Ngwengwe jmn anatisha kl wanaomkubali ngwengwe gonga like hapa
@JayHoods-c1j3 ай бұрын
Ngwengwe ni mmoja tuu saluteee❤❤❤
@JeniEmmah3 ай бұрын
Team Cheusi na bonge tujuane Kwa like🎉❤
@PetroElisha3 ай бұрын
Ila P diddy 😂😂😂😂
@mohammedkidody56183 ай бұрын
@PetroElisha 😂😂😂
@DavisMmole-i6p3 ай бұрын
Mama anasiri kubwa sana
@JeniEmmah3 ай бұрын
@@PetroElisha P Diddy tena 🤣🤣
@JeniEmmah3 ай бұрын
@@DavisMmole-i6p Sana ila anazingua kumfungia mtoto ndani kw7bu hana makosa
@AzizakhamisGori3 ай бұрын
Tuliokua tunachungulia yutub kila saa ngonga hap tujuane😂😂😂
@KhadijaOsmanOsman-g8o3 ай бұрын
Me nilikua staki ata kwenda dukani 😂😂😂
@WardaRamadan-s4l3 ай бұрын
Yani Acha kabisa
@simplyphiney3 ай бұрын
Tangu saa tatu😂😂
@Maymuna-wc8lz3 ай бұрын
Tulikuwa tunachungulia Kama Tunachemsha Maziwa
@Maymuna-wc8lz3 ай бұрын
@@simplyphineyUlikunywa Chai kweli Au ni bora unywe Chai na kitunguu Usikose bando😂
@philipogabriel60563 ай бұрын
Aiseeee kidogo nilie ndoo nimekumbuka kumbe ni movie aiseeee kitengo heshima sana kaka duuh
@FetrishaFatuma3 ай бұрын
Hayawi hayaw yamekua leo najma kajua kua ngwengwe ni mtoto wa chado ww nafkiriaje hapo je najma atamuelewa chado au ndio wataachana na vp kuhusu ngwengwe akija kujua ukweli kama chado ni baba ake spat picha yan itakuaje hongera zako chado kwa film nzur nakukubali kinoma kichau wangu😂😂😂
@vyukusengenelly76682 ай бұрын
Ichi kipande kinanitowa machozi kwanini chado amufanyie hivyo ngwe ngwe kwani kosa la ngwe ngwe liko wapi jamani sijapenda chado😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@HappySammys3 ай бұрын
NGWENGWE LEO UMEONGEA POINT KWELI AISEEE KUWA MNYONGE AIBADILISHI KITU ILA INAKAKUFANYA KUDIDIMIA 🙏🏿🙏🏿TRUE POINT
@FatumaAsani3 ай бұрын
oy nyie acheni usenge mudawote naomba like maboy nyie
@FloridaAndrew3303 ай бұрын
😂😂😂
@AmusedCrescentMoon-bm8qo3 ай бұрын
Unae soma hii comment ubarikiwe na Mungu akupe maisha marefu kipenzi ❤❤❤❤❤
@Shamma-c1d3 ай бұрын
Dah nimejikuta nalia 😢😢😢dam nzito kuliko maji jaman gwengwe🥲😭😭
@kibahacomedy28663 ай бұрын
Mamae leo mara ya kwanza movie ya kibongo imenitoa machozi😢
@AzizaMleli3 ай бұрын
Daah nmeisubiri hii hadi nahisi mda hauendi😅😅❤❤❤
@AzizaMleli3 ай бұрын
Daaaah Maisha ya Ngwengwe na Chado kwa sasa yamenitoa machozi😢😢😢
@karlymapicha3 ай бұрын
sijuh nijieleze kiasi gani Ili umma ujue kipàji Cha mdogo wetu ngwengwe kimeni inspire ,,, natamani kungekuwepo na shule ya sanaa akaongeze maarifa uko aachane na kipeuo Cha pili
@FatumaKishasha-ph6ii3 ай бұрын
Sema Ngwee ngwe umeniliza dah😢😢😢
@RajabuMduda3 ай бұрын
Mmenikumbusha mbali sana mnafanya nawamiss wazazi wangu mungu awalaze Mahali pema pepon amiiiin 😭😭😭
@TALLUBOY3 ай бұрын
Hawa jamaa wanapendezesha movie kinoma cheusi na bonge aaaah! CHADO MOVIE KALI SANA MWANANGU DUUU!
@tommwangata6813 ай бұрын
Kweli bro...❤
@CynthiaManeno3 ай бұрын
Tangu mwanzo ya épisode ya 1 mpaka ya 45 mlikuwa bado hamjaigiza , I LIKE IT yaani nimeipenda❤❤❤
@JospinJospino-wd8fx3 ай бұрын
Walio mkubali ngwengwe tujuwane. Aah ngwengwe huyo😅😅, ameongeya point leo tangu movie yetu ianze❤❤
@NYAMBISHANI3 ай бұрын
Jamani kipand cha leo uzuni tupu yani ila chad una jua kila kitu daah dunia hiii 😢😢😢😢😢
Chado Hapo Kwenye Hiyo Seein Ya Kumsukuma Mtoto Gwengwe Hali Ya Kuwa Ni Dam Yako.Hapo Umezingua Babu Daaah Nimelia 😭😭😭🙆🙆Muombe Msamaha Gwengwe
@amosmulama19935 күн бұрын
kitengo akivurukwa tu, akili zake zinamtoka
@Steverrobert3 ай бұрын
Kazi nzuri ila sema wadau nataka jina la hako mawimbo,, kwamba ulisema me nikupe moyo😂😂😂😂😂
@wemaruth60683 ай бұрын
Nikupee hiyo ya Wahuuuuuniiiiii😂😂
@halimarizikibakari68103 ай бұрын
Anataka ya mapenzi😂😂@@wemaruth6068
@issamohamed51903 ай бұрын
Daaa hii movie nzur San yn inasisimua san yn..chado umetisha kaka🤜🤛👍
@FATUMAPASKAL3 ай бұрын
Hong era sana bro unajua sana mungu akulinde na pia endelea kuwa unatoa move za watu wako ku aa nguo za heshima sio. Wavae. Mavazi ya uchi
@BenardMaridadi3 ай бұрын
Nakubali sana chado mastar .........
@AllySadal3 ай бұрын
Wakwanza Leo naomben like Zang jmn 🎉
@asimamusasuleymanimusa32103 ай бұрын
Sijawah omba like Naomba hata moja2😂😢❤❤
@NasraMsami-pn4mn3 ай бұрын
😢😢😢 kipande Cha leo kinatoa machozi
@OckweezMchizi3 ай бұрын
Perfect work Machizi wangu
@BethbinSangu-my7jy3 ай бұрын
Nimeumia sana kipande cha chado na ngwengwe kweli dam ni nzito kiliko maji 😢
@EzekiahMdoe3 ай бұрын
Daah hii move msiimalize mpaka ep 💯 maana kilasik inanoga hataivyo haichoshi kuangalia sio ndefu sana wala fup sana chado respect 🙏
@Jaykiller30-ne8kb3 ай бұрын
Mungu NI mwema kila siku kama unaamini Ivo gonga likeee hapa mungu akubaliki akupe maisha malefu🙏🙏🙏🙏
@JafariNgasinda3 ай бұрын
Leo safi nimemuona mwanangu gwengwe sema mnamfanya anakuwa myonge sana ata michano hana
@NeemaMwamba-p7c3 ай бұрын
Daaaah leo chado kanifanya nilie 😢😢
@Halima-us7nd3 ай бұрын
Daaah Hongeren sana kaz nzur ka Mkubwa
@barakajoackim-xu3hi3 ай бұрын
Nilikuwa najiuliza kwann iitwe mission impossible sasa nimepata jibu Leo hongera sana master
@kharashbabar73932 ай бұрын
Nimesha zoea kutokwa machozi na michezo ya kipindi tu nasikuwahi kutokwa chozi na mchezo wowote wa kibongo ila huu I like 😢😢😢 sehem hii ya chado na ngwengwe 😢😢
@ZuhraAli-k9i9 күн бұрын
😢😢imeniuma sna
@JackxonJonte-xq8vv3 ай бұрын
Wakwaza bro like zangu
@FredyFesto-tq8gn3 ай бұрын
Nmeipenda coz inauhalisia na jamii tunayoishi
@AliNassoro-r9d3 ай бұрын
Tulio furah najma au kidemjau kumsameh chado gong like ap ❤
@zuhuramshana-tl1eb2 ай бұрын
Episod hiii ni mwendo wakuliaa2 jamaniii daaah ila chadoo fundi jomoni mauwa yako🌹🌹🌹🌹🌹
@felicianboss69533 ай бұрын
vipi kitengo mbona kama unanipakapaka podah°😂😂😂😂🤣🙌🏻
@Toto_Badie3 ай бұрын
Kazi nzuri sana Chado na una fanya vizur saana na tunashukuru hucheleweshi ❤🫡
@Sheymoviestore_093 ай бұрын
Mm ata sijui nalia nini chado na gwengwe sijui sababu inayomfanya mama chado kuweka ngwengwe mbali na chado ila sio sawa kumnyima kuwa karibu na mwanae
@DavisMmole-i6p3 ай бұрын
Leo🎉🎉🎉❤nakupa umeua sana chado master ila haujafanya fair kumpush mwanao kias hicho
@barakatupatu3 ай бұрын
Wanae kubali hii muvi gonga like hapo 😊❤🎉
@MasauShida3 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Chado Masta🇹🇿
@JenniferRancho383 ай бұрын
Wa mwisho mm leo 😂😂🎉kaz nzurii
@JoynessMshaija3 ай бұрын
Nananananana,chado master ❤❤❤ napenda huu wimbo japo siujui 🥰
@JackxonJonte-xq8vv3 ай бұрын
Chado Leo tuna kumiss TikTok live bana
@EmmanuelChoma3 ай бұрын
Cheusi Kama cheusi nukukubalii mwamba❤❤❤
@aishaomar22873 ай бұрын
Maskin ngwengwe, wateseka kwa historia usoijua😢...chado depression yako wataka kumvunja mwanao mkono,sio kwa kumskuma uko 😭
@swahabuyussufu14843 ай бұрын
Nimelia sana 😢😢😢
@Mayrammtata3 ай бұрын
Yaan daah...
@ZuhraAli-k9i9 күн бұрын
Imeniuma sna ckuweza kuzuia machozi😢😢
@aishaomar22879 күн бұрын
@ZuhraAli-k9i pole mwaya
@WemaMhewa-v9g3 ай бұрын
Jamani damu zito kuliko maji muwe mna elewa ona Sasa chado na ngwe ngwe ❤❤❤
@HezenMunuo-r6g3 ай бұрын
Kaah movie tamu san an🎉
@MariamJaberi-g5y3 ай бұрын
Jamn najm msameh chado anakupenda san jaman ❤❤
@benjamintweve73623 ай бұрын
Bonge mwenyew mwembamba 😅😅😅😅
@Mr_money_33 ай бұрын
Chado kazi nzuli ❤❤❤
@NemaAli-zh6hr3 ай бұрын
Leo km tupo india mwendo wa masongs na kuhuzunika tu
@TunlaibinatoArlindoArlindo3 ай бұрын
Iki kipande kimenigussa sana ❤❤❤❤
@Jaymoboy3 ай бұрын
Wakwanza Mimi like naomben
@Naema-x7p3 ай бұрын
Kila nikisema nimewai kumbe niko nyuma zaid kwan wenzangu mnaiwindajee chado mashallha unafaa mauwa yako kwa kutujali watu wako ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤grupu liko wap
@mwamakuladijei37433 ай бұрын
Oya kitengo 😅😂 umepigwa na mama mtoto unamalizia hasira kwa kichwa njicho
@RoyBrown-q1x3 ай бұрын
Yani hii movie nimeipenda sna nizuri Mungu akubalik mno chato
@ALLENVENUS-s5z3 ай бұрын
Ngwengwe Ana mwambie babake Nambie mwanangu 😅😅
@ClarenceGaudence3 ай бұрын
Mtoto hajui chochote halafu anakupenda .ulivyomfanyia siyo vizuri
@OmarShevo3 ай бұрын
Yan episode zote umeweza chado Yani Kuna mfulilizo Fulani Yana mara mfumo wa hasira ,raha majonzi na zingenezo 😢😢
@frankboniventura93 ай бұрын
Cheusiiii unatishaaaa sanaaa kwenye hii series 🎉
@JOSEPHKWAANGW3 ай бұрын
sio pow
@ChingaKenboy-fz8yr3 ай бұрын
Nafurahu kuenda nanyi sawa mana niliianzia juzi tu toka niiangalie na saii naenda nanyi sawa naomba like jamani plz🎉🎉🎉tuko pamoja
@JaguarEscobar3 ай бұрын
Daah uu ni wakati mgumu sana Kwa ngwengwe 😢😢😢
@MisBarua3 ай бұрын
Ngadaya wangu jamani mbon simuonii😂😢walai tena
@RiziOne-g9j3 ай бұрын
Aseeeee kwa mala ya kwanza muuni nimetoa mchoziii oyaaa chado master unajua unajua adi sisemiiiii
@allymapunda72293 ай бұрын
Mwaga makopa Kwa chado master weweeeee
@mohammedkidody56183 ай бұрын
Kitengo mwanangu unatisha sana kila ikiendelea inakuwa ya moto zaidi❤🎉
@WardatSalum-g3y3 ай бұрын
Tunao mkubali chado gonna like hapa
@BijaybecabecaSaid3 ай бұрын
Kitengo umemuumiza sana Ngwengwe na sijapenda kabaaa😢😢😢
@FrankDonald-j7i3 ай бұрын
Music good indiaa
@masoud6753 ай бұрын
Haipatikan youtube kwel hii INAMAANA INAAMAAN UNACHEZEA HISIA ZANGU
@RahmaMaulidy-lm2gc3 ай бұрын
Mambo ni kwa ushahidi 😍 pole kidemu jau
@AntonVyasichako3 ай бұрын
Daddy awe makin maana manyonga kama p Diddy 😂😂😂
@PetroElisha3 ай бұрын
Bongee weeee kuwezaaaa😂😂😂😂😂😂
@AbdallahSelemani-tr1ph3 ай бұрын
A K A U*S*A GANGSTAR NAKUBALY BRO keep going
@IdrissaIsmaili3 ай бұрын
Mzee wa misumali nakuelewa sana mzee
@NajmaHamady-n4g3 ай бұрын
Naombeni na mm like ata siku moja sijawai kiziomba leo ndo mara ya kwanza jaman😭😭