Omydimpoz amekua kiakili yani amewaza nje ya box 🫶
@abdallahsalum4468 Жыл бұрын
Yap yebaba
@mandyuwimana7735 Жыл бұрын
KingKiba hana shida na Mond. Mond ametoka kwa msada wa King Kiba lazima aji shushe kwa mkubwa wake that's say 🙌🙌🙌
@mandyuwimana7735 Жыл бұрын
@eliashibundabalinze2217 Heka 8 zina sumbuwa hakili... 🙌🙌🙌KingKiba stong man 4ever
@mohamedjama5152 Жыл бұрын
King 👑 kiba 🔥
@leilaachmed9271 Жыл бұрын
Umesema watu wapatane sasa imekuwaje tena waendelee hiyo vita wewe na zeruzeru wanafiki wakubwa wew upatane lakini kiba asipatane chawa roho mbaya
@musty2025 Жыл бұрын
Mahaba Reggae version itamiliza Mondi kabla ya utu
@djcashwanakidiry9158 Жыл бұрын
The Onlione King 👑💯
@jemsifrolian106 Жыл бұрын
King no1 mziki mzur
@ankalmzito254 Жыл бұрын
Kwa hivyo#Alikiba ndio alimtoa Ommy Dimplz🇰🇪🇰🇪....
@Ommylayzah_tz Жыл бұрын
Ndio
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Yesaaaaaaaa
@shaqboy Жыл бұрын
Nani mkali festival izingaliwe🎉
@husseinshabani9522 Жыл бұрын
Baba levo! Alishatowaga maoni batotubato....mond & king kiba! Show show
@collinsmudaida9283 Жыл бұрын
Kiukweli mfalme mtu kazi,miongo miwili ila hapoi ndo kazidi kuungusha madogo.nimependa vile nyembo amedai,"mtu wa vocal na sarakasi wapande steji"😂
@DirectortristanKevin_POKOTTV Жыл бұрын
Simbaa 💯🔥
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Mmh cjui kwa 👑
@safiamanyana67079 ай бұрын
Yalikuwa mazingira kigoma boys kabla setani wa ustar ajawarubuni
@waheedhamad4558 Жыл бұрын
Kwa upande wangu bado sijaona msanii wwote yule wa kumshindanisha na mondi…..mondi wala sio level ya hawa watu maybe kdg tuwaweke davido wizkid au burnaboy hapa ndo huenda simba akapata challenge lkn sio kwa hapa bongo😂😂😂lile jamaa linaburuza sna wasanii kwanza ni master plan🎉😂🦁🦁🦁🦁
@allanchuma5807 Жыл бұрын
Ukweli usemwe, bila Ushabiki,Tanzania Kiba ataua Mondy,.
@elizabethmasitsa6537 Жыл бұрын
Hatamua vipi 😮
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit Жыл бұрын
Hili mkali mm nakubali naniipitisha kiupande wangu
@sakinaamani1486 Жыл бұрын
Mmmm mnafki uyuuu😮
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Amy gril ❤
@WillfredOnesphoro-in1lp Жыл бұрын
King ni kiba🤐
@festoasanga5572 Жыл бұрын
Mondi ni fire sio levo ya akina alikiba
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
Fire ni nini
@karaniomoit5259 Жыл бұрын
Level gani kiba ndo baba yao
@awadhisarai4331 Жыл бұрын
@@karaniomoit5259yeah ndio baba yao, cozy diamond mwenyewe ali na mr blue ndio walkubali arecodi kwa bob junior nanda ukamwambie
@adamsarunga7995 Жыл бұрын
U lie my friend..
@vitrahbongz9420 Жыл бұрын
Mkali ni yule yule anajulikan Simba la ma simba dangote Either you like it or not
@jacklinelyimo7407 Жыл бұрын
Kumbe mlianza kwa TID kwanini hamupush sasahivi nayeye
@charlesayubu6449 Жыл бұрын
OMMY MWENYEWE ANAJUWA NANI MWENYE BONGO FLEVA NA DANSA WA BONGO FLEVA
@muthekimutheki Жыл бұрын
Umeona eeh😂 Yani Omi anajua mkali nani lakini hawezi kusema .Mjanja sana
@Shabanhaule-zg7tl Жыл бұрын
Upande wakamera leo cyo quality
@officialobadae8174 Жыл бұрын
vita ni vita mula👽👽👽💥💥💥
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit Жыл бұрын
Hhh apo yaniweee umeelewana Na diamond skutaki tena hhhhh
@kassimdrake9527 Жыл бұрын
Kwan ww nan kuma ww
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit Жыл бұрын
@@kassimdrake9527 hhh usinitafutie lawama Broo bora unge nyamaza ukachunga vyakusema sw
@ezekiaadam509 Жыл бұрын
Omi umenifulaisha na nmefulai kupatana na simba
@josephmkinga9509 Жыл бұрын
Omy unabwabwaja hovyo
@thomaslandwhale Жыл бұрын
Naamini collabo ya Diamond na Ali kiba itavunja record na itaeka record ambayo haitovunjwa kabisa...tuombe itokee 😅
@tafboy9146 Жыл бұрын
Itachukua miaka mingi sana kuja kutokea
@charlesayubu6449 Жыл бұрын
Collabo haiwrzekani umoja nyimbo zake matusi hana maadili mfalme hawezi kushindana na mtu mwenye hana aibu
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Mkiweka mkali nani tour mtaua bongo flavour kutakuwa hakuna ushindani lazima mmoja atashindwa itakufa bongo flavour kama bongo movie ilivyokufa baada ya kanumba kufariki na kama tmk wanaume na tmk halisi ilivyokufa mambo ya nani mkali 😂 aache kila mmoja ashinde mechi zake kama alikiba anavyosema pale wasafi festival huku alikiba unforgettable tour hayo mambo nani mkali ni wafanyabiashara tu wadhamini ndio watanufaika kupata platform ya matangazo na kupiga pesa nyingi
@bilolove23 Жыл бұрын
this so funny 🎉😂
@babap-dn7wq Жыл бұрын
Hiyo haiwezi kutokea coz Hata Nigeria hawawekagi mkali nani kati ya Wizkid na Davido kila mtu huwa anapiga shows zake kivyake Ila mkali nani labda wapigane ngumi tuu ndo tuone nani mkali na istoshe hapo Kuna mtu atafanya u CCM WA kununua watu aonekane mkali 😂😂
@abdulnaseebomar3083 Жыл бұрын
Nani wa kusanda kati ya diamond na king?bora ugomvi uendelee tu,,na king akisema eti beef liishe maana yake ni kwamba diamond ata take over this industry,,hapa hakuna kupatana mpk dunia inakwisha
@josephmkinga9509 Жыл бұрын
Mpaka pale mond atakapokubali wimbo wa lalasalama alifuta saut king haf akaweka yake hivo akubali kisha autoe KZbin
@aaa64sa13 Жыл бұрын
❤❤❤🇹🇿🤝
@meddythekiller979 Жыл бұрын
Haliwezi isha sababu kiba hataki kukubali kuwa amezidiwa ubunifu na platnumz
@Hellter.skelter9 Жыл бұрын
Lamentating.. domo wazi
@tarkisalim3948 Жыл бұрын
Alikiba ni mfalme halisi
@nasrikileo Жыл бұрын
Darakasi kwa stejii🤣
@geofreymathew6760 Жыл бұрын
Simba kama simba dangote
@Shokolokobango9385 Жыл бұрын
Dj fetty kuna mtu anakucopy uku
@chinguilechinguile1501 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@kamanafikiri9954 Жыл бұрын
King kiba apinzani na msanii yeyote yule ila ao wasanii ndo wana pinzananaee mnatakiwa mumuelewe Kiba kama amumuelewi mtakuja kujikuta mnakua wanafkun kwenye media
@rashidymfaume1591 Жыл бұрын
unamjua chibu ww
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Alikiba akipiga live ile nyimbo ya utu diamond atakunya mavi
@AbedKirway-tr5wx Жыл бұрын
Mond anamuogopa ali stejin
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Alikiba ndio msani mkubwa tz na Africa Ani anawazidi kila k2 pesa heshima na music na ameanza muda mlefu
@ElizaJose-zn7td Жыл бұрын
Kiazi
@njoroboihastla Жыл бұрын
Msenge fuatliaga vitu wew 😂 ally haingii hata kwa konde
@elizabethmasitsa6537 Жыл бұрын
@@njoroboihastlawewe unajua ni wewe! Do u even real know kiba 😮
@njoroboihastla Жыл бұрын
@@elizabethmasitsa6537 what if....simfaham namjua kupitia entertainment tu don't otherwise ila kumulnganisha diamond for Money and everything ni kumu Disrespect diamond😂
@elizabethmasitsa6537 Жыл бұрын
@@njoroboihastla I swear u don't know anything, rich pple huwezi kuwajua hata kidogo never
@imazoofficial7676 Жыл бұрын
Mh kwa steji alikiba mtu mwingine akipga ajee tuuu mond atapotea