MISSION IMPOSSIBLE [47]

  Рет қаралды 316,927

CHADO MASTA FILMS

CHADO MASTA FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@MamuHussein-y9s
@MamuHussein-y9s 3 ай бұрын
Chado sarut yaan move tamu adi unatufanya turotendwa tusahau yalotufika chado mungu akupe pumzi uishi miaka mingi kazi zuri
@ShamieWise
@ShamieWise 3 ай бұрын
Ameen ya rabbi 🙏🙏🙏🙏
@SaleheJuma-t8t
@SaleheJuma-t8t 3 ай бұрын
kweli broo chado anaweza tumuombe ikiisha ii atulete ingine nzuri
@RehemaYusuph-c7b
@RehemaYusuph-c7b 3 ай бұрын
🙏💕🙏
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
🙏
@MimaabdallahAbdullah-p2b
@MimaabdallahAbdullah-p2b 3 ай бұрын
Jamani chado mm hiyo ndio I like 😅😅😅😅
@AmaniShabani-b5z
@AmaniShabani-b5z 3 ай бұрын
Yaan cheusi unamchoma dem kisa alikufukuza😂😂😂 like kwa cheusi
@HamisNjaidi
@HamisNjaidi 3 ай бұрын
Hi move itamaliza ela zangu namm Skat tamaa mpka nimalizie hii move mungu awafanyie wepes tumalize salama maana n tam sana
@sudimbishila243
@sudimbishila243 3 ай бұрын
Daah hongereni sana kwa hatua mliyofikia move nzur San nawapenda woteee❤❤
@SERGEDEPAUL
@SERGEDEPAUL 3 ай бұрын
Leo wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩. Nimeway jamani naombeni like zenu
@Anna-jx1do
@Anna-jx1do 3 ай бұрын
Nice
@ShuweikhaAbdallah
@ShuweikhaAbdallah 3 ай бұрын
Kwakweli Najma utafika mbali sana hongera una uwezo
@GidionBahati
@GidionBahati 2 ай бұрын
Sawa
@SumeiyaBakari-oy4fq
@SumeiyaBakari-oy4fq 3 ай бұрын
Mko vizuri sana. Samani naomba iyo nyimbo eti kanichoka nani kaimba naomba jina tafadhali 🙏
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 3 ай бұрын
Chine tz nyimbo aniue
@Officialfellabobo
@Officialfellabobo 3 ай бұрын
Najma jaman pole et Yan mapenz yanakutesa nakuonea huruma🥺🥺🥺Alie pamoja na Mimi jaman❤
@NasraDamiani-o3d
@NasraDamiani-o3d 3 ай бұрын
😢
@ZainabuBachu
@ZainabuBachu 3 ай бұрын
Wapi chadooo me wa kwanza kupokea huu mzigo naombeni like zenu basi maan tupo pamoja mpk cheusi na bonge wa dinywe😂😂😂
@Justine-z8d
@Justine-z8d 3 ай бұрын
Mambo
@ZainabuBachu
@ZainabuBachu 3 ай бұрын
@@Justine-z8d poaaaa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Tena na p didy😂😂😂
@vanniemee
@vanniemee 3 ай бұрын
😂😂😂😂 Yan ww ety wadinywe
@ZainabuBachu
@ZainabuBachu 3 ай бұрын
@@vanniemee ndyo jmn wamezidi
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 3 ай бұрын
Mapenzi shikamoo 👋 najima yanauma ee😂😂😂 anyways congratulations 👏 for good job watching from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 nawapenda sana team chado🎉🎉🎉❤🎉🎉
@CLAUDMWASENGA
@CLAUDMWASENGA 3 ай бұрын
Nmekua wakwanza leo Mungu abariki kazi yamikono ya masta chado
@WakupoaTz
@WakupoaTz 3 ай бұрын
Chado master unajua tena unajua sana mzee
@BucumiErick
@BucumiErick 3 ай бұрын
Chado mstaa na shukuru sana sana kwakuendelea kutufurahisha nakupenda sana lakini kwa upendo yangu nakuomba sana kumbuka mpenzi najuma aligupea na akawa cha gupenda wengine kwasababu wew kumbuka chado najuma anagupenda sana chado ukimwacha utamukumbuka
@Fazilejr
@Fazilejr 3 ай бұрын
Chado Masta ❤ Leo Mimi wakwanza kutokea Moçambique (nsumbiji)🇲🇿
@aminamohammed-rq7ew
@aminamohammed-rq7ew 3 ай бұрын
Sema dady anampenda mdogo wake 😅😅😅
@Awoshy
@Awoshy 3 ай бұрын
Sana yaani adi raha ❤mpk nimetamani mwanangu apate dada 😂😂
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 3 ай бұрын
Sana❤❤😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Sana❤❤❤
@SimbaLeoLive
@SimbaLeoLive 3 ай бұрын
Amin yan dah
@amosmulama1993
@amosmulama1993 20 күн бұрын
kampenda kweli
@AminataSelemani
@AminataSelemani 3 ай бұрын
Nakupenda sana najma chukua mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GidionBahati
@GidionBahati 2 ай бұрын
Nakupendapia
@JumanneIdrissa
@JumanneIdrissa 3 ай бұрын
Brother chado big up nakubali sana
@Bugana414
@Bugana414 3 ай бұрын
💯💯...ulipo nipo,..twendeni nalo...mission impossible 🔥🔥🔥
@MissFreeda
@MissFreeda 3 ай бұрын
Kidemu Jau. Pole sana Ayo ndio Mpnz. Mrembo
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa 3 ай бұрын
420.Chado masta.naipenda sana hii move.yani hata nikiwa na mawazo.yanapotea.😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo 3 ай бұрын
Igizo hili nakupenda sana, lakini napendelea pati za ngwengwe, chado na najma. Hao wengine punguzeni nafasi zao
@mchox1679
@mchox1679 3 ай бұрын
Na wanaopenda izo pati za bonge na cheusi na wengineo wanapaswa kusemaj
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 3 ай бұрын
Unawaza nyege tu
@Jordankassim-j1k
@Jordankassim-j1k 3 ай бұрын
nilikuwa natafut hii coment.......yaan part ya cheusi na bonge inapoteza muda kwakwe
@YuyuMp-d8y
@YuyuMp-d8y 3 ай бұрын
​@@Jordankassim-j1kcheza move yako tuione
@officialnaah-w6x
@officialnaah-w6x 3 ай бұрын
Comme nilokuwa naitafta nimeipata hata yule mzee wa uchumi hana kaz kwa hii muv
@SAIGONEJOHNDALALNHEBA
@SAIGONEJOHNDALALNHEBA 3 ай бұрын
Movie kali sana hii chado umetisha hii bonge ya movie❤❤❤ nimeipenda saana
@Naema-x7p
@Naema-x7p 3 ай бұрын
Chado sijapenda mbona ukatae damu yako siku zote msema kweli ni mpenzi wa mungu na ukweli ueka mtu huru mchane kidemu jau ukweli mzee baba😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@OwekishaSamwel
@OwekishaSamwel 3 ай бұрын
Good job brother
@UmmyAhmad-q2s
@UmmyAhmad-q2s 3 ай бұрын
Anamficha kwakuhofia ngwengwe atajua ukwel
@Fatmakim001
@Fatmakim001 Ай бұрын
N mtoto wa kakake chado
@ممال-ن8ظ
@ممال-ن8ظ 3 ай бұрын
Kidemu jau upo vizuri sana hongera mudogo wangu utafika mbali
@DeboraLufingo
@DeboraLufingo 3 ай бұрын
Move hii imenifundisha sanaaa I like it 😢😢😢
@MkojiFriday
@MkojiFriday 3 ай бұрын
Wale tunaongalia mission impossibe kwa kutumia VPN tujuane hapa😂😂😂😂😂
@SendamalameckMbuluzi
@SendamalameckMbuluzi 3 ай бұрын
@@MkojiFriday tup weng ety
@AsiaMsafiri-c2t
@AsiaMsafiri-c2t 3 ай бұрын
Nifundishen na mim nijue kutumi​@@SendamalameckMbuluzi
@MbaroukHaroun
@MbaroukHaroun 3 ай бұрын
😂
@RahmaSuleiman-c7v
@RahmaSuleiman-c7v 3 ай бұрын
Inasumbua atar
@RahmaSuleiman-c7v
@RahmaSuleiman-c7v 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@neemasteven-h3k
@neemasteven-h3k 3 ай бұрын
Wa kwanza mie leo jamn naomben like zangu
@Justine-z8d
@Justine-z8d 3 ай бұрын
Mambo
@hakimumwangake8385
@hakimumwangake8385 3 ай бұрын
done
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Pdd we wakwanza njoo nkupe zawadi😅
@user-xe2cl6dz4y
@user-xe2cl6dz4y 3 ай бұрын
Zakupelekaa bank auuuu Kwa mama mkweeee
@neemasteven-h3k
@neemasteven-h3k 3 ай бұрын
😂​@@AllyBabu-kr6lg
@EvaluluMpandagoya
@EvaluluMpandagoya 3 ай бұрын
Jmn chado master unajua kutukosha baba chukua maua yako🎉🎉
@MamaHaisam
@MamaHaisam 3 ай бұрын
Tunawapenda san tena jmn Mungu awajaaliye khery❤
@MariamJaberi-g5y
@MariamJaberi-g5y 3 ай бұрын
Pole San mungu nenda kaonge na chndo vizuri jamn uwe kama zamani
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 3 ай бұрын
Tunawapenda kazi nizuri chado mungu akubarik
@DeHarker
@DeHarker 3 ай бұрын
From Kenya much love mr.chado igweee igweee💯💯💯💯💯💯❤️❤️
@MingYou-o9w
@MingYou-o9w 3 ай бұрын
Jaman mzee wamisumali kajua ukunichekesha uku mwishoni😂😂😂
@FatemaOman-i7r
@FatemaOman-i7r 3 ай бұрын
Nawapenda baba gwegwe na mama gwegwe❤❤
@Nashbeib
@Nashbeib 3 ай бұрын
Mapema ndio best❤🎉🎉
@Ommyruckey
@Ommyruckey 3 ай бұрын
Huyo ndo mzee wa misumali
@Aroinia
@Aroinia 3 ай бұрын
Tunaomuonea uruma kidemu jau😢😢😢
@sammagesa2164
@sammagesa2164 2 ай бұрын
Mvi nzuri sana kwakwer chado master bigap sana❤❤❤
@ZainabMsakuzi
@ZainabMsakuzi 3 ай бұрын
Ivi hii nyimbo inaitwaje mbn naipenda ivi na inanihusuuu
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 3 ай бұрын
Hata Mimi naipenda ilahawasemi jina
@RoseMwiki
@RoseMwiki 3 ай бұрын
Unaitwa Aniue by chine
@RoseMwiki
@RoseMwiki 3 ай бұрын
Unaitwa Aniue by chine
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 3 ай бұрын
Bonge na cheusi 😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂 wananitoa mbabu jamani wabarikiwe
@ZulfatHamisi
@ZulfatHamisi 3 ай бұрын
Kwahatua mlio fikia ni Nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jorammasinga3786
@jorammasinga3786 3 ай бұрын
Mzee wa misumari umetisha acha ajionee Kama kumshauri ulimshauri Sana
@Yusra-x8g
@Yusra-x8g 3 ай бұрын
Jmn amazing naomba iyendelee
@shufaarajab-b2t
@shufaarajab-b2t 2 ай бұрын
Jamani bonge na cheusi wameteseka san kwa hii movie 😂😂😂😂😂 mana sio kwa kupigwa uku qw kila mara😅😅😅😅😅😅😅😅😅 ila mumetisha kinoma
@frankmwaikambo9784
@frankmwaikambo9784 3 ай бұрын
Chado banaa leo nakuambia ukweli. Ngwe ngwe sy mtoto wangu dah!! Wanaume sisi waongo sana aisee
@zuluRaphaelItangishaka
@zuluRaphaelItangishaka 3 ай бұрын
team yote naipongeza!!ngwengwe Big up san ❤❤❤
@AminatBeka
@AminatBeka 3 ай бұрын
Napenda sana movie yenu ndugu zang nawapenda bure
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 3 ай бұрын
Mmmmh sasa huyo tajiri wa mzee wa misumali mbna kama atampa najma mimba 😂😂😂😂😂
@FridaPaul-i7o
@FridaPaul-i7o 3 ай бұрын
Yani najiona kama mmi ni najma jmn❤❤❤
@Ommyruckey
@Ommyruckey 3 ай бұрын
Tuwe me chado u najma
@HumoudAliy
@HumoudAliy 3 ай бұрын
Faza chado masta fundi unajuwa sana chukuwa mauwa Yako kk 💐💐💐💐💐🌹🌹
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 3 ай бұрын
Cheusi cheusi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂wapi kijipu uchungu😂😂😂😂😂 leo kinatumbuliwa
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 3 ай бұрын
Sio siri cheusi anakipaji Cha comedy kinoma 😂😂😂😂
@ElizabethWanyama-j3g
@ElizabethWanyama-j3g 3 ай бұрын
Kiukweli chausi unaweza 👍👍 ,kwa umpea unaipa Raha na kunimalizia siku na burudani 💖💖
@OmarShevo
@OmarShevo 3 ай бұрын
Master chado bnh unapiga mwingi mazee pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@sekelamwambungu356
@sekelamwambungu356 3 ай бұрын
Chado&najma mmependezana sana kama muwe wote kiuhalisia.
@vannyikania2237
@vannyikania2237 3 ай бұрын
Dady leo kanichekesh san ety haya nd mapenz tu muda wote vilio😂
@AminaMahamudu-z4e
@AminaMahamudu-z4e 3 ай бұрын
Chado na mwana ngwengwe makopa yenu nawakubali kinomanoma❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NasraFahmy-j9y
@NasraFahmy-j9y 3 ай бұрын
Lahaula za mwizi 40 bonge na cheusi Mapenz ban najma pol San mzenj ap
@REBECCAMWANGO-p6p
@REBECCAMWANGO-p6p 3 ай бұрын
Maua kwa actors wote wa hiki kipindi,mnaweza mbaya 🎉🎉🎉🎉
@elizabethmaneno-z7y
@elizabethmaneno-z7y 3 ай бұрын
Dah nmefurah imetoka leo❤
@khalidyseleman6182
@khalidyseleman6182 3 ай бұрын
❤cheusi yupo makin sana
@NYAMBISHANI
@NYAMBISHANI 3 ай бұрын
Jamani leo nimewai mim lek ❤❤kam tim chado dondosh 🎉
@juniormembe688
@juniormembe688 3 ай бұрын
Cheusi mwanangu pijakazi nakukubali sana unakitu utafika mbali🙌
@jayfun-qx1wo
@jayfun-qx1wo 3 ай бұрын
We kwanza leo,tuisapoti kazi ya chado,nipeni like leo🙏🏽
@BinAmour-b7r
@BinAmour-b7r 3 ай бұрын
Najma haujawahi kuigiza ila hongera sana umenipigia Kaz nzur sana unaigiza na unavaa husik vile inavo takiwa hongera sn
@SkylarSuleyman
@SkylarSuleyman 3 ай бұрын
Kwenye hii mzee wa misumari kauwa vibaya xanaaa
@SalmaAlly-it8iv
@SalmaAlly-it8iv 3 ай бұрын
Sijawahi ku coment tangu nilivyoanza kuangali hii movies tamu ila Leo nacoment kusema kweli wote wamejua kuitendea haki nafasi walizopewa ila dakika zinakuwa nying mno napenda sana Aya mahusiano ya chado na uyu kidemu jau najma. Kiukweli chado nafatilia movies zako nying ila uyu demu unanyota nae niamini ila usimwambie mtu tena achiii 😅😂😂 iyo ndo I like
@Aisha-k5n
@Aisha-k5n 3 ай бұрын
Wa kwanza mie leo jmn yaan seconds ya 20 tuu niko hapa😂😂😂😂like 5 tuu zinanitosha
@مرحبا-ن8ز
@مرحبا-ن8ز 3 ай бұрын
Najma kichwa kimezungukwa na mawazo had huwezi tembea ila chado alipogonga mlango kulitoka chap ama kwel umenifurahisha😂😂😂
@ZuhuraAbdallah-u9o
@ZuhuraAbdallah-u9o 3 ай бұрын
54 leo naomba like from oman❤
@BucumiErick
@BucumiErick 3 ай бұрын
❤❤❤ kitengo mwanangu yani unanibamba sana sana lakini chado kumbuka wakati kaka yake alimutupa kwako
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 3 ай бұрын
Mapenzi shikamoo chado na mwili na ubabe wke anavutwa km kikaratasi na Najma😂😂😂
@ZaiSele
@ZaiSele 3 ай бұрын
😅😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
😂😂😂
@SamuelAloo-qv3kg
@SamuelAloo-qv3kg 3 ай бұрын
Congratulations from Kenya 🇰🇪 Najma🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ShuuShebee
@ShuuShebee 3 ай бұрын
Wa mwisho Leo naomben like zenu naangalia ikiwa ni jumatano saa sita na dk hamsin na moja nawapenda
@MwanashaGanzallah
@MwanashaGanzallah 3 ай бұрын
😂😂😂cheusi nkupenda Bure unajua kufurahishs,,,nlikua na stress zote zimeisha😅😅
@sulugmanmuhammad1231
@sulugmanmuhammad1231 3 ай бұрын
Like nyingi kwa chado master mtu mbad
@AnneOmukatia
@AnneOmukatia 3 ай бұрын
I really like this episode wooh big up my brother and sister 🎉🎉🎉 much love for you guys watching from kuwait but from kenya
@DaisyNanjala-o5k
@DaisyNanjala-o5k 3 ай бұрын
😅😅😅 sikuizi mnachelwesha but iko fity
@ShalifuMolani
@ShalifuMolani 3 ай бұрын
Napenda sana kuangalia ihi movies uku nikiwa nakura cha aruxha Chado unajua baba 🙏 mungu akulinde uzidi kutuletea vitus kama ivi
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 3 ай бұрын
Mi nikiwa kitandan ndonaonag inanoga 😂
@UmmyChilumba
@UmmyChilumba 3 ай бұрын
We unanifaa c ukuje tupendane kama najimq na chado😢
@ShalifuMolani
@ShalifuMolani 3 ай бұрын
Km true ntumie nmb yk bc tubong waxapuuuuuuuh
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 3 ай бұрын
@@UmmyChilumba au sio.,aya chad wang mwenyewe 😄
@UmmyChilumba
@UmmyChilumba 3 ай бұрын
@@ShalifuMolani tuma yako mahi nikituma yangu wataichukuq watu🤣🤣🤣
@BlandBland-m6z
@BlandBland-m6z 3 ай бұрын
Oya dogo ngwengwe unajua aaanh
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 3 ай бұрын
Jarb sana usishuke ii level
@STARLETCOMPANY
@STARLETCOMPANY 3 ай бұрын
Chado umejuonea wakwanza Leo
@GwijiCharles-t9o
@GwijiCharles-t9o 3 ай бұрын
Chado we noma San, 🎉
@allymapunda7229
@allymapunda7229 3 ай бұрын
Chado master we mwanangu sana aisee
@NicksonLucas-mn2ns
@NicksonLucas-mn2ns 3 ай бұрын
Hii movie ni hatariii🔥 Walio ikubali hii movie weka like ap 2xapotii
@felicianboss6953
@felicianboss6953 3 ай бұрын
b0ngEh°°°😂😂😂😂😂😂😂😂umejua kunichekesha leo mpaka nimelia 😂😂😢
@JamalyAbdallah
@JamalyAbdallah 2 ай бұрын
Jaman mwil mdogo mapenz %100 xi mnaxababixha kichwa kuwaka stima
@DamarisDammie
@DamarisDammie 3 ай бұрын
Team wifi kama kawa hatuchelewi team chapchap good work broooh then congrats for 100k subscribes shukran 👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@patrickmpangala3098
@patrickmpangala3098 3 ай бұрын
Kwani kuna shidooooo❤❤❤ from namibia nimekuja apa nw
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ujue daddy akili una nimecheka kwa sauti kubwa wallah
@SaidaHamidu-h4v
@SaidaHamidu-h4v 3 ай бұрын
Jamoon utamu mchache dah chada big up broo wana kinondoni wote tunakukubali tunao angali
@ngalarajab
@ngalarajab 3 ай бұрын
Chado kama Chado nakurank kitengo na kidem jau❤❤❤❤
@Chazydeboy47
@Chazydeboy47 3 ай бұрын
Movie ya mikiki mikiki kibao 🔥🔥🔥🔥 hakuna kupoa tupo pamoja mpaka tuone kidem jau mapenzi yanamtesa😂😂😂
@FredAchi-i2k
@FredAchi-i2k 3 ай бұрын
Cheusi umetisha sana
@Safiaabdoul
@Safiaabdoul 3 ай бұрын
Kapagawa mwezen najma na ❤❤❤ penz la chad masta
@WilliamJoel-kz2jv
@WilliamJoel-kz2jv 3 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza leo🎉🎉🎉❤❤
@AshaSeif-t9j
@AshaSeif-t9j 3 ай бұрын
Mnajua kunifrahisha mungu awafikishe mbali
@JohariFarahaniEdger
@JohariFarahaniEdger 3 ай бұрын
Chado masta naomba ifike ata 80 jamni nampenda sana kidemu jau
@ApiaKilima
@ApiaKilima 3 ай бұрын
Me naomba jina la nyimbo...hyo inaimbwa eti kanichoookaaa hanitaki teeena🤗
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 ай бұрын
Ila hii sehemu ya 47..haina vibe imepoa sanaa....halafu pale kwenye viboko...wamezinguaaa..
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 3 ай бұрын
Cheusi wangu mimi nakupenda bulee
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 301 М.
MISSION IMPOSSIBLE [42] SEASON 2
25:13
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 237 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
BEFORE I MEET YOU 💔 { 21 }
36:36
Donta Plus
Рет қаралды 45 М.
MALKIA SANURA | SEASON 1 | FULL MOVIE
2:20:52
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 572 М.
DENI LA MAITI EP 1 STARING CHUMVI NYING
13:05
Kimso Media Tz
Рет қаралды 7 М.
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
BabaJoan
Рет қаралды 1,2 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [54]
27:37
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 319 М.
Utaona, Tin White - Latest Bongo Swahili Movie | African movie
1:00:32
MGANGA KOMASAVA
15:16
CHADO MASTA TV
Рет қаралды 154 М.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
KIM VEVO
Рет қаралды 276 М.
MISSION IMPOSSIBLE [49]
29:03
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 333 М.
MISSION IMPOSSIBLE [46]
21:32
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 330 М.