shukrani Kaka Lucas Lumbas kwa kazi safi kando na kuburudika pia tunapata elimu kwa wingi pia hongera simulizi mix kwa kutupa kipao mbele ili kutufanya kuwa wathamani ahsanteni sam na ALLAH awajalie mema akiwaondolea mbali husda na roho zenye huluka mbaya nakuwapa hekima zaidi yakuufundisha ulimwengu
@magdalenemutindi Жыл бұрын
Wow Leo nmewahi wpi likes team hamam
@Shaminashani8 ай бұрын
Kumbe tuko wengi😅😂😂
@حمدانالحويطي-م8ك Жыл бұрын
Ama kweli mwisho wa ubaya ni aibu na kudhalilika pia kuupoteza utu na heshima yamhusika, ila pia mwisho wa wema ni ujasiri na heshima na fahari kwa wengi pia chukizo kwa wengi kwa mhusika maana wengi hupatwa na roho ya ubinafsi na kumwonea mhusika alie mwema wivu na kijicho, kamati ya roho mbaya kuwatala na kumfitini ila kwa kuwa amazoea wema wala hawaii iwe kwa wazazi wala wakiu waserekarini hata vijijini ili kumheshimisha alie mtynuku wema huo na talanta hio nakumheshimisha nakuwageuza wengi walio na tabia kama zamzee komba na wenziwe na wakuu wao kudhalilika ili kuuponya ulimwengu nakuugeuza kabisa nakuufanya kuwa ulimwengu wa upendo na heshima kudumishwa kama mimah alivyo fanya kuwaanika wanga wote nakuwakomesha ili kujipa kijiji amani
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Shukuruni Lucas lumbasi. Umbaya huna maana tenda mema hupate baraka kutoka kwa mungu
@RoseNillan-ns1dg Жыл бұрын
Wa Kwanzaa mh 😊 like zenu plz
@Lilianarubin Жыл бұрын
Jaman lucas ukiona simuliz yakichaw uweunaweka kichawi chawi minaon kadada kalemb najua zuli kumbeinatisha