Yaaani, yaani Mungu wa haki kama uishivyo wewe wajua,ingilia kati swala hili haraka Baba usinyamaze.😭😭😭🙏🏽
@ClaraAdam-i1o8 күн бұрын
😭😭😭😭 hakika mungu usikae kmy
@BigMan-f1v7 күн бұрын
Amin
@agnessjohn12227 күн бұрын
Imeniuma kwakweli mtoto wawatu wamemkatili
@MahmoodAlghefeili7 күн бұрын
@@agnessjohn1222yan kumbe amewaibia lak 2 na wao wanadaiwa kwann wasimkate iyo pesa wamemuua kikatil San kijana wawatu
@RechoAhule-qb8zr8 күн бұрын
Uyo kijana ajaiba ila Mungu atadili na hao watu walio mchoma moto
@AlexOctavian-s8oКүн бұрын
Kwakwelii vyombo vyahabari mmetusaidia sana kufikisha hii habar mbali sana Hila tungefurahi zaidi kujua hatima ya huyundugu yetu itafikia wapi,,, familia yake itakuwajee pia nawatuhumiwa tuisikie hukumu Yao, tutafarijika sana kuyapata hayo kupitia kwenu ndugu wanahabari....mungu awabariki🙏🙏🙏
@AsmaAbdalah-v7e8 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢binadamu ni hatari kuluko nyoka mwenye sumu kali😢
@eliyasanga63748 күн бұрын
Wanawake wanamaono makubwa juu ya wanaume zao sana kwenye maisha yetu tukiwasikiliza vizuri tutafika mbali sana wanaume 😢😢
@revocatuspaulo67168 күн бұрын
Hao ni wazamani. Wasaifi wasenge tyu
@abuukamanda.s.mkenga66877 күн бұрын
Na yy anaalipokosea kwann jamaa walpo gonga mlango yy alikimbilia kufungua mlango na ilihali ni usiku Sana na mumew yup ye angekula ngumu asingewaskiliza
@MiriamErasto-c7d7 күн бұрын
@@revocatuspaulo6716msenge mke wako mbwa wew
@GeraldMakalala-z2c3 күн бұрын
Wanawake wengi wanaona mbali sana
@RomwardWM2 күн бұрын
Jumanne lala pema peponi ,umefariki kifo kibaya sana, Mungu akujalie kauli thabiti.
@AndrewMagwila8 күн бұрын
😭😭😭😭😭Eeee Mungu tutetee sisi masikini ambao hatuthaminiki Wala kuaminiwa sbb ya hali zetu Mungu mtetetezi wa wanyongee tukumbuke nasi utubadilishie maisha nasi tujisikie wanadamu😭😭😭😭
@Carolina-sm5zt7 күн бұрын
Amina
@mrsdeborahurio8 күн бұрын
Maskini mwanangu! Watu hawana hofu ya Mungu!
@halunimnenwa52248 күн бұрын
Mama samia tunakuomba raisi wetu najua una roho ya huruma. Tunaomba utupe awo walio mchoma moto tunakazi nao ukifanya ivo 2025 tutakupa kula zetu vijana lakini ukitunyima huwezi ukapita uraisi 2025 naomba coment iyi ikae juu raisi aisome tunakuomba rais wetu. Mtukufu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@sharifamahamudu1828 күн бұрын
Nimecheka km mazuri ww jamani 😢😢 ila imeniuma sana
@SurprisedFullMoon-gg9vu7 күн бұрын
Wew chiz kwel"rais wenu mtukufuuu?
@Jida-tzКүн бұрын
Mungu atuamehe sana wanadamu
@AminaLibisa8 күн бұрын
Daaah hii Dunia 😭😭😭 ninekosa ata la kusema wallah 😭
@halimasanga38308 күн бұрын
Kwa sisi tuliokua tunamfahamu imetuumiza sana. Kijana mchapakazi yaani Mungu asinyamaze Kwahiyo hili ili haki ipatikane kwa mke na watoto.
@witnessIzack8 күн бұрын
Mbona kama huyo aliefata mafuta anafahamu kila kitu kwasababu asingefahamu asingefata mafuta angekuja na police Yan huyo kaka alikua na chance yakuokoa jmn daaah
@edisonpeter38948 күн бұрын
Polen sana tumeumia wote
@Kalssambabo-gv6uh8 күн бұрын
Yani laki 2 umtoe mtu uhai wake tena kwa moto
@Kalssambabo-gv6uh7 күн бұрын
@@witnessIzackyani ukisikia sheytwan wakibinadam ndio hao miongoni mwao
@MAGRETHERNEST-cu4mbКүн бұрын
Kweli Dunia Haina huruma
@Revelation1412.8 күн бұрын
Ndo maana nachukia sana ajira ni adui wa maendeleo na Uhuru wa binadamu..Ajira ni utumwa na gereza kama magereza mengine yalivyo 😊
@QuenJames7 күн бұрын
Pole sana dada mungu atawapapigo hao watakufa kama paka
@Yasintaeustas7 күн бұрын
Pole sana dada, mungu akawe faraja pekee Kwa ajir ya gumu haya.
@sirielsamweli8 күн бұрын
Binadamu Binadamu wabayaaaa sanaaaaa Mungu tupe mioyo safioooo
@wiseboy111vichekeshonaelim28 күн бұрын
Hata mtunzi wa kalenda haijui kesho yake Mungu muumba wetu pekee ndo anaijua kesho yetu 😢🙏🙏
@arafaomari18328 күн бұрын
Ila wewe umeongea kitu
@SadamSarita-t7z8 күн бұрын
Achaufala hakuna asiejua kesho yake
@MrishoMindu-zq7mz7 күн бұрын
@@SadamSarita-t7z Wewe ndio Fala. Una ujanja gani wewe wakuijua kesho yako.
@SadamSarita-t7z7 күн бұрын
Kwaiyo hujui kama Leo jumatano kesho alihamis? Acheni utaira bhana
@MrishoMindu-zq7mz7 күн бұрын
@@SadamSarita-t7z Ndio maarifa yako yalipo ishia hapo Sio mbaya. Kuijua kesho yako tafasiri yake ni kujua J'3 J'4 nk Basi? Daahhh? Safari bado ni ndefu sana. Hamka Mzazi.
@jonamnyone80148 күн бұрын
Serikali ichukulie hatua kali wote waliohusika. Walipanga mauaji na kuyatekeleza. Wanyongwe
@leticiachipando97728 күн бұрын
Simjui Ila kwa namna anavyoielezewa na waliomfahamu anaonekana hakuwa kijana mbaya wamemdhurumu nafsi yake😢😢 Allah ampe kauli thabiti
@FatumaMuya-w5h8 күн бұрын
Amiin Allahumma Amiin
@petermanala6138Сағат бұрын
Kuna mama anaemfaham aliskika alisema wangesema wachange wamrudishie
@vascombembela36328 күн бұрын
Ni vizuri Sheria ichukue mkondo wake. Huu ni unyama wa hali ya juu sana na haukubaliki.
@NtagolekwaHugugu8 күн бұрын
Subhannallah 😪, tunamuomba MWENYEZI MUNGU MTUKUFU atujalie mwisho mwema
@umsulaiman74688 күн бұрын
Pole mdogo wangu Allah akupe subra na pia Allah atamlipia jumanne wamedhulumu ila na wao lazima wachomwe wamemgeuzia kibao kumbe yy ndie alikuwa anawadai Sasa walijiona hawawezi kulpa ndio wamchome hao wakhalifu wanaonekana walishindwa kumlipa ndio wakamuuwa maskin inaumiza sana
@Asha-s9u8p8 күн бұрын
Maisha ni safari ndefu sana, Mimi nilitakaga kubakwa na mdogo wa boss wangu wakati nafanya kazi za ndan, na nilikuwa binti wa miaka 14, pole sana ndugu yangu sisi fukala tunanyanyaswa
@aloycelymo578 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@FatumaMuya-w5h8 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@McT-m1m8 күн бұрын
Nimesikitika sana kuhusu kifo cha huyu kijana
@uwawatatanzania3243Күн бұрын
Mungu ailaze mahala pema peponi Roho ya Marehemu, Walaaniwe wote walishiriki kufanya Tendo hili
@AnethDaniel-u3f7 күн бұрын
Jmn jmn😭😭 huyu kak namjua ni wa mtaan kwet lkn imeniuma sanaa kwakwel wamehukumu maish ykee .wamekatish maisha yake ..ndoto zake ..mwenyezi mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.🙏
@ElizabethBanda-p4i7 күн бұрын
Jaman polen sana Dunia imejaa ukatili hii jamani 😢😭😭😭
@AbellaGeofrey7 күн бұрын
rip
@SalamaNauthar6 күн бұрын
Poleni😭😭😭😭
@nuubaby8 күн бұрын
Au jamn marehemu aliona kitu kwenye hiyo nyumba cha siri hakitakiwi kuonekana na mtu maskini wakaona wamuue asitoe siri zao
@ErickLyimo-p9b8 күн бұрын
M nawazo kama lako nahis kuna kitu ameona
@scholasticamathias92248 күн бұрын
Kweli jmn
@MwanahamisZuberi8 күн бұрын
Inawezekana jamani Mungu washukiye wadharimu hawa dunian fil akhera tumekuachia ww mungu wetu
@MwantumuAbdy8 күн бұрын
Ilo nalo neno la umuhimu Kuna Siri lazima aliijua hy kaka alijua. Mungu amuhifadhi
@agnessjohn12227 күн бұрын
Nahis wakaona wafiche ushahidi
@SubiraJohn-v9s8 күн бұрын
Jamani Watu Wana roho ngumu sana sana!Mwenyezimungu yupo na halali kabisa! Mwenyezimungu amjalie kauli thabit Jumanne!
@MwanahamisZuberi8 күн бұрын
Police wangejarbu kwenda kupekua inawezekana wakati wa kufanya usafi humo ndani kijana kaona kitu kisichotakiwa kuona na wao wakagundua kaona wakaona wamnyamazishe kimya Mungu wa hakh atatenda 😢😢😢😢
@bahatiJohn-y6o7 күн бұрын
Nalo neno
@olicej78377 күн бұрын
@@bahatiJohn-y6oKuna ukweli daaaah 😢😢
@UpendoSilayo7 күн бұрын
Inawezekana jamani
@AnethMosha-n7x6 күн бұрын
Hii ya boc kumchoma mfanyakazi wake iliwahi kutokea arusha sababu aliona ndugu yake ambae nae alikuwa anafanya kazi pale pale ambae mda huo alishafariki mda mrefu kumuona nyumbani kwa boc wake kama msukule na huyo boc ni mme wa shangazi yake na shangazi yake alijua kila kitu na walimchoma kupoteza ushahidi
@fatmaahmed86378 күн бұрын
KUMBEE,Poleni saana.hayo yanafanywa huko! Tanz.wanalalamika sana kufanya kazi Arabuni Wanateswa,wanamajumba family 15😮 wanapigwa,hawapumziki..hawaenjoy! WANAULIWA
@fatmazullu49332 күн бұрын
Na bado wanasema eti Tanzania ni nchi ya amani😢
@liewmartin37177 күн бұрын
😢😢😢 Mungu anajua 😢😢😢
@hamoudcreator63438 күн бұрын
Wiki ijayo watatoka, na mutawaona wakicheka kama kawaida, na watajigamba, kwamba wao Wana nguvu na Pesa...
@swalehemusa45467 күн бұрын
Wakitoka tu lazima nawao waonje umautui kudadeki
@islamrashid54517 күн бұрын
Mungu tufanyie wepesi katika utafutaji wetu na utunusuru na mabalaa mazito....mpe kauli thabit ndugu yetu Jumanne
@SalamaNauthar6 күн бұрын
Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭😭' ALLAH Atamlipia
@desineytv8406Күн бұрын
Uuuuuh inauma jmn mtu anatafta riziki yake ki halali ila anauliwa kama mwizi😢😢😢😢
@nadiaamisha29588 күн бұрын
Hii dunia bora iishe tuanze upya😢😢😢😢
@sharifamahamudu1828 күн бұрын
Www jaman iyanze upo ww utakuwepo
@DianaMosha-y8c8 күн бұрын
Ndo nilitaka kumuulza na mimi @@sharifamahamudu182
@absm80848 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢 inauma sana
@sylvestercharles35858 күн бұрын
Eee Mungu mwenye enzi, nakuomba ushughulike na hawa watu wote waliofanya huo unyama kwa binadamu mwenzao.
@MonadiNadi-j6s8 күн бұрын
😭😭😭pole sana mdg wng malipo yke yatalipwa tu mungu wetu sote 🙏
@NnalaNsangalufuMwangati7 күн бұрын
Inauma sana jamanii 😢
@arafaomari18328 күн бұрын
Yaani maisha haya😢😢😢
@HawaOman8 күн бұрын
Mwenyezi mungu tusaindie sisi wanao baba
@violettemitchel67727 күн бұрын
😢😢😢😢Tuso na nguvu humkabidhi MUNGU mashtaka yetu. YEYE aonaye sirini atajibu. Poleni sana familia, poleni sana majirani.
@RhodaLema-z8w8 күн бұрын
Mama Samia Suluhu wewe ni msikivu na msuluhishi kama jina lako linavyokutambulisha tunakuomba uingilie kati useme neno Mama kweli hili ni zito mno bila sababu za msingi kijana Jumanne ameacha familia yake njia panda hawaelewi waende wapu na wafanye nini Mama tunakuamini na tumekusoma huruma yako ni kubwa mno
@NoviaRaphael8 күн бұрын
Duuuh 😢masikin huyo kijana amekufa kifo cha mateso sana 😢😢mwenyezi MUNGU atawaadhibu wote waliyo husika
Jamani mungu tusaidie na Hili punzisha roho isiyokua na hatia😭😭😭😭
@elizabethrichard76948 күн бұрын
Ata uyo boda aliefata mafuta japo anasema alikuwa kazini Mungu atasema naww
@witnessIzack8 күн бұрын
Alishindwa nini kwenda kuita police au Ata watu waje wamuokoe Pengine alipanga nao
@Thisisgrace9798 күн бұрын
Uyo boda itakuwa alipanga nao.
@NeemaJanga8 күн бұрын
Kweli kabisa
@ellenatilio56662 күн бұрын
Inasikitisha mno 😢😢😢😢
@NeemaJanga8 күн бұрын
Bodaboda wengi sio watu wazur nimeshuhudia matukio mengi wanauza watu japo sio wote
@Iragibarune1.8 күн бұрын
😭😭😭😭💔
@rebeccakilahuzi-gc6sv2 күн бұрын
Polen sana familia
@Carolina-sm5zt7 күн бұрын
Kama walikiwa hawataki kumlipa hela si wangemdhulumu tu kuliko kumuua tena kwa kumchoma moto Mungu ingilia kati hili jambo mana malipo ni hapahapa Duniani
@donimremi713Күн бұрын
Poleni sana jmn dah walaniwe waliofanya hvyo
@AishaSabo-r6t6 күн бұрын
Poleni sana mungu yupo anaonayote haya
@hildamasonda65287 күн бұрын
Mungu ndio muhukum wa haki namjua huyu kaka kabisa ila tabia za wizi hajawah kuwa nayoo dam ya mtu ni nzito sanaa
@nsiamasawe45788 күн бұрын
Mabosi njaa sana hao. Kitu gani chenye thamani ya uhai?
@jerryandrew99893 күн бұрын
Huyo aloenda kufata mafuta nae siku moja akutane na vibaka wamnyang’anye kila kitu af wamfire!
@DoriceDastani8 күн бұрын
Dah 😭😭😭😭
@gidionmtende82528 күн бұрын
Inauma sna kwann wasinge mpeleka polisi akajieleze kuliko kumfanyia hvo binadamu mwezio ( mungu anawaona😢) R.i.p bro
@KISAPAZURI8 күн бұрын
MUngu Mungu unaona unajua Tunaomba Mama Samia tusaiidie ili iwe fundisho kwa wengine Tunaomba sana Raisi Wetu Msikivu
Samia matokeo kama haya ebu fwatilia sasa huu niunyama wa dhahir
@sophiamgeri8 күн бұрын
Jamani!!! sikujua mimi, kumbe baadhi ya binadamu wana roho mbaya sana, lkn MUNGU, yupo malipo ni hapa hapa Duniani, umeuwa mwenzenu na hapo ummemdhulumu mshahara wake, inauma Jamani bila huruma wanadamu ninyi kweli!!!!
@MwanahamisZuberi8 күн бұрын
Afadhari ukutane na simba anaweza kuunfuruma akakuacha lakini cyo binadamu mwenye roho mbaya binadamu ndyo kiumve hatari duniani ndyo ikatengenezwa bunduki na mabom vyo kwaajili ya binadamu mungu tutetee na madharimu hawa petrol moto bila huruma unamchoma binadamu mwenzio khaaaaa
@MonikaNjoolay8 күн бұрын
Daah pole my san
@dorissalewa40148 күн бұрын
Jaman😭😭😭😭😭
@moureenmahana5458 күн бұрын
Huyo kuna kitu kakiona jmn ndo mana wamemwua sio bure hapo
@mamachris68117 күн бұрын
Kweli yawezekana kuna siri
@Hadija-o5b20 сағат бұрын
Huyo boss alikua anakwepa kumlipa huyo kijana haki yake , ila mungu wa mbinguni ndio mtenda haki hatowaaacha salama kabisa damu ya mtu haipotei kwa dhuruma hivo
@BeatriceLyatuu-w8j7 күн бұрын
Mliomchoma Mungu hatanyamazaa mkae kujua apandacho mtu ndicho atakachovunaa... Km mmemchoma na petrol mjue mbeleni mlichofanya mtafanyiwa... MUNGU hadhihakiwi😢😢😢
@elizabethismile68277 күн бұрын
Jmniiiii watu wabaya kuna kitu nyuma ya pazia 😢😢
@JeannetteManirambona-o6m8 күн бұрын
Mungu wangu😢😢😢
@SafiaOmar8 күн бұрын
Kuna watu washenzi sana. Yaani ni zaidi ya wanyama unapata wapi nguvu ya kumchoma mwenzio mweh😢😢😢
@GdFf-ik2eo8 күн бұрын
Janani watu makatili kupiga kiasi hawana huruma lkn mungu atawalipa kwa hicho walichokifanya duniani NI mapito
@MamaKendrick-l3z4 күн бұрын
Yaan hii ndio maana Arusha tunamalizana nao Kibingwa maboss kama hawa , Hapo raia wachukua mafuta na kumchoma boss na mkewe na wote waloshiriki coz police wanaweza kutoka ukakuta kitaan wanatamba tu
@fikiriduba28995 күн бұрын
Duuh😢
@LindaMbilinyi-n3n8 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭dah dunia chungu hii
@roseafrael757 күн бұрын
Jamani hapa serikali ichukue hatua haraka hakuna cha uchunguzi hapa, watuumiwa nao wahukumiwe choma wao na moto wa petrol.
@hshsbsbs6018 күн бұрын
Poleni sana 😭😭
@NemaAli-zh6hr8 күн бұрын
Daaaaah Binadamu wabaya jmn😢😢😢
@رحيمهعيدرمضان8 күн бұрын
Pole.sana..hinaumasana...
@FaridaSalum-l5w2 күн бұрын
Tunaiimba serekali ya enei hilo ifikishe jambo hilo kwa mkuu wao wa wilaya,maana ndio raisi wa eneo lao huyo mke wa marehemu apate msaada wa kuanza maisha angalau kwa utulivu japo ni vgumu kumsahau alie wako lkn angalau ukiwa na uhakika wa riziki akili ci haba inatulia pole pole awakuze wanae hata km achangiwe,jitahdni mumfikishie mkuu wenu wa wilaya atawasaidia huyo ndo yupo kwa niaba ya muheshimiwa raisi.
@abdallahlyimomrwana91346 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭
@jenipheraron35668 күн бұрын
Siwez hata kusikiliza mpaka mwisho it's very heartbreaking
@MwanahamisZuberi8 күн бұрын
😢😢😢😢
@bamsBeywamakaz6 күн бұрын
Hiii nchii inaa ubaguz sanaa jamboo hili halito fika popote haki siku zote zinaa potezwa yan kam mim ndugu yangu bora nifie jela
@AgredaMoyo8 күн бұрын
Jamani....watu tumjue Mungu jamani tuwe na hofu ya Mungu...tusiwe wakatili hivi jamani
@ValentineHenry-u6f7 күн бұрын
Dah , jamani
@ZakariaMcharo7 күн бұрын
P P Zakaria richard michael
@harounmaarufu3241Күн бұрын
Kweli watanzania hawana msaada kwa wahanga .watu mmeishawaweka kati halafu mnashindwa kuwawajibisha.subiri yatawakuta
@valenakomba76865 күн бұрын
DUNIA IMEISHA HII JAMANI.MPAKA ROHO INAUMA.
@EGM-TZ8 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Guys Guys 😢😢 ni wapi tunaelekea guys😢 EGM pamoja Mashabiki wote wa EGM tumesitushwa na Kusikitishwa na tukio hili😢 poleni familia kwa Kisa hiki EGM tuko pamoja nanyi ktk kipindi hiki kigumu RIP J4. EGM
@mariamkibindo17418 күн бұрын
subhanaAllah mbona dunia waja wamebadilika hivi matukio na kuuwana tu eeh MUNGU tujaze iman 😢😢
@lawabidingcitizen34277 күн бұрын
Inatisha na kusikitisha sana...huyu kijana Hosea ameeleza vizuri kuliko alivyohojiwa na "mwandishi" huyu mchovu kweli...
@elesianakabuje58328 күн бұрын
Daaah dunia inawatu ni wanyama sijapata kuona...duuh roho zinakosa ata huruma?binadamu mwenzio unamchoma Moto na anakimbia na Moto unashuhudia KABISA mmmh..hao ni Zaid ya wanyama...Sheria ifate mkondo wake.
@Violet-e5v7 күн бұрын
mmh hiyo sio haki kabisa yaani kijana anafanya kazi anadai haki yake kweli umchome MUNGU akawape azabu ya maisha that is not fea kabisa so pain 😢 full
@nyabahailani31698 күн бұрын
Yaani hii dunia yaani sheria ichukuliwe mkondo wake
@moibraTiles7024p8 күн бұрын
Kudadeki hao ni majmbazi wangekua hku kwetu. Na wao tungewaua na wao maana kitendo walicho Fanya sio ubinadam kabisa lala pema mbingun kijana sikufahamu lakin damu Yako haitapita kamwe😢😢😢😢😢😢