Kubaba senge 😂😂😂😂😂mbimbirisa mavii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dogo haya majina unatoa wap lakini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hutahuta11703 ай бұрын
Hahahaha makomaza nahuyo shemeji mfinanga.mbavu sina mie niacheni😂😂😂😂😂
@HAWAMAULIDI-zl5xd3 ай бұрын
Happy birthday to you doko ishi sana 🎂🥂
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Doko na timu yako mko vzr sana❤❤❤
@Online_media_nation3 ай бұрын
Happy birthday Doko🎉🎉🎉
@ShukuMboya3 ай бұрын
Nawakubal sana Mrs doko
@BarackCalistus3 ай бұрын
Uko vizur sana Mr Doko
@Nancy-z1k3 ай бұрын
Happy birthday doko.......much love from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉
@kamote93 ай бұрын
SHABIKI YENU FROM DUBAI hapa Kaz NZULI sana nawakubali mpaka nife.🥰🥰🥰
@winniesidi46083 ай бұрын
Hii hair style ya doko....😂 Anabandika na superglue ama n vipi....😂😂😂😂
@MaryamuMwatella3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂ninakunywa jaman niachen aalaah😂naharisha😂😂😂
@JanetRiziki-ut2is3 ай бұрын
Kazi nzuri sana watu wangu ❤❤❤
@othmanmbarouk84993 ай бұрын
😂😂😂ila doko nyoko
@cutestsmile54053 ай бұрын
😅😅😅ila we DOKO duuh! Hiyo story ya umbea kabisa....😅😅😅😅😅
@SekelaJohn3 ай бұрын
Bwana shemeji siyo kwa umbea uo nakupa eko
@malikaelvis-vn8ry3 ай бұрын
From Kenya nakubali ududu mdogo
@Tiffa913 ай бұрын
Happy birthday brother 🎉🎉🎉 Mungu azidi kukupa Afya na Miaka elfu happy birthday to you ❤❤
@LylahMrombo3 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂waiting for 7
@mkasijuma89703 ай бұрын
Kukoromaa hivyoo vipii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kheeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Kamote, wewe ni muongo kiasitcho?😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@kamote93 ай бұрын
😂
@shaphyshaphy55433 ай бұрын
Ahahahahhahaaa kubaabasenge nyie nimechek Kwa saut mpk jiran kaja
@ÇhêñśãĶîmś3 ай бұрын
Kaziii nzuriii sanaa hongereniii
@hamzaIlunga3 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo❤
@jamesmusukwa2293 ай бұрын
Namimi nipo Lusaka wewe ni nani
@Lucky_japhet3 ай бұрын
Oyaaaaa weeeeh oyaaaaa weeeeh take five au sio👊 sichekeshi mwana
@ireneyassin3723 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wa kwanza😅
@J742513 ай бұрын
Happy birthday DOKO❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
@_Wayiva_mukuta_jean3 ай бұрын
Kamote na doko, ipo siku mutakuja kuniua 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ShukuMboya3 ай бұрын
Hakika hii movie nimecheka sana jaman daaa
@HAWAMAULIDI-zl5xd3 ай бұрын
Dokoooo🎉
@QueenJane-x3m3 ай бұрын
😂 😂 🤣 🤣 Nmecheka kwa saut et KUBABASENGE
@GreffilySimiyu3 ай бұрын
Good work doko and your team❤❤❤❤
@MauwaSuleiman3 ай бұрын
Wamwisho jmn 😳 like zamwisho bc
@AliMunga-c8n3 ай бұрын
Kazi nzuri bro doko Big up sana
@BuzaTV-sn2ft3 ай бұрын
Wakwaza reo 👍👍👍💪🏿🇹🇿
@TightnotChome-fn2jy3 ай бұрын
Makuma zan manake nini😂😂😂😂😂aaah haki nimecheka sanaa❤
@خيراتالجميلة3 ай бұрын
Tunakupenda pia da soniya❤❤
@arimtekerdivalwamadush75173 ай бұрын
Wewe ni noma sana 😂😂hata makumazan ulizaliwa chooni
@EmmanuelCharo-to4ij3 ай бұрын
From Mombasa kenya kenya oyee
@jamillahassan34053 ай бұрын
Jamani leo nimecheka yangu yote🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣eti maana ya jina kumanza ni kuzaliwa chooni😂😂😂 jamani doko leo umenifurahisha sana😂pembeni tundu la kinyesiiiiiii
@Centrinewekesa-b8y3 ай бұрын
Nimefika ❤❤❤
@atoyomikel33993 ай бұрын
First one from Somalia
@RahmaMoon-e3h3 ай бұрын
Doko na mfinyanga nawapenda sana❤❤❤
@UmutesiChadia-f6x3 ай бұрын
🎉🎉yenu hayo
@SekelaJohn3 ай бұрын
Tumewamis jamani tuleeteeni dable ya 7 na 8 kabisa,mfinanga uache kwenda na shemej kwe maswala ya matibabu si unaona kaaribu kazi ya mtaalamu
@jordanissamunena17023 ай бұрын
Naitwa. Makuma zani toka Congo Lubumbashi
@antonshuuran-ru5mi3 ай бұрын
Mr maungo
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kipara ingwe
@jamillahassan34053 ай бұрын
Bibi naye ni hatari kwakweli ...eti doko amebeba virobo ishirini vya maviiiii🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣anakunia masaa ishirini na inne akifikiri ni kwao🤣🤣🤣
Kipala Ingwe ao Makumazan Ngumbe la nyani AKA majina mengi Doko ukipenda muite Dokomu 😂😂😂😂😂😂 kazi zako nzito nzito bro Love ❤❤❤❤❤ from Buja Bujumbura Burundi
@hassanuji75603 ай бұрын
1 points don't take more time to drop another one 🔥🔥 I like it from south africa 🔥🔥🔥🔥
@KINGSHALA3 ай бұрын
Fare sana likes zaa Kenya's ma GEN Z uku❤🔥🇰🇪
@ndahabonimanajosue72843 ай бұрын
From Burundi
@MkalitzGhost3 ай бұрын
❤❤❤Good kichwa ududu mdogo
@arimtekerdivalwamadush75173 ай бұрын
Makumazan wewe noma😂😂😂😂😂😂 chooni noma sana
@Mariam-fm8vq3 ай бұрын
Dogo makumazani yupo vizur sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@candykimaro12553 ай бұрын
Makumazani mama kuzaa chooni😂😂😂
@SaidiSelemani-n9e3 ай бұрын
Wakwanza, leo
@sommohd79033 ай бұрын
Simpendi mjomba 🤨
@mahmoudnajad2173 ай бұрын
DOKO KAZI NZURI KAKA ILA USHAURI TU BROTHER KUA SERIOUS TAMTHILIA NZURI SANA STORY NZURI NI MATUKIO YANOTOKEA KWENYE JAMII YETU ILA KUA SERIOUS MOVIE HII HAIHITAJI COMEDY KWA UHUSIKA WAKO USHAURI TU KUTOKA ZANZIBAR...BIBI HUYU HODARI KWELI PONGEZI KWAKE.
@DonardChips2 күн бұрын
Nyie waomba like mnakera sana 😮😮😮😮😮😮 4:22 4:28
@MoTalentTz3 ай бұрын
Kipara igwe doko makuma Zani kichwa ududu 😂😂😂😂😂
@ZuhuraSwai-k3k3 ай бұрын
Happy birthday bwana doko
@sommohd79033 ай бұрын
Move mnaiaribu vituko vimezd kama vichekeshobhana🤨
@JoselineJuma-r7o3 ай бұрын
Ata mm nakubaliana na Makumasani sio kwa mgoromo huo jamani😂😂
@geraldomiguel22783 ай бұрын
Good job.
@ZuhuraSwai-k3k3 ай бұрын
Movee mnaharibuu sifaa nyingi wasengee nyie
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Oya wee mwamba kuwa na busara ww unazo sifa
@ggfwtgg16523 ай бұрын
I love it ❤❤❤
@NajmaNAJMA-zu7od3 ай бұрын
Wazee wakukoroma tujuane😂😂😂😂😂😂😂
@KoreanDramaMoviesKiswahili3 ай бұрын
❤❤❤
@viktorbato3 ай бұрын
Bibi chaka🚀🚀🚀🚀
@BeljoTambwe3 ай бұрын
Ubarikiwe Doko
@DJGIDS2543 ай бұрын
❤❤❤❤vizuri sana doko👉🇰🇪✔️
@shaiburajabumrope81133 ай бұрын
Support yenu wadau Kwa doko kama doko❤❤
@PatrickMalati3 ай бұрын
Apo🎉🎉🎉
@chantalmariesony299626 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 shemeki jamani 😂😂😂
@SelemaniHatibu-e5r3 ай бұрын
Sasa ime kuwaje dog mchawi alafu ana kimbizwa
@msomalisony2013 ай бұрын
HABARI ZENU MASHABIKI WETU TUNAWAPENDA MUENDELEE KUTUSAPOTI TUNAWAHAIDI KUWALETEA FILAM NZUR KALI ZAKUSISIMUA BAADA YA MIMBA YA MIMBA MIEZI12 TEAM DOKO APA SONIA
@SayyidiBnally3 ай бұрын
Twakupenda son
@kombobakar63193 ай бұрын
Sonia tunakupenda sana
@MwantatuAbdallah3 ай бұрын
Love U sonia
@MwantatuAbdallah3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@AllyBabu-kr6lg3 ай бұрын
Sonia nakupenda uwe mke wangu❤❤❤❤
@fguy26873 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@ShamsiaSululu-wj8om3 ай бұрын
Apa ndo mwisho ee😳😳
@hanifahkhamiss84853 ай бұрын
Mapema leo jamani 😊😊
@daymalhomebae94883 ай бұрын
Shida inakuwa wenye ku like comment ya aliyeomba apewe like. Sasa cheki uki double tap comment hii tu ndo ushalike tayari 😂😂
@munabalushi29643 ай бұрын
😂😂😂
@HamzamihoshoHamza3 ай бұрын
Aliekuwa anakunya walio muona msiwe wachoyo wa like naomben
@AzizaJuma-p7x3 ай бұрын
❤❤❤❤ more Life kichwa ududu
@shiraz-tv3 ай бұрын
kazi nzuri kaka
@mejubagu68253 ай бұрын
Nakuambia Hana Tisha doko😂😂😂😂
@SHANTFLOWERSTZ3 ай бұрын
Leo wa kwanza nipeni like hata 5😂
@Chelekogang3 ай бұрын
Kumbe umezaliwa chooni nimecheka sana ndy maana makumazani
@UstinaMayemba3 ай бұрын
bibi chaka😂😂😂
@kennedymasibo30493 ай бұрын
Akuna jila jingine la kutumia zaidi ya makumazani?mlianza vizuri lkn mnaharibu movie
@zainaabdallah8093 ай бұрын
Jamani team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno mbona amjaniita jamani aya tusalimiane team 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@aganzeroger3 ай бұрын
Wa kwanza Leo kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zakariawilliam-38163 ай бұрын
Jamani mbona unashewesha Sana movie
@billabong_del_sol_273 ай бұрын
Kichwa #ududu ukipenda KIPARA INGWEE nipo ndani Wenye Vipara Hatuchekeshii #mimba ya miezi 12 no gonga like apo
@derelmusyoka22533 ай бұрын
iisishe haki
@MashaPromise3 ай бұрын
Nimechelewa KBS
@MarioGabriel-iz8rj3 ай бұрын
Poá beby tipo pamoja
@Astro-5863 ай бұрын
Naombeni like zangu jamani
@merinazyd05323 ай бұрын
Unazo peleka wapi
@RachelNgalya3 ай бұрын
Wewe ni muigizaj gan kwenye hii muv
@DzameMami3 ай бұрын
Mm ni mkenya lakini niko Saudi na penda nyanya tu hapa😂😂ana ni furaisha