Hilo bega la mtangazaji litaisha miraji analigonga sana
@user-zi8mv9ol6y9 ай бұрын
Mimi ni mpinzani wako kiushabiki wa team Miraj ila nakukubali Sana unasema ukweli,haulalii upande wowote,endelea kusema ukweli
@abelmoses55419 ай бұрын
Kazi na dawa #miraji aise huoo ndo ujira wakoo eeehh😂😂
@user-ty1lh9bw5j9 ай бұрын
Miraji kwaili mm nipo naww
@user-ef4ck4vp7e9 ай бұрын
Kwel miraj anasemaga ukwel kabisa lakn inatakiwa msemaj wa Simba apate kuiga kwa miraji maan ni mropokaj sikuu zotee kuigaa kuongea ukwel si dhambii
@issaalfani10309 ай бұрын
Miraji mimi ni shabiki wa YANGA sio poa ila nakukubali huna upendeleo unaongea ukweli
@Shehushagari-cm8pp9 ай бұрын
Ila milaji uyujamaa mpaka anapomaliza kukuhoji anaondokaga namaumivu begani😂😂😂😂😂😂
@aishafranco10559 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣msogezee na bega maana hawezagi kuongea bira kupiga bega lako😂😂😂😂😂😂
@user-ef4ck4vp7e9 ай бұрын
So kwel miraji hataki bali ni msema kwel kabisa
@amitarymahenge31689 ай бұрын
Ila kweli waandishi wanafki
@user-pb4zt6qc7f9 ай бұрын
Uyo jamaa avae elementi kwenye mabega sio kwa makofi hayo
@maribahanyora84789 ай бұрын
Utamkondesha kwa makofi ya bega
@NillanMjunga-fr5ze9 ай бұрын
Ni mara ya pili simba inakosea hata ilivyokua uturuki ilikosea
@EzekiaMichael-jn5np9 ай бұрын
Kwanini Simba ilidanganya matokeo
@user-yu9hn2cq3y9 ай бұрын
Uyo mtangazaj akitoka hapo anaumwa akome
@LenziaNgowoko-gu9gb9 ай бұрын
Amesema Hilo wapi, acheni uchonganishi
@agnesnombo94819 ай бұрын
miraji unamzuka utakauwa haka katoto kwa makofi yako😂😂😂😂😂
@wistonmtewele99529 ай бұрын
Miraji usimsikilize shabiki yeyote , kama yanga kazingua sema na kama simba kazingua sema maana waliowengi ukisema ukweli utasikia wewe niwatimu fulani