Usiku wa July 7 2017 Saida Karoli amekutana na mashabiki wake Escape one Jiini DSM hapa nimekuwekea alichokifanya round ya kwanza
Пікірлер: 196
@galubaalebobjimmy75015 жыл бұрын
Nakupenda sana saida, maama wa Africa yeitu.Bob from Uganda
@mwandiadam54907 жыл бұрын
huyu ebitoke na ben paul Mungu anawaonaaaa
@blendabenny2717 жыл бұрын
😂 😂 wahaya wanajua kuchanganya makongoro
@jonasjme7 жыл бұрын
mwehu
@josephgomalo417 жыл бұрын
Saida Karoli the Tanzanian Diva.. aisee Saida we Mbayaaaa.. !! Sio mwanamuziki wa mchezo mchezo..ati..!!
@mwangithomas67137 жыл бұрын
this is a show and a half....hope saida comes for a live show in kenya
@hezronmagwesela94027 жыл бұрын
Nimependa sana Live Music band bila CD. I Feel Good with African rhythm s from Saida.
@YamunguYb7 жыл бұрын
Raha sana kumuona mama karudi
@dogorasially53177 жыл бұрын
jamani wazamini nawaomba mama saida ackose kwenye tamasha la maonyesho bagamoyo mwezi wa tisa ackoese kabisa
@kwisa48997 жыл бұрын
Hongera sana Diamond kwa kujua mchango Wa mama na kufanya wengine wakamwona baada ya kupotea kwa zaidi ya mk 15
@aunirasheedy84437 жыл бұрын
True
@ericohmzalendo50287 жыл бұрын
Mungu na akutie nguvu za kusimama tena saida...Tokea Nairobi Kenya Twakupenda
@murielleharushamagara64617 жыл бұрын
Dancers wameweza pia. voice tangu nakua ni ile Ile mpaka nazeeka but n bado Ni ile Ile tu. heshima kubwa sana kwa Queen
@saifsaif30106 жыл бұрын
saida ni international singer .huyu mama m.mungu yupo naye daiman. special kabisa nimempenda sana
@Rugemalilatv19947 жыл бұрын
heshima kwenu wasanii naona hampo nyuma kumsaporti mwenzenu nawashukru mchango wenu nimeuona japo nimeangalia utube kuna wale wanajiita team falani sijamuona hata mmoja hapo cjui walikuwa na shoo wapi mana wana misifa na miguu ile
@Ebendentalclinic7 жыл бұрын
hiv unaonaje kama wimbo wa maria salome wangeperfome na diamond,wakaweka kama hybrid flan hivi?
@erickhaule86807 жыл бұрын
saida wewe miaka 100 Mungu akuweke huru na afya njema hakika unastahili
@nellaneth5787 жыл бұрын
22:30 That was awesome! I wish i was there!
@catherinemsofe80207 жыл бұрын
powerful voice, amependeza, show nzuri sana, tunapenda kumuona saida ana nyumba, gari, watoto wanasoma shule nzuri ana biashara na bank papendeze. ana kila sbb ya kupata vitu vyote hivyo na vya ziada, nimefurah sana, amerudi na nguvu ileile.
@benardmunna91947 жыл бұрын
kina nshomile wana yarudii balaa
@hakimhamis74367 жыл бұрын
Ben pol yuko juu simu ameaka kando kuna mijitu peleka dem kila saa macho ganda kwa simu
@mwambirekwamboka95257 жыл бұрын
Hakim Hamis u r right
@domtilawakesho30307 жыл бұрын
Hakim Hamis hahaha wanimaliza kaka
@erickhaule86807 жыл бұрын
Hakim Hamis hahaha ndio hapo sasa
@salvinalibongi12617 жыл бұрын
si mchezo
@ibrahbaila61747 жыл бұрын
I love her voice for real
@samsan95tvlaizer597 жыл бұрын
good job Mama I'm laizer
@verdianasteven3047 жыл бұрын
wakola owaishe
@hoodparkinspiration55757 жыл бұрын
safi sana watu wamenyanyuka wenyewe dadadekiiii🔥🔥🔥🔥🔥 #Saida
@munaongoeliebamongi81284 жыл бұрын
Many thx for your return back
@ruthroberts46254 жыл бұрын
Loved it bad bad big tune. Bless
@veronikamwamsimbi84127 жыл бұрын
nimeipenda sana
@alexmulwa78447 жыл бұрын
Team kujipaka mafuta Ben Pol na Ebitoke√√
@azaqzszs19727 жыл бұрын
mama nakubonfeza njooo basi burundi tunapenda chambuwa kma karanga
@jenivavedasto6367 жыл бұрын
nice performance!
@dolphineramah11417 жыл бұрын
#254 Welcome back to stage mummy God give you strength
@EMMANUEL425417 жыл бұрын
ben pol na ebi pol nawaona nawaona
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
Emmanuel Frank hehehehe
@kimwelanakhumicha63207 жыл бұрын
Din't Ben Pol is that cute,alaaah!!! mmetisha
@samuelndoveni46607 жыл бұрын
Emmanuel Frank nawapenda Ben na ebitoke wawaache miaka mia name na said Mungu akuongoze
@alexandrinadomaino10857 жыл бұрын
Ebitoke namuona mumeeeee Benpol
@kessykazimana91037 жыл бұрын
nimeipenda xana iyo
@johngasto93847 жыл бұрын
nan aliedislike hapo kubafu sakee
@habarizauhakika93767 жыл бұрын
HAJUI MAANA YA HIVYO VIDOLE HAPO JUU YE ANABONYEZA BONYEZA TU
@marimarimu36977 жыл бұрын
John Gasto umeiyona labda alikosea huyu mama hana ubaya na mt
@marimarimu36977 жыл бұрын
Evar Samndeli uhhhhh mbavu zang
@mwanaidiabdallah65047 жыл бұрын
wengine awajui maana ya hizo alama
@barikiarastus87707 жыл бұрын
Kukosa hii show naumia Sana,, kweli kipaji cha ukweli hakipotei,, asante Sana mama saida karol
@justinemalima67017 жыл бұрын
mbona wamejaa wahaya?
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
Justine Malima sisi ndio watemi kabila teule Tanzania nzima.