BUSHOKE KAFUNGUKA KULIPWA MILIONI 500 NA BOOMPLAY, AMCHANA WAKAZI “NAUBISHI WAKE”

  Рет қаралды 14,089

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@jbdedon
@jbdedon Ай бұрын
Bushoke kajibu kiutu Uzima sana Hongera sana kaka
@StephanoMoses
@StephanoMoses Ай бұрын
Huyu dada wakazi ni mshamba sana anajikutaga mjuaji wakat hewa2. Sometime ujanja ukiuzidisha mwishowe lazima utaoneka mshamba
@bongomastory791
@bongomastory791 Ай бұрын
Wakazi ni kiherehere sana anajiona anajua kila kitu yule mbwaaa
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Ай бұрын
Wakazi 😂unafeli sasa
@amirhamud3343
@amirhamud3343 Ай бұрын
Bado chid benz. Sasa wasanii wanatoboa uzeeni
@princekarani7836
@princekarani7836 Ай бұрын
Tatizo chid Benz atulii kesi unaweza kuwa inaendelea akaanza kulopoka lopoka!,Mawakili hawamuamini amini
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
​ 😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️ 😅
@nassoroomary2621
@nassoroomary2621 Ай бұрын
Mh mil 500 kesi Imeenda miaka 4 wakili kalipwa hapo kiasi gani hamna kitu hapo
@amirhamud3343
@amirhamud3343 Ай бұрын
@@princekarani7836 wakili wanaandaa alipwe milion 700 jamaa wanamuita chemba wanampa m10😁😁
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd Ай бұрын
​@@nassoroomary2621uwe unasikiliza kasema kesi kaifungua mwaka jana
@mwalitv4555
@mwalitv4555 Ай бұрын
Dada wakazii....
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Kuna siku wakazi atalawitiwa😢
@emmanuelelias5451
@emmanuelelias5451 Ай бұрын
😂😂😂😂
@kevo_da_clever
@kevo_da_clever Ай бұрын
Hizi kesi zimekua nyingi, sijui ntafute kesi na mimi nipate million 800
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Ай бұрын
😂😂😂
@horestsawaya8384
@horestsawaya8384 Ай бұрын
Mungu nipe busara kama za bushoke.
@EdwinAdAstra
@EdwinAdAstra Ай бұрын
Wakazi huwa msenge msenge sana huyo jamaa
@usercabal
@usercabal Ай бұрын
Achana nae jini kujua
@alexoswald1725
@alexoswald1725 Ай бұрын
Tangu nimemuona wakazi kipindi cha freestyle interview na marehemu Godzila kwa kukasirika bila hata sababu kiukweli wakazi cjawahi kumkubali kabisa apite hivi
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 Ай бұрын
Kimya kimya, Ongera Bushoke
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Sasa huyu mkataba uliisha 2018 angeomba hati miliki atoe ngoma Zake katika mtandao boomplay hawakufanya ata promotion za ngoma zake hakuna ata watu walikuwa wanasikiliza nyimbo zake milioni 500 zitoke vipi hizi njaaaa hizi mirabaha yenyewe wasaniii wanalipwa milioni 8
@faridithomas4859
@faridithomas4859 Ай бұрын
Nenda mahakamani ukasaidie
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 Ай бұрын
Huyu wakazi ana roho mbaya sana
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
dah sasa duniani sasa ivi inaonekana wasanii wa tz wananjaa sana dah washaona sem ya kwenda kunyoa mana sijah kusikia popote nyimbo ya bushke ikichezwa
@modenhosouza5925
@modenhosouza5925 Ай бұрын
Ww kutokusikia haimaanishi haichezwi....kwa hyo mahakama nao wehu mpk wampe ushindi?? Bro digital platforms watu wamepiga sana hela za wasanii coz kidog elimu hyo kwa wasanii hawakua nayo...imagine msanii kama saida karoli hana pesa?? Real man?? Muzik wake n maarfu kuliko msanii yeyotez tz ila hana alichovuna ila kuna watu wamevuna...juz tu sogdog na dataz wameshinda kesi wimbo wao ulitumika na filam ya idris elba 2005...imagine
@princekarani7836
@princekarani7836 Ай бұрын
Digital platform zimeingiza pesa nyingi sana! Kupitia nyimbo za wasanii wazamani! Bro ata iyo Million 500 ulitakiwa kuzidi tu,unakuta wao boomplay wameingiza billions of money
@modenhosouza5925
@modenhosouza5925 Ай бұрын
@@princekarani7836 watu uelewa mdg sana....jiuliz tu nyimbo za ngwair leo zpo boomplay...pesa anachukua nani and am sure mamake hakuna kitu anajua kuhus boomplaly wala youtube
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c Ай бұрын
Huyo Wakazi hua chizi wivu na chuki ndiyo zinazo mponza?
@aidankakulu398
@aidankakulu398 Ай бұрын
Wakazi ni matako mbwa yule
@Basagamp4
@Basagamp4 Ай бұрын
Anko Rutta
@MtessaAlly-rd4hf
@MtessaAlly-rd4hf Ай бұрын
Wakazi ataishia kawa na wivu maisha yake yote na hatoboi ng'oo... Jinga kabisa
@ZukhelLalika
@ZukhelLalika Ай бұрын
Komaa wajina SONGEA
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 Ай бұрын
Huyu emex ni mwizi au nbna wtu wengi wanalalamika juu yke
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 Ай бұрын
Wakazi kaimba wimbo gan jaman 😂😂😂 maan anajifanya mjuaji ,na sion anachokfanya
@dizzomontana7219
@dizzomontana7219 Ай бұрын
Uyo wakazi ni mkundu tu kaka ata usi muwaze uwa lina lopoka tu mziki ume lishinda
@nassoroomary2621
@nassoroomary2621 Ай бұрын
Wakazi anakuwaga kama shoga.
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani Ай бұрын
Ku judge vitu kwa utaahi bila kujua undani ni upunguani
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Ай бұрын
Kaka bushoke nitumie ata ka 200K sasa et 🙄
@mussaagrey5679
@mussaagrey5679 Ай бұрын
Wakazi kwani uwa ni nan na uwa anaongea nini
@sergebaleke695
@sergebaleke695 Ай бұрын
Wakulipe million 500 sawa, wewe huo wimbo ume kuingiziaga pesa ngapi? uli chezea muda wako mzee baba 😂😂
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 Ай бұрын
keshalipwa sasa
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Ай бұрын
Hyo hela ni nzuri sio kidogo ni sawa sawa na millioni 24ksh ya kenya
@tabomusic3625
@tabomusic3625 Ай бұрын
Usiwe mwehu wewe, una uhakika gani kama kachezea muda wake, unajua nini kuhusu yeye au ulitaka umsikie kama unavyomsikia harmonize ndio usema kafanikiwa na hakuchezea muda wake?!, maisha sio kuimba tu, kuna maisha nje ya mziki, unazidi kudhihirisha kwamba nchi yetu ina wajinga wengi…. STUPID
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,3 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 53 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
CLAM VEVO
Рет қаралды 63 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,3 МЛН