MIMI SIWEZI KUMVUNJIA HESHIMA MUFT HATA SIKU MOJA NINA AKILI TIMAMU, ELIMU UZEFU,SHEKH OTHMAN KHAMIS

  Рет қаралды 5,757

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@SoudShuraim
@SoudShuraim 6 ай бұрын
Wewe una elimu kubwa sana hasa tunakujua vzr..Umesomeshwa na Mpemba shekh Fakih Ali Faki
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 6 ай бұрын
Shekhe Ali bin Iddi bin Faqi
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 6 ай бұрын
Nilichopenda hakuyakana Yale aliyoyasema ktk Dini sbb angeyakana maana yake angekubali kuyakengeuka mafundisho ya Dini.! ukiwa na msimamo ni Raha sana coz unajitambua.!
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 6 ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@SoudShuraim
@SoudShuraim 6 ай бұрын
Wembie hao maana wanakusema sana
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 6 ай бұрын
Aaaaaa...kumbe kushika Tasbiihi Mkononi inafaaaeee
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 6 ай бұрын
Tunajua unaelimu kubwa kuliko hata hao uliowataja! bal umejishusha!! huo ndio uchamungu! baki katika haki.
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 6 ай бұрын
Naam ..na nilichopenda hakuyakana Yale aliyoyasema kwa sbb Yale ni ktk dini.! Sasa huwezi kuikana kweli ya Dini inavyotaka kwa sbb ya nafasi ya mtu
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 6 ай бұрын
KUSEMA UKWELI ulikuwa sawa Huna kosa lolote
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 6 ай бұрын
Na ndio maana unaona haja yakana Yale aliyoyasema kwa sbb ya kuwaridhisha watu kwakuwa Yale yalikuwa ni ya Dini na Wala si maneno ya binadamu.!! Kuwa na msimamo ni Raha sana coz mtu unajitambua.!
@SoudShuraim
@SoudShuraim 6 ай бұрын
Hao wanaomkosea adabu shekh Othman hawana adabu hata kwa wazazi wao ..ivi mnajua elimu ya huyu mwamba?mnamjua mwalimu wake?pumbavu zenu
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 6 ай бұрын
Hata Misri wanapiga kura kwa ajili ya hijja
@adamjutto5849
@adamjutto5849 6 ай бұрын
Ya laytii,mngeheshimu mafundisho ya mtume kwa waj-hi huoo,ingekua raha,wanyoa ndevu lkn huogopi,lkn mufti wamuogopa kama mafundisho ya hijjah
@abakibibi9917
@abakibibi9917 6 ай бұрын
BADILISHA UVAAJI WA PETE KAANGALIE VITABU MTUME ( S A W). ALIVAA PETE KIDOLE GANI NA MKONO GANI
@YaziduIddy
@YaziduIddy 6 ай бұрын
kwahiyo kuvaa pete kuma masharti yake ?
@abakibibi9917
@abakibibi9917 6 ай бұрын
@@YaziduIddy MTUME (S A W) ALIVAA PETE NA NDIO KIIGIZO CHETU IKIWA NDIVYO INABIDI IWE VILE VILE ALIVYOVAA ,KUNA HATARI MKONO ULIOVAA UKACHAMBA MAVI YAKAGANDA KWENYE PETE
@YaziduIddy
@YaziduIddy 6 ай бұрын
@@abakibibi9917 alikwambia anaenanda nayo chooni ? kama hakuna usiuweke wew
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 6 ай бұрын
Akili ulizo nazo haiku oshi
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 6 ай бұрын
Elimu ya kusoma ya maulid unayo
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 6 ай бұрын
Wacha usenge wewe
@AbuuOthman
@AbuuOthman 6 ай бұрын
Hata Baba Yako Anayo
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 6 ай бұрын
Ndio we huna adabu
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 6 ай бұрын
Wacha usenge wewe
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 6 ай бұрын
Hana adabu ki vp.!?
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 6 ай бұрын
Acha nidham ya woga
@SoudShuraim
@SoudShuraim 6 ай бұрын
Nidham ya woga niipi?wakati wanamlazmisha2 kuyasema hayo
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 6 ай бұрын
Huyo ni mjinga achana nae
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 6 ай бұрын
Hazikutoshi
@alyanibalbila
@alyanibalbila 6 ай бұрын
Badhi watanzania niwatovu wa adabu sana ona wanavyo kosa heshima kwa masheikh zao
@SoudShuraim
@SoudShuraim 6 ай бұрын
Wewe zinakutosha ...nyau wewe
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 ай бұрын
Elimu yako nifupi na nindogo usijipe ukubwa na kujisahau kupita hadi kumvunjia hekima kiongozi wako
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 21 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 42 МЛН
MAAJABU YA SAYANSI NDANI YA QUR'AN  SHEIKH YUSUF KIDAGO
38:57
Kiungiza TV
Рет қаралды 2,7 М.
watendee wema wazazi 2
32:20
Juma salim Chirungenge
Рет қаралды 88
Angazio la dhulma inayopitia ulimwengu wa kiislamu  / Sheikh Hassan Ahmed
35:34
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
KISA CHA MZUNGU ALIYEBAKWA NA MFANYAKAZI WAKE //SHEIKH SALUM MSABAH
9:45
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН