajuaye yote aonae yote anajua makonda alipo huyo huyo Mungu atawalazimisha haohao kusema iwe kwa heri ama kwashali kwan watu wanaumia kuto jua talifa sahii ya kiongozi wao .
@GraceAbraham-l9h
@GraceAbraham-l9h Ай бұрын
Mmmmh nakosa neno la kusema naumia moyoni mwangu lkn naomba ulinzi wa Mungu juu yake na familia yake, na adui zake wakawe adui zako BWANA YESU KRISTO MNAZARETH
@user-cj4cv3jo6p
@user-cj4cv3jo6p Ай бұрын
Kweli Makonda apigiwe cm aonge tumsikue kama siku Ile Makonda alivyompigia mama Samia tukamsikia Kwa masikio yetu anavyoongea naye Kwa cm hatuna amani jamani Mungu mlinde Makonda popote alipo
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Ай бұрын
yaani jaman suluhisho la swala hili ni tufunge siku 3 kila mmoja kwa iman yake nakumuombea makonda alindwe na Mungu na. kama kunawatu wanamfanyia ubaya wangamie hili ndio suluhisho kubwa kinaweza kulinda wazalendo Mungu ananguvu kulko kitu chochote hapa dunian tufanye hili tatizo litaisha haraka hemu tujaribuni kwa iman kubwa kwake muumba wetu 🤲
@MustaphaJumaa-jy7po
@MustaphaJumaa-jy7po Ай бұрын
Mungu Amsimamie popote Alipo mh Makonda Inshaalah
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Makonda nakuombea TOBA KWA MUNGU AKUTETEE
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Kk yangu makonda huko ulipo jitokeze ,naumia moyo sana😭😭
@neemamollel6057
@neemamollel6057 Ай бұрын
Watanzania wahuni sana. MUNGU AMTETEE POPOTE PALE ALIPO 😢
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
Kuna wakati viongozi wakiendelea kuwa na akili za nyumbu mwenzao yupo matatani wanafunika watamalizwa wote kwa uoga na ujinga wao
@SarahHamis-b6k
@SarahHamis-b6k Ай бұрын
Kwa vile Mungu anajuwa yaliyosirini. Atawaumbuwa waoote hakunasiri. Yesu anawaona
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Nilipoona Ayo ametoa taarifa nikategemea kumsikia anasema nini! Ila Makonda popote alipo Mungu amtangulie na kumlinda, kijana wa watu,mtoto wa watu jamani,❤ kiongozi wa watu.
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Ай бұрын
ngoja tuwape mda alaf ifike cku muanze xtor za kuxema anaumwa
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 Ай бұрын
hahahahahaaa poleni vipenzi vya makonda, hapo mmepigwa na kitu kizito.
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv Ай бұрын
Mungu anajua , kama kweli yupo likizo....tunaomba rais aseme yuko wapi ....Tunasubiri tamko lake
@NeemaJulius-o6w
@NeemaJulius-o6w Ай бұрын
ahhaa mungu atasimama naye
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Ай бұрын
Kwaiyo mtu akiwa likizo hata Instagram hawezi kupost kitu chochote??
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 Ай бұрын
Kwahiyo mtu akiwa Likizo hapaswi kuonekana!! Ila nchi hii tunapoelekea sipo kabisaa yaani.
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Ай бұрын
Kwani uko aliko hawezi kuongea mwenyewe akatuambia yupoje unajua tunakua na wasisi kwa mazoea ya majibu mepes mepes
@NeymuhMussa
@NeymuhMussa Ай бұрын
Mungu umlinde 🙏🙏
@IbrahimMotors-vl9ii
@IbrahimMotors-vl9ii Ай бұрын
Jamaa hanapendwa sana wana nchi❤❤
@priscilaoiso-wp6yn
@priscilaoiso-wp6yn Ай бұрын
Eeee mungu mlinde makonda wetuu
@KherryingOkello
@KherryingOkello Ай бұрын
Yaleyaleeeeeee ya Magufuli,Wazir mkuu alkuw anatudanganya hivyo hvyo JPM yupo salama anawasalimia Sana mwisho wa siku wakatangaza msiba,Lakini MUNGU ni Mwenye kujua yote atamlinda makonda na kumtunza popote alipo.
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Ай бұрын
Likizo haendi hata super market,semeni ukweli jamani,wenzenu hatuna furaha,tajeni haraka alipo kiongozi wetu shujaa,kioenzi Cha wananchi we hata sikusikilizi, nataka Makonda aingee
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 Ай бұрын
Tunampenda sana makonda jmn yuko wap
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 Ай бұрын
Makonda yupo salama hata mafua Hana yuko likizo kuweni na Amana wana Arusha na Tanzania 🇹🇿🇹🇿 jembe lipo salama salmini🎉🎉🎉🎉
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y Ай бұрын
Twambieni ukweli tu kama kaka yetuanaumwa tufunge tumwombee,jaman,mbona korona tulifunga nakuomba mungu akasikiliza kilio chetu, tukashinda kwa kishindo?kanda ya ziwa tuseme ameeen
@izackbarnaba9510
@izackbarnaba9510 Ай бұрын
Ivi mkuu wa mkoa anaendaga likizo ????
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 Ай бұрын
Tumushukuru mungu kama makonda wetu yupo salama na tumuombee kwani ni kiongozi shupavu,nguli, na mwenye ujasiri mkubwa nafasi aliyopo ni anafaa kwelikwekweli huyu ni raisi kabisa jamani watanzania
@user-cz5oy1od5d
@user-cz5oy1od5d Ай бұрын
Hata Magufuli walisema yule vizuri sana, anachapa kazi.
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy Ай бұрын
😢 jaman tutaongea sanaa na ukweli hawawezi kuuweka wazi, dawa ni kuandamana tu watuonyeshe Mh Makonda wetu alipo walau roho zetu zifarijike zipowe
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
Uyu mwamba Kwa kiki namkubar sana anaweza kujitrendisha
@user-vd1kb7og4p
@user-vd1kb7og4p Ай бұрын
Jaman Mungu ampe uponyaji wa haraka
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m Ай бұрын
Et yupolikizo siku tarifa zimejulikana alitekwa itakuwaje. Stopigia kurayangu ccm milele selekali yawatekaji
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Ай бұрын
Mola amsimamie❤❤
@davidsebastian661
@davidsebastian661 Ай бұрын
Ole wenu tutafanya kama Kenya
@jamescyprian-jz7ft
@jamescyprian-jz7ft Ай бұрын
likizooooooooo
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Tanzania kweli kuna matatizo. Rais anachukua likizo pasina kutaalifu umma. Mkuu Wa mkoa anachukua likizo pasina kutaalifu watu Wa mkoa wake. Serikali ingeamgalia namna mambo yanavyokwenda. Mala kadhaa Rais unamkita katua kwenye kiwanja cha ndege au anaaga pasina umma kujua
@ezekieltairo1086
@ezekieltairo1086 Ай бұрын
Hapo kuna plan inatengenezwa ni nani anafaa kiti cha uraisi na mpaka sasa chama kishajua jamaa anafolowers wangap je plesha ya watu ipo mwitikio upo.mm naamini Makonda yupo kwa msaada wa Mungu
@LatifaMnzava
@LatifaMnzava Ай бұрын
Ukweli utajulikana haiwezi kua Siri milelee,, Mwenda zake ilikua hivi hivi tuu, ila tukumbuke tuu hakuna anayedumu milelee,, wote njia ni Moja yadunia tutayaachaaa😢😢😢
@SophiaKaaya
@SophiaKaaya Ай бұрын
❤❤❤
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Ай бұрын
Mmoja angenyoosha mkono na kuomba japo apigiwe sim lkn wamekaa tu kwenye viti na kutoa macho
@user-ri7yu9hf5e
@user-ri7yu9hf5e Ай бұрын
We need our friend Makonda. We don't need your brah...brah....
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 Ай бұрын
Uwiiii leteni makonda wetu Arusha tupone
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei Ай бұрын
Mmmmh,, ila uongo mwingne bhana haufai, bora angesema yupo nje kikazi ila likizo hapo tumpigwa, likizo gan mara hii mtu hana hata miez mitatu tokea aripot kazin, hata cc ni waajiriwa wa serikal taratbu tunazifaham msituone mafalaa bhanaaa. Wakati mwingne uongo unaweza ukazuia hata majibu kutoka kwa Mungu, watu tunaju Jamaa anaumwa na hata wachungaji wanaomba juu yake afu mtu anapagwa aseme uongo inasaidia nn??? Its shame kwa viongozi tunatengeneza taifa la waongoooo!
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje Ай бұрын
Magufuri mlituambia yupo salama kumbe kafa kama mnasema makonda yupo likizo ok sawa mbona mnamjinia kama yupo likizo ko aoni watanzania wanavyo muulizia siange sema jamani watanzania nipo salama tambuen yakua huyo ni mtumishi wa mungu
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Ай бұрын
Daah jamaa sijui yupo wapi aisee
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Ай бұрын
Ni afanzali awe likizo alakini .ingeli kuwa kapewa Sumu yeeeeeee .Tungelifanya Maandamano ingeli baki Istoria ya Afrika Tanzania
@user-uk1ic8qr2h
@user-uk1ic8qr2h Ай бұрын
Jaman makonda ajitokeze tuu
@ImanMmbogo
@ImanMmbogo Ай бұрын
Hivi hii nchi Ina matatizo gani yaani kwamba viongozi wakubwa hawataki na wala hawawapendi watu accountable na responsible kama Makonda, hivi je, maendeleo yanaletwa na machawa na watu wavivu na wazembe? SO SAD Kwa kweli..
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 Ай бұрын
Kufikia hapo unaweza onaa alikufa kitambo kama JPM
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 Ай бұрын
Kuna watu hata wakikaa mwaka paspo kuonekana hakuna anaestuka
@SaumuLekule-de4hr
@SaumuLekule-de4hr Ай бұрын
Sawa yupo likizo, lakin tunaomba aongee hata kwa njia ya mtandao
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 104 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН