MBOSSO AMCHANA ALIKIBA, NJOO WCB KWA DIAMOND, NIMEKUJA CROWN, SITAKI BIFU

  Рет қаралды 61,866

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер
@OmaryMuhd
@OmaryMuhd 3 сағат бұрын
Mbosso kabla mwaka haujaisha tupigie live moja
@JulesDior-zl6rq
@JulesDior-zl6rq 13 сағат бұрын
Ebwana mzee unazeeka ayo mambo hayatakiwi sasa ivi njokule ufanye kolabo ❤😂🙏
@princekassimtz
@princekassimtz 21 сағат бұрын
Mbosso 🎉pokea mauwa 🎉🎉🎉🎉
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 20 сағат бұрын
Mbosso is the best in the world 🌎 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@NduwimanaEtienne-s8g
@NduwimanaEtienne-s8g 9 сағат бұрын
You talk rubish
@GerradLaulenc
@GerradLaulenc Күн бұрын
Umetisha mboso apa ndio nyumbamani
@kinjekitilew
@kinjekitilew 23 сағат бұрын
Mbosso kaongea point sana
@juniorSaidi-z2h
@juniorSaidi-z2h 23 сағат бұрын
Big_up Seleman mbosso❤❤❤❤
@ahmedjobs6453
@ahmedjobs6453 16 сағат бұрын
Nimeipendaa iyoo😅
@neemakihembwe7298
@neemakihembwe7298 23 сағат бұрын
Big up san mboso
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 16 сағат бұрын
Mboso bhana, very charming, very true boy
@channyanjen9047
@channyanjen9047 16 сағат бұрын
Mbosso 🙏🙏🙏
@ChenchiKing
@ChenchiKing Күн бұрын
Fact Xan Mbosso✊
@ibraimoselemane17ibraimo29
@ibraimoselemane17ibraimo29 Күн бұрын
Umeongeya fact sana mana wandishi wana chonganisha wasani sana
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 21 сағат бұрын
*kuna waandishi wa habari na waandishi wa bahari*
@PaschalTonny
@PaschalTonny 14 сағат бұрын
jamaa hanaga noma yani 🥰
@ivantompoo-c9k
@ivantompoo-c9k 22 сағат бұрын
Ni kweli tuish ivo
@muharamimwalie9753
@muharamimwalie9753 Күн бұрын
well spoken
@silasila3111
@silasila3111 12 сағат бұрын
Kwamara yakwanza na kwenye iyi crown mbosso🎉
@LameckMangwenje-k6p
@LameckMangwenje-k6p 21 сағат бұрын
Ila mtangazaji kanyoa kwl😂😂
@LABANKTV
@LABANKTV 19 сағат бұрын
mbosso mkali wao kwa mashairi
@JellyRuba2022
@JellyRuba2022 10 сағат бұрын
UKOO WA WASAFI YAANI USAFINI 🎉🎉
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni 22 сағат бұрын
Nomaa
@maxbeatz__8813
@maxbeatz__8813 14 сағат бұрын
Mbosso ana akili mno🙌🏾
@salehezimbwe6395
@salehezimbwe6395 20 сағат бұрын
Aliyeona mbosso kamshika dada bega mara 32
@suleislim4519
@suleislim4519 20 сағат бұрын
Ahahahaha
@surajatul732
@surajatul732 16 сағат бұрын
Mara....???????? We jamaa😂😂😂
@sautiyawanyonge2511
@sautiyawanyonge2511 14 сағат бұрын
😅😅😅😅 aiseeee mara 32 😂
@LetisiaMzeru
@LetisiaMzeru 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 12 сағат бұрын
Mbosso he is smart
@jonathanmwanja3994
@jonathanmwanja3994 14 сағат бұрын
1 million views very soon. Though short interview
@kinjekitilew
@kinjekitilew 23 сағат бұрын
Kiukweri huyu dada bado sana kwenye kutangaza aise aise huyu dada bado anaona kawaudatu
@yascoguidezanzibar
@yascoguidezanzibar 22 сағат бұрын
Bado kivip mbn kajitaid tuu
@kinjekitilew
@kinjekitilew 22 сағат бұрын
@yascoguidezanzibar maswali aliyo kuwa anamuliza mbosso niya uchonganishi nandomana mbosso ka mwambia nyinyi wandishi wahabari ndio huwa munapandikiza chuki kiukweri sio poa
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 21 сағат бұрын
Ana maswali ya kitoto xn
@AllyDion
@AllyDion 20 сағат бұрын
ndio anachipkia cku zinavyoenda atakuw mzur ataach maswal y kiboy
@kinjekitilew
@kinjekitilew 19 сағат бұрын
@AllyDion oya hakuna mambo ayo nakupa mfano. Momo alikuwa tikitoka voice hajawai kufanya kazi radioni ila anafanya poa sana kama alisha wai fanya kazi radio
@DonaldMwamakula
@DonaldMwamakula 7 сағат бұрын
napoke mauwa yote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FrontalClousure
@FrontalClousure 19 сағат бұрын
ILA WAANDISHI WA HABARI MBOSSO kitu ambacho hamfahaku mimi na abdulkiba Tulikuwa na maugomvi kwa sababu ya wanawake MWANDISHI Mlishea wanawake? MBOSSO Apna tulipiga nao story! 😂😂😂 nani amelikubali jibu la Mbosso kwa Mwandishi
@NemesMasawe
@NemesMasawe 22 сағат бұрын
Ilaaa mbosso
@kitwangu
@kitwangu 7 сағат бұрын
Unazeeka Njoo nyumbani😂😂😂
@MtumbaOG
@MtumbaOG 11 сағат бұрын
Oya mzee unazeeka njoo WCB
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 8 сағат бұрын
Sawa sawa kaka
@JumaMuhhamad
@JumaMuhhamad 19 сағат бұрын
HEADLINE: MBOSSO AMCHANA ALIKIBA UMEZEEKA, NJOO WBC KWA DAIMOND
@paulodanielantoniokungumu994
@paulodanielantoniokungumu994 18 сағат бұрын
Tantas vezes o nosso irmão Abdukiba tem ido no WCB, então,não é bom falar do King kiba.
@azizahuruma7463
@azizahuruma7463 22 сағат бұрын
❤❤❤❤
@SimbaAbubakar-b3d
@SimbaAbubakar-b3d 7 сағат бұрын
Mashallah
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r 22 сағат бұрын
Ali kiba gami huyo anae mzungumzia yeye huyu tuanzie hapo kwanza ? kwani si aliamza kuja Abdul kiba wasafi kisha ndo ukaenda wewe kings music sasa tumalize kama tulivonanza aje huyo diamond wako kwanza kisha afuate ali kiba kuja na ikishindikana tufanye iwe basi tu ila ali kiba akija nipo nimekaa pale😂
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 7 сағат бұрын
Sio ww unavyochukulia no bifu
@BenadFrank
@BenadFrank Күн бұрын
🎉
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn 10 сағат бұрын
Kisembe og
@Aziza-z4f
@Aziza-z4f 6 сағат бұрын
Nikweli kabisa mzee
@popiya2368
@popiya2368 22 сағат бұрын
Ulipiga naye story wakati ulijua alikuwa mke wake mwe
@imacapela8426
@imacapela8426 21 сағат бұрын
Mbona marangirangi sasa..
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 19 сағат бұрын
😂
@web2.095
@web2.095 18 сағат бұрын
SELEMANI unamjua kweli
@samwelzablon5872
@samwelzablon5872 15 сағат бұрын
Rangi za upinde hzo,itabid mboso atueleze vizur kuhusu hzo rangi
@iwenikigodi5419
@iwenikigodi5419 13 сағат бұрын
Sasa hapo kawachana wandishi au alikiba
@edwinoduor2421
@edwinoduor2421 16 сағат бұрын
Malaya na media yako,hivo wajua maana yakuchana
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 7 сағат бұрын
Umalaya tu Kila ukiongea UNAMCHOMA Na Vidole Kifuan Huyo Dada😂
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 7 сағат бұрын
Aah aah ww imekuuma eeh😂😂😂
@safiamanyana6707
@safiamanyana6707 10 сағат бұрын
Mbosso apo kaongea ukweli.
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 12 сағат бұрын
Embu tazama title hapo vipi nyiy waandishi
@selinawangilisasi5656
@selinawangilisasi5656 23 сағат бұрын
Nimejifunza kitu chuki mbaya
@hassankibanga2836
@hassankibanga2836 Күн бұрын
King kawalipa wasafi duuu sio s
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 7 сағат бұрын
Nyinyi ndo wale wanaosemewa hapo
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 19 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elizabethmachio6499
@elizabethmachio6499 17 сағат бұрын
Kwani mboso anaendelea kua mtoto
@MAILUKBERRY
@MAILUKBERRY 9 сағат бұрын
Najua apo umefunika abdi
@eliaspaul9028
@eliaspaul9028 21 сағат бұрын
Mzee umezeeka
@sirkapese2428
@sirkapese2428 19 сағат бұрын
Mbosso anamaanisha diamond yupo tayari kufanya kazi na alikiba, lakini alikiba ndio inabidi amfuate diamond kumuomba hiyo colabo. Sasa kama hivyo ndivyo msitarajie kazi ya wawili hao. Kazi itakuja endapo diamond atajishusha na kumfuata kiba kinamna yoyote Ile.
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 18 сағат бұрын
Mond ndio msanii mkubwa kiba bado
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 11 сағат бұрын
Kwa nini amfuate kiba??!! We chizi...alikiba ana roho ya kwa nini!!!
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 8 сағат бұрын
​@@JamesMoses-jd1yq ukubwa upi mfano 😅 tuzo gan anayo inayo mfanya kuwa mkubwa😂 au kuusu mafanikio kipi anacho mond anacho Ali ana nitajie vitatu bila tusi
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 6 сағат бұрын
​@@africanQueeny-u7owe unachekesha alikiba anatunzo Moja yakimataifa mond ansxo SI chini ya nne kiba Ile tu aliyopokonywa wizkid mond kamzid kipesa kulipwa kwenye show korabo kubwa mali atawaasanii wanao mikiki kwenye record Lebo zao angalia tu mfano wasanii waliotoka wasafi na wale waliojitoa kings music wapi wamekuja kuwa wakubwa rud media ya nani kubwa na unafanya vizur Kisha angalia nani mwenye menejment kubwa hapo ndo utajua hakuna msanii yeyote sio Tanzania Africa masharik na kati anaemfikia mond kimafanikio yaan apa nazungumzia Kongo,Kenya Uganda rwanda sijui sudani somalia Zimbabwe mpaka Zambia hakuna kama mond kimataifa mdogo saana kwa mond korabo yake kubwa ulikuwa na r Kelly Ile yakuchangia watu wenye mahitaji maalumu ambayo ndani yake smani wa Kenya adi kina 2face walikuwepo hapo mond Hana jina embu mpeni heshima yake mond
@martinemayunga2357
@martinemayunga2357 22 сағат бұрын
Aha kuja wewe haitoshi sisi wenyew tushamtuma abdukiba sasa bado nani amfuate nani nyangumi
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 8 сағат бұрын
Rangi za nguo za mboso?
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 7 сағат бұрын
Pafamance😅
@mtotowamanka
@mtotowamanka 19 сағат бұрын
.memula 2 bando langu hakuna lolote😅
@rajabuhassan1932
@rajabuhassan1932 20 сағат бұрын
Umeongea vitu vya maana
@riphathhamiltonjr1038
@riphathhamiltonjr1038 18 сағат бұрын
Ila bongo hakuna waandishi 😂
@vangraphixvan8320
@vangraphixvan8320 18 сағат бұрын
Mbona inabkoroma sana
@IsabelaConstantino-ns7kx
@IsabelaConstantino-ns7kx 17 сағат бұрын
Lazmaaa
@sharutztv9481
@sharutztv9481 8 сағат бұрын
ALAFU UMEVAA RANGI ZA UPINDE
@Joesilver-vu3ko
@Joesilver-vu3ko 21 сағат бұрын
Ibra katoroka milembe ,Ivi naww mbosso umetoroka huko huko kaka?
@sahiltvontheline5560
@sahiltvontheline5560 15 сағат бұрын
ibraaa nomaaa ni uwez kumfananisha na mbosso ila ni teacher wa bongo freva
@Kauma-p5p
@Kauma-p5p 17 сағат бұрын
Sio lazima alikiba aje yeye ,mbona mond ajaenda 😂Mbona Abdukiba alienda kabisa mpaka kwenye sherehe yao acheni unafki
@EsterLipamba
@EsterLipamba 16 сағат бұрын
Mboso umesema ukweli kabisa waandishi samtaim wanatengeneza sumu na chuki
@GeorgeMfanando
@GeorgeMfanando 19 сағат бұрын
MSHEDEDE
ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA
5:43
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 39 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 60 МЛН
ROMA MKATOLIKI _ MNIOMBEE ( Official Audio )
2:15
ITIGI TV Tz
Рет қаралды 40 М.
Charles Hilary wa Ikulu Zanzibar afunguka Kuhusu kwao na makuzi yake
4:00
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 98 М.
DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
5:58
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 39 МЛН