KWA UCHUNGU CHINO AFUNGUKA ANAVYOPATA HELA NYINGI YA KUNUNUA MAGARI NA MAJUMBA "AU NIACHE MUZIKI"

  Рет қаралды 39,472

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@dennisnjonanje62
@dennisnjonanje62 2 ай бұрын
Piga kazi mdogo wangu Chino, penye mafanikio hapakosi husuda. Greetings from Germany
@daltontemboTv
@daltontemboTv 3 ай бұрын
Wow it's amazing nimependa sanaaaa chino kawamkubwa Sanaa kiakili nidham uhaminifu na ata bidii na juhudi respect brow @CHINOKIDD
@SesiliaMwala
@SesiliaMwala Ай бұрын
Wew pig kaz bro wingine tupo uku atwerewi yaan🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@anganjirichinchoche4520
@anganjirichinchoche4520 26 күн бұрын
Nakukubali xnaaa mwamba...
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 3 ай бұрын
Chino unajielewa Sana mdogo wangu mungu akupe moyo huo daima
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc 2 ай бұрын
Nakukubali Chino
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 ай бұрын
Mzee umejibu vizuri Interview Japo umelewa kinoma
@JumaGendeye-sv6yl
@JumaGendeye-sv6yl 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@HurumaeldaudMakala
@HurumaeldaudMakala 2 ай бұрын
Much love chino❤❤❤❤
@twahaissack7887
@twahaissack7887 3 ай бұрын
vijan wanajitambuaa now big up
@RahelSimon-bm8tm
@RahelSimon-bm8tm 3 ай бұрын
God bless you bro,pls chino nisaidie chochote kwa ajili ya mtaji nisaidie familia,,,am single naomba tafadhar
@PeterRas-o7d
@PeterRas-o7d 3 ай бұрын
Kaka Chino hapana Juzi Tu kwa kazi Ya kudansi Ngoja Nimpigie Cm Sa god haha 😄 😆
@Quan-silas
@Quan-silas 2 ай бұрын
Chino anatoa sana darasa anatufundisha kufanya kaz kwa bidii
@LuckyTemu
@LuckyTemu 3 ай бұрын
Acheni fikra za kiseng uyo chino anvyozunguka ivo amumuoni au mnafanya kusudi mtu anazunguka usiku,mchana kutwa uyo Ally B mjumba wake mliuona au kutwa kelel Rogeni na nyie kama rahisi
@GomaRunyamila
@GomaRunyamila 2 ай бұрын
Ni kweri ndugu yangu unachokisema nakuelewa sana chino
@RamadhanHuseni-v7e
@RamadhanHuseni-v7e 2 ай бұрын
Umejibu vizuri japo umependeza
@emanuelyYona
@emanuelyYona 2 ай бұрын
Big up bro
@Barcher4868
@Barcher4868 3 ай бұрын
Nakuelewa ndugu yangu nakumbuka mengi sana....
@clintoncliff772
@clintoncliff772 2 ай бұрын
Chinno mbn kama umelewa bwiii😂😂😂
@kassimlugwe1760
@kassimlugwe1760 2 ай бұрын
Meno yakueka ndyo yanafanya anaumiza maneno
@fathercollacollafather
@fathercollacollafather 2 ай бұрын
Bwiiiiiiiiiiiiiih
@ramamabrok2523
@ramamabrok2523 3 ай бұрын
Chino kid 🎉🎉
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
USISHTUKE 1:14 KUNA WATU MUNGU ANAWACHAGUA,,OMBA NA WW MUNGU AKUCHAGUE HAYO SIO MAAJABU,,TULIKUWAGA NA ASLAY APA,WAKAMPAMBANISHA MPAKA DAI,,KILA MTU NA TAIM YAKE..
@TonnyMaster
@TonnyMaster 2 ай бұрын
Hahahahahaha inamaana chino ni Mwanga au
@HussenKaunde
@HussenKaunde 3 ай бұрын
kaka nakukubali xana
@jescasanga2005
@jescasanga2005 3 ай бұрын
Hongera sana chino
@ysnbunny
@ysnbunny 2 ай бұрын
Bro anafanya kazi sana, mchapa kazi lakin hayo maswali yenu mwafanya kusudi.
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 3 ай бұрын
Chino bna kapiga kazi sana…ana show kibao sana ila watu kwa nje watasem mambo kibao
@IbrahIbrah-m5p
@IbrahIbrah-m5p 3 ай бұрын
Zaman mtu akifanikiwa tunasema Fremason ... sahv kuna mitandao ya kijamii tunaona watu wanavopambana huwezi sema freemason ... nadhan tupige kazi tu
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 ай бұрын
Hawa wanamziki midomo wanapata wapi? Maana tangu Diamond ajitokeze wamekuja kina Marioo, Hamorapa, na sasa huyu tena. Surgery nini?😢
@allenarchard8888
@allenarchard8888 2 ай бұрын
We una uhakika wa kula kwelii unayesema ivii
@GariMoshimk
@GariMoshimk 2 ай бұрын
Chino apambana kweli
@Meddy-Kinowe
@Meddy-Kinowe 3 ай бұрын
Pambana Mzee Maisha ndio haya ukipata wekeza kwa ajili ya kesho yako
@NasriFaisal-b7z
@NasriFaisal-b7z 2 ай бұрын
chino akamatwe atasema tu ametoa wap ela
@hadija846
@hadija846 3 ай бұрын
PAMOJA SANA CHINO 🎉❤
@imanimussa6256
@imanimussa6256 3 ай бұрын
Wamempa kaz kweli kuliacha domo waz watu waone mijino ya bandia😀😀😀
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 3 ай бұрын
Yalè ya muda anaweka meno sawa
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 3 ай бұрын
Sawa Atukataii ila Sio utuambie unamzdii MARIOO money
@josephnsembele251
@josephnsembele251 3 ай бұрын
I really love this
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 2 ай бұрын
Sio yule dereva aliokufa kweli
@maiyaeugen4640
@maiyaeugen4640 2 ай бұрын
Mkiumwa ndo tutajua
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 3 ай бұрын
CHINO PIGA KAZIIIIII BWANA MANENO YAPO TU
@patricklazaro-h6n
@patricklazaro-h6n 3 ай бұрын
sasa mbona walimu wamenidanganya nimesoma na kufaulu mwishoni nimeishia kwa wahindi
@AgustinoPaul-d1i
@AgustinoPaul-d1i 2 ай бұрын
Nashida no zake
@richkaja3317
@richkaja3317 3 ай бұрын
Pambana sanaa chino
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 2 ай бұрын
Kama kweri una pata pesa Kwa sababu ya mziki saw rakn ka ume jiunga na mashetwan pia sio saw
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 3 ай бұрын
Ni kweli muziki unafanya na unakulipa ila ili ukulipe na upate madili kama hayo lazima Uwe chini ya iluminati.
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 3 ай бұрын
Utakua masikini wa kutupwa kwa akili hiyo
@BrightonSimfukwe
@BrightonSimfukwe 2 ай бұрын
Hakika mwamba dahaa anapambana
@Ngilamelody
@Ngilamelody 3 ай бұрын
Ata awe mpika mpishi hyo imeenda
@SAMStudio-u3y1g
@SAMStudio-u3y1g 2 ай бұрын
Usiache music
@JosephinaalexSungwe
@JosephinaalexSungwe 3 ай бұрын
Achen izo
@MaryFlorence-t3m
@MaryFlorence-t3m 3 ай бұрын
Mdomo ukizeeka utaubeba 😅
@bonemwaminifu3935
@bonemwaminifu3935 3 ай бұрын
Michuzi mingi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Chino ana piga kaz sana
@BakariOmary-s6j
@BakariOmary-s6j 3 ай бұрын
Madawa ya kulevya
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 3 ай бұрын
Madawa ayo chino
@omarkabuyeson3675
@omarkabuyeson3675 3 ай бұрын
Utapakwa mafuta Wewe sio Mwenye Hela anauza unga
@Jurbeg
@Jurbeg 3 ай бұрын
Panado au piliton 😮
@LatifaCharles
@LatifaCharles 3 ай бұрын
@@omarkabuyeson3675😂😂😂
@BakariOmary-s6j
@BakariOmary-s6j 3 ай бұрын
Madawa ya kulevya
@razakikufi4383
@razakikufi4383 3 ай бұрын
Bogus ,hizo juhudi zake tusimbeze
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 3 ай бұрын
Hayo mapete na machining yana maana yake, tulotoka huko tunayajua hayo, sasa na wewe kapige shoo kwenye baa uone kama utatobo
@Scalingcbfmranger
@Scalingcbfmranger 3 ай бұрын
Unataka kusemaje dada anguu
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 2 ай бұрын
@@Scalingcbfmranger Nachotaka kusema huyu dogo ameingia kwenye Vyama vya kuuza nafsi ambako ndiko anakopatiwa mafanikio, Hana nyimbo zozote za maana zakumfanya apige shoo zikampa pesa hizo. Kumbuka mara baada ya Ajali yake na Dereva wake kufa ndio akaanza kujenga nyumba tena ya mama wa Dereva na mama yake mzazi kisha yake kwa nyimbo zipi afanye yote hayo? Hiyo mikataba ya matangazo ni konection wanazopeana wenyewe kwa wenyewe kama kiini macho ili mkimuhoji apate pakuwajibia ili msipate kupekenyua zaidi.
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 2 ай бұрын
@@Scalingcbfmranger Huyo dogo kaingia kwenye kuuza nafsi kwa Lusifa yaani kajiunga na mtandao wa Freemason na ndio wanatoa hayo mapete kila kidole ambacho anavaa kina maana yake na kazi yake mpaka hizo cheni zinakazi yake.Dogo kapata mafanikio makubwa kwa muda mfupi mara baada ya Ajali yake na kufa Dereva wake ndio akaanza kujenga nyumba tena ya mama wa Dereva wake na ya mama yake mzazi kisha kajenga yake.Tunawajua wengi wana nyimbo Kali na niwamuda mrefu lakini hata kula yao ya siku ni shida sasa yeye kwa nyimbo zipi afanye yote hayo?
@twanjebreezy4654
@twanjebreezy4654 3 ай бұрын
Pop smoke alikufaje ivi
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
LEMA AMKATAA MBOWE WAZI WAZI “MUACHIE LISSU ATUONGOZE”
4:26
Millard Ayo
Рет қаралды 27 М.