WALICHOKUTA POLISI NYUMBANI KWA MEYA JACOB, WAKILI AELEZA MWANZO MWISHO, KUTEKWA?

  Рет қаралды 92,047

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 436
@mabalanyerere1541
@mabalanyerere1541 16 сағат бұрын
Mungu yupo hata mm simumwamin asikar akikukamata pinga kelele
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 11 сағат бұрын
Sii Kelele.ukipiga kelele hilo.ni kosa la kwanza.juu Wana kuambia ume waitia watu waje wapigwe.😂😂😂😊
@allythabiti8150
@allythabiti8150 7 сағат бұрын
Piga kelele na kituon utaenda lazma, tambuen hata mbingun Kuna askar nchi bila mfumo wa askar haiwi nchi.
@henrymntangi7783
@henrymntangi7783 4 сағат бұрын
@@allythabiti8150 we mjinga, nina wasi wasi na uraia wako
@ankongalima1859
@ankongalima1859 16 сағат бұрын
Askari wote hapo hawana jumba kama hilo, tuungane sote polisi. Maisha yenu sio safi.
@huyu1993
@huyu1993 13 сағат бұрын
Wewe unazijua nyumba za hao police au unaropokwa ? Umeuponza kichwa wewe ropokwa tuu
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 13 сағат бұрын
​@@huyu1993si wezi tu hao wanakazi ya kula ruzuku pesa za watanzania wanajifanya chadema hawana lolote kuzua taharuki tu ndiyo kazi Yao kwa hiyo wewe unawafahamu hao police ndiyo maana unaongea utumbo wako
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 13 сағат бұрын
Nyummba Na uhaliffu. Wapi Na wapi
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 12 сағат бұрын
Wewe ni fala sana ngoja tukuache ivo ivo
@PiusJM
@PiusJM 10 сағат бұрын
. ​@@huyu1993Wewe hauyajui maisha ya polisi yalivyo ya shida si ndio? Au na wewe ni polisi, ukweli umekuuma
@aloyce6583
@aloyce6583 13 сағат бұрын
Kiongozi asiyejiamini hutumia nguvu kila wakati. Na watanzania walivyo waoga wataishia kulalamika kwenye mitandao tu.
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 9 сағат бұрын
Shida ya yako wewe sio police sasa Wacha police wafanya kazi yao .
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 9 сағат бұрын
Hao walikuwa wanajaribu kuteka sasa wameshindwa.. alafu kesho na keshokutwa mnatafuta watekaji wakowapi... wakati mambo ndo yanaonekana kama hivyo..? Tanzania michosho sana. Alafilu mama anazungumza eti kufa ni kawaida.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 7 сағат бұрын
Kimbia uhame ! Na bora police wanakamata na kupeleka kituoni ,RAIA hatuna muda huo
@8pistons194
@8pistons194 3 сағат бұрын
Mama yake nan sasa
@godfreykeita9804
@godfreykeita9804 10 сағат бұрын
SHE MUST GO
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 9 сағат бұрын
Kuma la babu yako. Tafta hela pimbi ww
@TatuCharles-f5m
@TatuCharles-f5m 9 сағат бұрын
​@@twalibulomy-cd4zdmatusi ya nini?atupishe🏃
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 8 сағат бұрын
Naungan na ww🤝🤝
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 8 сағат бұрын
Mnajidanganya tuu Kahuku nyie
@aproxaprox
@aproxaprox 8 сағат бұрын
@@TatuCharles-f5m chuki za kidini zitakuua😜😛😛
@user-rd7vh8lz6r
@user-rd7vh8lz6r 17 сағат бұрын
Kwel hii nch kuwa mpinzan dhambi
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 11 сағат бұрын
Popote pale ata ulaya.uliwai.mwona trambu.na business.pamoja.apana inatakiwa upinzani.wafanye Kaz yao.ya upinzani.na sii kupigana na serikali.
@ChoroTesla
@ChoroTesla 10 сағат бұрын
Wafute upinzani km wanaona hakutakiwi kua na upinzan manake wanasema wanakwamisha maendeleo na vitengo vyote wako wenyewe ccm its pathetic
@maarufuselemani9233
@maarufuselemani9233 16 сағат бұрын
Nchi ishakuwa ya kisenge....
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 11 сағат бұрын
Sawa hama nenda Kenya au uganda.ila fanya mambo.yanayo.nyooka.uone kama umewai.kufuatwa.kwako.au kuitwa polis laaa hasha.tii.sheria bila shuruti.
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Сағат бұрын
Unasubiri nini kuhama ndugu
@CharlesKalembo
@CharlesKalembo 16 сағат бұрын
Mimi cyo chadema ila cwez kuwa ccm never😢
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 14 сағат бұрын
Tunachagua wengne lkn wanapita wengne tutafanyeje wacha tuisome namba tyu CCM mbele kwa mbele inaumiza lkn hatuna namna
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 12 сағат бұрын
Wewe focus na kilimo
@AliphonceMartina-q1u
@AliphonceMartina-q1u 12 сағат бұрын
Nimeipenda hii
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 11 сағат бұрын
Wewe sii CCM na sii.chadema bas wewe ni mtekaji.
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 11 сағат бұрын
Hii inaonyesha dhahiri hata mzee kibao police ndo waliomuua
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 сағат бұрын
Police hamn jipya pamoj na mhe Rais wenu nchi imemshinda
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 10 сағат бұрын
Hata nawe ni Rais wako hata kama hutaki labda uhamie Sudan
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga 10 сағат бұрын
Raisi wa nani,unalazimisha watu Raisi wao.Nani alimpigia kura😮
@DavidDeus-qb2uh
@DavidDeus-qb2uh 10 сағат бұрын
​@@EzekielKandongasio kila mtu anacccoment ana akili😂
@JamesDakki
@JamesDakki 10 сағат бұрын
Wenye wanasheria mnaraha sana yan mnakoment tuu chochote
@IsanHomi
@IsanHomi 9 сағат бұрын
Acha kukomenti utopolo wako kwenda huko
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 16 сағат бұрын
Njama ya mama kauli yake ya juzi
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 16 сағат бұрын
Mama mshenzi tu
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 11 сағат бұрын
Mama Sasa kaongea kama mwanaume wa nyumba kaweka Sauti yake ya masishi pembeni.mm namwambia hongera mama weka mazoeya.pembeni
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 9 сағат бұрын
Ninamchukia
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 8 сағат бұрын
Mama gagi sasa
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 7 сағат бұрын
@@AmmarSadik-x5u nayeye ipo siku utasikia tu ata magu alisumbua lakini kikuwapi vilio vya watu wengi avimuachi mtu saalama amini
@OscarGregorymosha
@OscarGregorymosha 14 сағат бұрын
Zaburi 23
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 12 сағат бұрын
Hawa ndio wanaoteka na kuuwa ila kutokana Hali watu wameshuhudia na pengine wakaona wamepigwa picha ndipo wakampeleka polisi ila hawa ndio wauwaji na wamemkosa leo ipo siku watamchukuwa tena hichi ni kitengo maalumu cha kuuwa
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 11 сағат бұрын
Kwa hii nawesa nikakuunga mkono.ndio.maana wanaitwa kitengo.cha ujasusi.yaani.kuwafuatilia wanasiasa.kujua wanafanya Nini na Wana panga.madudu.gani.ukikataa.kutoa ushirikiono.wewe umepoteswa.na wasio Julicana
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 9 сағат бұрын
Kabisa ndugu Mungu amlinde na awe makin sana
@noreenemanuel1819
@noreenemanuel1819 14 сағат бұрын
Alisema mtanikumbuka😢😢😢😢😢
@experymassawe3521
@experymassawe3521 12 сағат бұрын
Tutamkumbuka kwa lipi akiti yeye ndo alianzisha hii system ya utekaji
@binseif2216
@binseif2216 11 сағат бұрын
We mjinga sana
@saluuhans
@saluuhans 7 сағат бұрын
Facts ​@@experymassawe3521
@saluuhans
@saluuhans 7 сағат бұрын
Akumbukwe kwa lipi 😂😂 labda kwa uovu kama huu
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 3 сағат бұрын
Hatukumbuki wapumbavu,haya yote yeye ndiye mhusika mkuu,acha ujinga kabisa hatutaki ujinga tumechoka siku yakikufika utaelewa ujinga wako ulipo.
@songombingo108
@songombingo108 7 сағат бұрын
Kwa mtu kama huyu ambaye alishakuwa Meya wa hapo kwani Polisi wangempigia simu tu kwamba aripoti Polisi kungekuwa na tatizo gani??
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Сағат бұрын
Mpaka nguvu kupitiliza inatumika jua na yeye alileta ujuaji.
@Gdjn974
@Gdjn974 16 сағат бұрын
Hayo ndio miuaji ya matukio yoote tz
@Mufti-g3x
@Mufti-g3x 11 сағат бұрын
Wakati vyama vingi vinaanza Zanzibar kulifanyika mengii na wenzetu mkatubeza Sanaa mkisema wazanzibari kazi yao siasa tu vipi mnaona Basi ndio mjue haki haipatikani Kama unavyopewa kahawa au keki vile saivi Zanzibar peace and love
@ChoroTesla
@ChoroTesla 9 сағат бұрын
Unachosema na kilichotokea havi relate grow up
@Mufti-g3x
@Mufti-g3x 9 сағат бұрын
@@ChoroTesla Basi yaonekana huna macho Wala masikio maana kutekwa watu Zanzibar walitekwa Sana kuzalilishwa walizalilisha Sana na mfano wa hayo Sasa kipi hakipo sawa ? Au umeanzakujua siasa juzi na Jana tu? U are baby aren't u? Don't talk things which u don't know
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu 8 сағат бұрын
Nimeipeipenda hiyo "u are baby aren't you😂😂😂😂
@ChoroTesla
@ChoroTesla 8 сағат бұрын
@@ibrahimngulungu hahahhhaah Kiingereza hiki
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu 7 сағат бұрын
@@ChoroTesla 😀😀😀
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 17 сағат бұрын
Lile jumba cy poa
@amazing_grace5392
@amazing_grace5392 2 сағат бұрын
uniform watu wanashona tu, alikuwa sahihi kuwatilia shaka👏👏👏
@user-ez4mm9ff7n
@user-ez4mm9ff7n 5 сағат бұрын
Hata Mungu hapendi kabisa haya mambo yanayoendelea nchi ya Tanzania
@emmyandrew8670
@emmyandrew8670 8 сағат бұрын
Wanamuona done yy ni yajiri jumba km lote hao waliokwenda kumkagua hawana
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 4 сағат бұрын
Mhhh vita. Ila mungu alyepo sirini atajibu maombi ya watu wake.
@jumashedafa
@jumashedafa 11 сағат бұрын
Ni bora muwakamate ila msiwaue cz na sisi tunatak amani kama wanavuruga aman shughuliken nao...Yan utekaj na watu wamevaa unifom na sura zinaonekan na gar ni za polisi kwel? Yan nyie mnakuz mambo mno...kumvua nguo somet ni kwa usalama zaid je kama kaficha silaha
@NethrinePaul
@NethrinePaul 11 сағат бұрын
Hawa police ni waongo na hapo wanapekua ili waweke kitu waseme wamekuta kitu Yani sinachama chochote na hua sipigi kura na sitakaa nipige lakini Mungu atalaani Muhimili mzima wa serekali mm nasema Mungu yupo na mavumbini mtakwenda
@IsanHomi
@IsanHomi 9 сағат бұрын
Una juaje na haupo kwenye tukio
@asinahussein2176
@asinahussein2176 3 сағат бұрын
Analaani serikali mpaka na familia yake yote ​@@IsanHomi
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 2 сағат бұрын
Mm bora waniulie hapohapo kuliko kunichukua, wananchi mnashaangaa2 mtu anachukuliwa mbele yenu alafu, mnakuja kupata ameshauliwa mnachukua2 mwili manaenda kuzika alafu amaneno yanakua mengi.
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 12 сағат бұрын
Wa Tz tuache mambo ya kishoga hii nchi hain uongoz ni ujinga tupu watu wanaporwa haki zao nakukandamizw kila siku jaman wanaoandamw ni binadam wenzetu tuwen na uchungu jamn leo kwangu kesho kwako tuache kusita wanatak tuwe mashoga tu ndo twende nao saw
@Mosmwampa
@Mosmwampa 10 сағат бұрын
Kwa namna mambo yanavyoendelea inaonesha Kuna pressure watawala wanayo, kwahiyo wanatumia vyombo vya dola kuizima
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 4 сағат бұрын
Jamanii mungu. Amsaidie ndo polisi waliokuwa wanatetewa hao juzi wamekosa cha kuchukuwaa
@issaissa1361
@issaissa1361 11 сағат бұрын
Kwa hili linaIdi kuwatia wananchi sumu sio sawa kabisa
@kulwankuba2785
@kulwankuba2785 16 сағат бұрын
Hatuwaamini Tena police maana siyo poa,
@thomaswilbert6431
@thomaswilbert6431 4 сағат бұрын
🤔alafu huyu si meya huyu mbona wanamfanya kama raia wa kawaida😢
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 15 сағат бұрын
Wanaume,punguzeni starehe na pombe,mnajazana kwenye mabar na kwenye mpira,nakuiacha nchi.inavurugika.Mnawaachia wanahangaika.
@noreenemanuel1819
@noreenemanuel1819 14 сағат бұрын
Mmh so mtu asifanye qnachotaka
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l 10 сағат бұрын
Mwanashelria Gani wewe unaongea au unatoa maelezo ya kuwambiwa hata ujaona tukio hata kama je hao waliyo kupa maelezo ukiwaita kuja kutoa ushaidi watakuja kweli kumbuka wanashelia wengi hupata maelezo kwa kauli tarifa ndiyo maana mnaleta. Matatizo sana kuweni makini
@ChoroTesla
@ChoroTesla 9 сағат бұрын
Kasema kutokana na maelezo ya mteja hvi watanzania elimu zetu mbona zina mashaka hvie
@flavianmushi
@flavianmushi 4 сағат бұрын
Naona kinachoendelea ni vigumu Sana MTU kuwa Mpzani maaana maisha yako yanakuwa atarini
@jamesmasome359
@jamesmasome359 13 сағат бұрын
Mimi wanasiasa huwa siwaamini hasa chadema Wanatengeneza matukio....
@hajikadoma1652
@hajikadoma1652 13 сағат бұрын
Kabisa yani watu wa uzushi uzushi yani kwa hizo tabia zao nimetokea kukichukia hicho chama
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 13 сағат бұрын
Mpuuzi wewe matukio yapi jinga wewe kwahy nahapo alivyo kamatwa katengeza tukio ili hakamatwe kichwa maji wewe
@hotkitchenapple83
@hotkitchenapple83 13 сағат бұрын
Na kujitiisha huruma
@regnaldmwanda-lf1uy
@regnaldmwanda-lf1uy 12 сағат бұрын
Mimi ni mwana CCM kindakindaki lakini kuna baadhi ya mambo siyahelewi.R.I.P MAGUFULI. 2030 MAJALIWA NEXT PRESIDENT
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 12 сағат бұрын
Kuma la mama Ako hadharani kisimi Cha bibi Ako ww ni shahawa za shoga ww mtu yeyote wa kijani ni upinde
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 10 сағат бұрын
Waloniteka hawakuja na Noah, huu ni uvumi na kisanga ila kutekana Tena huu ni uhuni wakishamba, weka silaa chini situbishane kwa hoja
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 11 сағат бұрын
Ccm Iki chama akifai kabisaa jamn amkeni
@IsanHomi
@IsanHomi 9 сағат бұрын
Amka wewe
@robartifabiani
@robartifabiani 9 сағат бұрын
Alafu wewe ubaki ukiwa umelala au
@IsanHomi
@IsanHomi 8 сағат бұрын
@@robartifabiani Mimi najielewa
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 10 сағат бұрын
Sasa taarifa za uongo na upekuzi wa nyumba wapi na wapi
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 9 сағат бұрын
Hao walitaka kumpeleka pasipojulikana hiyo ya upekuzi ni baada ya mpango wao kufeli
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 7 сағат бұрын
Wamepekua nyumba yake wewe nae kilaza
@saluuhans
@saluuhans 7 сағат бұрын
😂😂 uongo na upekuzi 😂😂😂 wapi kwa wapi
@saluuhans
@saluuhans 7 сағат бұрын
​@@KhadijaMwendamission failed 😂
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 6 сағат бұрын
@@saluuhans eee
@godfrey3926
@godfrey3926 16 сағат бұрын
Jamani tusiiharibu nchi yetu, na viongozi wetu lazima wakubali demokrasia inavyofanya kazi..Kama hawa wamefanya makosa basi vielezwe vyote na kama ni vitu vidogp kama kusema uongo mtandaoni, basi hii ni aina pia ya demokrasia, as long as hawajasema makubwa ya kwenda kinyume na katiba au kuleta vurugu kubwa..
@Mosmwampa
@Mosmwampa 10 сағат бұрын
Sahihi
@SaidBakar-q4j
@SaidBakar-q4j 5 сағат бұрын
Yani kunamda asila inanipanda Hadi naisi naweza kosea kusema acha ninyamaze ira sote tukae tukijuwa tutakufa
@sidemwambatz8707
@sidemwambatz8707 11 сағат бұрын
Check alivyokua mdogodogo
@oscaroscy7738
@oscaroscy7738 Сағат бұрын
safi sana Boni
@henrymntangi7783
@henrymntangi7783 4 сағат бұрын
ccm bila vyombo vya ulinzi HAMNA KITU
@dianafredrick8830
@dianafredrick8830 4 сағат бұрын
mungu atusaidie tuuu huyu alikua anaonekana sana kwenye msiba wa ally kibao ila mungu amsaidie tuu
@AnuaryKISEGE
@AnuaryKISEGE 7 сағат бұрын
CCM WATOKE WAPUUZ SANA
@neemannko2040
@neemannko2040 4 сағат бұрын
Kwanini wasiende kusachi ccm kwanini wanaopenda kuonea wanachadema??? Ivi police mbona mna Chama wakati haitakiwi KUWA na Chama????
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Сағат бұрын
Majeshini ni order na utiifu, na aliyepo madarakani ndiye atatiiwa
@starspreandprimaryschools3075
@starspreandprimaryschools3075 8 сағат бұрын
Yes mwanangu, pole
@AngelMazola
@AngelMazola 8 сағат бұрын
Verry so sad 😢😢😢😢😢😢😢 the things going on in this country are very sad😢😢😢😢
@herrymathayo1159
@herrymathayo1159 Сағат бұрын
Kuna vitu vinafurahisha sana hivi unadhani mbongo ni mtu wa kujifanya unatetea haki zetu.bro tunza family yako wa tz hatupo hivyo kaka unateseka Bure ndugu.usiwafatishe wapigania haki wa mda ule ila Kwa Sasa bro angalia maisha yako.
@starlily07
@starlily07 14 сағат бұрын
Samia must go
@binseif2216
@binseif2216 11 сағат бұрын
Wewe ndo uondoke
@starlily07
@starlily07 11 сағат бұрын
@@binseif2216 mtoto wa samia 🤣🤣🤣 unatesekea wapi
@bakarpaul5046
@bakarpaul5046 9 сағат бұрын
Acha umaku we mngese,makota ya shangazi yako ,unadinywa nini​@@binseif2216
@IsanHomi
@IsanHomi 9 сағат бұрын
Hatupo Kenya hapa acha kuiga
@allythabiti8150
@allythabiti8150 7 сағат бұрын
Go ya nyoko😂😂😂
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 8 сағат бұрын
Ukweli haupatikani kwa maelezo ya Mtuhumiwa tu kwamba kulikuwa na mazingira ya kutisha. Acheni tusikie pande zote mbili Mahakamani tujue penye tatizo. Kama anahusishwa kutumia Mtandao vibaya kwani siyo kosa?
@edosmithrichardigogo-xm9ve
@edosmithrichardigogo-xm9ve 7 сағат бұрын
Kesi ya mahindi upeleke kwa nyani,,unaleta stories za shule ya msingi Yan unamwibia mwenzio penseli halafu unamsaidia kutafuta.tafakar kwa kina
@edwindavid7037
@edwindavid7037 8 сағат бұрын
Hivi huyo RCO anaitwa nani vile?
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 сағат бұрын
Mwigulu Nchemba
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 сағат бұрын
Yan nyie police ipo siku Mungu atawadondoshen humo kwenye magar yenu
@RaphaelMbughi-n1g
@RaphaelMbughi-n1g 12 сағат бұрын
Tunaikumbuka Hotuba ya Mweshimiwa akihutubia Jeshi!!
@allythabiti8150
@allythabiti8150 7 сағат бұрын
Chadema; mchezo unacheza kwa kutafuta maslah ya kisiasa, ila juen nchi inaongozaa kwa sheria na taratibu., Hawa hata maelezo yao wanajikanyaga. Hii nchi haitoenda kwa chadema hata cku moja,,
@jumarajab5316
@jumarajab5316 12 сағат бұрын
safi sana polisi kamata hayo yote maropokaji ya mitandao
@googleus4903
@googleus4903 10 сағат бұрын
Hekima Mwasipu mwalimu wangu wa History form 3, mjomba chuma essay introduction mistari 8-10, kila point maelezo mistari 3 kwenda mbele, na tunafunga na mistari 8-10
@ActiveMedia-j9y
@ActiveMedia-j9y 6 сағат бұрын
MWILI UMEMSAIDIA SANA JAMAA KAWATUPA TUPA SANA PALE SINZA ANGEKUWA MWEMBAMBA KAZI INGEKUWA IMEISHA
@wemamtundu7906
@wemamtundu7906 3 сағат бұрын
Hivi kesi ya Mwanajeshi imeishia wapi, maana kimya
@franciscojohn5751
@franciscojohn5751 12 сағат бұрын
Dawa inaandaliwa tu ipo siku mambo yatakua sawa
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 8 сағат бұрын
MAGUFULI ALIJUA TU SIKU AKIFA WATANZANIA WANYONGE WAPATA TABU SANA YAMETIMIA
@ChukiMjinga-jw2ql
@ChukiMjinga-jw2ql 16 сағат бұрын
Sasa hivi tembeeni na vilipi Imani na polisi hakuna tena
@agathahasote9894
@agathahasote9894 10 сағат бұрын
Nilijua tu😂😂 hii nchi ngumu kinoma
@user-rm9iz3yi5c
@user-rm9iz3yi5c 3 сағат бұрын
Kwahiyo sikuizi Wambea awasutwi ni mwendo wa mateka na kuuliwa, ila wizi wabakaji wauwaji na wafisadi wanaishi, amakweli ni mwendo wakesho ikawale Leo, naleo ikawa kesho hapo sijui nimesema nini mtajuta Tu👌🤔🤐🙏
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 12 сағат бұрын
SAMIA MUST GO
@ednamollel5769
@ednamollel5769 6 сағат бұрын
Jamani Hali hii mpaka lini Acheni fitina na kumfanya Rais aonekane mbaya
@noeljacob9644
@noeljacob9644 31 минут бұрын
Kwahiyo Hao police walienda kupekua nyumbani kwake hizo taarifa za uongo kama zipo😂😂😂
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 8 сағат бұрын
nyoooo... watekaji wakubwa nyie! cjui mlidhamiria kumpeleka wap baba wa wa2!!!😕😕😕 yote hayo ku2nyamazish kwa maovu ya serikali... ety anasambaz taarifa za uongo which uongo?😒😒😒 ni vile2 mmegumiw kubabake
@FatmaKudra-s3t
@FatmaKudra-s3t 11 сағат бұрын
Alikaidi hivyo alistahili hatua hizo alzochukuliwa
@paulmashiliba3183
@paulmashiliba3183 10 сағат бұрын
Waje wamfuate babako ndo utajua siyo watu wazuri
@frankcryk3241
@frankcryk3241 10 сағат бұрын
Acha uchawa
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 9 сағат бұрын
Ni Bora ukaidi utakusaidia kuliko kilichomtokea Mzee wetu kibao
@DivineWisdom-o8y
@DivineWisdom-o8y 6 сағат бұрын
Nikiona mtu amecomment ujinga kama huu hua naangalua jina kujiridhisha Kisha najua kua hakuna kitu kibaya kama njaa na ujinga najuta sana kuzaliwa nchi mmoja na wasilamu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 сағат бұрын
@@DivineWisdom-o8yLaana sana,
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 3 сағат бұрын
WTuachie salama kijana ,ndugu mtanzania mwenzetu kabisa,
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 11 сағат бұрын
Chadema wote lazima wapekuliwe. Mana wanataka kuharibu amani ya nchi.
@saluuhans
@saluuhans 7 сағат бұрын
Police kuwavamia na kuwakamata wapinzani mnaweza lakini kuwakamata watekaji aaanha!
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Сағат бұрын
Wazee wa kutengeneza matukio na kutafuta huruma 😂😂😂😂. Sasa kama alijulishwa anahitajika na kaleta ujuaji mlitakaje 😂😂😂
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 7 сағат бұрын
Huyu rais kwr kamua kuimaliza bara
@saluuhans
@saluuhans 7 сағат бұрын
Hatujawahi kusikia hata siku moja police wamemkamata kiongozi wa ccm wanakamatwa wapinzani tu hii nchii hii inatisha sana hakuna aman hata kidogo
@chemstry409
@chemstry409 16 сағат бұрын
2 much Man Chamdomo... leteni sera mtatufamyia nini wananchi walala hoi...acheni haya mambo ya janja janja....
@tumainiamani111
@tumainiamani111 10 сағат бұрын
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho pia Tanzania ndio nchi police akifanyiwa maafa na wananchi kwenye siku moja au mbili tu utasikia wamekamatwa au wamesha chukuliwa hatua za kisheria, Lakini sasa mwananchi akifanyiwa maafa na police kilasiku utasiki bado tunaendelea na uchunguzi Mfano mzuri tuu ni kesi ya tundulisu mapaleo hii ukienda police watakwambia bado tunaendelea na upelelezi😔😞
@tumainiamani111
@tumainiamani111 10 сағат бұрын
Halafu mbona kila wakati wa kuelekea uchaguzi kunakua na haya mambo, kabisa hii nipicha yakuwa ccm hawawezi kushida uchaguzi pasipo kuwatisha wapinzania au kuwafanyia vurugu tuu mbona atusiki mwanachama wa ccm akifanyi vitu kama hivi au Sikuna sakata la bashe na mwenzake mpina mambo yako shwari tuu lakini kama mpina angekuwa upinzani sijui kama angekuwa salama kuongea kama anavyoongea kwenye vyombo vya habari.
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 7 сағат бұрын
Ahh nchii Hata mangu hakufanya hivyo
@Zenny89
@Zenny89 17 сағат бұрын
Naona CCM inaamua kuwafutia nyumbani.
@ireneshao7950
@ireneshao7950 10 сағат бұрын
Huu ni upuuzi alaf msifikir Mungu haoni
@IsackIsack-x7e
@IsackIsack-x7e 9 сағат бұрын
kumbuka mungu ni wetu sote
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 2 сағат бұрын
Hotuba ya mama ndio imesababisha haya....
@JumaMkiji
@JumaMkiji 8 сағат бұрын
Duuu iyo ndio Tanzania nibola uwe jambazi utakua na Amani kuliko kuwa mwanasiasa utakoma
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo 15 сағат бұрын
Ccm mwisho wenu utafika tu, uonezi kama huo mwisho wake ukaribu sana.
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 7 сағат бұрын
Kuna askar mmoja namdai walai iko SKU nitavmba naye
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 6 сағат бұрын
Haha, malizana nae Hawa Jamaa wasenge
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 5 сағат бұрын
Usijianike,kama unaweza fanya kimyakimya hayo unayotaka ,serikari haina dogo
@Simions-q2i
@Simions-q2i 15 сағат бұрын
Acheni uongo wa kusema eti mazingira sio ya kumkata na hawakuja kama kumkamata. Inamana manataka police waje na vigoma vya mtundiko na kucheza ndio mkamatwe. Nyie inatakiwa mkamatwe kama kenge. Maana hamna adabu siasa zetu chadema ni hovyo kabisa.
@ChoroTesla
@ChoroTesla 9 сағат бұрын
Km waoa wanahimiza tii sheria bila shuruti basi hata wao hawako above the law ukikamatwa lazima uambiwe unakamatwa kwa lipi na si kila kosa la kukamatwa mengine unapewa wito tu mbona simple
@edgarjoseph5573
@edgarjoseph5573 7 сағат бұрын
Hapo ndipo akili yako ilipoishia, Jitathmini kwenye hizi comment utapata majibu wewe upo upande gani? Wanaojielewa au wasiosielewa
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 сағат бұрын
Jua tukimaluza CHADEMA tunafuata wasio na Kazi maalum
@zaburi2386
@zaburi2386 Сағат бұрын
Hv mtu ukisambaza taarifa za uongo wanatakiwa waende kukukagua kwako
@noonelike6382
@noonelike6382 9 сағат бұрын
Minawashauri watanzania:. Muweke utaratibu wa kuwapigia kelele za wizi Kwa kila askari atakaye katisha mitaani. Piga kelele za wizi ukimuona askari mtaani.
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 9 сағат бұрын
Hawa maasikali wetu siku hizi hawaaminki tahazali kwa jamii akija asikali kukukamata ita maji lani wapige picha kwanza
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 13 сағат бұрын
Lengo Lao wamteke maana bibi milemba anayofurahia watu kutekwa na kuawa
@bahatikarume3203
@bahatikarume3203 8 сағат бұрын
Kama but not
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 2 сағат бұрын
Mm jeshi la police silamini kabisaa,
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 Сағат бұрын
Afrika ukiwa mpinzan kupekuliwa nikila siku hiv tuko na tatzo gana jamani Africa
@Stanley.kapumbira
@Stanley.kapumbira 10 сағат бұрын
Tarifa za mitandao za uongo ndo wakasachi mbaka nyumbani kweli
@GloryMwacha-rx2sc
@GloryMwacha-rx2sc 9 сағат бұрын
Watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 10 сағат бұрын
Mmeshindwa kuwatafuta watu wasiojulikana,mpo mnadili na mambo ambayo hayana kichwa wala miguu
@salama1113
@salama1113 9 сағат бұрын
Sasa kwann walivyo ona hivyo hawajapiga picha mtu anaweza kupotea hivihivi nawatu wanamuona😢😢😢
@SurprisedCamel-ow6md9
@SurprisedCamel-ow6md9 11 сағат бұрын
Mnamatatizo mmekaa kila mda utekaji tuyy uwongo wenu
@navioma4882
@navioma4882 6 сағат бұрын
Huuu ushezi wa hali ya juuu
@rejius11
@rejius11 8 сағат бұрын
Tanzania hakuna chombo maalum cha kuhoji uongozi wa juu unapokosea
@lilianjonas2258
@lilianjonas2258 7 сағат бұрын
Nahisi inapswa tusikubali polisi kumchukua mtu mbele yetu…. Hii ndo inaleta wapa hawa polisi nguvu
@4karimu_
@4karimu_ 11 сағат бұрын
Waandishi ulizeni maswali ya msingi kuvaa nguo za Askari haikupi UHAKIKA kuwa huyo NI askali ,,kitambulisho muhimu na sio nguo za askali acheni kukulupuka kwenye maswali
@AbeidKingo
@AbeidKingo 6 сағат бұрын
Upinzani kazi wanayo maana hii hali ni mbaya sana
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
MEYA BONIFACE JACOB “BONI YAI” APANDISHWA KIZIMBANI
0:52
BREAKING: MEYA JACOB AFIKISHWA MAHAKAMANI
1:21
Millard Ayo
Рет қаралды 4,7 М.
RAIS TLS MWAMBUKUSI “HATARI POLISI WANAPOTUMIA NGUVU”
1:15
Millard Ayo
Рет қаралды 2,9 М.