UTAPENDA PENZI JIPYA | MREMBO AMWAGA MACHOZI | MMOJA ATOSWA AFANYA MAAMUZI MAGUMU (MR RIGHT S6E04)

  Рет қаралды 102,069

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 337
@IssaCharles-gp1bl
@IssaCharles-gp1bl Күн бұрын
Mr anaakili sanaa
@anglekimaro19
@anglekimaro19 Ай бұрын
Et sijuw katembea kwa miguu…. Sijapenda kwa anatakiwa kutembea na mikono or😁😁😁
@Issaamchriss
@Issaamchriss Ай бұрын
Mungu bariki dada huyu anaemuoenda mwenzake bila kuwa natama kama wadada wakisasa .mimi nimependa sn kaka huyo .mana nimkweli kbs .mungu awabaliki sn .....
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz Ай бұрын
Huyu dada amesoma nyakati ameona mbali sana hongera sana dada
@nancyaletarwa1578
@nancyaletarwa1578 Ай бұрын
Huyuu kaka ana akili nyingi sana na huyu sio machinga😂😂
@keruboElizabeth-c4t
@keruboElizabeth-c4t Ай бұрын
I like you guys. Watching you from Lebanon
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Ай бұрын
Nyieee penzi jipya na mibaraka juu maombi konki Dr kumbuka❤🎉
@JumaNgulinzila
@JumaNgulinzila Ай бұрын
Exactly
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Ай бұрын
😂😂😂😂kwakweli
@NeemaJames-l7g
@NeemaJames-l7g Ай бұрын
Hahaaaa😂😅😅😢
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 Ай бұрын
Wow my brother I'm telling you you make me happy love the one you love you🇿🇦🇧🇮
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day Ай бұрын
Umeonaa kabisa
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 Ай бұрын
asanteeeeee kumbuka maombi nimeyapenda na kuyaelewa,,,,,,,, mashallah ❤❤❤❤
@mariamabraham-q5x
@mariamabraham-q5x Ай бұрын
Waaooooh jamn nmependa hakika Mungu ni mwema Pia dr kumbuka uko vzur kwenye maombi safi sana,... Aminaaaa ❤❤❤
@yusuphmwanza507
@yusuphmwanza507 Ай бұрын
Mmmmh 😢 dokta kumbuka na maombi wapi wapi
@SCHOLASTICAMJAMESJAMES
@SCHOLASTICAMJAMESJAMES 9 күн бұрын
Nmefurahi sana kumuona lituli amepata mwenza wake,, yaan huyu Binti adi machozi yamenitoka,, ninampenda kuliko wadada wote na pia ni Mzuri anajielewa❤, any way Namtakia kila la heri Mungu awabariki
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Ай бұрын
Wameendana sana aisee
@samychance
@samychance Ай бұрын
Mr. Right Yuko vizuri mnooo,, he is so real mashallah mungu ampe zaidi🎉🎉
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
Ameen
@kharashbabar7393
@kharashbabar7393 Ай бұрын
Safi mr right namba 3 niependa spichi yko....vah👌
@saidbakari7998
@saidbakari7998 4 күн бұрын
Lituli kapata wa kumwingiza mjini😅😅katuwakilisha wanaume vyema kwishaaa
@josephkigembe-ec4pq
@josephkigembe-ec4pq Ай бұрын
Asante Mungu, Kumbuka anajua kuomba
@NasmaKibayasi-o6s
@NasmaKibayasi-o6s Ай бұрын
Yani ilo ujue huyo sio machinga just look him yuko very comfortable an hateteleki
@Ladyzeal-y4m
@Ladyzeal-y4m Ай бұрын
Kumbe kumbuka anajua kuomba kabisa😅😅😅😅😅😅
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Ай бұрын
Siku y kwanza nakutana n mme wangu chato Mganza akanidanganya yy n muuza matunda " na akawa hanipi pesa" siku nakuja kuona kavaa combat la jeshi anakimbiza wagambo nilichoka😂 akanipigia cm jion naomba tuonane niliogopa kwann hakusema ukwel" lkn tukaongea mambo yakawa sawa. Na hd sasa tunaishi wote na nimezaa nae mtt mmoja
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂😂
@Ladyzeal-y4m
@Ladyzeal-y4m Ай бұрын
@@PaulinaSemindu-ob3de ila pau hahaha mi nachoka
@leoniaathuman1038
@leoniaathuman1038 Ай бұрын
🥰🥰🥰 Nimefurah sana Lituli nilipenda msimamo wako tangu mwanzo Hongeraa sana mdgo wangu
@NeemaJames-l7g
@NeemaJames-l7g Ай бұрын
Litul ni mtu na nusu
@yohanadavid2086
@yohanadavid2086 13 күн бұрын
yaan huyu jamaa kaondoka na mke wa ndoto yangu lituli nilikuwa nampenda sana
@khadijasayeed3381
@khadijasayeed3381 Ай бұрын
Nimefurahi Nampenda sana Lituli🥰
@zacharyonchari9238
@zacharyonchari9238 17 күн бұрын
Tafadhali musik iwe jini ni sauti sana DJ punguza bana
@nicemuro9606
@nicemuro9606 Ай бұрын
Ila aipendi mnakavyoanzaga kuwachambuachambua Mr. Right wanakavyoingia. .... Waacheni Kila shetani anambuyu wake
@jamesmasesa5968
@jamesmasesa5968 Ай бұрын
LITUL WE NI BEST, NAKUFAGILIA TANGU ENZI ZA MOVIE YA MTEGONI
@HalimaLikele
@HalimaLikele Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉jmn kumbuka😂😂😂😂nawapenda sana jmn
@kilogreek4050
@kilogreek4050 Ай бұрын
MNAKITA SANA😂KAVAA SUTI ALAFU KAPANDA BASIKEL KAJA NAMGUU😂😂😂
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si Ай бұрын
Niliimic nilion jumamoc kam mwakan 😂😂😂❤
@omarsalum4052
@omarsalum4052 Ай бұрын
Huyu jamaaa ana hela itizameni saa yake 😄 🤣
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂weeee watu wanaazima nyie
@omarsalum4052
@omarsalum4052 Ай бұрын
@nancyg8664 yake iyo
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 16 күн бұрын
​@@nancyg8664 unaazima wapi Rolex
@LucasRuben-x1t
@LucasRuben-x1t Ай бұрын
Kwa mtazamo wangu huyu siyo machinga sijui lakin hapo hakuna machinga hataaa
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Ameficha kazi yake
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j Ай бұрын
Hata mimi nakataa huyo kijana siyo mmachinga hata kidogo huyo bwana ana akili sana yakutafuta mwanamke kawaficha ukweli wake wakipato, kwakuwa wengi wa mabinti wanaokuja hapo target yao kubwa nikutafuta wanaume wenye pesa ndo maana karibu wote wamemzimia taa baada yakuwadanganya kwamba nimtembeza viatu njiani,inasikitisha sana kwa hawa binti wasiku hizi mnakosa wanaume wamaana mnaangukia kwa watu wenye pesa zao
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Ай бұрын
Ameficha kazi
@EmmanuelMwamfwandilo
@EmmanuelMwamfwandilo Ай бұрын
@@LucasRuben-x1t Hahahaaa huyo kaka Namfahamu Anamaisha mazuri saana tuu lakini hapendagi kujikweza
@nyamwirilamanumbu3535
@nyamwirilamanumbu3535 Ай бұрын
Ila kumbuka hapana jmn
@ZahraOman-f4m
@ZahraOman-f4m Ай бұрын
Maashaallah kumbeka maombi mazur
@Bertinkilagano-p3x
@Bertinkilagano-p3x 15 күн бұрын
Nawapenda sana
@SashaOscar
@SashaOscar Ай бұрын
Mbona kumbuka kashusha ombi la upako namna hii, tena la kichungaji jmn😊😊 nimependa
@gideonkimario7405
@gideonkimario7405 Ай бұрын
Huyu ni Usalama wa Taifa kbisa. Jinsi alivyo tu na Hta kazi yke hiyo ya umachinga na kuingiz elf 50 Kwa sku hyo Ndio swagga zao. Hyu dem ajiangalie tu hpo @st bongo
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂hv nyie watu mnadhan usalama wanajulikana hovyohovyo tu😂
@kilogreek4050
@kilogreek4050 Ай бұрын
JAMAA HONGERA KWA PONT 💪👍🌲🌲🌲🌲🌲
@rehemashinsi
@rehemashinsi Ай бұрын
mchungaji umeweza🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BensonJonson-z5f
@BensonJonson-z5f Ай бұрын
Jamaa 😂😂😂et mwana maombi
@asheliwakilongo150
@asheliwakilongo150 Ай бұрын
Bro ni honest man. Ndo cha msingi tu.
@EnessiSosten-gd7yy
@EnessiSosten-gd7yy Ай бұрын
@@asheliwakilongo150 arafu mkweli
@mariammariam5723
@mariammariam5723 Ай бұрын
Kwaiyo mwenye kengeza hana haki yakupendwa😢
@MwitaHamismwita
@MwitaHamismwita Ай бұрын
wameendana kweli❤❤❤❤❤
@DianneZeberto
@DianneZeberto Ай бұрын
Uongo uho hana kazi nzuri tu
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu Ай бұрын
Litul hadi nimelia pia hongera na ukamtunze huyo kaka anahofu ya mungu Mr kumbuka Asante kwa maombi
@MuksinRauma-j7p
@MuksinRauma-j7p Ай бұрын
@@Mery-st4nu hello
@Jesusisking63263
@Jesusisking63263 21 күн бұрын
uyu nita tajiri ❤❤❤❤❤
@ClementMasunga
@ClementMasunga Ай бұрын
Litul ameondoka me nimelia sana 😢😢
@fedrickmichael5970
@fedrickmichael5970 Ай бұрын
Kumbuka unafaha kua mchungaji kabisa😅
@isackmbade3181
@isackmbade3181 Ай бұрын
I like that guys all the best
@MonicaGombe-s5b
@MonicaGombe-s5b Ай бұрын
Uyu jamaa sio machinga anakazi nzuri
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Ай бұрын
Ndio
@RandB_Channel
@RandB_Channel Ай бұрын
Jamani Aliya anamigu mizuri we😳😳 Mungu hanyimanaki byote
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
Kalituli kazuriiii alafu ata akana mambo mengi alafu kapole
@GraceSimba-nj7ml
@GraceSimba-nj7ml 22 күн бұрын
Jamani alliahy mnzurii
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Ай бұрын
😂😂😂😂kumbuka,umeuwa mbavu zangu
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si Ай бұрын
Mm nilijua trissy atawash tok ameingia kadata
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s Ай бұрын
Ata mimi nilijua tu maan mmh kaanza mashauz mapema sana
@KeeganMichael-m3c
@KeeganMichael-m3c Ай бұрын
Uyu jamaa sio machinga nawaambieni😂
@ReyzDon
@ReyzDon Ай бұрын
Why sio machinga
@Felister330
@Felister330 Ай бұрын
Super amazing
@hawaa341
@hawaa341 Ай бұрын
Ila kubuka Asante kwa maombi yako
@perrocollection8267
@perrocollection8267 Ай бұрын
Daah , mionekano inaficha mengi dada zangu , cha msingi ni maokotooo😅😅😅
@BernardSadani
@BernardSadani 8 күн бұрын
Jaman wasindikizeni na gom za kitambo kama ivy
@NeyNkwabi-p3b
@NeyNkwabi-p3b 4 күн бұрын
Kuuliza sio ujinga qakimaliza apo wanaenda kulala wote ndio wameoana hvyo je wazaz wao
@SeplinaNgoja
@SeplinaNgoja Ай бұрын
Amina asante kwa maombi dr.kumbuka
@bayubaheallydelly-rn2zv
@bayubaheallydelly-rn2zv Ай бұрын
Nampenda sana lithuli this nice couples kuliko zingini couples kwenye zilizo pita
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 Ай бұрын
Isn't machinga this is Guy 😂😂😂 but Manyema oye...
@BenjaminDida
@BenjaminDida Ай бұрын
LITUL anaonekana yupo vzuri sana❤
@marthasonia5005
@marthasonia5005 Ай бұрын
Nice 🔥
@FantaJAY-u2x
@FantaJAY-u2x Ай бұрын
Hili chaguo la huyu jamaa lilikuwa amazing, mi pia nimemuelewa masha
@RenatharJamess
@RenatharJamess Ай бұрын
Dah nimependa Mr right nimkweli kwasababu ya mwingine angesema ooh me ni mwana Sheria lakini yeye dah mwenyewe nafanya iyo kazi yakupiga kitaa.
@EssyMellina
@EssyMellina Ай бұрын
Nzuri jamani,,ila huyo jamaa wa mwisho akai kua machinga,,
@barnabawilliams586
@barnabawilliams586 22 күн бұрын
Hyo kaz ni kazi moja inatoa mpunga2 wamaana ila inazalaulika sana na wengi wao wapo mtaan na hawana kazi wapo2 mtaani
@MussacharlesSongo
@MussacharlesSongo Ай бұрын
Huyu lituli ni mtu na ana utu saana
@officiallituh
@officiallituh Ай бұрын
🙏🙏
@Hapygideon
@Hapygideon Ай бұрын
​​@@officiallituhko mimba umetoa ya mume wa rafiki yako
@yusufuyasin2347
@yusufuyasin2347 Ай бұрын
@@Hapygideon mtihani
@BenjaminDida
@BenjaminDida Ай бұрын
Sana
@KathuyaAnna
@KathuyaAnna Ай бұрын
Nimegoja sana ❤❤❤
@sahimtv4742
@sahimtv4742 Ай бұрын
Huyo Mr right ametokelezea kinyama
@ZulfatRamadhani
@ZulfatRamadhani Ай бұрын
Mr,Right anajielew san yuko na akili ya kiume tena kajingatia mafunzo
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si Ай бұрын
Ety winning muhasisi😂😂atatok kweny mshangaz wa podium atakuw bibi
@RumaisaSamwel
@RumaisaSamwel 3 күн бұрын
Jamni location wapi hili jambo
@Ayshapafyum
@Ayshapafyum Ай бұрын
😂😂😂😂asa kumbuk anakimbia nn😅😅😅
@Felister330
@Felister330 Ай бұрын
Amazing
@JanethPaulo-w6p
@JanethPaulo-w6p Ай бұрын
Muongo uyo kaka hyo siy kazi yake anachokifanya apo anajarbu kutfta mwanamke sahihi asiyejali pesa wala kitu chochote
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Mr Right ni mkweli sana.
@HappinessSolomon-t5z
@HappinessSolomon-t5z Ай бұрын
Dada wataolew na podium hizo mnaochungua kupata wanaume wenye pesa, si kila naekuja kutafut mke bora basi ataweka uhalisia wake wengine wanaficha uhalisia ili kupat mtu sahihi
@hawababy120
@hawababy120 Ай бұрын
True kbsa
@HappinessSolomon-t5z
@HappinessSolomon-t5z Ай бұрын
@@hawababy120 yes my dear
@esterbaraka1164
@esterbaraka1164 Ай бұрын
Afadhar maana nimekaa naisubili 🎉🎉
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day Ай бұрын
Dada umepata mume huyo jamaa yuko na mipesa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Ай бұрын
😂😂😂😂😂uwiiiio Dk Kumbuka
@denicekaaya
@denicekaaya Ай бұрын
Kumbuka mbona umekimbia😂😂😂
@ceciliajohn6329
@ceciliajohn6329 Ай бұрын
Huyu namjua ni mtu wa system sio mmachinga huyo lituli nenda kale hela
@Scholastica-rf1vn
@Scholastica-rf1vn 5 күн бұрын
Angedondoka arya cjui ingekuaje tu
@frankmathias9266
@frankmathias9266 Ай бұрын
nimependa maamuzi ya Lithul anyway she is a good girl,she deserve something good,kila la heri kwake.
@brendahnyerere2190
@brendahnyerere2190 Ай бұрын
Asante kwa maombi
@Shukutu
@Shukutu Ай бұрын
Kazi nzuri
@ReyzDon
@ReyzDon Ай бұрын
Kichwani yupo smart sana
@musondolirobert3922
@musondolirobert3922 Ай бұрын
Congratulations lituli
@emmanuelnsongo1213
@emmanuelnsongo1213 Ай бұрын
Wabarikiwe daima
@RichardMpanda
@RichardMpanda Ай бұрын
Huyu jamaa sio machinga uyu ni mtyu wa system SEMA anawachallenge mabinti ili kumpata mtyu sahihi anayeweza kuishi nae kwenye shida na raha
@UwimanaLiah
@UwimanaLiah Ай бұрын
Nami nimeliona ilooo 😊😊😊
@Issaamchriss
@Issaamchriss Ай бұрын
Nikweli nami nimeisi hili kbs .ila nimufumo mzur kbs mana wanawake wasiku hizi wanapenda maisha mzuri bila kuyahangayikia kbs
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 Ай бұрын
Nami nimeliona ilo🤭
@castombilo7114
@castombilo7114 Ай бұрын
@@RichardMpanda kweli kabisa
@castombilo7114
@castombilo7114 Ай бұрын
Huyu co mmachinga muamini hilo
@winfridahubert4072
@winfridahubert4072 Ай бұрын
Kuna kitu Gar B kakiona akamwamnia aliyah akaangalie kwa Mr right😂
@agriparose3942
@agriparose3942 Ай бұрын
Saa
@Coolboycaptain-x9m
@Coolboycaptain-x9m Ай бұрын
Akuna machinga hapo anstumia akili kutafuta mke 😂😂😂
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Ай бұрын
Nikama kweli kwasababu kama kamtego alikuwa amewaka havi maana alivokubali haraka yule huyo mdada alivyoonyesha upended mwanzo mwisho
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k Ай бұрын
Nimependa kujiamini nakujielezea hali halisi ya maisha yake,na mkebora ndio atapata hapo na isitoshe pengine ela anazo na KAZI yake sio hio Ana test wadada.🎉🎉🎉
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re Ай бұрын
Huyu jamaa kuhusu kazi ithink kuna behind
@EvanaFelix-cr3hj
@EvanaFelix-cr3hj Ай бұрын
Ata mi naona ila kwa mi binafsi nisingezima taaa😊
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Ай бұрын
​😂😂Sasaje huyu lazma kuwe na behind ​@@EvanaFelix-cr3hj
@LoveAron
@LoveAron Ай бұрын
Wengine wanaficha ukweli wao😂 na uhalisia kikubwa wakapendane ❤
@LucasRuben-x1t
@LucasRuben-x1t Ай бұрын
Hapo hakuna machinga
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
Nimeshuku pia❤😂😂😂
@roselinasandi6509
@roselinasandi6509 Ай бұрын
Amen Dr
@mwanneramadan8139
@mwanneramadan8139 Ай бұрын
Nimependa dada Yuko sahihi anaupendo
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Ай бұрын
Nyie kupata viela bac shida wajua eeh mnakela sana
@EmeryKayumbu
@EmeryKayumbu Ай бұрын
Warumba mbwiiii😂😂
@isaya43.12
@isaya43.12 Ай бұрын
Nimesikia garabatazar au ni mimi mwenyewe😂
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
MY DOUGHTER | finally |
29:18
CLAM VEVO
Рет қаралды 39 М.
BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA  PART 40 | Love Story
26:09
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 2,4 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН