"NIMEIMBA WAPI? ASINGEKUJA" MWAMPOSA AMHOJI RAYVANNY KUSHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO BILA YEYE KUJUA

  Рет қаралды 52,378

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 245
@AnnastaciaMimi
@AnnastaciaMimi 4 сағат бұрын
Yote tisa napenda sana jinzi alivyo humble Rayvanny
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 11 сағат бұрын
Mungu akufungulie milango ya baraka nipenda sana ulivyo amua kuombewa
@AmaseAdoka
@AmaseAdoka 7 сағат бұрын
Kama unapenda kuwa na mwisho mwema wapi likes much love ❤❤❤❤254God bless
@TryphonRabson
@TryphonRabson 4 сағат бұрын
Kama unaendeshwa na shetani mwisho mwema utatoa wap? We subiri nafasi yako unayostahili
@SharifaShabani-n8z
@SharifaShabani-n8z 11 сағат бұрын
Ravvany umenibariki sana kuanzia kesho naenda kanisan
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s 8 сағат бұрын
Hongera madogo wangu barkiwa sana
@Iantussa
@Iantussa 5 сағат бұрын
Ima
@LeganNtambi
@LeganNtambi 15 сағат бұрын
Rayvanny lazima utoboe kwa maombi hayo mungu akubarik sana❤❤
@gasperymisungwi960
@gasperymisungwi960 14 сағат бұрын
Atobolee wapi hawa wachawi wanachota nyota za wenzao tu! Our almighty God don’t work that way, read the Holly Bible by the help of the Holy Spirit you will definitely understand what I’m talking about
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 9 сағат бұрын
@@LeganNtambi hapo uhakika yaani mwamposa mimi Sina Cha kumlipa kutoka dalasa la saba mpk Oman. Na mshahara wangu mwalimu halipwi aaaaah weee acha nimtukuze MUNGU wangu
@katemachanda7035
@katemachanda7035 9 сағат бұрын
​Mara nyingi watu ambao hawajui maandiko ndio huwa wa kwanza kuwafundisha wengine kuhusu maandiko. Tena anajaribu kumshuhudia roho Mtakatifu, lkn ww hujamtaja Roho lkn tumeona kazi ya Roho Mtakatifu ktk ushuhuda wako. Hongera Sana dada​@@MonicaMkombwe
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 9 сағат бұрын
utapeli TU huo Amna lolote hapo kumuhusu kristo au mungu halisi
@katemachanda7035
@katemachanda7035 9 сағат бұрын
@PAULNYANDILE Kwani ww ulitegemea Nini hapo ili ujue ni Kristo au Mungu?
@CelinaMathayo
@CelinaMathayo 2 сағат бұрын
Hakika mungu anaweza mungu akujalie mwisho mwema
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 14 сағат бұрын
Karibu kwa Yesu Ray v van boy
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 10 сағат бұрын
Huyu jamaa alishaokoka kitambo sanaaa tangia yupo mbeya...sema tu ndio hivo...ila siku atarudi
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 14 сағат бұрын
Upo sawa Mungu ndio kila kitu🎉🎉
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 15 сағат бұрын
Congratulations Raymond
@octaaalyiii9539
@octaaalyiii9539 14 сағат бұрын
Utasikia reyvan kaachia wimbo unaofanana na nyimbo za dini, kama kweli kaenda kusali Mungu ambariki sana.
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 11 сағат бұрын
Kaanza na wimbo kweny album kamshirikish mwamposa
@SarriveSaRRIKeY
@SarriveSaRRIKeY 15 сағат бұрын
congratulations my Big brother
@SheilaOrlik
@SheilaOrlik 11 сағат бұрын
Amen naye mwenyezi Mungu akuzidishie
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 сағат бұрын
Tufanye yote hapa Duniani mwisho wetu ni mauti. Tumkumbuke muumba wetu wakati tukiwa na nguvu. Hongera sana Raymond umefanya jambo kubwa sana kukuribia kwa Mungu. Nami nakutakia mafanikio mema katuka kazi yako ya sanaa ya Muziki.
@AmaniNasoni
@AmaniNasoni 13 сағат бұрын
Nmeipenda hii 🎉🎉🎉🎉❤
@EsterLipamba
@EsterLipamba 14 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Rayvany
@salimlubuva9860
@salimlubuva9860 12 сағат бұрын
Rayvanny alishawah kumshirukisha The late Magufuli ktk wimbo wa Corona. Kwa this time ni Mwamposa😅😅😅
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 16 сағат бұрын
Nice dressing broh... its better to bow before the Lord and Jesus Christ is our saviour
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 15 сағат бұрын
Amen 🎉🎉🎉🎉
@roi2554
@roi2554 13 сағат бұрын
Wakati wengine wakienda kwa DIDI mwenzenu kaenda kwa mwamposa, sasa subirieni muone akitoka hapo tunzo za gramy 100. Za africa 1000 za bongo 30000
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 11 сағат бұрын
Woo thax Revanny kwa ushuhuda
@EsterJustine-c9q
@EsterJustine-c9q 8 сағат бұрын
Na bado upande wapili mtaumia sanaa😂😂. Mwamposa tunae na tunatambanae❤❤
@JumaSayyd-m4x
@JumaSayyd-m4x 7 сағат бұрын
Kafili alie rahaniwa anaacha kusoma vitabu vya mwenyezi mungu anategemea mtu ata maandiko yanasema amtumainie mtu amarahaniwa nakusii soma ndugu uwepuke kuwa kafili kufuata mkumbo
@RazackKhan-e4s
@RazackKhan-e4s 3 сағат бұрын
Sisi tunaumia tukion mtu wetu anapotea lkn uyo wenu wenyew kaxhapotea tng anazalie kw wazaz wke
@EzekielLukumai
@EzekielLukumai 12 сағат бұрын
Daaaa mungu iko😊❤❤😂😂
@ramadhaniwamuyaga6641
@ramadhaniwamuyaga6641 14 сағат бұрын
nikajua ataangukaaa chiniii na mapepooo,,,,,,🤣🤣🤣🤣
@khadijahamisi5561
@khadijahamisi5561 13 сағат бұрын
😂😂😂ana pepo uyo
@MasanjaSamweli-b3r
@MasanjaSamweli-b3r 4 сағат бұрын
😂😂p
@MarcoMaswali
@MarcoMaswali 16 сағат бұрын
Nyimbo yngu Pendwa hii❤
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn 16 сағат бұрын
Mungu akubariki mwamposa
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 15 сағат бұрын
Kazi nzuri
@Annaonesmo-x5b
@Annaonesmo-x5b 15 сағат бұрын
Mungu simama na Mimi pia nifanikiwe
@UpendoLangeni
@UpendoLangeni 4 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ God bless you Rayvany
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 15 сағат бұрын
Wajinga ndio waliwao😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 14 сағат бұрын
😅😅
@giftytemba8355
@giftytemba8355 14 сағат бұрын
Kweli ndo waliwaoo
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 сағат бұрын
Wewe kaa hapo miaka inaenda tutasikia tu umekufa😂😂😂
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 6 сағат бұрын
Wajinga ndio nyinyi
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 2 сағат бұрын
Kama unaona ulie umati ote niwajinga jitafakari vizuri hauko Sawa kiakili unahitaji msaada mkubwa Sana
@NasraNassoro-w2j
@NasraNassoro-w2j 5 сағат бұрын
Lzm utoboe inshaallah ❤❤ umekua wa mfano
@LazandaSweety
@LazandaSweety 16 сағат бұрын
Rayvany mjanja kajua kitu alichokifanya sio kizuri kaja kujipendekeza tuu bwana😂😂😂😊
@AwaShaban
@AwaShaban 15 сағат бұрын
Alifanya nini??
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 15 сағат бұрын
😂😂😂 kwel kabix
@AgiripinaNisiphory
@AgiripinaNisiphory 9 сағат бұрын
Ni kinyume na haki miliki
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 9 сағат бұрын
@@AwaShaban alichukua sauti ya upako wa lazima utoboe na kuweka kwenye nyimbo zake
@AwaShaban
@AwaShaban 8 сағат бұрын
@@MonicaMkombwe 🙏🤝
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 16 сағат бұрын
Nice Vannyboy
@SamoraBezarely
@SamoraBezarely 9 сағат бұрын
Good 🎉🎉
@JohnsonChijend
@JohnsonChijend 14 сағат бұрын
Mtumishi wa Mungu katika madhabahu ya Mungu anahitaji askari wa serikali
@JosephBalebanga
@JosephBalebanga 10 сағат бұрын
Na anayetoa hukumu Ni Mungu ila atuwezi ku kaa kimia kwa maaovu yanayoendelea lazima tutoe elimu kwa wajinga na wao wapate kuelimika Hakuna dhambi kumbwa zaidi ya ushirikina na Ukafiri
@FaustinaMkama
@FaustinaMkama 14 сағат бұрын
Mungu akubariki mwamposa na ryvan
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 9 сағат бұрын
hayo ni maigizo TU wote hao kazi Yao ni moja kuuchanganya ukweli na uongo uende pamoja
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 5 сағат бұрын
Safiiii sanaa mwamba kabisaaa huyuuu rayvanny no one like you boy
@Amosmpaji
@Amosmpaji 7 сағат бұрын
Hongera sana rayvany mwenyezi Mungu akupe kibari Bado konde boy .ili aache kupenda mishangazi . Alianzana na wolper , akaja Sarah, akaja kajara ,akaja na mshangazi mwingine njoo uombewe
@Deloveally-o8g
@Deloveally-o8g 5 сағат бұрын
Duuh raivan anaiga ee anamuiga konde daah ihi nchi ih atar bado mondy ahahahaha😂😂😂😂au nd kiki ya nyimb mpya awachelewag awa watu😂😅
@veronicathomas89
@veronicathomas89 8 сағат бұрын
Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake umefanya vyema Raymond🙏
@TryphonRabson
@TryphonRabson 4 сағат бұрын
kiki tu upuuzi mtupu
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 10 сағат бұрын
Hizi buku buku mnaona ndogo lakin siku mtasikia jamaa anamkaribia elon musk
@rabikekitashu88
@rabikekitashu88 10 сағат бұрын
Afu atokee mtu aseme album haiweze kwenda viral😂😂😂
@EdithKomba-xh5hp
@EdithKomba-xh5hp 7 сағат бұрын
Mwenye kuhukumu ni Mungu tu we mwanadamu kaa kimya. Tuzid kuombeana na kuomba toba sanaaa katika kipindi hiki cha rehema.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 5 сағат бұрын
Upuuzi mtupu.. Masonic gangs tupu hamna kitu hapo
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 8 сағат бұрын
Bora mnaludi kwa mungu yulee mkee wa p didiy ana abalii yup bizee na freemasoni
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 5 сағат бұрын
Van umeimba vizul Sana 🤗😍🔥🛍️🇹🇿
@goldenjunior_tz
@goldenjunior_tz 15 сағат бұрын
Chui anajua sana
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 8 сағат бұрын
Haya bhna Rayvain
@hadija846
@hadija846 11 сағат бұрын
AAMIIN 🙏❤💯
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 15 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys VanyBoy
@stellamwakatulile
@stellamwakatulile 6 сағат бұрын
Mungu niguse na mimi Leo yatosha Sasa🙏
@MarimNemwa-m1q
@MarimNemwa-m1q 12 сағат бұрын
Mungu nijalie mwixho mwema
@TryphonRabson
@TryphonRabson 4 сағат бұрын
mariam mwisho mwema bila matendo mema haupati subiri moto tu
@AnsilaKyando
@AnsilaKyando 9 сағат бұрын
Barikiwa sana nami pia nikumbukwe
@TryphonRabson
@TryphonRabson 4 сағат бұрын
Abalikiwe na nan hv nyny mbona mambo munayaona rahisi?
@PRINCEFILMKIJOLA
@PRINCEFILMKIJOLA 8 сағат бұрын
Safi sana rayvanny
@lusanikaseke3065
@lusanikaseke3065 12 сағат бұрын
Mbona yeye haluki na kuanguka kwa mapepo
@LongnusHuncho
@LongnusHuncho 11 сағат бұрын
Waimbe live na studio ndio utajua nini maana ya autotune....
@BarakaChaho
@BarakaChaho 4 сағат бұрын
Mwamposa mtu peace sana yan wangekuwa wachungaji wengn ungeona rayvanny yupo police
@ErastoNzyungu
@ErastoNzyungu 14 сағат бұрын
van kashindwa kutembea na kinanda kaniskitisha sana
@frankforeheads7240
@frankforeheads7240 8 сағат бұрын
Mwakani BET hii hapa
@JacksonMaphie-j9v
@JacksonMaphie-j9v 12 сағат бұрын
Asipoangalia huu ndo utakuwa mwisho wake,,, awaulize kina gozbert na wenzake wanaoendaga kwa Geodev
@x7hia
@x7hia 8 сағат бұрын
Upo sahihi huyo ni mshirikina
@CatheyCathey-pz3db
@CatheyCathey-pz3db 8 сағат бұрын
Between these two who will drain the other? RAY IS ON A MISSION, THE ALTAR IS GONE AND MWAMPOSA HAS OPENED A GATE OF EVERY DEMON TO INFILTRATE THE CHURCH , BEWARE OF THE WOLVES IN SHEEP'S SKIN, INNOCENT SOULS TO BE CAPTURED FOR BLOOD SACRIFICES
@EsauEdison-l7z
@EsauEdison-l7z 15 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@christopherjefa1689
@christopherjefa1689 4 сағат бұрын
Safi sana safi
@JoshuaJulius-jk7ct
@JoshuaJulius-jk7ct 7 сағат бұрын
Kale kaswali walikoulizwa wale watu nani kawaroga hakika inadhihirika hapa.tumerogwa wengi.mungu wangu nihurumie mimi.
@TengoObadi
@TengoObadi 4 сағат бұрын
Uyuu ata fariki😊😢
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 5 сағат бұрын
Dunia inaenda kasi sana😂😂😂
@ALBATNA-qv6jo
@ALBATNA-qv6jo 8 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@kageclemence7096
@kageclemence7096 10 сағат бұрын
Amin
@AkaroNdungu
@AkaroNdungu 13 сағат бұрын
Mwamposa mtumishi aliyetumwa na mungu kutukomboa🙏🙏🙏
@davidjoseph1143
@davidjoseph1143 12 сағат бұрын
Kukukomboa peke yko .hkun mtumish hap ,wavivu wakusoma neno ,utajua tu,ukilijua neno huwez ona utumishi wke,kasome neno
@denniskashasha
@denniskashasha 12 сағат бұрын
😂
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 11 сағат бұрын
Kama mwamposa anaokoa Yesu Kaz yake msalaban ilikua ni nn?
@katemachanda7035
@katemachanda7035 9 сағат бұрын
​@@ProsperReuben-fg6uhYesu anafanya kutumia watu. Maandiko yanasema watamsikiaje asipokuwapo wa kuwaambia. Yesu katuokoa kupitia msalaba lkn mjumbe yoyote juu ya kazi ya wokovu anawaokoa watu.
@RoseMadatta
@RoseMadatta 16 сағат бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Heiskmb
@Heiskmb 9 сағат бұрын
Nice
@SevelineMussa
@SevelineMussa 9 сағат бұрын
Naomba MUNGU awapeleke sehemu iliyosahihi ili mpate kumtumikia yeye na mwisho TU pate uzima wa milele!
@CharlesJumanne-zh4oz
@CharlesJumanne-zh4oz 8 сағат бұрын
Yeah 👍
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx 15 сағат бұрын
Amen
@EsauEdison-l7z
@EsauEdison-l7z 15 сағат бұрын
❤❤
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 5 сағат бұрын
Mko vizul ila mbon mm sifanikiwi nakosea wapi???🔥🛍️🇹🇿
@bosssalum1037
@bosssalum1037 5 сағат бұрын
Mda wako bd endelea kupambana fanya kaz kwa bidii
@oliverlema3464
@oliverlema3464 16 сағат бұрын
Hahahahaha 😂dah Mungu huyu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 15 сағат бұрын
Rayvanny nae kaamua kumuiga Harmonize 😂😂😂
@aminasalum3829
@aminasalum3829 14 сағат бұрын
M❤❤❤❤
@danyboy571
@danyboy571 8 сағат бұрын
Sasa ndo aache kuimba nyege nyege.😂😂 Mala oOoOO sa iweke ipotishe kwa chini😊😊
@AayshaAyash
@AayshaAyash 7 сағат бұрын
Yuwasafisha nyota huyo
@x7hia
@x7hia 8 сағат бұрын
Shetani huyu ana nguvu jamani amejua kuwateka poleni sana 🤣
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 6 сағат бұрын
Pole sana mfungwa wa milele wewe .ni nani wewe wa kuhukumu wenzio?
@leothobias8116
@leothobias8116 15 сағат бұрын
Rey van ka amua kwenda kufanya promotion kwenye mkutano
@SajoAbel
@SajoAbel 13 сағат бұрын
Kiduku
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 14 сағат бұрын
Angekua ni harmonize apa ndani ya masaa 2 ingekua viws200k ila wa wengne tatzo nyota
@Casmirors
@Casmirors 14 сағат бұрын
P didiy nae ingekua ngapi 😂😂😂😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 7 сағат бұрын
@@Casmirors ☺
@sweeteaglepower4773
@sweeteaglepower4773 17 сағат бұрын
Nipeni like jaman nimekua wakwanza mimi
@firegun9443
@firegun9443 15 сағат бұрын
Kesho kuna moto mkali sana juu ya wapotoshaji wa dini nk
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 15 сағат бұрын
Kwel maana sasa hv watu wanamtania Mola wao awajuu duniani tunaptq tyu
@laurinfred
@laurinfred 15 сағат бұрын
Usihukumu usije ukahukumiwa..Mungu pekee ndie mwenye kutoa hukumu...Ishi humo
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 13 сағат бұрын
Kanisa n karakana ya MUNGU hawaend waliokamlka
@laurinfred
@laurinfred 12 сағат бұрын
@@FurahaCosmas be blessed
@3leggedbird222
@3leggedbird222 16 сағат бұрын
Byeeeee vany
@healthytips-s7v
@healthytips-s7v 16 сағат бұрын
kwisha habar rayvanny....😢
@aaa64sa13
@aaa64sa13 16 сағат бұрын
Sijaelewa kwisha vipi?? Au byeeee ni kuaminisha nini???
@CheloDangote
@CheloDangote 14 сағат бұрын
🙏🙏
@KICHECHEOG2
@KICHECHEOG2 5 сағат бұрын
Usimuhulumu yoyot bila kuwa na uxhahid dunia ipo mwixho usisimuhukum mtu kusema anatumia nguvu za giza bac amini tu neno unalolisoma hata kwenye vitabu vyetu vya dini kama si yeye muheshm yoyot anaye anayemtaj mungu
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 5 сағат бұрын
Kwake kila goti litapigwa
@AliciaKoku
@AliciaKoku 4 сағат бұрын
Mung akubalik
@amanngoma964
@amanngoma964 6 сағат бұрын
Nyota zote zinabebwa mdogo wangu utapotea moja kwa moja
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 11 сағат бұрын
😂😂😂 kumekucha
@Chrisbanatz1
@Chrisbanatz1 4 сағат бұрын
Habari zenu wapendwa wasikilizaji na watazamaji wangu Napenda kuwa tangazia kuwa nimeachia Album yenye nyimbo 10 Ambazo ziko tiyari kwa kusikilizwa ,Jambo la mhimu nikwenu nyie TU kunisapoti #Nasubili. #Hatuachani. #Ni Wewe. #Doa. #Waubavuni #Chombeza #Isokote. #Polokote #Harusi yetu. #Mwisho.
@Steven-y8h5g
@Steven-y8h5g 11 сағат бұрын
Wachungaji wakijinga waongo
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 14 сағат бұрын
Chui na maombi wapi nawapi
@MagdalineProsper
@MagdalineProsper 13 сағат бұрын
God is for all..
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 16 сағат бұрын
Namuona chalamila hapo
@masterkey536
@masterkey536 15 сағат бұрын
Ni yeye Chalamila
@MaryFlorence-t3m
@MaryFlorence-t3m 4 сағат бұрын
Wachungaji wamesahau kushika kwmy kikojoleo hp ndp pepo namb moja ase
@KhalifaShauritanga-d2f
@KhalifaShauritanga-d2f 16 сағат бұрын
Namba tatu🎉
@Frdy-wns
@Frdy-wns 4 сағат бұрын
Mbna apigi kelele uyo wala kudondoka na kwann atoi shuhuda uyo
@tishomkatoliki
@tishomkatoliki 6 сағат бұрын
Na bado atakuna wanawake aki !
@kassebo
@kassebo 15 сағат бұрын
MUNGU anawaona Na siku ya hukumu Sijui mtajibu nini juu ya Ibada potofu?
@JaneKabyemela-y5u
@JaneKabyemela-y5u 15 сағат бұрын
Wewe ndo utakae ukumiwa kwani unapenda kuhukumu
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 15 сағат бұрын
Watu wanapnda dunia kuliko Akhela inauma sana yan
@Launego2024
@Launego2024 15 сағат бұрын
Si bblia inasema usihukumu sasa ww pia huna tofaut na unayemhukumu
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 14 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 194 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 16 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
Kisah Khadijah R.A. Inspirasi Wanita Akhir Zaman
54:27
Ustaz Wadi Annuar
Рет қаралды 332 М.