MIMI NAMTAKA HUYU KAKA, ACHA AUZE JUICE MI SINA SHIDA, WASICHANA HAWANA MSIMAMO - HELLO MR. RIGHT

  Рет қаралды 71,216

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 43
@happynazalenonazalenomndew5990
@happynazalenonazalenomndew5990 9 ай бұрын
Johari nlkua namuona mjinga ila anaakili nying san
@monirangerera7155
@monirangerera7155 8 ай бұрын
Hapa wengi ni makahaba wame kuja jiuza kwa wanaume siyo kutafuta wanaume maraya woye hapo kati ya hao mmoja labda mdo amekuja fata mume wa maisha uyo kaka angekuwa taji wote wangemtaka
@kudanatz9943
@kudanatz9943 11 ай бұрын
Leo Johari mnamshangilia 😂😂😂😂
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack 11 ай бұрын
😂😂madako yaooooo😂😂😂😂 nusu alafu tuna taka kilo2
@JumaBiaga-ex8qe
@JumaBiaga-ex8qe 11 ай бұрын
mnazinguwaa wekeni fullu episod wakanz mpaka watatu
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 11 ай бұрын
Huyo Zarishi natamani kumjua ana PhD ngapi? Sio kwadharau hizo no wonder anazeekeea hapo.Hana sifa za kuwa mke huyo ni pure mdangaji,na huyo mume atakae jichanganya kwa huyo Zarishi ajiandae kisukari,presha,pumu na yutiai😂😂😂😂👋👋👋😏
@amlanniamimuafricatz5745
@amlanniamimuafricatz5745 10 ай бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣
@AmosNyaburiri-l6r
@AmosNyaburiri-l6r 3 ай бұрын
Kiukweli zalish ananivutia jamani yani taratibu za kuja Mr right zikojee mie nakuja kumfata zalish aiseee daah
@GabrielMtende
@GabrielMtende 11 ай бұрын
The last part please but I have known that johari I the mis right
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 11 ай бұрын
Yan Hawa wadada sio wake ni makahaba wanaotaka pesa
@franksaga3413
@franksaga3413 11 ай бұрын
Hawa sio wake...wanaangalia vipato vya wanaume, Je wao wanaweka nini mezani? Ukijiuliza hilo unakuja kugundua hakuna wanachoweka mezani zaidi ya uchi....So sad!
@metrineomega1635
@metrineomega1635 11 ай бұрын
Hamna kitu wameekezaaaa wanafuata Mali wafike wajue ipo Kisha wapore watorokeee
@franksaga3413
@franksaga3413 11 ай бұрын
@@metrineomega1635 kwanza hii show ina double standards, hao mademu na wanaume wanaoenda hapo wote ni clout chasers/cheap popularity...
@amlanniamimuafricatz5745
@amlanniamimuafricatz5745 10 ай бұрын
😂🙏🏻🙏🏻
@stellahmnyazi9287
@stellahmnyazi9287 10 ай бұрын
Hawa wadada pia wanafaa kusema kazi wanafanya zinazowaekea pesa
@RandB_Channel
@RandB_Channel 11 ай бұрын
Huyu jahari hata kwenye ataenda ataachika tu ju anamudomo anajiona du Ona sasa mwana umme mwenye iko anapigania .
@Ceciliaemmanuel-ey7ll
@Ceciliaemmanuel-ey7ll 10 ай бұрын
Nimependa johary
@LillianNyaboke-kg3ee
@LillianNyaboke-kg3ee 10 ай бұрын
Sipendi vitu nususu sema story yote ama niwagomee nanyi😂😂
@EmilianaMatumbati
@EmilianaMatumbati Ай бұрын
Brazia yenyewa huna zariahi
@NeemaHashim-c2p
@NeemaHashim-c2p 11 ай бұрын
Yan imebid nije kwa ajili ya2huyo jokha😂😂😂😂😂
@daydaypapaa7709
@daydaypapaa7709 11 ай бұрын
Hii story ninzuri sana mngeituma yoke sasa mmeanza ungese wanusunusu 😢
@hawaa341
@hawaa341 11 ай бұрын
Johari upo kumbe
@Nice-l3i
@Nice-l3i 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 johari
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 11 ай бұрын
Huyu mlevi mwenye matatu bado yupo..anaonekaa anatabia kama za gygy..mapepo hayo..hiki kipindi ni madada poa ndio wanakuja kitafuta waume
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@theprincejr1417
@theprincejr1417 11 ай бұрын
Hivi adimin wa hii page kupost nusu nusu anatuonaje
@cutiee681
@cutiee681 11 ай бұрын
Si muachilie episode refu sasa hii ata haieleweki ata before ujue imeishia aje imechanganya waliotolewa kwa uwanja still wako apa ata siajawai elewe hii kipindi
@saidiissa8729
@saidiissa8729 11 ай бұрын
huyu kk kaondoka na nani ?
@shufaahmmmohamed1833
@shufaahmmmohamed1833 11 ай бұрын
Kwanza huyo zarish si amesema anauza mgahawa haoni muzak JUICE atamfaa kwakua biashara zao zinaendana 100% ila chiz halaf mshamba tu anataka pesa sio mapnz
@elizabethabednego1639
@elizabethabednego1639 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂Johar
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy 19 күн бұрын
Uyo zarishi mfukuzeni apo analeta kichefuchefu kila mwanaume awe wa serikalini kweli mtoeni apo ana haribu kipindi eti kinakuwa kibaya sasa
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 11 ай бұрын
Saiv inatia uvivu kufatilia mnapost vipande na haviko kwenye mpangilio mnazingua
@JumaBiaga-ex8qe
@JumaBiaga-ex8qe 11 ай бұрын
wekini episodi fulluu
@RobsonWisdom
@RobsonWisdom 11 ай бұрын
Johariii ana kituii😂😂😂😂😂
@POWER392
@POWER392 11 ай бұрын
Piga like zangu
@AdelaidaMbawala
@AdelaidaMbawala 11 ай бұрын
Kwanini mnaweka vipande vipande
@JumaBiaga-ex8qe
@JumaBiaga-ex8qe 11 ай бұрын
Sio mnaweka vipande vipande
@erickzuma4115
@erickzuma4115 11 ай бұрын
Aa ayo ni madanga t amna kit apo
@degolehakizimana
@degolehakizimana 11 ай бұрын
Hata mimi sipendi kabisa wanavyo post.hawajuwi kabisa
@marthasonia5005
@marthasonia5005 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MohdNassib-wr3ky
@MohdNassib-wr3ky 11 ай бұрын
😂❤🇹🇿
@josephlugala3182
@josephlugala3182 10 ай бұрын
Ujinga mwingi hapo hukuna mwanamke wafanyabiashara wa mapenzi
KITASA AMNYWEA CHAI MKE MWENZIE / ASEMA TALAKA NGINJA NGINJA
22:20
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 21 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 2,2 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 10 МЛН
MARYAM KAZIMIA MICHANO.
9:41
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 253 М.
CHEKI HIYO ENTARANCE  NI YA MOTO
6:10
MC CHAVALA TZ
Рет қаралды 553
PENZI JIPYA | NAMPENDA SANA  MUONEKANO WAKE HELLO MR RIGHT
10:43
ST BONGO TV
Рет қаралды 174 М.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 02 MWANZA
1:10:54
BongoStarSearch
Рет қаралды 140 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 21 МЛН