Follow Me On Instagram / clamcris_ Tiktok: / clam_cris Facebook: people/CLAM-... #clamvevo #comedy
Пікірлер: 2 900
@angelinamgaya58026 ай бұрын
Tunashkuru sana clam vevo kwa kutuletea tena movie nyingine ila tunaomba tu uwe unawahisha mwendelezo kama unakubali ushauri WANGU Kwa Clam naomba like yako hap jmn
@mbagee6 ай бұрын
mwambie aache usenge na kujifanya wanaongea kingereza
@user-fs7xc2bb5d6 ай бұрын
@@mbagee😂😂😂😂 aweke na tafsir au sio
@Agyy6286 ай бұрын
@@mbageeElewa neno MISTAKE😂😂😂😂😂
@Lulvercameleonkemba6 ай бұрын
Wakibaki na uswahili mwingi hatofika kimataifa ndo mana anafanya ivo tuelewe kuwa saizi dunia inashikwa na english ila ata ivo situmelewa movie au sio
@damasmayanja29306 ай бұрын
Mwakatobe this time kaja kivingine❤
@gersonissa91246 ай бұрын
Wa kwanza Mimi APA toka congo 🇨🇩 nipe like zangu 😂🎉🎉
@malkiawavijiji46526 ай бұрын
Ya karia koo si et ee
@cheyagidereu16066 ай бұрын
Ujaangalia una koment tu
@deborahmidiburo35416 ай бұрын
Ndugu yangu wewe🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Ammarloliso6 ай бұрын
Huna baya
@deborahmidiburo35416 ай бұрын
Umejitahidi data ya congo 🇨🇩 sio raisi kuwa wa kwanza
@user-gc2rd8ln3v6 ай бұрын
Waooooh Gumbo nmefurahi sana kukuona ntaenda kumwambia Recho kwamba umekimbilia huku kumbe 😂😂😅😅🤣🤣
@batridapaul926 ай бұрын
Mwakatobe ndani ya nyumba😅😅😅
@ConfusedBreakingWaves-rx4to6 ай бұрын
Nyingine Kali sana Clam vevo wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mupo mumeikubali ngonga like tukisonga
@judithpendo99856 ай бұрын
Hii nayo lazma tuende nayo adi kikomo 😂team strong hoyeeeeeeeeee mko wapi jmn😂km wapenda clam VEVO 🇸🇦🇰🇪 like apa please ♥️♥️♥️
@leezbeth60826 ай бұрын
Hoiyeee sisi ndo tuko au sio 🇰🇪🇸🇦
@rosemsafiri75686 ай бұрын
😅tuko hapa🇹🇿🇦🇪
@user-db9qi3io8z6 ай бұрын
Tupo tupo time furusi
@rizikladyherson84516 ай бұрын
Tupooo
@user-pu3sw5hq8fАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@FredyKasuga6 ай бұрын
Kazi nzuri sana lakn naomb kingereza kinyóoke basi watu wamekosea sanaa humuu daah
@rizikladyherson84516 ай бұрын
SWADAKTA wasitumie kizungu etiiee
@BebecheriLadyswineipupa6 ай бұрын
Haaaa iyi inakuja vibaya Tena! Inaonekana itashinda snake Boy Wallah 😂😂munatuacha na hamu wajameni🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunapenda movie zako sana courage vraimant Mon frère clam Vevo
@giveninyagawa27846 ай бұрын
Mwakatobe jambazi this time so funny 😂😂kazi nzurii clam vevo
@alexnyamache6906 ай бұрын
Welcome back clam vevo ❤like za Qatar 🇶🇦 siko wapi
@user-jn1zp9fd7l6 ай бұрын
Duuh nyie mbn mnaniwahi Kila ikitok naomben namm like zenu🎉🎉🎉
@razesdragon2 ай бұрын
Leo 23/05/2024 kama umerudi tena kutizama iyi movie MISTAKE gonga like 👊🇨🇩🇨🇩🎉
@jacklineminja-fg9ji6 ай бұрын
Kwa kweli mapokezi hii movie sio madogo na mm naipokea kwa mikono miwil nipeni like zangu
@soudybaroog27536 ай бұрын
Movie 🍿 Kali sema kingereza Cha umu Cha mchongo kakoso na yule jambazi mpola pesa sijawaelewa acheni kubahatisha
@andrewkilave35326 ай бұрын
Hawa ni comedy wameamua kufanya hivyo ili tucheke tu na tuitilie maanani
@charlesmillinga9926 ай бұрын
Kazi juu ya kazi kakangu. Big up kwa Director bora kwa sasa.
@anesansibert29686 ай бұрын
Mwakatobe kama mwakatobe awamu hii n mwiziiii😂😂
@princekillian36406 ай бұрын
wakwanza from kenya much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
@francisnjorogewanjirugitao35756 ай бұрын
Nipitie kwangu usubscribe na ubarikiwe Sana
@princekillian36406 ай бұрын
@@francisnjorogewanjirugitao3575 🤛🤛
@user-qr2nh4uf8u6 ай бұрын
Clam vevo ni number one kwa sasa akuna mpinzani mimi ni mu congomani nikiwa south Africa i love u clam
@MudjumureSekamuke6 ай бұрын
Clam unatisha sana excellent vraiment movie yako 🇨🇩 Congo tunaifata kwa hamu
@user-lm1tr4el2e6 ай бұрын
Series ni nzuli sana lakini tunaitaji mwendelezo uwe haraka-haraka. Much love❤❤ Clam Vevo Group from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@PatronizerTz4 ай бұрын
Big up Sana hakika Sanaa unaiweza
@dmblackfilmz6 ай бұрын
bado tunasubiri BIB BOSS season2 kwanza ongeya kwa kazi kubwa ulifanya ya SNACK BOY
@NewtonKe-kx2ul6 ай бұрын
From Kenya kuna mapokelezi si haba... Salute 🫡🫡 CLAM
@erickkiptoo52546 ай бұрын
Yooo😂😂 nilithani "si haba "nikusema chache
@NewtonKe-kx2ul6 ай бұрын
@@erickkiptoo5254 😂
@AmisiWisongata6 ай бұрын
AMISI
@ryankoech6 ай бұрын
@@erickkiptoo5254😂😂
@LatifaSaid-lm8cl6 ай бұрын
Sawa lkn apo mwisho umetuongopea kwaiyo ata ku epa umeshindwa aahhhaa sio kweli
@MkasyswallehsaidSwalleh6 ай бұрын
Hongereni team clamvevo ...ila mwakatobe na kipala wanna man wnazingua😂😂😂😂 🤣🤣🤣
@francismuthiani3496 ай бұрын
Kenya one .. one love from Kenya 🇰🇪
@KrisroyMoris6 ай бұрын
Pure talent ⭐⭐⭐⭐⭐,big fun💪🏼,..c!aim vevo going far for real,🇰🇪 Love
@rukiaathman78116 ай бұрын
Hivi mmemuona sinaga tabia za umbea umbea😂😂😂😂🔥🔥💯
@saidially58926 ай бұрын
kutoka kwenye uchawi/uganga hadi ujambazi . mwakatobe wamekuonea 😂😂😂😂😂
@mosesashikoye32886 ай бұрын
Always ready to support our Neighbour Tz. Well done Clam. Much love from Kenya 🇰🇪
@user-oj6cz8to5i6 ай бұрын
Clam vevo nakubali mwanang umenifanye niaze kuipenda bongo movie tena
@user-yk8ro8tj5r6 ай бұрын
Mwakatobe ajawai kuwa series kabisa na kipala chake😀😀😀😀😀
@AbasiRegina6 ай бұрын
wewe ninoma kaka clam cris mungu akupe uwezo na nguvu zakufanya kazi nzuri
@iamjkboy-kr4tl6 ай бұрын
One love kutoka Burundi 🇧🇮 tunayipenda hiyo🎉🎉
@SOS_VILLA6 ай бұрын
This guy is taking bongo movie to the next level 🔥🔥
@neemaghafla6 ай бұрын
Aisee..unastahili maua yko🎉🎉...i ki2 🔥🔥🔥
@benimanzekele90756 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉yes you are right 👍
@novicetz_6 ай бұрын
This is not Bongo movie bro That was for kanumbas generation Bongo Movie will never come back either the return of the late STEVIN CHARLES KANUMBA
@user-qc5kq2zm2b6 ай бұрын
Kama unamkubali CLAM VEVO kama mimi naomba like yako hapo jamani
@charlesmillinga9926 ай бұрын
Aisee director kazi bora kabisa. Nimependa reactions na emotions aiseee. Very mucj interesting jamani. Kanumba is back niaminini maneno yangu. Clam Vevo is the real one.❤
@Datenya2546 ай бұрын
Najua ni vyema kujaribu mambo mapya nyakati zingine,ila naomba tuwache iyo kizungu twendelee tu na kiswahili chetu...Series ni kali sana..production na storyline pia iko juu sana.Nimeikubali.Bravo Clam Vevo.
@EtienneBalola-sn9xk6 ай бұрын
Twendeleee Na kishwahili chetu Kabisa
@NajmaHassan7926 ай бұрын
Usinichekeshe mie nacheka kma fala😂😂😂Ila movie ipo swa
@mabwetebrown54326 ай бұрын
Acheni lugha itumike ili movie zisonge mbele
@didahsalim65216 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@patrickphiri97846 ай бұрын
Kizungu kinafanya watu wengi watazame hii mov ata wazungu
@symochanji68966 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤
@christophermuthuri77015 ай бұрын
Izo ngorofa ni za Nairobi Kenya 🤣
@EsterCosmas-ff8pb6 ай бұрын
Jamani hata cjui niseme nn mm napenda sana moves zako clam ❤❤❤❤❤❤❤
@daltontemboTv6 ай бұрын
@Cram Vevo Umekua Ukileta Kazi Bora sanaaa Sokonii Kazaa Brow Pia usikawie kulete mwendelezo coz tunapenda Sanaa pia tunamiss Sanaa kazii zako brow ❤🔥🔥🔥🔥🔥
@radyvking6 ай бұрын
I said on behalf of machakos county Kenya we were waiting for this and now we are here ❤much love to clam ❤❤❤
@straightenergy60516 ай бұрын
Goood job
@zeinabathman58756 ай бұрын
Same here in Machakos ❤❤
@radyvking6 ай бұрын
@@zeinabathman5875 pin location
@nickluca15126 ай бұрын
Huyu jamaa aliyempokeaa clam...anajua kuigiza sana 🙏🙌🙌🙌🙌👏👏
@user-bf4rn2gx1v6 ай бұрын
Klam ni mm hamisi nyalinga kutokeakigoma kagongo yamigazin kiufup mm apa nakukubalisanakaka unafanya mambo mazur mungu akubalikisana❤
@lawrencewanyama6 ай бұрын
Clam you are very creative mkuu many love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LatifaOmary-uj3zs6 ай бұрын
Big up Clam Yan bandika banduaaaa ulipo tupo endelea kukiwashaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@justblackcode6 ай бұрын
This Clevo type of a guy...napenda sana filamu zako❤💙💚💛
@masterlazar67456 ай бұрын
Hahahaha kipara ypo seriously kumbe anatak umbea wa tabia za hela
@sitybby00696 ай бұрын
Asante san bro kwa mpya hii ulio tuletea tumeipokea❤❤ kutoka kenya apa❤❤❤😊
@geffdepoet59746 ай бұрын
FINALLY MWAKATOBE WITH ANOTHER CHARACTER
@PetronillahChizi-sk5fr6 ай бұрын
Kumbe umeona😂😂😂😂
@halimajuma61576 ай бұрын
😅😅😅😅
@lilwiz_076 ай бұрын
Zee na msuli wake
@user-mb7oe3pg3y6 ай бұрын
Ila urogi hajaacha😅😅😅
@prettymasha24306 ай бұрын
Big Boss parts 2 lini
@joashonserio51665 ай бұрын
Much love from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mayaashassan39186 ай бұрын
Wow nice sana hii movie inakuja na moto mkali sana🎉🎉🎉🎉 bravo bravo 👏👏
@Rugerh4 ай бұрын
Jamaa kilam hatari hi hazn ya taifa
@gabrielmnangala78226 ай бұрын
Clam ni next level mwakatobe hd nimempotea
@sophiewangu79366 ай бұрын
Mwakatobe...kasahau ..na uchawi 😃😃😃😃😃🥂🥂
@zainabalex98106 ай бұрын
😅😅😅😅
@MrTariQ3456 ай бұрын
Another Banga in the east Africa you top fellow actor and a friend too wapeleke
@coastboy85706 ай бұрын
Kiswahili kitukuzwe😂😂😂😂 love kwa sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kamoste6 ай бұрын
Nimefurahi kumuona gumbo kwa clam kwa mara ya kwanza na bwana Amka....clam niliwaambia habahatishi akipika kitu amepiga hongera sana❤❤natumai nitamuona director gozi na shadow hapa ndani pia doko pia hii series yamfaaa...❤❤much love from kenya japo kuwa nimechelewa 😅😅pend sana hiii wale wangu wakenya 🇰🇪🇰🇪kilifi kikambala mtwapa majengo.vipingo tujuane kwanlikes❤
@user-it7cr5lb9u6 ай бұрын
😂😂doko😂nakipara chake😅
@isayasilvester72766 ай бұрын
Gumbo mbona kweny big boss yupo amecheza sio Mara ya kwanza kuwa na clam
@Kamoste6 ай бұрын
@@isayasilvester7276 aaaah kweli umenikumbusha ila hapa amekuwa main character ♥️ nampa maua yake
@Kamoste6 ай бұрын
@@user-it7cr5lb9u nakwambia single huku kwa majambazi..doko ninavyo mjua kwa ukali wake ...Atapiga vizuri sana...Gozi nae apewe yake duuuu aisee series tamu sana
@Almas92mwarabu016 ай бұрын
@kamoste kaka yaani Kama ulikuwa mawazoni mwangu kwakile unacho kisema
@priscakimburi-sl9ml6 ай бұрын
Much love ❤️ from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉wakuu kazi iko fit
@Im_hopue6 ай бұрын
Mwakatobe ndani ya chocolate 🤣🤣
@saeedamour54835 ай бұрын
Mwakatobe msenge sana
@user-qs2qn6ff7t5 ай бұрын
Clam katunukiwa na mtoto nzuri so mchezi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-hd4br5op3s6 ай бұрын
Clam unajuwa sana tatizo dakika ni chache fanya hata 25 basi aaah ila mwamba unajuw sana you're looking like invisible man ❤
@QofSaidiKbsk016 ай бұрын
Kingereza ndo kitu nilikichukia toka shuleni ila kwasasa najuta sikukikariri nafikiri naeleweka. From DRC Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@kateshkalimbo6 ай бұрын
Umechukua namba ya kwanza bongo moves mm from kenya
@KelivinLudan-hh2bc6 ай бұрын
Madam kim for sure and mwakatobein another character big up clam vevo🎉🎉
@Spagles6 ай бұрын
PENGO LA KANUMBA SASA TARATIBU TUNALIZIBA SAFI SANA CLAM V💪🏹
@user-dn9zk1gi6c6 ай бұрын
Pongezi my brother💪💪 much love from Mombasa Kenya
@ernestchaulema2266 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 nakubali mwamba, hivi unanikumbuka Mimi Jamaa Yako tulisoma wote kuanzia chekechea Boss
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
😂😂
@RegistrationStatus6 ай бұрын
😂😂😂😂bado haujasema 😅😅😅😅
@henrymushi83406 ай бұрын
😢😢😢😢
@dr_donye6 ай бұрын
Tunataka kuingia trending kaka lifanyie kazii hilo 🙏👑🔥🔥🔥🔥
@Maleaz-go8jv6 ай бұрын
Nimemuona kipara kwenye ubora wake 😂😂
@KelvinDamas-di5lo6 ай бұрын
Uyu jamaa anajua kama unamkubali Clam vevo gonga like ata kumi tu🎉🎉🎉
@catherinemueni42366 ай бұрын
Mmh mnarauka sana nlidhani mm ndo nmewahi leo😂anyway much love from kenya❤
@philipmutua66436 ай бұрын
Yaani kipara na mwakatobe nyinyi ni magaidi kwa sasa😂😂😂😂😂😂😂 Mwakatobe tafadhali Rudi uchawini😂😂😂😂😂❤
@agnesjohn93826 ай бұрын
😂😂 ujambazi uigize wewe
@noahchepe80366 ай бұрын
😂😂😂mzee wa ujue sinaga tabia ya umbea mbea kaja kijambazi round hii. Safi sana
@Zadig_Le_Juste6 ай бұрын
Keep shining Clam Vevo we like your movies 🇧🇮
@makameJuma-ex3ps6 ай бұрын
minauliza inatokaje hii mouve
@ReyFocus6 ай бұрын
Jmnii nzuri sana ya pili msicheleweshe bsi
@Ngalaldos_dancers6 ай бұрын
Wana flaming crew tumekubaliana na clam vevo❤❤❤❤congratulations guys🎉🎉
@user-sj4lz8vp5m5 ай бұрын
Kiram huna mpizan njia waz kabisaaaaaaaaa%❤🎉
@MrMona_TZ6 ай бұрын
Another banger 🔥from my brother naver disappointed for sure💯 ... for real this is big series of the year !!!!! ✌️✅
@sajalyamry60596 ай бұрын
Nakukubar my young brother Clam vevo unakimbiza ile mbaya respect for you kazi nzur
@Cristypalacekumar6 ай бұрын
Tunashukuru sanaaaaaa 🇲🇿 um Mozambique
@babitwario78695 ай бұрын
from mombasa kenya wadau kizungu kiachieni wenyewe, nawapenda sana
@user-ql5jb4de1f6 ай бұрын
Mwamba karudi tena 🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@user-Andrleayohana6 ай бұрын
Jaman me ni wa mwisho so naomba mnipe like zang 🎉🎉🎉🎉
@faridakhamis6 ай бұрын
Mashallah ❤gud job to the team🎉
@richardbizera22256 ай бұрын
Jamani anayeona style ya kipara na mwakatobe aweke likes 🎉🎉❤apo
@user-vb5vm3vz3l6 ай бұрын
Weeeh mambo n moto clam unaweza bana❤❤I love you from Kenya can't wait episode 2
@Thekasukusfam6 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 tuko ndani!! Mistake yenyewe❤❤
@RonaldinhoMwamasangula-pg7kc6 ай бұрын
Ongera sana kaka I think hii ni muvi nzuri sana kwa mwenendo nilio uona
@user-pp6gz2zy5q6 ай бұрын
Tukupe tu maua yako vevo upo juuuuuuuuuuuuu sana kitukipyaaaa chamotao
@nationaltrendingmedia46036 ай бұрын
Clam is taking Bongo movie to the world
@rangalmas88336 ай бұрын
Nakufatilia sana ndugiangu kama shabiki yaki hujawainiangusha so proud of you
@DorcusLyambilo-ks5fp5 ай бұрын
Kwaiyo mmeamua kuwa maninja 😂
@jaymapepefatma59366 ай бұрын
Together we can 🤝💪❤️ this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@abdulkadirjuma59026 ай бұрын
The English for me🙌😂. Clam please don't "lost" our time😂😂😂
@jnrkayvin95006 ай бұрын
😂😂😂
@johnsonguddu26686 ай бұрын
Maybe bcoz ni comedy
@emmanuelmchomvu26766 ай бұрын
Movie imejaa n comedy ndo maana
@lindauma9826 ай бұрын
😂😂😂😂 makatobe nae ni kula tuu round hii hamna cha uganga bali ni jambazi mwenye ana njaa 😂😂😂
@zainabalex98106 ай бұрын
Yani jambazi mwenye njaa zake 😂😂😂😂
@lindauma9826 ай бұрын
@@zainabalex9810 nakwambia 😂
@SamuelBileca-vx9hx5 ай бұрын
Vraiment Ni kazi nzuri sana clam
@kigondipeter33726 ай бұрын
Kuongea kizungu ndio mistake ya kwanza... Nimekuelewa Clam! Much love from 254 Kenya 🇰🇪
@alfrednguya94536 ай бұрын
keep it up, you have to show Tanzanians Steven Kanumba is living on you
@paulokemark73986 ай бұрын
In you
@amissebernardobaiuene6 ай бұрын
Boa trabalho sucesso para sempre clam Vevo ❤
@user-rk1we8mb3f4 ай бұрын
Kazi nzuri sana clam mimi nataza kutoka kenya ila kiupande wa kimombo niko na shaka bro tafuta watu wanaokijua vizuri at least kabla yakuwapa vipengele waigizaji wako
@user-kx1pe7uk7x6 ай бұрын
Beautiful boy tena😅🤣🤣🤣 ila sawa very lovely movie.vevo usicheleweshe next episode pliz