CLAM VEVO APEWA ONYO NA DIAMOND, ATUMIWA UJUMBE MZITO, KUMTONGOZA ZUCHU

  Рет қаралды 325,380

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 394
@muhammedkhamis2566
@muhammedkhamis2566 8 ай бұрын
Wa kwanza leo like japo 5 jamani😢
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 8 ай бұрын
Wacha ushamba wewe mbona unaishi kishamba like uzipeleke wapi
@muhammedkhamis2566
@muhammedkhamis2566 8 ай бұрын
Nataka nimpelekee clam vevo mm shabiki yake namba moja❤
@PiliNgolanga
@PiliNgolanga 8 ай бұрын
Clam sijapenda🏃we pambana wifi yetu tutampata....mzuuuri tu umeandaliwa na Mungu
@aishaomar2287
@aishaomar2287 8 ай бұрын
Clam relax mkeo mwema yupo mahali Mola kakuekea in shaa Allah 🙏 🙏 🙏
@RajabNgare
@RajabNgare 8 ай бұрын
Mwanangu clam achana na Zuchu unapigania nini pale ako na macho Kama kinembe chake si wakijuwa poa wechekelea acha zombi apige deki Mko wako 😂😂😂
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 8 ай бұрын
Clam vevo you still have time relax God know more about your life,,,, MUNGU amekuwekea mke anayekukufaaa mahali pambana na Kasi yako❤❤❤ love from Kenya ❤❤
@maryamhaji-mx8dm
@maryamhaji-mx8dm 8 ай бұрын
moyo ukipenda umependa mungu akipenda utampataa.🖒
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 8 ай бұрын
Clam kubali maisha yanapita tafuta watoto acha kulilia mademu
@sarahnjeri-tz8eu
@sarahnjeri-tz8eu 6 ай бұрын
Kama mtu anakupenda kiukweli hawezi kuwacha kwa jambo lolote,pesa sio kila kitu huwezi nunua mpenzi,may God send u a woman who truly deserves u Clamvevo much love from Kenya ❤❤❤
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 8 ай бұрын
Clam Kiana mpambanaji ,nakupenda sana from Burundi ,tunakufatilia sana
@OmanAl-s9l
@OmanAl-s9l 8 ай бұрын
Kaka uyo kwa sasa sio wako waachie wenye ela jitaidin kupambana na maisha kazi zako nzuri utapata umpendae
@MohammedAli-yc2ek
@MohammedAli-yc2ek 8 ай бұрын
Achana na zuchu kaka pesa yako ndogo mtoto ashajua kutumia na ww bado mtafutaji utapauka bureee endelea na maisha yako
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 8 ай бұрын
Yy zuchu anamhusu nini ataka kiki tu
@mudysaid6602
@mudysaid6602 8 ай бұрын
😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣%100 100
@ZaiduMtame
@ZaiduMtame 4 ай бұрын
Unamchukuliaje clam bro oya money kama alive anakulisha ww na familia yako ahaha usiongee ktu kuhusu uyo dog
@MariamMbaruk-rk3vj
@MariamMbaruk-rk3vj 8 ай бұрын
Clam sikiliza brother, zuhura alikiwa ameletwa kwako kukufungulia maisha yako 2 pengine mungu hakupanga uishi nae
@OmaryMashimango-jd5jd
@OmaryMashimango-jd5jd 8 ай бұрын
Hahahahahaha..!
@lyidiajuakaly3335
@lyidiajuakaly3335 8 ай бұрын
Mavi ya zamani hayanuki songa mbele
@ManyiboyKambale
@ManyiboyKambale 8 ай бұрын
iyo kweli
@SalmaMakilika
@SalmaMakilika 7 ай бұрын
Swadaktaa
@kiondo_comedy
@kiondo_comedy 8 ай бұрын
Tunataka picha kukiwa nayeye
@jovialjuma7018
@jovialjuma7018 8 ай бұрын
😂😂balaa
@fideliswambua3346
@fideliswambua3346 8 ай бұрын
I like the way u answer the questions Clam
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 8 ай бұрын
ivi WEwe unawaza zuchu kuna pesa apo ya kumleta zuchu kwenye mikono Yako uho ni ujinga kwanguvu unayo wewe unaweza kosa dike apo Tanzania mbona wewe unajina kubwa Fanya kitu ambacho kila mtu atakuelewa akupendi uyo 😭😭😭😭 nakupa pôle sn kwajina kako unafanya vitu vyakijinga tafuta mwamuke ambaye zuchu atashituka lakini wewe bado unashindana ju yamwanamuke
@RehemaOmari-yi1io
@RehemaOmari-yi1io 2 ай бұрын
Njoo kenya Clam ❤
@KibanMbanga
@KibanMbanga 7 ай бұрын
Upo kabisa kaka, usibanduke kwa uamuzi wako , hata asipomuacha we mnaendana sana kaka, tena unajibu maswali kwa uadilifu sana
@mwanamisimwapula8392
@mwanamisimwapula8392 8 ай бұрын
Mapenzi yanaumiza pole broo
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 8 ай бұрын
Achana nae pumbavu atakuja kukufilisi tu endelea na maisha yako usipoteze muda kwa mpumbavu
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 8 ай бұрын
Mpumbavu wewe mwacheni b zuu
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 8 ай бұрын
Hahahaha duuuh hataree
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
Claim ameumia.kama Makabila.Poleni sana.Nassibu Mke wake ni Tanasha na Zari wanawake hao 2 ndio wanawake bora kwake sio zuchu jaman.
@annechichi8574
@annechichi8574 8 ай бұрын
Diamond ako Uhuru kuoa mtu yeyote yule
@germainfola275
@germainfola275 8 ай бұрын
Ndugu yangu clam vevo pambana na maisha achana namambo ya stress uata shuka kiwango cha uigizaji kk
@BryanKilavo
@BryanKilavo 8 ай бұрын
Chukua mtt yule mondi ana wengi.... ......appreciate brother 🤐🤨🎧🎧🎧🔥🔥🔥🤑
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 8 ай бұрын
Clam pambana na maisha ma binti ni mengi utapata wa kwako.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Nikweri mwezangu Mimi napenda watuwanasema kweri mimi piya ni wa Burundi rakini niko Zambia
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 8 ай бұрын
Hapo Sawa my brother.ama tujipendanie ega na mimi Niko star in Burundi🤦.tena nacheza filamu kama yeye
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Hapo sawa nakaribia kurudi kuona wajajiwangu vip ukowapi
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Kumbe urinimano ukinaneja naje sami me love you somuch musohohe imba ndayibonye kubera atamugore fise movie mukina nizo mugorewaje
@komlaakomlaa7465
@komlaakomlaa7465 8 ай бұрын
@@gogoloveofficial5666 gogo reka kuntwenza🤣🤣🤣
@alimwadima254
@alimwadima254 8 ай бұрын
Kavuu sana...Huyo hakuwa anakupenda Ulipokuwa kapuku sasa utawezaje Kumshobokea sai Mambo yako kwenye mstari...Uboya huo Tafuta Changa changa Isiyokuwa Maarufu utulize Boli wewe namna gani vp!!!
@zazalareine257
@zazalareine257 8 ай бұрын
Kisicho kuwa ridhi hakiliki😢 unaye mpenda hakupendi wanawo kupenda huwapendi😢 na imana kuna wenye wanakupenda clam wang🎉❤
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 7 ай бұрын
haaa ka nyiimbo yangutu
@channyanjen9047
@channyanjen9047 8 ай бұрын
Pambana kipenzi cangu iko siku utapata inshaalah
@Alibabason
@Alibabason 8 ай бұрын
CLAM VEVO really you inspire me to hustle and not going back again. May God bless you ❤❤❤
@Oman77c
@Oman77c 7 ай бұрын
Nakupnda Sana clam mungu akueke nafatilia Sana kazi yko
@sayhaanqudqud5799
@sayhaanqudqud5799 8 ай бұрын
Ukimpata mwanamke wa hali ya chini mnyenyekevu mwenye bidii na upendo atakufaa. Zuchu angekupenda angekua naye hata kwa success yake. Kisha mwanamke mzuri ni mwenye dini na msimamo. Unajipa maisha ya kukukimbiza moyo mbio bure
@soundmale
@soundmale 8 ай бұрын
Shenzi sijapenda unajieleza kama umefiwa😂😂
@djafro1
@djafro1 8 ай бұрын
Niko huku leo nampenda Clam vevo pia mimi nifikisheni 1000 subscribers
@VeronicaMayemba-q7y
@VeronicaMayemba-q7y 8 ай бұрын
Napenda sana kazi zako ,unajua sana nakuona mbali sana baada ya miaka 2, unakipaj sana❤❤❤
@nyunyaboy9523
@nyunyaboy9523 8 ай бұрын
Uyu jmaa jau anaongea Kam kafiwa alaf mtngazj akiongea anacheka alaf et yye pia anaela nyng san😂😂😂😂.. bro kwa anaekujua upo apo tbata segrea😂😂😂😂
@BosangoferuziPierre-x6h
@BosangoferuziPierre-x6h 8 ай бұрын
Nakubali sana kazi zako utafika mbali kisha mwika
@HamisiNyalinga
@HamisiNyalinga 7 ай бұрын
Clam Nimimi Hamisi Nyalinga usiwe nawas was zuchu niwako kwasasa ngoja uchukuejina kimataifa awe Zaid ya Tiwa saverji
@HamisiNyalinga
@HamisiNyalinga 7 ай бұрын
Njon mcoment jaman
@marytemba-c7y
@marytemba-c7y 8 ай бұрын
Kaka clam nikushauli kitu kama mdogo wako watu huwa tunatafuta wanawake WA shida na raha SASA huyo zuchu ye hata akikubali kwasasa kwanini zamani asinge kuvumilia nakuomba achana nae jalibu kuuzuia moyo Wewe ni mwanaume tafuta make WA maisha
@ZachariaNgesse-el1ge
@ZachariaNgesse-el1ge 8 ай бұрын
Hii nayo ni aina ya ushamba mjini yaani simba kishapita hapo unazani wewe kwa kibamia chako na vikaratasi vyako, na trend yako ya muvi za nyoka na vichekesho vyako dogo acha ushamba mdogo wangu, uyo saivi cio lever zako
@NasibMrisho
@NasibMrisho 8 ай бұрын
Daaaaah 😢😅😅😂😊
@RizhoWakingumba
@RizhoWakingumba 8 ай бұрын
Clam achana na ayo bwana yasije yakakuaribia maisha
@Kipngetich-KE
@Kipngetich-KE 2 ай бұрын
God's time is the best Mr Clam so watch and pray
@IddyNgessa-oz3xy
@IddyNgessa-oz3xy 8 ай бұрын
Wewe zuhura atakusumbua mzee,,,, piah clam vevo ww sio wakulialia,, focus kazi zako broo 🙏 mapenzi yapo kk na pia yanamudaa, acha dogo simba ale makombo .... Finish
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 8 ай бұрын
Umekuwa mjinga mbona kama mtu hakutaki nn shida
@hafsahmassemoh3598
@hafsahmassemoh3598 8 ай бұрын
ZUCHU ANAPENDA WATU WA MALIPS MAKUBWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂BC AYA
@raymondkimbe5416
@raymondkimbe5416 8 ай бұрын
Hahahaha clamo naye ana lips denda
@marokeyLFM
@marokeyLFM 8 ай бұрын
Clam hii ni kweli kuusu mausiano wewe na Zuchu?😂
@markmushi8940
@markmushi8940 8 ай бұрын
Yes anasema yee ndiyo alimtoa bikira
@Zuu673
@Zuu673 8 ай бұрын
Jamani kwani lazima?ndio unajiingiza km mtu umeachana nae yann umzungumzie?ushamba kweli😂
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 8 ай бұрын
Ata nyie ndio mwaendana na zuchu, diamond walikua hawaendani kabisa, mmi naomba tu akubali ombi lako mrudiane😂😂
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 8 ай бұрын
Zuchu na diamond hawaendani wapi? zuchu ni mwanamke wa kawaida sana sio beautiful kiivyo na diamond ni mwanaume wa kawaida sana sio handsome kiivyo, zuchu mswahili diamond mswahili, kipaji,nyota,akili,uchapakazi,body,umri,urefu kila kitu wanafanana acha unafiki
@prettymasha2430
@prettymasha2430 8 ай бұрын
@@yusternyirenda7231mwambie uyo
@Officialabshry
@Officialabshry 8 ай бұрын
Kuna ukweli nimeuona na ndicho kilichoniachanisha na mtu niliempenda "kuombwa pesa ambayo hauna" 😢😢😢
@kimah9855
@kimah9855 8 ай бұрын
Maskini ndo alimpenda bi Zuhura😅😅😅Naona bado ni his first love😢Lakini bro Zuuh na Nasibu wanapendana na sisi tunapenda 😂😂😂😂Hii couple 😅Pole kaka anguuuu
@SuleymanMagili
@SuleymanMagili 8 ай бұрын
Kk love is better than money bas kma mwnamke ulitofautiana nae ksa pesa bas huyo niana true love bas huyo n atkusumbua Sana maisahan ila akae akjua tu ktkt maisha nkunakpnda nakuxhuka .kikubw bloo mim hpo naomba nkushaul kma mwanaume mwzangu kuw tafuta bnti mwingne ambaye ni atkuw nmzul zaid ya zuchu mbna walembo nwpo weng tu hpa dunian.kk najua niunaumia Sana mapenz hakka nyanaumiza Sana ilajtahd kuulazmisha Moyo wko kutokumwihtaj tena huyo zuchu hatimaye utazoea tu maana itafka htua n atakuhalbu ksaikolojia KABISa
@abrahamkilonzo292
@abrahamkilonzo292 8 ай бұрын
Broh tafuta mwanamke level yko mwache zuchu ni wangu huyo 😂😂
@RamaNgari-b1d
@RamaNgari-b1d 8 ай бұрын
Mwenzako kalia dullah makabila...
@aginesmnaka4096
@aginesmnaka4096 3 ай бұрын
Kss😊
@AssumaneMussa-zt3gd
@AssumaneMussa-zt3gd 4 ай бұрын
GOOD AFTERNOON MY BROTHER! Dependently I advise you As a brother from the same belly, but it would be good if you stayed away with this zuchu, I know you have money brother and I like the stories you tell! So I ask you to stay in your corner and look for your physical money!!!! Brother woman kills, please stay away from this lady... only from Mozambique.... But when I heard this news I realized I love you once and for all my brother cleam Vevo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 ай бұрын
Pole claim zuhura atarudi tu daimond sio muowaji naamini mwaka huu kama daimond hakufanya maamuzi kuhusu zuchu naamini zuchu atarudi kwako ila akirudi hatarudi kimapenziatafata ndowa
@tynahchitamu8675
@tynahchitamu8675 8 ай бұрын
Nimekuelewa sana na najua unamaanisha aisee una upendo sana na ndio maana unatafuta sana pesa😢
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 ай бұрын
Claim vevo nakuelewa sana na naamini ipo siku zzuhura atakuja kwako
@jumajumaa2544
@jumajumaa2544 8 ай бұрын
Dogo CLAM Kakojoe Ulale huyo Demu Sio Saizi Yako Tena SHUKURU MUNGU Kama Uliwahi kumvua ........
@oyay2821
@oyay2821 8 ай бұрын
Itakua huyu Mwamba alikua anammendea Zuchu
@NinahFyson
@NinahFyson 7 ай бұрын
Mimi navyo muona zuchu na clam vevo awawez kukaa tena kwenye mpenz.Nakuamba CLAM acha kumufatilia uyo binti na uangalia mkee watayipi yako 👍🥰
@HamisiNyalinga
@HamisiNyalinga 7 ай бұрын
Wewe clam tukiangalia levo zuchu nilevoyake clam anapesa zingmno
@Malin2001
@Malin2001 8 ай бұрын
Clam relax mke mwema mungu hupeana
@Fatima69Ng
@Fatima69Ng 8 ай бұрын
Weweee clam kujiamini muhimuuu❤❤❤❤ nakupenda bureeee
@MbongoBoy-yg9tq
@MbongoBoy-yg9tq 8 ай бұрын
Huyu Clem anaongeakweli au kikomedy komedy?😂😂
@Pierjmkakule
@Pierjmkakule 3 ай бұрын
Dada Mbengo hujambo, from DRC🇨🇩 tunataka Vevo atuburudishe kwa vichekesho(comedy) maana uku nikama amelala, basi naamini langu hili litafika🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AishaNaim-r7h
@AishaNaim-r7h 8 ай бұрын
Sijapenda naenda nyumbani kula chapat na marage
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Cram me love you rakini zuchu achananaye hakufai
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 8 ай бұрын
Fala
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Kudadeki ubwa mnfiki mkundu kenge mchawi
@MustaqimMuhsin
@MustaqimMuhsin 8 ай бұрын
Acha usenge ww
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Siongei na ubwa naongea na mwenye ubwa
@MustaqimMuhsin
@MustaqimMuhsin 8 ай бұрын
@@KwizerJackson-is7fh mbwa ni baba yako na mama yako fala ww
@omarappoul
@omarappoul 8 ай бұрын
Dah poleni kakayangu clam tuliya utampata wakwako
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 8 ай бұрын
Clam njoo kwangu
@Thierry257-lw2vw
@Thierry257-lw2vw 8 ай бұрын
Vevo mademu wapo usimshobokee huyo japo mlikuwa rafiki enzi za kare.Vuta subira.
@Director_tyson
@Director_tyson 8 ай бұрын
Bro don't forget a girl. Am proud of u
@rwakitatechnology7308
@rwakitatechnology7308 8 ай бұрын
Clam Acha ujinga yani Zuchu atoke kwa Simba aende kwako? Acha ujinga Clam 😂
@SalmaMakilika
@SalmaMakilika 7 ай бұрын
Mbona kama nakuona upo sawatu KAKA.kwanini usiombe Mungu akupe chaguo sahihi?siku ukifulia?usiyumbe KAKA wewe niwajuu usijishushee kaka
@rehematawalani733
@rehematawalani733 8 ай бұрын
Huyo mwanamke usimfuatilie atakulostisha yaani jifanye km hujawahi kuwanae
@djafro1
@djafro1 8 ай бұрын
Wa kwanza leo jameni nifikisheni 1000 subscribers
@Elizaobed
@Elizaobed 8 ай бұрын
Achana na zuchu
@djtwinstar254
@djtwinstar254 8 ай бұрын
Ati siendani kimo mm ni mrefu😂😂😂😂
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 8 ай бұрын
Clam anapendezea kufatilia mambo yake na sio ya watu
@WinnieUmanzi
@WinnieUmanzi 8 ай бұрын
Diamond's words vijana tafuteni hela🤣🤣🤣🤣
@CrazyLeg-g2k
@CrazyLeg-g2k 8 ай бұрын
Kila lenye mwanzo Lina mwisho. Ngoj tufatilie hadi mwisho tuone nini? hatima ya yote….
@mellahbrain295
@mellahbrain295 8 ай бұрын
Wamwisho leooooo japo like 1k😂😂
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 8 ай бұрын
Clam hebu songs mbele usigeuke nyuma ukigeuka nyuma utakutana na majanga
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 8 ай бұрын
Clam utapata mwema na alie na kheri na wewe tatizo la watoto nyie usanii wenu upo mpaka ktk mapenzi
@ummialey6391
@ummialey6391 4 ай бұрын
Hhhhh halafu nilikuwa.nasikia.watu eti dimond kala usichana wa. Zuhura labda dimond kazid kumuengezea uwazi zuu ila. Ww. Mnaendana hasa Kizanzibar halua tende ila. Life is gone Kila mtu anatafuta saiv. Tafuta mtu km ni shida njoo Zanzibar utapata haluwa.
@Lunesavage-vu8yv
@Lunesavage-vu8yv 8 ай бұрын
😂😂😂 cram basi akachanganyikiwa eti pesa zinamsumbuwa saa izi anataka zuchu cram nizani iyo ni system nyingine ya comedy!?lakin naona umekonda inaweza ikawa siyo comedy lak8ni pol cram kwl icokitu cha ku deti na zuchu sahau haitakuwa kwl
@georgesangana8147
@georgesangana8147 8 ай бұрын
Hichi kitoto me fan wake lakini sikuizi kina'act weired na i can see gradually anawezaanguka hebu wanaomshauri wawe wenye akili wanamuharibu, make that shit private we gonna hate u instead thats not ur life style for money
@FaridaOmary-n5f
@FaridaOmary-n5f 8 ай бұрын
Clam achana nae acha kujizalilisha kubali matokeo pamban mung atakusaidi utapata mwanamke mzr 2
@Amisisahidi-j1q
@Amisisahidi-j1q 2 ай бұрын
Clam vevo wanawake wapo wengi wazuri zuchu hana uzuri wowote mwaile kundi lako wanawake wazuri wapo zuchu ulimuona emo Nini zuchu mwenyewe anasura kama matope shepu kama ilipigwa napasi
@Agnesisaid
@Agnesisaid 8 ай бұрын
Mm wasanii wananuizi kitu kimoja tu kushea shea wanawake ..kwan wanawake wameisha jmn ..mbona bado wapo ..
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 8 ай бұрын
Kwa iyo Clam bado unalilia hii Malaya inayovaa uchi, mbona uko na wasichana wazuri tu kwenye kazi zako 😢😢na hata tz wako wazuri na waeshima zao tu..
@JamaliAmour-jp9dd
@JamaliAmour-jp9dd 8 ай бұрын
Huyu kijana ni mwehu
@HadijaHussein-rt3gm
@HadijaHussein-rt3gm 3 ай бұрын
Oyaaaaaaa bro usilazimexhe mapenz tafuta mwingine akupendaye
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 8 ай бұрын
WASANII wote wa WASAFI Hua hawana mda wa kumjibu mtu mjinga mjinga kama huyu labda akawalipe milioni 600 ndio Zuchu amjibu😅😅
@sirishabani-uh6sg
@sirishabani-uh6sg 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 8 ай бұрын
Ila nacheka😂😂
@MwamvitaKizua
@MwamvitaKizua 8 ай бұрын
Anataka kutrend Siku zote mlizoachana wewe kaka Fanya yako achana na hizo mambo zuchu mwanamke wako wakwanza kwani
@Enerygozbet
@Enerygozbet 8 ай бұрын
Uwe nimependa kwa upendo wako kwa zuchu kutambua alikutoa wap mfano wa kuigwa
@AdorableHalisi
@AdorableHalisi 8 ай бұрын
kijana wa hovyoo😂😂
@KevinOmwega-f1y
@KevinOmwega-f1y 19 күн бұрын
Apo Sasa
@estaphone
@estaphone 8 ай бұрын
Clam achana naye alipenda Mzee ambaye ni Diamond tafuta mpenzi anayokufaa
@giveninyagawa2784
@giveninyagawa2784 8 ай бұрын
clam🙄🙄
@happyvijora6244
@happyvijora6244 8 ай бұрын
clam bana tulia subiri mpaka azalishwe na mond atachwa na hapo ndo atakuwa zuhura maana atapotea kabsa
@mwanahijamaliti8335
@mwanahijamaliti8335 8 ай бұрын
😂😂 clam sio mjinga mpaka aongee ivyo kuna kitu anataka
@FranciscaChari
@FranciscaChari 6 ай бұрын
Relax kaka mola atakupa wako mzuri sana ww mwenyewe handsome bana
@eunicesemanuel7895
@eunicesemanuel7895 8 ай бұрын
Kwan zuchu no Nani jaman na pesa mbn za kawaida tuu zuchu zuchu heeee
CLAM; NIMETEMBEA NA ZUCHU, ALIKUWA MPENZI WANGU,COMEDY INANILIPA
20:25
KIPESILE   | 1 |
23:39
Adery Masta
Рет қаралды 847 М.
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 71 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
STEVE MWEUSI ATUPA DONGO KWA NDARO | BAADA YA KUACHANA NA TUNDA
1:26
ZUCHU KACHOKA KUSUBIRI, AMUULIZA DIAMOND STEJINI - "UTANIOA LINI?"
3:12
UTACHEKA UFE MAHABA YA CLAM MBELE YA ZUCHU, APEWA ONYO ZITO
14:26
Mbengo Tv
Рет қаралды 1,5 МЛН
MAPOKEZI YA CLAM VEVO ALIPOFIKA CONGO 🇨🇩
3:39
CLAM VEVO
Рет қаралды 188 М.
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
CLAM VEVO
Рет қаралды 2,5 МЛН
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
UTACHEKA UFE MANENO YA KICHECHE MBELE YA HARMONIZE
11:13
Mbengo Tv
Рет қаралды 602 М.